Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Embed Size (px)

Text of Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

KANUNI ZA ULAJI NA UNYWAJI BORA

Ubora na ukuaji wa miili yetu na akili zetu hutegemea AINA ya vyakula tunachokula na vinywaji tunavyokunywa,

Chakula tuchaguacho kula husaidia kuifanya miili yetu kuwa na Afya njema au kusababisha udumavu,ulemavu au vifo visivyo vya lazima.

Pia hutegemea NAMNA tunavyovitumia.

Mchanganyiko wa vyakula katika kiwango kinachotakiwa ni vya lazima ili mwili upate lishe kamili inayotakiwa.

Badilisha chakula chako kila mlo. Usile aina moja tu ya vyakula kila siku au kila mlo, badili badili mara kwa mara. Usile katikati ya mlo. Ule wakati ule ule uliowekwa kwa milo kila siku, acha angalau masaa 4-5 katika mlo na mlo.

Kula milo miwili au mitatu kwa siku. Kama ukichagua kula milo miwili zingatia kiasi cha chakula kulingana.

Kama utachagua kule milo mitatu milo miwili ya kwanza ilingane, na ule mlo wa tatu au wa mwisho uwe nusu tu ya mlo wa kwanza au wa pili yaani asubuhi 2/5 ya mlo wote wa siku mchana 2/5 ya mlo wote wa usiku, jioni 1/5 ya mlo wote wa siku. Mabadiliko madogo hayawezi kuleta athari kubwa.

Usile chakula kingi sana, hupumbaza akili. Ule chakula cha kutosha asubuhi. kama ikiwezekana chakula kisiliwe kabisa usiku kwa hiyo jitahidi kupata mlo wa jioni mapema ili tumbo lipate kupumzika vyema wakati wa kulala.

Punguza ulaji wa vyakula vitamu sana kwa wingi ukiepuka vingine vidogo vidogo katikati ya milo vikiwemo soda, biskuti, keki, pipi, juisi tamu, maandazi n.k. Tafuna chakula usimeze tu !

Usinywe maji mengi sana pamoja na chakula - unywe kiasi kidogo tu cha kusukumia chakula.

Kunywa maji mengi katikati ya mlo mmoja na mwingine ukizingatia kunywa zaidi sehemu zenye joto kali pamoja na unapofanya mazoezi au kazi ngumu, unashauriwa kwa kawaida kutumia glasi 6-10 za maji kila siku.

Aina tano za vyakula ni muhimu kwa afya na maisha yetu ya kila siku.

Vyakula vya wanga: - Hivi ni vyakula vinavyotia nguvu mwilini-vinavyotokana na nafaka, k.v. mahindi, mchele,viazi, ngano, n.k.

Vyakula vya Protini: - Vyakula vya kujenga mwili kama vile mbegu, mboga mboga,nyama, mayai, maziwa n.k

Vyakula vya vitamin: - Vyakula vya kulinda mwili, kama vile matunda ya aina mbalimbali na mboga za aina mbalimbali.

Vyakula vya mafuta:

Hivi hutia joto mwilini na kutia nguvu mwilini.

Mafuta ya mimea ni bora zaidi kuliko mafuta yatokanayo na wanyama.

Vyakula vyenye Madini ya aina mbalimbali.

Kwa kuwa miili yetu hujijenga upya kila siku katika maumbile yote, urejeshaji wa chembechembe za mwili hufanyika kwa uhakika. Chembechembe za zamani zikbadilishwa na mpya. Mtu huwa mpya akiwa na mwili mpya.

Mtawanyiko wa vyakula vya matunda Zingati yafuatayo:

Rangi Umbile Radha - Utamu

Vyakula vilivyokobolewa sana- havina vitu vinavyoitwa Fiber ambavyo husaidia kuzuia cancer(Saratani). Chumvi Kula chumvi nyingi huleta magonjwa ya mishipa ya damu na hata ugonjwa wa moyo. Kula sukari nyingi husababisha matatizo ya unene.

Kula bila utaratibu maalum.

Mafuta ya wanyama yana kiasi kikubwa cha cholesterol (mafuta mabaya) nyingi na hufupisha maisha ya mtu.

Vinywaji: Soda, chai, beer, juice hivi vimejaa sukari, caffeine vileo, huleta hatari kubwa mwilini.

Vitafunwa: Vyakula vidogovidogo vinavyoliwa kila wakati huharibu uyeyushwaji wa mfumo wa chakula.

Chagua vipimo 5 mpaka 10 kutoka

mazao ya maziwa, mbegumbegu, karanga, na mafuta muhimu.Fill your life with Celebrations 26

cup

Kipimo kimoja cha kitaalamu ni sawa na kikombe ya chakula kilichopikwa au-

1 cup

Kikombe1 chakula kisichopikwa .Fill your life with Celebrations 27

Chakula cha-mimea hupunguza hatari ya kupata magonjwa chaya moyo(CHD). Tindikali muhimu (Omega-3 fatty acids), (Omeganafaka zisizokobolewa na matunda kwa wingi , na mbogamboga,hupunguza mbogamboga,hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo CHD.

Fill your life with Celebrations

28

Mazoezi ya mara kwa mara,

Kutokuvuta sigareti, kuzuia unene, kutapunguza uwezekano wa kupata magonjwa mengi ya mioyo.

Fill your life with Celebrations

29

Karanga karanga na nafaka isiyokobolewa huzuia kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kupata magonjwa ya kuziba kwa mioyo (IHD). Vipimo 5 kila wiki hupunguza uwezekano wa CHD kwa asilimia 50.

Fill your life with Celebrations

30

Kula maharage mara 3 au zaidi kwawiki kunapunguza uwezekano wa kupata kansa ya utumbo mkubwa kwa asilimia 50.

Fill your life with Celebrations

31

Wala mbogamboga wana uwezekano mara 6 wa kula nafaka zisizokobolewa!

Wala mbogamboga hula vipimo 2 au zaidi ya viini lishe sawasawa na wala nyama kwa wiki, vipimo 1.5 vya karanga karanga na kipimo 1 zaidi cha mbegumbegu.Fill your life with Celebrations 32

Kansa ya utumbo mkubwa, matiti, mapafu,na tumbo la uzazi ni chache kwa wale wasiokula nyama ukilinganisha na wale wanaokula kwa wingi.Fill your life with Celebrations

33

Walaji wanyama kwa wingi (ikiwa ni pamoja na wale wanaokula kipimo 1/wiki) asilimia 80 walionekana na uwezekano wa kupata kansa ya matumbo zaidi ya wasiokula nyama kabisa.Fill your life with Celebrations 34

Ulaji wa nyama nyekundu na kansa!

Ulaji wa nyama nyekundu Hajawahi < 1 x/wk > 1 x/wk

Uwezekano(kansa). 1 1.00 1.37 (0.85 2.20) 1.86 (1.15 3.02)Fill your life with Celebrations 35

Kansa ya utumbo mkubwa na ulaji wa nyama nyekundu na nyeupe. < 1 x/wiki nyekundu 1.37 1.67 (0.94-2.41) < 1 x/wiki nyeupe& nyekundu > 1 x wiki nyeupe& nyekundu 3.80 (1.45-6.20) Wasiokula nyama kabisa 1.00

Fill your life with Celebrations

36

Chakula cha mboga mboga, husaidia kupunguza shinikizo la damu. ipo tofauti ya vipimo 13 mpaka15 vya Presha katika moyo(Systolic BP) kati ya mlaji na asiyekula nyama pamoja na vipimo 6 mpaka 8 vya presha katika mishipa(Diastolic BP) chini zaidi kwa asiyekula nyama.

Fill your life with Celebrations

37

Systolic / DiastolicWasiokula nyama kabisa Wanaotumia maziwa na mayai Wanaokula nyama (E Boston) Wanaokula nyama (Framingham) Katika utafiti kuhusu

112.5 / 63.3 111.8 / 68.8 120.8 / 76.4 118.9 / 79.0

shinikizo la damu uliofanyika kati ya waadentista walao na wasiokula nyama,waonyesha kuwa ulaji wa nyama wasababisha uwezekano mara 2 wa kupata shinikizo la damu. Fill your life with Celebrations

38

Tafiti nyingi zaonyesha kwambavyakula vya mimea vina uwezo wa kupunguza uwezekano wa kupata kiharusi na kupooza ghafla.

Fill your life with Celebrations

39

Mwanaume anayekula nyama mwenye umri wa kati ya miaka 40 mpaka 65 mwenye urefu 510 anakuwa na uzito wa kiasi cha kilo 67(14 pounds)zaidi ya yule asiyekula nyama;kwa mwanamke akiwa na kilo 5-6(12 pounds)zaidi.Fill your life with Celebrations

40

Wasiokula nyama wanapunguza uwezekano wakuugua magonjwa mengi sana hasa yale yanayohusiana na ulaji wa nyama, pia kuongeza ulaji wa matunda na mbogamboga, nafaka zisizokobolewa pamoja na karanga karanga ambazo ni kinga kubwa ya magonjwa mbalimbali.

Fill your life with Celebrations

41

katika utafiti uliofanyika katika chuo chaLomalinda kule marekani, vipimo vya unene vilionyesha kwamba watu wasiokula nyama wanao unene pungufu kwa pointi 2 ukilinganisha na wale wanaokula nyama.

unene (kipimo cha B.M.I.) wasiokula wanawake wanaume 23.73 24.26 wanaokula 25.88 26.24Fill your life with Celebrations 42

BMI ndicho kipimo hakika zaidi cha kupima unene. unene BMI ni uzito wa mtu katika kg kugawanya kwa urefu katika kipeo cha pili( Mita). (BMI=kg/m2).Fill your life with Celebrations 43

Uhusiano wa chakula cha mimea na magonjwa ya mifupaChakula (mimea) - (nyama) Ugonjwa wa joint- Wanawake Wanaume

1.00 1.00

1.57 1.50

Utafiti wa sasa unaonyesha kwamba kuna ongezeko kubwa la magonjwa ya viungio na mifupa kwa wala nyama.Fill your life with Celebrations 44

Fill your life with Celebrations

45

Matunda na mbogamboga, nafaka zisizokobolewa, na vitamin za kutosha hurekebisha mwenendo wa sukari mwilini ukilinganisha na chakula kilichokobolewa na mafuta mengi.Fill your life with Celebrations

CHAKULA CHA MIMEA HUPUNGUZA UWEZEKANO WA KUPATA KISUKARI.

46

Kisukari

Vidokezo kwa ugonjwa wa kisukari;Wasiokula nyama-wanaokula nyama wanaume wanawake 1.00 1.00 1.97Fill your life with Celebrations

1.93

47

Matunda na mbogamboga nyakati zote zimejulikana kwa kupunguza uwezekano wa kupata mtoto wa jicho na upofu wa macho kwa ujumla.

Fill your life with Celebrations

48

Maziwa yasiyo na mafuta mengi, mboga za majani, nachakula chenye madini ya chokaa husaidia kuimarisha chakula mifupa. Chakula chenye protini nyingi hasa ya nyama nyekundu na mayai huongeza uwezekano wa kupata mifupa milegevu na upungufu wa madini ya chokaa.

Fill your life with Celebrations

49

Mbogamboga, matunda, nafaka zisizokobolewa, mbegumbegu na karanga zinakuwa na:Nyuzi nyuzi nyingi. a. Viini vinavyozuia magonjwa. b. Mafuta bora kwa wingi. c. Vitamini nyingi za muhimu. d. Viondoa sumu vingi. e. Vipo viini vya vinavozuia kansa.

Fill your life with Celebrations

50

Mambo saba ya kuzingatia katika uchaguzi wa vyakula vyetu;

1. Mchanganyiko. 2. Ulari. 3. Ubora. 4. Uwiano. 5. Cha kutosha. 6. Kiasi gani. 7. Cha kuepuka.Fill your life with Celebrations 51

Angalia mchanganyiko wa vyakula aina sita zifuatazo: (Viwepo katika kila mlo). 1. Nafaka zisizokobolewa, 2. Mbogamboga, 3. Matunda, 4. Maziwa, au mazao yake, 5. karanga, mbegumbegu, maharage, na protini za mimea, 6. Mafuta na madini mbalimbali.Fill your life with Celebrations 52

Chagua viwango vina