2
ENEO LA AFRIKA KUSINI MASHARIKI MPANGO WA 2018 Kumfikia, mmoja mmoja, kuwakomboa wale wasioshiriki kikamilifu. “Kwani kwa hawa mtaendelea kuwahudumia…nami ni- tawaponya.” (3 Nefi 18:32) Kushiriki Injili na watu wengine wasio wa imani yetu. “Na kama itakuwa kwamba… utaleta, japo iwe nafsi moja kwangu, shangwe yako itakuwa kubwa jinsi gani.” (M&M 18:15) Kupendana ONO KUIMARISHA INJILI KATIKA MIOYO YA WAUMINI NA KUJENGA KANISA JUU YA MSINGI IMARA. Kuimarisha kuishika Siku ya Sabato nyumbani na kanisani. “Hakika mtazishika Sabato zangu; kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na ninyi.” (Kutoka 31:13) Waumini wote kwa ustahiki wawe na kibali cha hekalu na kushiriki katika kazi ya hekaluni. “Hakuna dhabihu iliyo kubwa sana, hakuna bei iliyo kuu sana, hakuna harakati iliyo ngumu sana ili kupokea [hizi] baraka [za Hekaluni].”(Rais Thomas S. Monson, Liahona, Mei 2011) Kusoma Kitabu cha Mormoni kila siku. “Namsihi sana kila mmoja wetu kujifunza kwa dhati na kukitafakari Kitabu cha Mormoni kila siku.” (Rais Thomas S. Monson, Aprili 2017) Kuzidisha Imani katika Baba wa Mbinguni na Mwanawe Yesu Kristo na Upatanisho Wake Kulipa zaka kwa uaminifu na matoleo ya mfungo kwa ukarimu. “Leteni zaka kamili ghalani … mkanijaribu kwa njia hiyo. (Malakii 3:10) Jipe wajibu binafsi wa kufanya kazi na kuwa wenye kujitege- mea. “Kujitegemea ni uwezo, nia, na juhudi za kujitimizia mahitaji ya kimwili na kiroho ya maisha ya mtu binafsi na ya familia.” (Handbook 2, 6.1.1) Kuandaa vyema “kizazi chipukizi” ili kutumikia misheni zao kwa ufanisi. “Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.” (Marko 16:15) Kuwa Wenye Kujitegemea ili Kuwatumikia Wengine Vyema

ENEO LA AFRIKA KUSINI MPANGO WA 2018 · 2018. 5. 11. · Kusoma Kitabu cha Mormoni kila siku. “Namsihi sana kila mmoja wetu kujifunza kwa dhati na kukitafakari Kitabu cha Mormoni

  • Upload
    others

  • View
    1

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: ENEO LA AFRIKA KUSINI MPANGO WA 2018 · 2018. 5. 11. · Kusoma Kitabu cha Mormoni kila siku. “Namsihi sana kila mmoja wetu kujifunza kwa dhati na kukitafakari Kitabu cha Mormoni

ENEO LA AFRIKA KUSINI MASHARIKI MPANGO WA 2018

Kumfikia, mmoja mmoja, kuwakomboa wale wasioshiriki kikamilifu.

“Kwani kwa hawa mtaendelea kuwahudumia…nami ni-tawaponya.” (3 Nefi 18:32)

Kushiriki Injili na watu wengine wasio wa imani yetu.

“Na kama itakuwa kwamba… utaleta, japo iwe nafsi moja kwangu, shangwe yako itakuwa kubwa jinsi gani.” (M&M 18:15)

Kupendana

ONOKUIMARISHA INJILI KATIKA MIOYO YA WAUMININA KUJENGA KANISA JUU YA MSINGI IMARA.

Kuimarisha kuishika Siku ya Sabato nyumbani na kanisani.

“Hakika mtazishika Sabato zangu; kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na ninyi.” (Kutoka 31:13)

Waumini wote kwa ustahiki wawe na kibali cha hekalu na kushiriki katika kazi ya hekaluni.

“Hakuna dhabihu iliyo kubwa sana, hakuna bei iliyo kuu sana, hakuna harakati iliyo ngumu sana ili kupokea [hizi] baraka [za Hekaluni].”(Rais Thomas S. Monson, Liahona, Mei 2011)

Kusoma Kitabu cha Mormoni kila siku.

“Namsihi sana kila mmoja wetu kujifunza kwa dhati na kukitafakari Kitabu cha Mormoni kila siku.”(Rais Thomas S. Monson, Aprili 2017)

Kuzid isha Imani kat ikaBaba wa Mbinguni na Mwanawe Yesu Kr is to na Upatanisho Wake

Kulipa zaka kwa uaminifu na matoleo ya mfungo kwa ukarimu.

“Leteni zaka kamili ghalani … mkanijaribu kwa njia hiyo.(Malakii 3:10)

Jipe wajibu binafsi wa kufanya kazi na kuwa wenye kujitege-mea.

“Kujitegemea ni uwezo, nia, na juhudi za kujitimizia mahitaji ya kimwili na kiroho ya maisha ya mtu binafsi na ya familia.” (Handbook 2, 6.1.1)

Kuandaa vyema “kizazi chipukizi” ili kutumikia misheni zao kwa ufanisi.

“Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.” (Marko 16:15)

Kuwa Wenye Ku j i tegemea i l i

Kuwatumik ia Wengine Vyema

Page 2: ENEO LA AFRIKA KUSINI MPANGO WA 2018 · 2018. 5. 11. · Kusoma Kitabu cha Mormoni kila siku. “Namsihi sana kila mmoja wetu kujifunza kwa dhati na kukitafakari Kitabu cha Mormoni

Kutathmini Maendeleo

Utekelezaj i

Waumini wote wanaalikwa kujiwekea malengo na kupima maendeleo dhidi ya malengo hayo kila mara. Rais Thomas S. Monson alifundisha, “Wakati utendaji unapopimwa, utendaji huwa mzuri zaidi. Wakati utendaji unapopimwa na kuripotiwa, kiwango cha kufanya vizuri zaidi huongezeka.”

Familia na watu binafsi: Waumini wa Kanisa wote binafsi, wanaalikwa kuweka malengo yanayoambatana na mpango wa eneo na kisha kufanya kazi kuyafikia.

Viongozi: Washiriki wa mabaraza ya uratibu, ya kigingi, na ya kata wanapaswa kwa maombi kutengeneza hatua mahususi ambazo watachukua ili kutimiza ono, vipaumbele, na malengo haya ya eneo.

Uwajibikaji na Ufuatiliaji: Sabini wa Eneo hufanya kazi pamoja na marais wa vigingi na misheni, marais wa vigingi na misheni hufanya kazi na maaskofu, na maaskofu hufanya kazi na viongozi wa kata kutekeleza mpango. Kina baba na kina mama hufanya kazi na Familia zao kutekeleza mpango wa eneo.

ENEO LA AFRIKA KUSINI MASHARIKI MPANGO WA 2018