3
Form No. 1 HALMASHAURI YA WILAYA YA MANYONI MAMLAKA YA MJI MDOGO WA MANYONI FOMU YA MAOMBI YA SHAMBA LA KOROSHO MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI S.L.P 60 MANYONI TAARIFA BINAFSI ZA MWOMBAJI Jina: Anwani: Simu:……………. Mahali anapoishi: Kata: …………………… Wilaya: Mkoa: Saini ya mwombaji: Ninaomba shamba la ukubwa wa ekari kwa ajili ya kulima korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida. MASHARTI KWA MUOMBAJI: i) Kwamba, Shamba utakalopewa ni kwa ajili ya kilimo cha korosho tu na si vinginevyo. ii) Kwamba Muombaji anatakiwa kulipia ada ya maombi shilingi 20,000/= kwa ekari moja na malipo haya hatarejeshwa (non refundable).

Fomu ya maombi ya Shamba - Manyoni District Councilmanyonidc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/Fomu ya...Microsoft Word - Fomu ya maombi ya Shamba Author Manyoni DC Created Date

  • Upload
    others

  • View
    77

  • Download
    2

Embed Size (px)

Citation preview

  • Form No. 1

    HALMASHAURI YA WILAYA YA MANYONI

    MAMLAKA YA MJI MDOGO WA MANYONI

    FOMU YA MAOMBI YA SHAMBA LA KOROSHO MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI S.L.P 60 MANYONI TAARIFA BINAFSI ZA MWOMBAJI

    Jina: Anwani:

    Simu:……………. Mahali anapoishi:

    Kata: …………………… Wilaya: Mkoa:

    Saini ya mwombaji: Ninaomba shamba la ukubwa wa ekari kwa ajili ya kulima korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida. MASHARTI KWA MUOMBAJI: i) Kwamba, Shamba utakalopewa ni kwa ajili ya kilimo cha korosho tu na si

    vinginevyo. ii) Kwamba Muombaji anatakiwa kulipia ada ya maombi shilingi 20,000/= kwa ekari

    moja na malipo haya hatarejeshwa (non refundable).

  • iii) Fedha za maombi zilipwe kupitia bank ya NMB AKAUNTI NAMBA 50710011042 jina la akaunti MRADI WA KOROSHO MANYONI na hati ya malipo ya bank (pay in slip) iwasilishwe kwa Casheer wa Halmashuri ya Wilaya Manyoni kwa ajili ya kupatiwa stakabadhi.

    iv) Kwamba, gharama ya kusafisha shamba ni shilingi 150,000/= kwa ekari moja. Mwombaji anaweza kulipa gharama za uasfishaji pamoja na ada ya maombi kwa mkupuo mmoja.

    v) Malipo yote yatalipwa kupitia Bank Account tajwa hapo juu na baada ya kulipa Mwombaji atawasilisha pay in slip ya bank kwa Casheer wa Halmashuri ya Wilaya Manyoni kwa ajili ya kupatiwa stakabadhi.

    (v) Kwamba, kwamba waombaji watume maombi kwa kuzingatia jedwali la vitalu vya mashamba hapa chini.

    S/N ekari Aina ya muombaji Weka alama ya √ 1 5 Mtu binafsi 2 10 Mtu binafsi 3 15 Mtu binafsi 4 20 Mtu binafsi 5 25 Taasisi/Kampuni 6 30 Taasisi/Kampuni 7 35 Taasisi/Kampuni 8 40 Taasisi/Kampuni 9 45 Taasisi/Kampuni 10 50 Taasisi/Kampuni

    KWA MATUMIZI YA OFISI TU. Ndugu: amekubaliwa/amekataliwa

    ombi la shamba la korosho. Maoni/Maelezo …………………………………………..

    …………………………………………………………………………………………..

    MSIMAMIZI WA SHAMBA:

    Saini: Tarehe:

  • Form No. 2

    MASHARTI YA KILIMO CHA KOROSHO - MANYONI

    Kwa waombaji wote wanatakiwa kuzingatia masharti ya kilimo cha korosho kama yalivyo ainisishwa hapa chini: vi) Kwamba shamba atakalopewa mkulima atalitumia kwa kilimo cha korosho tu na si

    vinginevyo.

    vii) Kwamba, mkulima atahakikisha anapanda mikorosho kwa kuzingatia maelekezo ya kitalaam kutoka kwa Maafisa Kilimo na wakati wote atahakikisha anfanya parizi na pruning.

    viii) Kwamba, mkulima atahakikisha anapanda mikorosho kwa msimu wa kilimo kufuatana kalenda ya upandaji mikorosho itakayotolewa na idara ya kilimo ya Halmashuri ya Wilaya Manyoni.

    ix) Kwamba, mkulima anatakiwa kupanda mikorosho shamba lote alilopewa na endapo

    atashindwa kupanda baadhi ya sehemu ya shamba shemu hiyo itchukuliwa na kupewa mtu mwingine.

    x) Kwamba mkulima atahakikisha anafuata maelekezo ya Wataalamu wa kilimo kwa kila hatua kwa mfano kufyeka, kupulizia dawa, kupogoa, kupalilia n.k

    xi) Kwamba, mkulima anaahidi kufuata masharti yote ya kilimo cha korosho na endapo

    atashindwa kutekeleza Halmashuri itatwaa shamba na kumpatia mtu mwingine. Mimi…………………………………………………………….…….. nimesoma na kuelewa vizuri, bila ya kulazimishwa na mtu yeyote, nikiwa na akili timamu nimekubali kufuata masharti yote yaliyoainishwa hapo juu. Imesainiwa mbele ya Kamishna wa viapo (WAKILI/HAKIMU) JINA……………………………………………………..…… SAINI………………………………………………………… WADHIFA…………………………………………………… TAREHE………………………………………………………