Upload
others
View
4
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
mambo mazuri kama haya tungeyasikia redioni tu”. Mama Nyandaro Chaya alionyesha furaha yake alipohojiwa na Jarida hili kwa kusema
haya ndiyo matunda ma-zuri. Mrs Lazaro Zengo aliele-za kuwa “Kwa kweli Jarida ni zuri sana, kwa kweli umelitengeneza
vizuri sana kiasi kwamba kila mtu ana hamu kusoma bila kuchoka”.
Ndugu Ndimila Mandago mfanya bi-ashara maarufu wa karikoo alipohojiwa na Jarida hili alitoa ponge-zi kwa namna ambavyo
kamati ya jamii na TEHAMA Zilivyoleta na kuanzisha mambo mazuri ambayo tume-zoea kuyasoma kwa wengine. Jarida la JAMBO USHIRIKIANO lilianzish-wa mwezi uliopita (Saba) na litatolewa kila mwezi na tovuti ya ushirikiano ilizinduliwa mwezi uliopita .
Www.ushirikiano.or.tz.
Hongera sana Bw. John Athanas na Kamati nzima ya Masuala ya Jamii kwa ubunifu wa kuanzisha JARIDA la JAMBO USHIRIKIANO! Inaonyesha speed ya ajabu ya kwenda na wakati kwa ku-take
off kwa kasi kama ya AIR FORCE ONE! CONGRATULATIONS! Maneno hayo yalitolewa na Ndugu Mdongo, NDJ alipoku-wa analieleza jarida hili na alivyoguswa. Naye Ndugu Lazaro zengo alisema “Jarida limetulia,hongera
kaka John na timu yako kwa kazi nzuri”. Wakihojiwa na waandishi wetu
katika nafasi mbalimbali , Advocate Mrs Evelyne D . Mwigulu Dede aliipongeza
kamati ya TEHAMA na kamati ya JAMII kwa kufanya Ushirikiano kuwa wa matawi ya juu Zaidi. Kwa wakati tofauti Ndugu Ntemi Gimbishi alifurahishwa na jarida pamoja na tovuti iliyoanzinshwa na alisema “Hongereni sana ka-mati ya jamii kwa kazi nzuri na ya kupendeza ubunifu wenu unaleta picha nzuri sana katika ushirikiano. Pia pongezi nyigi
mno kwa kamati ya TEHAMA bila wao
Majohe ilikuwa ni sehemu
isiyofahamika kwa wengi , hii
ndiyo sehemu kikao cha mwezi
wa Saba cha wanaushirikiano
kilipofanyika nyumba kwa familia
ya Ndugu Mahango Sitta , Pamoja
na asilimia kubwa ya wageni
kupotea , sehemu hii ilibadilisha
mandhari ya wengi wanaposikia
Majohe . Ilikuwa furaha ya aina
yake wajumbe walipo pokelewa
kwa ukarimu wa pekee , kupata
chakula , kunywa and kuend-
ndesha kikao kizuri na cha aina
yake. Pamoja na kumaliza kikao
Mapema wajumbe hawakupenda
kuondoka kwa ukarimu walio-
pewa na wenyeji wao.
Jambo Ushirikiano na Tovuti Ya Ushirikiano
Vyapokelewa kwa Furaha.
YAL IYOMO
Jambo
Ushirikia Fu-
1
Majohe Raha
TUPU
1
Nhendes Pub
Gumzo
2
Nini Siri ya Ndoa
Imara 3
Happy Birthday 4
Yaemavyo Maadili
na Nidhamu 5
Unajua anakotoka
…… Edward 6
Majohe Rada - Ni Raha Tupu…July.
JAMBO USHIRIKIANO 1 S T A U G U S T 2 0 1 3 V O L U M E 1 I S S U E 2
PATA TAARIFA MBALIMALI ZA
KUVUTIA NDANI YA JAMBO
USHIRIKIANO.
• Jambo Ushirikiano na
Tovuti vyapokelewa kwa
Furaha,
• Nhendes Pub Gumzo la
Kibada - Kigamboni
• Majohe Rada ni Raha
Tupu
• Hongera Patrick Bwire
Sitta Lusenga Masanja
• Karibu Mwana
Mpotevu….
• Nini Siri ya NDOA
Kutumu
• Je Unafahamu Alikotea
Edward Nhendes Kwalu.
• Akinamama watoa
zawadi kwa mzazi /
motto.
• Itandula Afanikisha Ndoa
ya Mdogo wake Mwau-
koli.
• NPE—MBUZI HEWANI
• Naaaaaaa kadahalika
…………….. ??????????
P A G E 2
HONGERA PATRICK
BWIRE SITTA
LUSENGA
MASANJA
AKINAMAMA WAMPONGEZA MAMA MZAZI NA KUTOA ZAWADI ZA MTOTO
Hongera Patrick Bwire Sitta Lusenga Masanja
Pamoja na kufanya kikao cha mwezi wa July kwenye
Familia ya Ndugu Mahango Sitta , wanaushirikiano wali-
tumia fursa hii kumuona mwanaushirikiano mpya ali-
yepatikana hivi karibuni katika familia hii.
Mwenyekiti wa Ushirikiano Ndugu Michael Gambamala
alikabidhiwa rasmi kwa Niaba ya wanaushirikiano kulea
motto huyo kwa mara ya kwanza. Ilikuwa siku ya Pekee
kwa namna matukio
haya yalivyojitokeza.
Mtoto huyu ali-
tambulishwa majina yake ambayo ilionekana yanatambulisha ukoo
mzima wa Bwire na Sitta . Mtoto huyu anaitwa Patrick Bwire
Sitta Lusenga Masanja hata hivyo wajumbe wote waliruhusiwa
kumshika motto baada ya mwenyekiti kukamilisha zoezi la
kumpokea na kumlea motto kwa mara ya kwanza.
Hongera familia ya Mahango na kuwaombea kumlea vizuri motto
huyu kadri ya mapenzi ya Mwenyezi Mungu.
na ambavyo wanaushieikiano wanapendana
wanapomkosa
mwenzao mara
nyingi wanakuwa
na hamu ya ku-
muona. Mjumbe
mmoja alisikika
tunamsubiri
Magaka Felefu
ambaye Pia ni
mjumbe
wamepotezana naye kwa muda mrefu.
Ilikuwa ni siku ya Pekee wajumbe wa
UG walipompokea kwa makofi na vifijo
mjumbe Ndugu John Elias ghafla ali-
poingia ukumbini huko majohe siku ya
kikao cha mwezi wa saba . Waandishi na
wapiga Picha wa Jarida hili walikuwa
wako tayari kuchukua tukio hili ambalo
wengi walifurahi kumwona mpendwa
wao akiwasili kwa kutokuwa naye muda
mrefu katika vikao vilivyopita. Kwa nam-
turi ya akinamama hawa wa
Ushirikiano group. Kitendo hiki kilishuhudiwa na Mwenyekiti
wa Ushirikiano Group Ndugu
Michael Gambamala
Luchunga anayeoneka-
na kulia kwenye Picha.
Hongera Mama Hapi-
ness Bwire ndiyo
maneno mengi yali-
yowatoka akinamama
wa ushirikiano.
Ni Jambo la kawaida kum-
pongeza mzazi na kuleta zawa-
di kwa ajili ya motto aliyezali-
wa . Ndicho kitendo kilichofan-
yika tarehe 27/7/2013 huko
Majohe , Dar es salaam am-
bapo wanawake wa
Ushirikiano Group walipom-
pongeza mama Mzazi Mrs Hap-
piness Bwire Mahango kwa
kuwaletea motto wa Kiume
Patrick . Hii ni kawaida na des-
Akupendaye
kwa Dhati
ndiye Rafiki
wa Kweli.
J A M B O U S H I R I K I A N O
KARIBU MWANA MPOTEVU ……………………..
Our Core Value
Team work
Ushirikiano
Intergrity
Uaminifu
Impartiality
Kutopendelea
Accountability
Uwajibikaji
Mwanachama Mpya Apokelewa Ushirikiano
P A G E 3 V O L U M E 1 I S S U E 2
Ilikuwa siku ya aina yake Tarehe
27/7/2013 wanaushirikiano wali-
popokea mwanahama mpya Ndugu
Veronica Kilulu Adamu aliyevutiwa
na ushirikiano na kudiriki kujaza
fomu ya kujiunga ili kutimiza azima
yake ya kuwa mmoja wa wanau-
shirikiano alipohojiwa na Jarida hili
Veronica alionekana kuwa mwenye
furaha kwa namna ambavyo
ameweza kukubaliwa kwa ilioneka-
na wanachama wapya wanaweza
wasipokelewa idadi itakapofikia 30
na yeye alikuwa ni mwanchama
namba 26 , alisema nimewakilisha
fomu na michango ataipeleka
kwenye account ili kuwasilisha listi
kwa Mweka hazina.
Wanachama walimpokea kwa Ma-
kofi Mwanachama mpya ambaye
atakuwa msichana pekee aliyeamua
kujiunga katika kikundi hiki.
ilikuwa ni sherehe ya aina yake Watu waliowengi wanafikiria kufani-
kisha Ndoa ya kisasa ni Mjini tu la
hasha , Mwezi wa sita Mwanau-
shirikiano Ndugu ITANDULA Ga-
malagi alifanikisha ndoa ya mdogo
wake Ndugu Mahusi Gambalagi
andyefanya kazi Morogoro aliweza
kuuacha ukapera alipofunga pingu za
maisha katika Kijiji cha Mwaukoli ,
tarafa ya Kisesa—Meatu –Simiyu
iliyopanwa katika mtindo ambo
walijisikia wako Sheraton , sherehe
zilichagiwa na wanakijiji kujitokeza
kwa wiki kushuhudia sherehe ya
aina yake ambayo haijapata kutokea.
Ndugu itandula alieleza kuwa
anamshukuru mwenyezi mungu kwa
kumaliza jukumu hili ambalo lilimpa
wasiwasi mwingi anawapongeza
kuunganishwa kisheria lakini hazidu-
mu .
Jarida hili lilitaka kujua uzoefu kwa
watu waliodumu katika Ndoa Muda
Mrefu na sasa wanaitwa Babu na
bibi , Ndugu Ezekiel Malongo na
Mama Lyongo - Wazazi wa watoto
4 wakiwa na Mjukuu mmoja alieleza
Siri kubwa ya Ndoa ni kuwa na
Upendo , Uvumilivu , Amani na
Mshikamano ndani ya familia . Kila
mmoja akitambua wajibu wake ndani ya
familia ndoa inadumu na mwenyezi
mungu ataibariki tu , kuwa watu wa-
kumcha mungu ndiyo nguzo iliyo imara.
Kila mmoja Baba , Mama , Mtoto akijua
yeye ni nani ana wajibu gani katika familia
hapa ndiyo utamu wa
Ndoa yenye furaha na
upendo utajionyesha.
Hayo vijana wetu
wanapashwa kujifun-
za.
Ndoa ni muungano wa watu wawili
Baba na Mama alioamua kuishi
pamoja na kufanya familia , Ndoa
nyingi katika thama hizi hazidumu
utakuta haichukui hata mwaka
baada ya
kwenda
Kanisani ,
msikitini
na
serikalini
Nini Siri ya NDOA Imara ?.......
ITANDULA Afanikisha Harusi ya Mdogo wake Mwaukoli
Itandula Gambalagi
FAMILIA NI
SHULE YA
UPENDO ,
AMANI ,
UVUMILIVU.
MR. AND MRS MAHUSI GAMBALAGI WAKIINGIA UKUMBINI –MWAUKOLI MEATU
P A G E 4
Our Core Value
Team work
Ushirikiano
Intergrity
Uaminifu
Impartiality
Kutopendelea
Accountability
Uwajibikaji
Nhendes Pub
Gumzo la Kibada
Wanaushirikiano wengi wazaliwa 2012/13
Hongera!! Birthday, Komunio, Kipaimara
Nhendes Pub Imekuwa Gumzo la Kibada Kigamboni.
Baada ya kuzinduliwa na
wanaushirikiano Mwezi mmoja
uliopita , Mwandishi wetu ali-
tembelea siku ya Iddi ambapo
alikuta Pub imejaa magari hata
sehemu ya kupaki haikupatika-
na watu walijaa kupita kiasi ,
Jarida hili lilipoongea na Maneja
wa Nhendes Pub alieleza kuwa
tumekuwa na mafanikio toka
siku ya uzinduzi ambapo tu-
mekuwa bize kwa siku zote za
wiki , sasa hivi mbuzi tunao-
chinja ni kuanzia 2 mpaka 4
kwa siku , wateja wanakuwepo
hata mpaka saa 7 za usiku na
hasa siku hii ya sikukuu tume-
zidiwa wateja .
Mwandishi wetu alipoongea na
Mteja mmoja ambaye alisema
asitajwe jina lake alieleza kuwa
Nhendes Pub ni gumuzo la Kibada ,
baa mchara zote sasa hivi wafunge
tu alisema mteja huyo.
Mkurugenzi wa Nhendes Pub ali-
pohojiwa alieleza mambo yanaenda
vizuri wanaimarisha miundo mbinu
na endambo Daraja la Kigamboni
litakapokamilka mambo yatakuwa
mazuri zaidi.
Katika mwezi wa July tuungane
na wanafamilia wafuatao kwa
Happy Birthday !!
Mwenyekiti wa kamati ya
Jamii amewaomba wanachama
waweze kuleta orodha ya
wanafamilia ili kuwa na oro-
dha ya wanafamilia ikiwa na
siku za kuzaliwa. Hii ni ku-
shirikishana kwa siku hizi
muhimu
kuwapongeza kusherehekea siku za
kuzaliwa,
Happy Birthday !!!!!!!!!!!!
HAPPINESS PROTAS BWIRE 7-Jul
JULIANA S. MASOME 7-Jul
ELIADA TIMOTHY MABAGALA 7-Jul
PASTORY S. MAYILA 9-Jul
HENRY D
WESE JOHN 12-Jul
KUNDI S. SITTA 14-Jul
• Familia ya Fransics Luber-
ti.
• Familia ya John Athanas.
• Familia ya John Elias.
• Familia ya Ntami Gim-
bishi
• Familia ya Mahango Sitta.
Wanaushirikiano waliziponge-
za familia hizi kwa namna
tofauti na ukweli tunapoanza mwa-
ka mwingine ni kitendo cha kum-
shukuru Mungu kwa zawadi hii.
Ni furaha iliyoje katika familia
za wanaushirikiano katika
mwaka huu uliopita kujaliwa
wanaushirikiano wapya. Familia
zifuatazo zilibahatika kupata
watoto katika kipindi cha Mwa-
ka 2012 /13;
• Familia ya Emmanuel Eze-
kiel Malongo.
• Familia ya Justine Dede.
J A M B O U S H I R I K I A N O
JICHO la TEHAMA…….. www.ushirikiano.0r.tz on line
P A G E 5 V O L U M E 1 I S S U E 2
Kamati ya Tehama baada ya kufani-
kiwa kuiweka hewani Tovuto sasa
hivi imeanza mchakato wakuijenga
tovuti iwe na na taarifa nyingi zaidi.
Mwenyekiti wa Tehama aliliambia
Jarida hili sasa ni muda muafaka wa
kujenga Tovuti iliyo
bora kwani kila se-
hemu ya kufungua
inatakiwa iwe na
maelezo na viam-
batanisho , kwa hiyo
kila kamati husika
itatoa muonekano na
taarifa ya vitu ambavyo ingependa
vionekane na vitatolewa update ,
kwa mfano kamati ya Uchumi ,
fedha na Mipango taarifa zake zote
za fedaha , michango , kanuni na
vingine vinatakiwa vipatikane kwa
wanachama kwa kuona moja kwa
moja . Hii ndiyo hatua tunayotaka kuijenga ili
tuwe na tovuti yenye ubora.
Mwenyekiti alieleza kuwa atazidi
kuwaelimisha wanachama hatua
kwa hatua.
Www.ushirikiano.or.tz
Hongera Kamati Ya Tehama.
kwenda Mwandoya kwa miguu—km
30 hivi, biashara hii ilimtoa mpaka
akapata mtaji wa kuanza kununua
mitumba na kutembeza kwenye
magulio na baadaye mtaji ulikuwa
akanunua baiskeli iliyomsaidia kufu-
ata mali (mitumba)wilaya yaMagu.
Edward alioa miaka 25 iliyopita na
baadaye biashara ikakua na kuhamia
Maswa akajenga guest iliyoitwa
Edward Kwalu mjukuu wa mzee
Gakenyeli alizaliwa miaka ya 60
huko Bunamanhala Mbugani—
Bariadi alisoma shule ya msingi Bu-
namhala na kuhamia Mwakisandu—
Meatu hakubahatika kuendelea na
shule ya sekondari ingawa kichwa
kilikuwa kinachemka. Mara baada ya
kumaliza shule alianza ujasiliamali
wa kuuza MIWA akifuata sakasaka
Nhendes. Biashara iliendelea kukua
na baadaye alihamia Mwanza alijenga
na kuendesha hotel - FRORIDA
HOTEL Lakini kwa matamanio yake
alitaka kufanya biashara DSM na sasa
anafanya biashara Kariakoo. Edward
ni Mkurugenzi wa Florida Hotel ,
Majeng’s Brothers co. Ltd , Nhendes
Pub , Kariokoo Edwards Fashions na
Nhendes Mini Supermarket. Edward
ana mke na watoto 5 ambao familia
imejaliwa. Edward aliliambia Jarida hili ,
Ndoto zake ni kuwa mfanyabiashara
mwenye mafanikio.
Jamii , Tehama and ile ya UChumi
fedha na mipango kazi sasa ndiyo
imeandaliwa na wanakamati wen-
zangu na kufikia kikao cha mwezi
unaofuata mwezi wa nane wanacha-
ma wategemee kanuni hizi kuanza
kuzijadili , hata hivyo aliwahakikishia
wanachama wategemee mambo
mazuri na yenye kujenga umoja na
siyo kubomoa kwa sababu kikundi
hiki ni cha watu wenye ushirikiano
Jarida la Ushirikiano lilitembelea
Dawati la kamati ya maadili na ni-
dhamu ili kudodosa mipango iliyopo
katika kuhakikisha ni lini kanuni za
wanaushirikiano zitakuwa tayari .
Mwenyekiti wa kamati ya Maadili na
Nidhamu Ndugu Ezekiel Malongo
aliliambia jarida hili kwamba sasa
mambo yataiva karibuni baada ya
kupokea kanuni zote za kamati ya
TEHAMA
NI KILA
KITU
KATIKA
MAISHA
YASEMAVYO—MAADILI NA NIDHAMU
Unajua alikotokea ?……… Edward Kwalu Nhendes.
USHIRIKIANO
NI NGUZO YA
FAMILIA
Edward Kwalu Nhendes
Umoja na nidhamu tayari hii ni kuhakikisha tu tunakuwa na mwongozo. Ndugu Malongo alisema kamati itasimamia tu katiba na kanuni zote zilizowekwa na wanachama.
Ndugu Ezekiel MAlongo— Mwenyekiti Kamati ya Maadili
EDWARD
BIRTH DAY SCHEDULEBIRTH DAY SCHEDULEBIRTH DAY SCHEDULEBIRTH DAY SCHEDULE
FAMILIA YA JINA LA MWANAFAMILIA UHUSIANO KUZALIWA
AUGUST
PASTORY S. MAYILA HAPPINESS P. S. MAYILA MTOTO 1-Aug
JOHN ATHANAS MLYABOPE ROSEMARY NGOLO JOHN MTOTO 13-Aug
ITANDULA GAMBALAGI EMMANUEL JUNIOR ITANDULA MTOTO 13-Aug
NG'HONGE JOSHUA MDONGO PETER MASABO N.D.J. MDONGO MTOTO 17-Aug
GAMBAMALA LUCHUNGA EMILIA LUCHUNGA MTOTO 20-Aug
SEPTEMBER
NG'HONGE JOSHUA MDONGO NG'HONGE JOSHUA MDONGO BABA 2-Sep
OCTOBER
PASTORY S. MAYILA REBECCA P. S. MAYILA MTOTO 15-Oct
NOVEMBER
FRANCIS CHARLES LUBETI FRANCIS CHARLES LUBETI BABA 13-Nov
GAMBAMALA LUCHUNGA SITTA GAMBAMALA MTOTO 26-Nov
DECEMBER
NDAKI TITO NDAKI Y. TITO BABA 6-Dec
JOHN ATHANAS MLYABOPE JOHN ATHANAS BABA 9-Dec
MAHANGO SITTA MAHANGO SITTA BABA 12-Dec
SAYI SITTA MAKANDA NSHOLA M. ADAM MAMA 14-Dec
SAYI SITTA MAKANDA SITTA S. SITTA MTOTO 14-Dec
FRANCIS CHARLES LUBETI THECLA FRANCIS MTOTO 21-Dec
NTEMI M.GIMBISHI NTEMI M.GIMBISHI BABA 22-Dec
ITANDULA GAMBALAGI ITANDULA GAMBALAGI BABA 24-Dec
FRANCIS CHARLES LUBETI HAPPINESS FRANCIS MTOTO 25-Dec
GAMBAMALA LUCHUNGA AGNESS LUCHUNGA MAMA 26-Dec
P A G E 6
MPE—MBUZI….
Uwajibikaji Ndiyo Ufike
Ushirikiano
KUPENDELEA
00% HUKO
Uaminifu Kipaumbele Huko
ZE LODI
TU !!
@@@@mmmmppppeeeemmmmbbbbuuuuzzzziiii 2222000011113333
P A G E 7
P.O.BOX 41449
DAR ES SALAAM
TANZANIA
E-MAIL: [email protected]
CORNER YA EDITOR:
Tunamshukuru mwenyezi mungu kwa namna ya pekee
kuwawezesha wanaushirikiano kuanzisha Jarida na Tovuti
ambazo ni nguzo muhimu katika kuleta mawasiliano ya
karibu kati ya wanaushirikiano.
Ni mategemeo yetu wanachama wataona umuhimu wa
vyombo hivi na kuvitumia ipasavyo kushirikiana na familia
zao ili kuleta hamasa ya aina yake nani ya umoja huu.
Ni vizuri wahusika waweze kubuni Habari na taarifa
zitakazoleta msisimuko wa aina yake ili vionekane na ub-
ora wa juu zaidi.
ALUTA KONTINYUA WANAUSHIRIKIANO , KAMATI
YA JANII NA TEHAMA.
Ushirikiano Group Tanzania
Ushirikiano Day !!! Inakuja ………
NGUVU YETU NI:
Ushirikiano , Uaminifu , Kutopendelea na Uwajibikaji
Www.ushirikiano.or.tz
P A G E 8