4
Mpango ulijadiliwa ikiwemo bajeti ya Mwaka na wanachama waliupitisha mpango huo ukiwa na marekebisho . Mwenyekiti aliwashukuru kwa kupitisha mpango huo ambao ndiyo Dira kamili ya kikundi kwa Mwaka 2013/14. Mwenyekiti aliwasihi wanachama kushirikiana kwa pamoja ili kufanikisha malen- go ya mpango huo. Katika kikao cha tarehe 30/6/2013 kikundi cha ushirikiano kiliweza kuzindua mpango wa Mwaka 2013/2014 nyumbani kwa mwanachama Ndugu Ntemi Gimbishi eneo la Kibada Kigam- boni Dar es salaam siku ya Juma- pili. Akiusoma mpango huo Mwenyekiti wa kamati ya Mipan- go na Fedha Ndugu Sayi Sitta aliwaeleza wajumbe mwaka huu kikundi kitajikita katika Mambo matatu yaliwemo ; Kuimarisha kanuni na taratibu mbalimali , kuanzisha uwekezaji kuinua uchumi wa wa wanaushirikiano , kuanza ukopeshaji kwa wanacha- ma. Siku ya kipekee iliyo wakutanisha wanaushirikiano katika vikao vyao vya kila mwezi nyumbani kwa familia ya Ndugu Ntemi Gimbishi. Pamoja na kikao hicho familia iliwaalika rasmi kumpongeza kwa kujaliwa kujenga nyumba ya kuishi. Sambambamba na hilo familia ilikuwa insherehekea siku ya kuzaliwa kijana wao wa Kwan- za NDUMO. Ilikuwa siku ya pekee kwa mapokezi mazuri kwa chakula pamoja na vinywaji wanau- shirikiano walivyokirimiwa. Mwenyekiti wa ushirikiano Ndugu Michael Luchunga akifurahi baada ya Mkutano wa wanachama kupitisha Mpango wa 2013/2014 Wanaushirikiano wazindua mpango wa 2013/2014 YALIYOMO Mpango 2013/14 1 Kikao kwa Mahango 1 Nhendes Pub 2 Birtday , Komun- io , Kipaimara 3 Shule Kujengwa na Ushirikiano 4 Tovuti ya Ushirikiano 5 Unajua anakotoka …… John Athanas 6 Kikao cha kwanza kufanyika Nyumbani kwa Mwanaushirikiano Jambo Ushirikiano 1ST JULY 2013 VOLUME 1, ISSUE 1 PATA TAARIFA MBALI- MALI ZA KUVUTIA. Wanaushiriki wazindua mrdi 2013/14 Nhendes Pub yazinduliwa Kigamboni Ushirikiano Group Kujenga Shule. Kikao cha kwanza Kufanyika Kwa Mwanau- shirikiano. Watoto wengi wazaliwa 2012/13 Ushirikiano Day Around the Corner. Je Unafahamu Alikotokea ….. John Athanas Mlyabope Wanaushirikiano wakijadili mpango wa 2013/2014 Nyumbani kwa Ndugu Ntemi Gimbishi Mwenyeki wa kama ya Mipango na Fedha Ndugu Sayi Sia

Jambo Ushirikiano 2013.pdfHongera Kamati Ya Tehama. aliweza kuendelea na shule ya msingi , alimaliza darasa la saba na baadaye kuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari MZUMBE Mwa-ka

  • Upload
    others

  • View
    9

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Jambo Ushirikiano 2013.pdfHongera Kamati Ya Tehama. aliweza kuendelea na shule ya msingi , alimaliza darasa la saba na baadaye kuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari MZUMBE Mwa-ka

Mpango ulijadiliwa ikiwemo bajeti

ya Mwaka na wanachama

waliupitisha mpango huo ukiwa

na marekebisho .

Mwenyekiti aliwashukuru kwa

kupitisha mpango huo ambao

ndiyo Dira kamili ya kikundi kwa

Mwaka 2013/14. Mwenyekiti

aliwasihi wanachama kushirikiana

kwa pamoja ili kufanikisha malen-

go ya mpango huo.

Katika kikao cha tarehe

30/6/2013 kikundi cha ushirikiano

kiliweza kuzindua mpango wa

Mwaka 2013/2014 nyumbani

kwa mwanachama Ndugu Ntemi

Gimbishi eneo la Kibada Kigam-

boni Dar es salaam siku ya Juma-

pili.

Akiusoma mpango huo

Mwenyekiti wa kamati ya Mipan-

go na Fedha Ndugu Sayi Sitta

aliwaeleza wajumbe mwaka huu

kikundi kitajikita katika Mambo

matatu yaliwemo ; Kuimarisha

kanuni na taratibu mbalimali ,

kuanzisha uwekezaji kuinua

uchumi wa wa wanaushirikiano ,

kuanza ukopeshaji kwa wanacha-

ma.

Siku ya kipekee iliyo wakutanisha

wanaushirikiano katika vikao vyao

vya kila mwezi nyumbani kwa

familia ya Ndugu Ntemi Gimbishi.

Pamoja na kikao hicho familia

iliwaalika rasmi kumpongeza kwa

kujaliwa kujenga nyumba ya

kuishi. Sambambamba na hilo

familia ilikuwa insherehekea siku

ya kuzaliwa kijana wao wa Kwan-

za NDUMO.

Ilikuwa siku ya pekee kwa

mapokezi mazuri kwa chakula

pamoja na vinywaji wanau-

shirikiano walivyokirimiwa.

Mwenyekiti wa ushirikiano

Ndugu Michael Luchunga

akifurahi baada ya Mkutano

wa wanachama kupitisha

Mpango wa 2013/2014

Wanaushirikiano wazindua mpango wa 2013/2014

Y A L I Y O M O

Mpango

2013/14

1

Kikao kwa

Mahango

1

Nhendes Pub 2

Birtday , Komun-

io , Kipaimara 3

Shule Kujengwa

na Ushirikiano 4

Tovuti ya

Ushirikiano 5

Unajua anakotoka

…… John Athanas 6

Kikao cha kwanza kufanyika Nyumbani kwa Mwanaushirikiano

Jambo Ushirikiano 1 S T J U L Y 2 0 1 3 V O L U M E 1 , I S S U E 1

PATA TAARIFA MBALI-

MALI ZA KUVUTIA.

Wanaushiriki

wazindua mrdi

2013/14

Nhendes Pub

yazinduliwa

Kigamboni

Ushirikiano

Group Kujenga

Shule.

Kikao cha kwanza

Kufanyika Kwa

Mwanau-

shirikiano.

Watoto wengi

wazaliwa 2012/13

Ushirikiano Day

Around the

Corner.

Je Unafahamu

Alikotokea …..

John Athanas

Mlyabope

Wanaushirikiano wakijadili mpango wa 2013/2014 Nyumbani kwa Ndugu Ntemi Gimbishi Mwenyekiti wa kamati ya Mipango na Fedha

Ndugu Sayi Sitta

Page 2: Jambo Ushirikiano 2013.pdfHongera Kamati Ya Tehama. aliweza kuendelea na shule ya msingi , alimaliza darasa la saba na baadaye kuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari MZUMBE Mwa-ka

P A G E 2

Our Core Value

Team work

Ushirikiano

Intergrity

Uaminifu

Impartiality

Kutopendelea

Accountability

Uwajibikaji

Nhendes Pub

Kigamboni

Yazinduliwa.

Wanaushirikiano wengi wazaliwa 2012/13

Hongera!! Birthday, Komunio, Kipaimara

Nhendes Pub Yazinduliwa na wanaushirikiano.

Ilikuwa furaha ya aina yake

baada ya kikao cha mwezi June

cha U– G kilichofanyika kigam-

boni , wanaushirikiano walish-

iriki katika namna ya pekee

kuzindua Pub ya Mwanau-

shirikiano huko kigamboni .

Jina la Pub iliyozinduliwa tarehe

30/6/2013 ni NDENDES

PUB . Wanaushirikiano wa-

lishiriki kwa sala na baadaye

kuendelea na vinywaji ambavyo

havikuwa na kikomo , nyama

choma zilimiminika bila kuisha.

Ilikuwa ni siku ya aina

yake ambapo watoto wa

wanafamilia walifurahi

katika tukio hilo.

Mkurugenzi wa Nhendes

Pub Ndugu Edward

Nhendes alilieleza Jarida

hili kuwa ni siku ya pekee

kutembelewa na wanaushirikiano na

nimefarijika sana na alifikiri ha-

wataweza kumuunga mkono , Pia

aliwaomba wanakikundi kuweza

kuwashirikisha watu unapoanzisha

shughuli /mradi/Biashara yako ili

kuweza kupata Baraka katika Biasha-

ra.

Hongera Kipaimara +++

Hongera kwa Magreth Edward

Ndendes na Rosemary John

Athanas kwa kupata kipaimara

katika kanisa katoliki Kijichi.

Happy Birthday !!

Tunampongeza KELVIN NDU-

MO NTEMI kwa kusherehekea

siku ya kuzaliwa Tarehe 30/6.

Komunio ya Kwanza ++

Hongera Hapiness Maila kwa

kupata komunio ya kwanza kati-

ka Kanisa Katoliki Kimara.

Familia ya Fransics Luber-

ti.

Familia ya John Athanas.

Familia ya John Elias.

Familia ya Ntami Gim-

bishi

Familia ya Mahango Sitta.

Wanaushirikiano waliziponge-

za familia hizi kwa namna

tofauti na ukweli tunapoanza mwa-

ka mwingine ni kitendo cha kum-

shukuru Mungu kwa zawadi hii.

Ni furaha iliyoje katika familia

za wanaushirikiano katika

mwaka huu uliopita kujaliwa

wanaushirikiano wapya. Familia

zifuatazo zilibahatika kupata

watoto katika kipindi cha Mwa-

ka 2012 /13;

Familia ya Emmanuel Eze-

kiel Malongo.

Familia ya Justine Dede.

J A M B O U S H I R I K I A N O

Happy

Birthday

KELVIN

NDUMO

NTEMI

Rosemary John Margret Edward

Page 3: Jambo Ushirikiano 2013.pdfHongera Kamati Ya Tehama. aliweza kuendelea na shule ya msingi , alimaliza darasa la saba na baadaye kuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari MZUMBE Mwa-ka

JICHO la TEHAMA…….. www.ushirikiano.0r.tz on line

P A G E 3 V O L U M E 1 , I S S U E 1

Tovuti ya Ushirikiano imetengenez-

wa na wataalamu wa Tehama Ndani

ya kikundi , wakionyesha kwa wana-

kikundi kwenye kikao ilionyesha

kuwavutia walio wengi na ni mafani-

kio makubwa waliyofikia.

Mwenyekiti wa Te-

hama Ndugu Ndaki

Tito akishirikiana na

wajumbe Ndugu

Mahango Sitta na

Ndugu Sumbuko

Zackaria walielezea

huu ni mwanzo wa

mwonekano wa tovuti yanyewe na

wanategemea kuiweka live wataka-

pokamilisha vitu vingine lakini wali-

omba wajumbe waweze kuleta

mapendekezo mengine ya

uboreshaji ili kuwa na tovuti iliyo

nzuri na yenye mvuto. Baadhi ya

wajumbe walimpongeza Ndugu John

Athanas kwa kuweza kuweka input

nzuri katika mwanzo wa tovuti hii.

Jina la Tovuti ni hili hapa

Www.ushirikiano.or.tz

Hongera Kamati Ya Tehama.

aliweza kuendelea na shule ya

msingi , alimaliza darasa la saba na

baadaye kuchaguliwa kujiunga na

shule ya sekondari MZUMBE Mwa-

ka 1984 ambako alimaliza kidato

channe mwaka 1988 , alichguliwa

kujiunga kidato cha tano mwaka

1989 shule ya sekondari Milambo

na kumaliza kidato cha sita 1991 na

baadaye kujiunga na Jeshi la kujenga

John ni Mtoto wa kwanza katika

familia ya Mwalimu mstaafu Athanas

Kishiwa anayeishi kijichi cha SA-

KASAKA MEATU Shinyanga.

Ni mzaliwa wa LAGANGABILILI—

Bariadi mkoa wa SIMIYU , allianza

masomo ya darasa la kwanza Shule

ya msing KISESA mwaka 1975-76 na

wazazi walihamia sakasaka ambako

taifa JKT—Masange 1991—1992

alichaguliwa Elimu ya Juu katika

CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRI-

SHAJI 1993—1996. Baadae alianza

kazi katika kampuni ya Oceanlink

Shipping Service na Mpaka leo

anafanya kazi kampuni ya DHL LO-

GISTICS Anatarajia kuanza masomo

Masters Mzumbe kwa mbaka

2013/14. John alifunga Ndoa Mwaka

maamuzi magumu katika mipango

inawezekana na kwa kikundi imara

kama hiki si kitu cha kuuliza sana.

Akieleza katika nafasi tofauti Mjum-

be wa Kamati ya Mipango na Fedha

Ndugu Mdongo kwa namna ya

pekee anapongeza mpango na

alisema tunaweza kupata kiwanja

kikubwa kwa michango yetu hii na

kuanza mikakati mara moja.

Wajumbe walikubaliana na kueleza Ni Matarajio katika Mpango wa

kikundi cha Ushirikiano kuwa na

shule ya awali ambao inategemea

kuanza mipango yake hivi karibuni.

Akieleza katika kikao cha wanau-

shirikiano Mwenyekiti wa

Ushirikiano alisema hakuna

kinachoshindika chini ya Jua ili mra-

di ukiwa na nia na malengo . Aliwa-

omba wanakikundi kuwa na

TEHAMA

NI KILA

KITU

KATIKA

MAISHA

U-G Kujenga shule.

Unajua alikotokea ?……… John Athanas Mlyabope.

USHIRIKIANO

NI NGUZO YA

FAMILIA

John Athanas Mlyabope

Page 4: Jambo Ushirikiano 2013.pdfHongera Kamati Ya Tehama. aliweza kuendelea na shule ya msingi , alimaliza darasa la saba na baadaye kuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari MZUMBE Mwa-ka

Kumi maandalizi ya msingi yawe ya-

mekamilika. Matarajio ya siku husika

ni Mwishoni mwa mwezi wa Kumi na

moja au mwanzoni mwa mwezi wa

kimi na mbili , tunategemea maoni ya

wanakikundi watoto wao wengi ni lini

watakuwa wamefunga shule tuki-

zingatia wajumbe wa mikoani Pia.

Wanafamilia wajiandae kwa siku hii ya

Siku ya Pekee inatarajiwa kufanyika

mwishoni mwa mwaka Mwezi No-

vemba /Desemba ambapo ita-

wakusanya wanafamilia wote wa

Ushirikiano Group kwa kufurahi

pamoja , kunywa , kula , kucheza

pamoja na familia zao.

Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii Ndugu

John Athanas alilieleza Jarida hili

maandalizi ya siku ya kipekee kwa

wanaushirikiano yanaendelea ,

tunategemea kuwa na burudani za

aina yake ili watoto wa wana familia

wakiwa wamefunga shule waje kuju-

muika na kuburudika vizuri , tunaan-

daa michezo ya aina tofauti ili kuleta

burudani kwa watoto na wafamilia

kwa ujumla . Akieleza zaidi alisema

Kamati inakutana kuandaa bajeti na

sehemu husika ili ifikapo Mwezi wa

Pekee itayowakutanisha familia zote

kwa mara ya kwanza ndani ya kikundi.

P.O.BOX 41449

Dar es salaam

Phone: +255 713 321813

E-mail: [email protected]

CORNER YA EDITOR:

Napenda kuipongeza kamati ya Jamii kwa kuja na

jarida hili la Jambo ushirikiano ambalo ni sehemu ya

kuwaunganisha wana ushirikiano kwa upashanaji haba-

ri wa karibu. Ni matumaini yangu kuwa wadau wote

wakiwemo wana ushirikiano wote na familia zao wa-

tapata habari ,burudani na kujifunza mengi juu ya

mambo hasa yale yatakayo leta ufanisi katika umoja

na ushirikiano katika jamii hasa ya wana ushirikiano.

Jarida hili litatolewa Mara Moja Kwa Mwezi ili keleta

changamoto katika mawasiliano ya ushirikiano.

Matarajio makubwa kuwa wadau wote watashiriki

kuleta story/ taarifa mbalimbali katika kuboresha

Jarida hili tukishirikiana na kamati ya Jamii.

Ushirikiano Group Tanzania

Ushirikiano Day !!! Inakuja ………

NGUVU YETU NI:

Ushirikiano , Uaminifu , Kutopendelea na Uwajibikaji

USHIRIKIANO DAY HIYOOO!!

Www.ushirikiano.or.tz