KANUNI ZA ULAJI NA UNYWAJI BORA
Ubora na ukuaji wa miili yetu na akili zetu hutegemea AINA ya vyakula tunachokula na vinywaji tunavyokunywa,
Chakula tuchaguacho kula husaidia kuifanya miiliChakula tuchaguacho kula husaidia kuifanya miiliyetu kuwa na Afya njema yetu kuwa na Afya njema auaukusababisha kusababisha
udumavuudumavu,,ulemavuulemavuau au vifo visivyo vya lazimavifo visivyo vya lazima..
•Pia hutegemea NAMNA tunavyovitumia.
Mchanganyiko wa vyakula katika kiwango kinachotakiwa ni vya lazima ili mwili upate lishe kamili inayotakiwa.
Badilisha chakula chako kila mlo. Usile aina moja tu ya vyakula kila siku au
kila mlo, badili badili mara kwa mara. Usile katikati ya mlo. Ule wakati ule ule
uliowekwa kwa milo kila siku, acha angalau masaa 4-5 katika mlo na mlo.
Kula milo miwili au mitatu kwa siku.
Kama ukichagua kula milo miwili zingatia kiasi cha chakula kulingana.
Kama utachagua kule milo mitatu milo miwili ya kwanza ilingane, na ule mlo wa tatu au wa mwisho uwe nusu tu ya mlo wa kwanza au wa pili yaani asubuhi 2/5 ya mlo wote wa siku mchana 2/5 ya mlo wote wa usiku, jioni 1/5 ya mlo wote wa siku.
Mabadiliko madogo hayawezi kuleta athari kubwa.
Usile chakula kingi sana, hupumbaza akili. Ule chakula cha kutosha asubuhi. kama ikiwezekana chakula kisiliwe kabisa
usiku kwa hiyo jitahidi kupata mlo wa jioni mapema ili tumbo lipate kupumzika vyema wakati wa kulala.
Punguza ulaji wa vyakula vitamu sana kwa wingi ukiepuka vingine vidogo vidogo katikati ya milo vikiwemo soda, biskuti, keki, pipi, juisi tamu, maandazi n.k.
Tafuna chakula –usimeze tu !
Usinywe maji mengi sana pamoja na chakula - unywe kiasi kidogo tu cha kusukumia chakula.
Kunywa maji mengi katikati ya mlo mmoja na mwingine ukizingatia kunywa zaidi sehemu zenye joto kali pamoja na unapofanya mazoezi au kazi ngumu,unashauriwa kwa kawaida kutumia glasi 6-10 za maji kila siku.
Aina tano za vyakula
ni muhimu kwa afya na maisha yetu ya kila siku.
Vyakula vya wanga: - Hivi ni vyakula vinavyotia nguvu mwilini-vinavyotokana na nafaka, k.v. mahindi, mchele,viazi, ngano, n.k.
Vyakula vya Protini: - Vyakula vyakujenga mwili kama vile mbegu, mboga
mboga,nyama, mayai, maziwa n.k
Vyakula vya vitamin: - Vyakula vya kulinda mwili, kama vile matunda ya aina mbalimbali na mboga za aina mbalimbali.
Vyakula vya mafuta: - Hivi hutia joto mwilini na kutia nguvu mwilini.
Mafuta ya mimea ni bora zaidi kuliko mafuta yatokanayo na wanyama.
Vyakula vyenye Madini ya aina mbalimbali.
KwaKwakuwakuwamiilimiiliyetuyetuhujijengahujijengaupyaupyakilakilasikusikukatikakatikamaumbilemaumbileyoteyote, , urejeshaji wa urejeshaji wa chembechembe za chembechembe za mwili hufanyika kwa mwili hufanyika kwa uhakikauhakika. . Chembechembe za Chembechembe za zamani zikbadilishwa zamani zikbadilishwa na mpyana mpya. . ––Mtu huwa Mtu huwa mpya akiwa na mwili mpya akiwa na mwili mpyampya..
R a d h aR a d h a -- U ta m uU ta m u U mbile
Rangi
M ta w a n y ik o w a v ya k u la v ya m a tu n d a M ta w a n y ik o w a v ya k u la v ya m a tu n d a –– Z in g a ti ya fu a ta yoZ in g a ti ya fu a ta yo ::
Vyakula vilivyokobolewa sana- havina vitu vinavyoitwa Fiber ambavyo husaidia kuzuia cancer(Saratani).
Chumvi – Kula chumvi nyingi huleta magonjwa ya mishipa ya damu na hata ugonjwa wa moyo.
Kula sukari nyingi husababisha matatizo ya unene.
Kula bila utaratibu maalum.
Mafuta ya wanyama yana kiasi kikubwa cha cholesterol (mafuta mabaya) nyingi na hufupisha maisha ya mtu.
Vinywaji: Soda, chai, beer, juice hivi vimejaa sukari, caffeine vileo, huleta hatari kubwa mwilini.
Vitafunwa: Vyakula vidogovidogo vinavyoliwa kila wakati huharibu uyeyushwaji wa mfumo wa chakula.
Fill your life with Celebrations 26
• Chagua vipimo 5 mpaka 10 kutoka
• mazao ya maziwa, mbegumbegu, karanga,
na mafuta muhimu.
• Kipimo kimoja cha kitaalamu ni sawa na
½ kikombe ya chakula kilichopikwa au-
Fill your life with Celebrations
27
½ cup
1 cup
•Kikombe1 chakula kisichopikwa .
Chakula cha-mimea hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya Chakula cha-mimea hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo(CHD).moyo(CHD). Tindikali muhimu (Omega-3 fatty acids), nafaka Tindikali muhimu (Omega-3 fatty acids), nafaka zisizokobolewa na matunda kwa wingi , na zisizokobolewa na matunda kwa wingi , na mbogamboga,mbogamboga,hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo CHD.CHD.
Fill your life with Celebrations 28
• Mazoezi ya mara kwa mara, Kutokuvuta sigareti,
kuzuia unene, kutapunguza uwezekano
wa kupata magonjwa mengi ya mioyo.
Fill your life with Celebrations 29
Karanga karanga na nafaka isiyokobolewa huzuia kwa kiasi Karanga karanga na nafaka isiyokobolewa huzuia kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kupata magonjwa ya kuziba kwa kikubwa uwezekano wa kupata magonjwa ya kuziba kwa
mioyo mioyo (IHD). Vipimo 5 kila wiki hupunguza uwezekano wa (IHD). Vipimo 5 kila wiki hupunguza uwezekano wa CHD kwa asilimia 50.CHD kwa asilimia 50.
Fill your life with Celebrations 30
Fill your life with Celebrations 31
• Kula maharage mara 3 au zaidi kwa wiki kunapunguza
uwezekano wa kupata kansa ya utumbo mkubwa kwa asilimia
50.
Fill your life with Celebrations 32
Wala mbogamboga wana Wala mbogamboga wana uwezekano mara 6 wa kula uwezekano mara 6 wa kula
nafaka zisizokobolewa!nafaka zisizokobolewa!
• Wala mbogamboga hula vipimo 2 au zaidi ya viini lishe sawasawa na
wala nyama kwa wiki, vipimo 1.5 vya karanga karanga na kipimo 1 zaidi
cha mbegumbegu.
Fill your life with Celebrations 33
• Kansa ya utumbo mkubwa, matiti, mapafu, na tumbo la uzazi ni chache
kwa wale wasiokula nyama ukilinganisha na wale wanaokula
kwa wingi.
Fill your life with Celebrations 34
• Walaji wa nyama kwa
wingi (ikiwa ni pamoja na
wale wanaokula
kipimo 1/wiki) asilimia 80
walionekana na uwezekano
wa kupata kansa ya matumbo zaidi ya
wasiokula nyama kabisa.
Fill your life with Celebrations 35
Ulaji wa nyama nyekundu na kansa!
Ulaji wa nyama nyekunduUlaji wa nyama nyekundu Uwezekano(kansa).Uwezekano(kansa).
Hajawahi 1 – 1.00 < 1 x/wk 1.37 (0.85 – 2.20) > 1 x/wk 1.86 (1.15 – 3.02)
Fill your life with Celebrations 36
Kansa ya utumbo mkubwa na ulaji wa nyama nyekundu na
nyeupe.< 1 x/wiki nyekundu 1.37< 1 x/wiki nyeupe& nyekundu 1.67 (0.94-2.41)> 1 x wiki nyeupe& nyekundu 3.80 (1.45-6.20) Wasiokula nyama kabisa 1.00
Fill your life with Celebrations 37
• Chakula cha mboga mboga, husaidia kupunguza Chakula cha mboga mboga, husaidia kupunguza shinikizo la damu.shinikizo la damu. ipo tofauti ya vipimo 13
mpaka 15 vya Presha katika moyo(Systolic BP) kati ya mlaji na
asiyekula nyama pamoja na vipimo 6 mpaka 8 vya presha katika
mishipa(Diastolic BP) chini zaidi kwa asiyekula nyama.
Fill your life with Celebrations 38
• Katika utafiti kuhusu shinikizo la damushinikizo la damu uliofanyika kati ya waadentista walao na wasiokula nyama,waonyesha kuwa
ulaji wa nyama wasababisha uwezekano mara 2 wa kupata shinikizo la damu.
Systolic / Diastolic
Wasiokula nyama kabisa 112.5 / 63.3Wanaotumia maziwa na mayai 111.8 / 68.8Wanaokula nyama (E Boston) 120.8 / 76.4 Wanaokula nyama (Framingham) 118.9 / 79.0
Fill your life with Celebrations 39
• Tafiti nyingi zaonyesha kwamba vyakula vya mimea vyakula vya mimea vina uwezo wa kupunguza vina uwezo wa kupunguza
uwezekano wa kupata kiharusi uwezekano wa kupata kiharusi na kupooza ghafla.na kupooza ghafla.
Fill your life with Celebrations 40
•Mwanaume Mwanaume anayekula anayekula
nyama mwenye nyama mwenye umri wa kati ya umri wa kati ya miaka 40 mpaka miaka 40 mpaka
65 65 mwenye urefu 5’10” anakuwa na
uzito wa kiasi cha kilo 6-7(14 pounds)zaidi ya yule asiyekula
nyama;kwa mwanamke
akiwa na kilo 5-6(12
pounds)zaidi.
Fill your life with Celebrations 41
• Wasiokula nyama wanapunguza uwezekano wa kuugua magonjwa mengi sana hasa yale yanayohusiana na ulaji wa nyama, pia kuongeza ulaji wa matunda na mbogamboga, nafaka zisizokobolewa pamoja na karanga karanga ambazo ni kinga kubwa ya magonjwa mbalimbali.
Fill your life with Celebrations 42
• katika utafiti uliofanyika katika chuo cha Lomalinda kule marekani, vipimo vya
unene vilionyesha kwamba watu wasiokula nyama wanao unene pungufu
kwa pointi 2 ukilinganisha na wale wanaokula nyama.unene (kipimo cha B.M.I.)
wasiokula wanaokula
wanawake 23.73 25.88
wanaume 24.26 26.24
•BMI ndicho kipimo hakika zaidi cha kupima unenendicho kipimo hakika zaidi cha kupima unene. BMI ni uzito wa mtu katika kg kugawanya kwa urefu
katika kipeo cha pili( Mita). (BMI=kg/m2).
Fill your life with Celebrations 43
Fill your life with Celebrations 44
• Utafiti wa sasa unaonyesha kwamba kuna ongezeko kubwa la magonjwa ya
viungio na mifupa kwa wala nyama.
Uhusiano wa chakula cha mimea na magonjwa ya mifupa
Ugonjwa wa joint- Wanawake 1.00 1.57 Wanaume 1.00 1.50
Chakula (mimea) - (nyama)
Fill your life with Celebrations 45
Fill your life with Celebrations 46
• Chakula cha mimea
hupunguza uwezekano wa kupata kisukari.
Matunda na mbogamboga, nafaka zisizokobolewa, Matunda na mbogamboga, nafaka zisizokobolewa, na vitamin za kutosha hurekebisha mwenendo wa na vitamin za kutosha hurekebisha mwenendo wa
sukari mwilini ukilinganisha na chakula sukari mwilini ukilinganisha na chakula kilichokobolewa na mafuta mengi.kilichokobolewa na mafuta mengi.
Fill your life with Celebrations 47
wanaume 1.00 1.97
wanawake 1.00 1.93
Vidokezo kwa ugonjwa wa kisukari;
Kisukari
Wasiokula nyama-wanaokula nyama
Fill your life with Celebrations 48
• Matunda na mbogamboga Matunda na mbogamboga nyakati zote zimejulikana kwa kupunguza uwezekano wa kupata
mtoto wa jicho na upofu wa macho kwa ujumla.
Fill your life with Celebrations 49
• Maziwa yasiyo na mafuta mengi, mboga za majani, na“chakula chenye madini ya chokaa”“chakula chenye madini ya chokaa” husaidia kuimarisha
mifupa. Chakula chenye protini nyingi hasa ya nyama chenye protini nyingi hasa ya nyama nyekundunyekundu na mayai huongeza uwezekano wa kupata mifupa
milegevu na upungufu wa madini ya chokaa.
Fill your life with Celebrations 50
Mbogamboga, matunda, Mbogamboga, matunda, nafaka zisizokobolewa, nafaka zisizokobolewa,
mbegumbegu na karanga mbegumbegu na karanga zinakuwa na:zinakuwa na:
Nyuzi nyuzi nyingi.a. Viini vinavyozuia
magonjwa.b. Mafuta bora kwa wingi.
c. Vitamini nyingi za muhimu.
d. Viondoa sumu vingi.e. Vipo viini vya vinavozuia
kansa.
Mambo saba ya kuzingatia katika uchaguziwa vyakula vyetu;
1.Mchanganyiko.2.Ulari.3.Ubora.4.Uwiano.5.Cha kutosha.6.Kiasi gani.7.Cha kuepuka.
Fill your life with Celebrations 51
Fill your life with Celebrations 52
Angalia mchanganyiko wa vyakula aina sita zifuatazo:(Viwepo katika kila mlo).1. Nafaka zisizokobolewa,2. Mbogamboga,3. Matunda,4. Maziwa, au mazao yake,5. karanga, mbegumbegu, maharage, na
protini za mimea,6. Mafuta na madini mbalimbali.
Fill your life with Celebrations 53
• Chagua viwango vinavyopendekezwa na
wataalamu.
Fill your life with Celebrations 54
• Chagua vyakula vya lishe - mchanganyiko kuliko kula chakula vyenye
kutia nguvu mwilini zaidi.
Fill your life with Celebrations 55
• Angalia uwiano kati ya matumizi ya
chakula (Mazoezi/Kazi) na Ulaji (kiasi cha
chakula) Utapunguza uwezekano wa
kunenepa kupindukia.
• Mchanganyiko na kiasi kifaacho wa
chakula ndicho
kitawale milo
yetu(Vyakula kutoka
mashambani).
•Mafuta,
Vyakula hivi vitumike kwa uangalifu.
• Na chumvi
• Sukari,
• Vyakula / vinywaji visivyo na virutubisho,
kama vile pombe, , kahawa na sodakahawa na soda.
• Pia vyakula vilivyokobolewa
sana maana virutubisho
muhimu vitakuwa vimeondolewa.
• Mahali popote na wakati inapowezekana kula vyakula vyenye rangi zilizo katika upinde wa mvua,ndiyo siri kuu ya kuvumbia virutubisho bora katika vyakula vyetu.
• Mtindo bora Mtindo bora wa maisha wa maisha utakufanya utakufanya
uwe na uwe na maisha bora maisha bora na marefu.na marefu.•Chakula cha kiroho kinapatikana Chakula cha kiroho kinapatikana
katika Neno la Mungukatika Neno la Mungu. Kwa hiyo ni muhimu kwetu kuilisha miili yetu wa kiroho kwa ahadi za kweli za Biblia,
visa, maelekezo na maombi ya dhati.
• Neno la Mungu ni taa ya miguu yetu na chakula chetu
cha kila siku. Kama vile tunavyosisitiza ulaji wenye
utaratibu, na uhitaji wa kula vyakula vya aina mbali mbali. ladha kamili, na urali katika NENO la Mungu unapatikana kwa kulisoma kwa makini na
kulitafakari kila siku maishani.
Fill your life with Celebrations 62Mwisho
Fill your life with Celebrations 63