68
Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007 Kuwa chapu

Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

  • Upload
    havily

  • View
    136

  • Download
    0

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007. Kuwa chapu. Yaliyomo ya kozi. Muhtasari: Toleo jipya la Outlook Funzo la 1: Pata kujua Utepe Funzo la 2: Pata amri za kila siku Funzo la 3: Tuma na pokea viambatisho na picha. - PowerPoint PPT Presentation

Citation preview

Page 1: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Mafunzo ya Microsoft® Office

Outlook® 2007Kuwa chapu

Page 2: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Yaliyomo ya kozi• Muhtasari: Toleo jipya la Outlook

• Funzo la 1: Pata kujua Utepe

• Funzo la 2: Pata amri za kila siku

• Funzo la 3: Tuma na pokea viambatisho na picha

Kila funzo linajumuisha orodha ya kazi zilizopendekezwa na jozi la maswali ya jaribio.

Page 3: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Muhtasari: Toleo jipya la Outlook

Tazama! Kuna toleo jipya la Outlook

Muundo mpya na nduni chache zinakusaidia kutimiza vyema na kwa urahisi kazi ambazo unafanya kila siku.

Page 4: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Malengo ya kozi• Jifahamishe na Outlook 2007.

• Pata amri kwenye Utepe na fanya vitu unavyofanya kila siku: soma na tuma baruapepe, fanya kazi na miadi na mikutano, na tumia wawasiliani wako.

• Tuma na pokea picha na viambatisho. Hakikisha kwamba wapokezi wataweza kufungua majalada yaliyoambatishwa ambayo yanatumia maumbizo mapya ya utoaji ya 2007 Microsoft Office.

Page 5: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Funzo la 1

Pata kujua Utepe

Page 6: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Pata kujua UtepeMara ya kwanza unapounda ujumbe katika Outlook 2007 (au fungua ile unayopokea), utaona Utepe.

Ni ukanda kote juu ya dirisha.

Iko hapo kukusaidia kufanya vitu kwa urahisi na hatua chache.

Utepe

Kalenda Wawasiliani Upau-wa-Kufanya

Page 7: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Kutambulisha UtepeHapa kuna ujumbe mpya wa baruapepe. Utepe uko juu ya dirisha.

Utepe unaonekana kila wakati unapounda au kuhariri kitu katika Outlook.

Microsoft ilitafiti kwa umakini jinsi watu hutumia amri katika Outlook.

Kama matokeo ya utafiti, baadhi ya amri za Outlook ni muhimu, na amri zinazojulikana huangazishwa na kukundishwa katika njia ambazo huzifanya ziwe rahisi kupata na kutumia.

Maskani Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Matini Msingi

Bandika Mchoraji Umbizo

Nakili

Kata

Kitabu Anwani

Tuma

Kwa...

Nk…

Mada:

Page 8: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Mtazamo wa karibu wa UtepeKukusaidia kujifunza zaidi jinsi ya kutumia Utepe, hapa kuna mwongozo kwa mpango wa msingi.

1

2

3

Vichupo: Utepe una vichupo tofauti, kila moja inahusisha na aina mahsusi za kazi unazofanya katika Outlook. Vikundi: Kila kichupo kina vikundi anuwai ambavyo huonesha vipengee husika pamoja.Amri: Kitufe cha amri, kikasha cha kuingiza habari, kwenye menyu.

Maskani Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Matini Msingi Majina

Bandika Mchoraji Umbizo

Nakili

Kata

Kitabu Anwani

Tuma

Kwa...Nk…

Mada:

Ubao Klipu

Page 9: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Utepe huonesha unachohitajiTena, utakutana na Utepe wakati unafanya maagizo fulani kama kuunda ujumbe, maingizo ya kalenda, au wawasiliani.

Utepe huonesha amri za vichupo vinavyofaa unachofanya.

Hiyo ni, vichupo kwenye Utepe vitatofautiana kulingana na eneo la Outlook unalofanyia kazi.

Page 10: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Picha huonesha baadhi ya tofauti hizi.

1

2

3

Ujumbe moja huonesha vichupo vya Ujumbe na Chaguo.

Miadi mpya huonesha kichupo cha Miadi . Mwasiliani mpya huonesha kichupo cha Mwasiliani.

Utepe huonesha unachohitaji

Page 11: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Kuna zaidi ya unavyofikiriaSafuulalo ndogo sehemu ya juu ya kundi linamaanisha kuna zaidi ya unayotaka kuona.

Kitufe hiki kinaitwa Kizindua Kikasha Ongezi.

Picha inaonesha kwamba kuona orodha nzima ya chaguo za fonti, utabofya kishale karibu na kundi la Matini Msingi kwenye kichupo cha Ujumbe wa ujumbe mpya wa baruapepe.

Maskani Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Matini Msingi

Bandika Mchoraji UmbizoNakili

Kata

Kitabu Anwani

TumaFonti Kibambo Nafasi

Ubao Klipu

Fonti

Page 12: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Upauzana Ufikio ChapuUpauzana Ufikio Chapu ni upauzana mdogo juu ya Utepe.

Iko hapo kutengeneza amri ambazo unahitaji na kutumia nyingi zilizoko tayari.

Ni nini bora kuhusu Upauzana Ufukio Chapu? Ni nini kiko hapo kwako kutumia.

Hiyo ni, unaweza ongeza amri zako unazopenda kwake kwa kubofya-kulia rahisi.

Maskani Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Matini Msingi

Bandika Mchoraji UmbizoNakili

Kata

Kitabu Anwani

Tuma

Kwa...

Nk…

Mada:

Ubao Klipu

Page 13: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Upauzana Ufikio ChapuUtaona na kutumia Upauzana Ufikio Chapu nyingi kulingana na eneo la Outlook unalofanyia kazi.

Kwa mfano, utanafsishaji ambao unafanya kwa Upauzana Ufikio Chapu kwa ujumbe utakaotuma hautaonekana kwenye Upauzana Ufikio Chapu kwa Wawasiliani.

Maskani Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Matini Msingi

Bandika Mchoraji Umbizo

Nakili

Kata

Kitabu Anwani

Tuma

Kwa...

Nk…

Mada:

Ubao Klipu

Page 14: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Mengi kuhusu chaguoKatika Outlook 2007, unaseti chaguo kutoka kwa maeneo tofauti.

Chaguo za kuandika baruapepe

Ikiwa unataka kubadili mipangizo ya kuandika baruapepe kwa mfano, kufanya kihakikishi tahajia kuacha kupuuza maneno katika herufi kubwa unafanya hivyo kutoka kwa kikasha ongezi cha Chaguo za Kihariri.

Ujumbe Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Kikasha pokezi – Microsoft OutlookJalada

Hariri Mwoneko

Nenda

Zana Maagizo Saidia

Ujumbe Mpya wa Barua

Akibisho

Funga

Unda Kipengee kipya cha Outlook

Ujumbe wa BaruaMiadiOmbi la Mkutano

Chaguo za Kihariri

Page 15: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Mengi kuhusu chaguoKatika Outlook 2007, unaseti chaguo kutoka kwa maeneo tofauti.

1

2

Bofya Kitufe cha Microsoft Office .

Anza kwa kuunda ujumbe, na kisha fanya hii:

Bofya Chaguo za Kihariri.

Ujumbe Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Kikasha pokezi – Microsoft OutlookJalada

Hariri Mwoneko

Nenda

Zana Maagizo Saidia

Ujumbe Mpya wa Barua

Akibisho

Funga

Unda Kipengee kipya cha Outlook

Ujumbe wa BaruaMiadiOmbi la Mkutano

Chaguo za Kihariri

Page 16: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Mengi kuhusu chaguoKatika Outlook 2007, unaseti chaguo kutoka kwa maeneo tofauti.

Chaguo za kutuma baruapepe

Unapotuma ujumbe wa baruapepe, unaweza chagua jinsi ujumbe ulitumwa. Unaseti chaguo kutoka kwa vichupo vinavyopatikana kwenye Utepe kwa ujumbe wazi.

Ujumbe Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Kikasha pokezi – Microsoft OutlookJalada

Hariri Mwoneko

Nenda

Zana Maagizo Saidia

Ujumbe Mpya wa Barua

Akibisho

Funga

Unda Kipengee kipya cha Outlook

Ujumbe wa BaruaMiadiOmbi la Mkutano

Chaguo za Kihariri

Page 17: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Zaidi ambayo ni mpya: Upau-wa-KufanyaInapatikana sehemu ya mwisho kulia mwa dirisha, Upau wa Kufanya unaonekana wakati wowote unapofanya kazi katika Outlook.

Upau wa-Kufanya upo kukusaidia kufuatilia kazi na miadi inayokuja.

Upau-wa-KufanyaJuni 2007

Pangiwa Na: Tarehe u…

Charaza kazi mpya

Leo

Page 18: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Zaidi ambayo ni mpya: Upau-wa-KufanyaInapatikana sehemu ya mwisho kulia mwa dirisha, Upau wa Kufanya unaonekana wakati wowote unapofanya kazi katika Outlook.

Picha inaita elementi zake chache kuu:

1

2

3

Kiabiri TereheMiadi inayokuja ya kalendaMahali unaingiza kazi mpya kwa kucharazaOrodha yako ya kazi

4

Upau-wa-KufanyaJuni 2007

Pangiwa Na: Tarehe u…

Charaza kazi mpya

Leo

Page 19: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Sura mpya ya kalendaMuundo wa kalenda katika Outlook 2007 huifanya iwe rahisi kuona unachotaka.

Kusoga kwa urahisi, pia.

1

2

Vitufe kubwa huifanya iwe rahisi kubadili kati ya mioneko ya kalenda ya kila siku, wiki, na mwezi.

Vitufe vya Nyuma na Mbele hukufanya uende haraka kwa siku ijayo, wiki ijayo, na mwezi ujayo katika kalenda.

Picha inaonesha baadhi ya mifano:

Siku Wiki Mwezi Oneysha wiki ya kazi Oneysha wiki kamili

Juni 04 - 08, 2007 TafutizaKalenda

Jumatatu Jumanne Jumatano Aalhamisi

Onesha Kazi kwenye: Tarehe Ukomo

Kaz

i

9 am

Page 20: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Sura mpya ya kalendaMuundo wa kalenda katika Outlook 2007 huifanya iwe rahisi kuona unachotaka.

Kusoga kwa urahisi, pia.

3 Eneo la Kazi huonesha kazi zako za sasa na zinazokuja na hufuatilia mafanikio yako pia.

Picha inaonesha baadhi ya mifano:

Siku Wiki Mwezi Oneysha wiki ya kazi Oneysha wiki kamili

Juni 04 - 08, 2007Jumatatu Jumanne Jumatano Aalhamisi

Onesha Kazi kwenye: Tarehe Ukomo

Kaz

i

9 am

TafutizaKalenda

Page 21: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Sura mpya kwa wawasilianiKatika Outlook 2007, Kadi Biashara ya Elektroniki hufanya wawasiliani rahisi kuona na kushiriki.

Bofya Wawasiliani kubadili kwenda kwa eneo la Outlook.

Unaweza tuma Kadi Biashara za Elektroniki. Unaweza taka kujumuisha Kadi Biashara yako mwenyewe ya Elektroniki kama sehemu ya saini yako ya baruapepe.

Wawasiliani

Kid

irish

a ch

a U

abiri

Katie Jordan

Pia Lund Richard Tupy

Gundrun Jörgensen

Jordan, Katie

Lund, Katie

Jörgensen, Gundrun

Tupy, Richard

Page 22: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Sura mpya kwa wawasilianiGundua kwamba katika picha hii, Kidirisha ca uabiri kimepunguzwa kuonesha zaidi katika kidirisha cha uabiri.

Unaweza punguza Kidirisha cha Uabiri kutoka eneo lolote la Outlook kwa kubofya kitufe cha Punguza Kidirisha cha Uabiri.

Wawasiliani

Kid

irish

a ch

a U

abiri

Katie Jordan

Pia Lund Richard Tupy

Gundrun Jörgensen

Jordan, Katie

Lund, Katie

Jörgensen, Gundrun

Tupy, Richard

Page 23: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Maoni kwa mazoezi1. Unda ujumbe na tazama Utepe.

2. Fungua ujumbe na tazama Utepe kwa ujumbe uliopokewa.

3. Seti chaguo za programu, chaguo za kihariri cha baruapepe, na chaguo za ujumbe wa baruapepe.

4. Chunguza Upau-wa-Chakufanya na tazama jinsi ya kuutanafsisha.

5. Angalia karibu na kalenda yako na tafuta wawasiliani katika mwoneko wa Kadi Biashara (hiari).

Page 24: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 1, swali 1Utepe utaonekana sawa na ujumbe mpya wa baruapepe na ujumbe uliopokewa. (Chagua jibu moja.)

1. Kweli.

2. Uwongo.

Page 25: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 1, swali 1: JibuUwongo.

Kilicho kwenye Utepe kitakuwa tofauti kwa sababu mahitaji yako ya kushughulika na ujumbe mpya na iliyopokewa ni tofauti.

Page 26: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 1, swali 2Umebadili kwenda kwa kaledna na tayari unachunguza. Kutengeneza nafasi katika dirisha la Outlook kuiona, unaweza fanya yafuatayo kutoka Outlook? (Chagua jibu moja.)

1. Tumia vitufe vilivyo juu kuficha tondoti.

2. Punguza Kidirisha cha uabiri.

3. Badili mipangizo yako ya nadhiri kwa kiwamba.

Page 27: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 1, swali 2: JibuPunguza Kidirisha cha uabiri.

Katika toleo hili la Outlook, unaweza punguza Kidirisha cha Uabiri kwa kubofya kitufe cha Punguza Kidirisha cha Uabiri.

Page 28: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Funzo la 2

Pata amri za kila siku

Page 29: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Pata amri za kila siku

Outlook 2007 imesanidiwa na umechukua wakati kujifunza kuhusu baadhi ya njia inatofautiana kutoka kwa matoleo ya awali.

Sasa ni wakati wa kufanya kazi.

Itakuwa rahisi kufanya mambo unayohitaji katika Outlook?

Funzo hili litakuonesha kwamba jibu lako ni ndiyo.

Page 30: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Unda ujumbe mpyaNi wakati wa kuandika na kutuma ujumbe wako wa kwanza wa baruapepe kutumua Outlook.

Unahitaji kujua nini?

Katika ujumbe mpya, kwanza jijulishe na Utepe. Kichupo cha Ujumbe kiko juu, na amri unazoweza kutumia kila wakati unapounda na kutuma ujumbe.

Maskani Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Matini Msingi

Bandika

Tuma

Kwa...

Nk…

Mada:

Ubao Klipu

Kikasha pokezi

Mpya

Barua

Mchoraji Umbizo

Nakili

Kata

Page 31: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Unda ujumbe mpyaKutumia vichupo vingine

Kwa mfano, kuchopeka picha ili ionekane katika mstari ulio na matini ya ujumbe wako (sio kiambatisho tofauti), utahitaji kubadili kichupo cha Chopeka.

Ikiwa una tatizo kupata amri au kitufe, unaweza hitaji kutafuta kichupo kingine.

Ubao Klipu

Maskani Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Matini Msingi

Bandika Mchoraji Umbizo

Nakili

Kata

Tuma

Kwa...

Nk…

Mada:

Ubao Klipu

Kikasha pokezi

Mpya

Barua

Page 32: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Tumia Kitabu Anwani kuongeza wapokeziTumia Kitabu Anwani kuongeza majina kwa Kwa, Nk, na nyuga za Nf.

Utapata amri ya Kitabu Anwani kwenye kichupo cha Ujumbe.

Maskani Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Bandika Mchoraji Umbizo

Nakili

Kata

Kitabu Anwani

Tuma

Kwa...

Nk…

Mada:

Ubao Klipu Matini Msingi

Page 33: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Onesha au ficha uga wa Bcc

Ikiwa unapendelea uga wa

ujumbe wa baruapepe moja kwa moja katika vikasha vya Kwa na Nk unaweza pia taka kuonesha jinsi unaweza onesha uga wa Nf ili uweze kucharaza majina, pia.

Picha inaonesha amri ya Onesha Bcc.

Unavyoona, utapata kichupo cha Chaguo.

Ujumbe Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Tuma

Kwa...

Nk…

Mada:

Nf…

OneshaBcc

Onesha

KutokaNyuga

Page 34: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jumusiha sahihi yakoUngependa kutumia sahihi binafsi ya baruapepe mwisho wa ujumbe wako wa Outlook?

Sahihi za baruapepe zinaweza fanya kazi katika kutoa habari za wawasiliani, kufanya kitambulisho chako au washirika wazi mara moja, na kusaidia kufunga ujumbe na sauti inayofaa.

Tuma

Kwa

Nk…

Mada:Tuma

Kwa

Nk…Mada:

Tuma

Kwa

Nk…

Mada:

Salamu:PIA LUNDMkurugenzi wa UuzajiContoso Ltd.612-555-0189 (w)612-555-1090 (m)

Hongera!Pia

Wako mwaminifu,Pia Lund

Page 35: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jumusiha sahihi yakoUnaweza rekebisha sahihi zilzizoko au kuunda mpya, na kuseti kama sahihi kaida vile vile.

Picha huonesha kinachofanyika baadaye:

1

2

Ikiwa uliunda sahihi hapo awali, utaziona kwenye orodha hapa.

Kuunda saini mpya, seti kama saini kaida, au rekebisha saini zilizoko, bofya, Saini.

Anza kwa kubofya kishale chini ya amri ya Saini.

Ujumbe Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Matini Msingi Jumuisha

Kitabu Anwani

Kagua Majina

Ambatisha Jalada

Fuata Juu

Biashara Kadi

Kalenda Saini

BiasharaBinafsi

Sahihi...

Majina

Page 36: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Tumia vipepea na vikumbushoVipepea na vikumbusho vinaweza kukusaidia wewe na wemngine kufanya mambo.

Kuongeza kipepea, kumbusho, au zote wakati unaunda ujumbe, anza kwa kubofya Fuata katika Chaguo kundi la ujumbe.

Tuma

Kwa...

Nk…

Mada:

KeshoLeo

Fuata Juu

Juma Hili

Ongeza kumbushoSafisha Kipepea

Peperusha kwa wapokezi

Kikasha pokezi

Majina Ambatisha JaladaJumuisha

Page 37: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Tumia vipepea na vikumbushoFuata wewe mwenyewe

Kuhakikisha kwamba unakumbuka kufanya hivyo peperusha ujumbe wewe mwenye we kwa kubofya Fuata na kisha bofya Kesho.

Ujumbe hupeperushwa na kuongeza kwa Orodha ya cha-kufanya katika Kazi. Inaonesha pia kama kipengee katika Upauzana wako wa Chakufanya.

Ikiwa utatuma barua kwa mfanyikazi mwenza inayosema “Nitakufuatilia kesho”.

Tuma

Kwa...

Nk…

Mada:

KeshoLeo

Fuata Juu

Juma Hili

Ongeza kumbushoSafisha Kipepea

Peperusha kwa wapokezi

Majina

Jumuisha

Kikasha pokezi

Ambatisha Jalada

Page 38: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Tumia vipepea na vikumbushoFuata mpokezi

Kabla ya kutuma ujumbe, unabainisha wakati unataka mpokezi kukumbushwa kufuata na wewe.

Kama picha inavyoonesha, ujumbe uliopokewa utajumuisha kipepea na ikoni ya kengele. Bora tu mpokezi ataweka ujumbe katika kikasha barua chake cha Outlook, kumbusho kitaangazishwa wakati uliobaini.

Unaweza pia ambatisha kipepea cha fuatilia kwa wapokezi wako kwa kutumia amri iliyodhulishwa ya Peperusha Wapokezi katika picha.

Tuma

Kwa...

Nk…

Mada:

KeshoLeo

Fuata Juu

Juma Hili

Ongeza kumbushoSafisha Kipepea

Peperusha kwa wapokezi

Majina

Jumuisha

Kikasha pokezi

Ambatisha Jalada

Page 39: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jibu UjumbeBaruapepe sio tu kuhusu kutuma...

...pia sio kuhusu kupokea na kujibu.

Unapojibu kutoka kwa ujumbe wa, utatumia vitufe vya kundi la Jibu kwenye kichupo cha Ujumbewa Utepe.

Utagundua kwamba kilicho kwenye Utepe katika ujumbe uliopokewa ni tofauti na kilicho kwa ujumbe mpya wa barua.

Ujumbe

Jibu Jibukwa Wote

Peleka kwa mwingine

Futa Sogeza Folda

Unda Sheria

Maagizo Mengine

Zuia Mtumaji

Jibu Maagizo Baruapepe TakaKutoka kwa:Kwa:Nk:Mada:

Page 40: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Lo! Unahitaji kukumbuka ujumbe?Umetuma ujumbe na umegumdua tondoti kiini ni ina makosa.

Ikiwa unatumia Seva ya Microsoft Exchange kwa baruaepepe yako, unaweza kukumbuka ujumbe ambao umetuma.

Ukichukua hatua kabla ya mpokezi kusoma ujumbe, kukumbuka kutakuruhusu kutuma toleo lililorekebishwa kwa mtu na kuepuka aibu zinazowezekana.

Ujumbe

FutaSogea kwenye Folda

Unda Sheria

Maagizo Mengine

MaagizoKutoka:Kwa:Nk:Mada:

Zuia MtumajiBaruapepe Taka

Barua

Vitumwa

Folda Zote za BaruaVipengee vyote vya Barua

Kikasha pokeziKikasha toeziVitumwa

Tafutiza VitumwaImepangwa Na: Tarehe

Hariri Ujumbe

Kumbuka Ujumbe HuuTuma tena Ujumbe HuuAkibisha Viambatisho

Page 41: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Lo! Unahitaji kukumbuka ujumbe?Umetuma ujumbe na umegumdua tondoti kiini ni ina makosa.

Hili ndilo la kufanya:

1

2

Katika Kidirisha cha Uabiri, bofya Vitumwa kubadili kwenda kwa folda hiyo.

Katika folda ya Vitumwa bofya mara mbili ujumbe unaotaka kukumbuka kuufungua.

Ujumbe

FutaSogea kwenye Folda

Unda Sheria

Maagizo Mengine

MaagizoKutoka:Kwa:Nk:Mada:

Zuia Mtumaji

Barua

Vitumwa

Folda Zote za BaruaVipengee vyote vya Barua

Kikasha pokeziKikasha toeziVitumwa

Tafutiza VitumwaImepangwa Na: Tarehe

Hariri Ujumbe

Kumbuka Ujumbe HuuTuma tena Ujumbe HuuAkibisha Viambatisho

Baruapepe Taka

Page 42: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Lo! Unahitaji kukumbuka ujumbe?Umetuma ujumbe na umegumdua tondoti kiini ni ina makosa.

Hili ndilo la kufanya:

3 Katika Maagizo Mengine katika kundi la Maagizo bofya Kumbuka Ujumbe Huu.

Ujumbe

FutaSogea kwenye Folda

Unda Sheria

Maagizo Mengine

MaagizoKutoka:Kwa:Nk:Mada:

Zuia Mtumaji

Barua

Vitumwa

Folda Zote za BaruaVipengee vyote vya Barua

Kikasha pokeziKikasha toeziVitumwa

Tafutiza VitumwaImepangwa Na: Tarehe

Hariri Ujumbe

Kumbuka Ujumbe HuuTuma tena Ujumbe HuuAkibisha Viambatisho

Baruapepe Taka

Page 43: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Tafuta wakati na kumbuka kufanya vituOutlook sio tu kuhusu baruapepe.

Pia ni kuhusu kupanga wakati wako, ambayo unafanya katika kalenda.

Unapounda au kufungua kipendee katiak kalenda yako, utaona kwamba Utepe unaonesha vikundi na amri zinazofaa kukusaidia kusimamia wakati wako.

Miadi Chopeka Umbiza Matini

Maagizo Onesha

Akibisha na

Funga

Alika Wahudhuria

Miadi Uratibu

Onesha Kama

Kumbusho

Shughulini

Mada:

Mahali:

Muda wa uanza:Saa ya kutamatisha:

Dakika 15HakunaDakika 0Dakika 5Dakika 10Dakika 15Dakika 30Saa 1Saa 2Saa 3

Page 44: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Tafuta wakati na kumbuka kufanya vituUnapounda aina yoyote ya ingizo la kalenda, kumbusho husetiwa kioto.

Kubadili wakati wa kumbusho kwa miadi:

1

2

Kwenye kichupo cha Miadi bofya kishale kufungua orodha ya Kumbusho na teua wakati.

Ukishafanya badiliko, bofya Akibisha na Funga kwenye kushoto mbali kwa Utepe.

Miadi Chopeka Umbiza Matini

Maagizo Onesha

Akibisha na

Funga

Alika Wahudhuria

Miadi Uratibu

Onesha Kama

Kumbusho

Shughulini

Mada:

Mahali:

Muda wa uanza:Saa ya kutamatisha:

Dakika 15HakunaDakika 0Dakika 5Dakika 10Dakika 15Dakika 30Saa 1Saa 2Saa 3

Page 45: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Unataka kuunda mkutano? Alika wengineMiadi ni yako tu.

Wakati wengine wanaalikwa, unda mkutano.

1

2

Kwenye kichupo cha Miadi bofya Alika Wahudhuria.

A Kwa kitufe na kikasha huonekana. Charaza majina moja kwa moja katika kikasha au bofya kitufe cha Kwa kuongeza wahudhuriwa kwa orodha.

Miadi

Akibisha na

Funga

Alika Wahudhuri

a

Chopeka Umbiza Matini

Miadi UratibuOnesha Kama:

Kumbusho

Shughulini

Dakika 15

Mkutano Chopeka Umbiza Matini

Kalenda

Futa

MbeleMiadi Uratibu Mkutano

wa KaziMaagizo Onesha

Kwa

Katisha Mwaliko

Page 46: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Unataka kuunda mkutano? Alika wengineMiadi ni yako tu.

Wakati wengine wanaalikwa, unda mkutano.

3 Ukisha ingiza tondoti zote za mkutano, bofya Tuma kutuma mwaliko kwa wahusika wengine wa mkutano.

Miadi

Akibisha na

Funga

Alika Wahudhuri

a

Chopeka Umbiza Matini

Miadi UratibuOnesha Kama:

Kumbusho

Shughulini

Dakika 15

Mkutano Chopeka Umbiza Matini

Kalenda

Futa

MbeleMiadi Uratibu Mkutano

wa KaziMaagizo Onesha

Kwa

Katisha Mwaliko

Page 47: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Fanya kazi na wawasilianiUnapofungua au kuhariri wawasiliani, utatumia vitufe katika kundi la Onesha kuonesha au kuficha habari zaidi kuhusu waasiliani.

Kwa mfano, ikiwa unataka kukumbuka siku ya kuzaliwa au ukumbusho wa mwasilsiani, bofya kituef cha Tondoti na kisha teua tarehe inayofaa karibu na Siku ta kuzaliwa au Ukumbusho.

Mwasiliani Chopeka Umbiza Matini

Jumla

TondotiVyeti

Nyuga Zote

Shughuli

Jina Kamili...

Kampuni

Cheo cha Kazi:

Majalada:

Baruapepe...Tovuti

Page 48: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Maoni kwa mazoezi1. Tumia Kitabu Anwani na Nf.

2. Hakikisha tahajia na sarufi.

3. Tazama Saini.

4. Ongeza kipepea kufuatilia.

5. Jibu ujumbe; kumbuka ujumbe (hiari).

6. Ratibisha miadi na seti kumbusho.

7. Unda mwasiliani mpya.

8. Hariri kadi biashara.

Page 49: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 2, swali 1Kuanza ujumbe mpya, unatumia Utepe. (Chagua jibu moja.)

1. Kweli.

2. Uwongo.

Page 50: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 2, swali 1: JibuUwongo.

Unaunda ujume tu unavyofanya kila wakati.

Page 51: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 2, swali 2Ni gani ya yafuatayo hukuruhusu kuonesha au kuficha haraka uga wa Nf katika ujumbe? (Chagua jibu moja.)

1. Kitabu Anwani.

2. Upauzana Ufikio Chapu.

3. Kitufe cha Onesha Bcc kwenye kichupo cha Chaguo.

Page 52: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 2, swali 2: JibuKitufe cha Onesha Bcc kwenye kichupo cha Chaguo.

Funzo la mwisho lilifafanua jinsi katika Outlook, una chaguo nyingi. Unaweza fikia kitufe kutoka kwa kichupo mahsusi kwa chaguo za ujumbe, kichupo cha Chaguo.

Page 53: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 2, swali 3Umetuma ujumbe na kosa kubwa la kucharaza na unataka kuita tena. Ni gani hatua ya kwanza? (Tayari unajua kwamba unatumia Seva ya Microsoft Exchange.) (Chagua jibu moja.)

1. Kutoka kwa dirisha la Outlook, bofya Rudisha Ujumbe Huu kwenye menyu ya Maagizo.

2. Tafuta ujumbe na fungua katika folda ya Vitumwa.

3. Tafuta ujumbe na teua katika folda ya Vitumwa.

Page 54: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 2, swali 3: JibuTafuta ujumbe na fungua katika folda ya Vitumwa.

Utafungua ujumbe kutoka Vitumwa, na kisha tumia amri kwenye Utepe: Bofya Chaguo zingine katika kundi la Maagizo na bofya Rudisha Ujumbe.

Page 55: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Funzo la 3

Tuma na pokea viambatisho na picha

Page 56: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Tuma na pokea viambatisho na pichaKutuma na kupokea majalada yaliyoambatishwa katika Outlook 2007 ni rahisi.

Wakati unapokea picha zilizoambatishwa au majalada ya Microsoft Office, utaweza kutumia Mwoneko awali wa Kiambatisho kuona viambatisho hivyo katika Kidirisha cha Kusomea cha Outlook.

Na ikiwa unatuma picha, Utepe utakusaidia kutuma jinsi unavyotaka.

Page 57: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jumuisha ambatishoKujumuisha waraka ulioambatishwa au picha na ukumbe wako ni rahisi kulilo awali.

Vile tu umekuwa ukifanya kila wakati, utaanza kwa kuunda ujumbe mpya. Kisha utatumia amri ya Ambatisha Jalada kwenye Utepe.

Ujumbe Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Jumuisha

Ambatisha Jalada

Ambatisha Kipengee

Kadi Biashara

Kalenda Saini

Page 58: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jumuisha ambatishoMahali utapata Ambatisha Jalada

Picha inaionesha kwenye kichupo cha Chopeka.

Kujumuisha ambatisho ni shughuli inayojulikana, kwa hivyo utapata Ambatisha Jalada kwenye vichupo vyote vya Ujumbe na kichupo cha Chopeka.

Ujumbe Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Jumuisha

Ambatisha Jalada

Ambatisha Kipengee

Kadi Biashara

Kalenda Saini

Page 59: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jumuisha ambatishoUnaweza ambatisha chochote

Tabia hii haibadiliki kutoka kwa matoleo ya hapo awali.

Walakini, unaweza kuwa unataka kujua kwamba baadhi ya majalada ambayo yalizuiliwa awali sasa yanaruhusiwa na aina fulani zimeongezwa kwa orodha ya zilizozuiliwa.

Outlook itazuia aina fulani za viambatisho vya jalada.

Ujumbe Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Jumuisha

Ambatisha Jalada

Ambatisha Kipengee

Kadi Biashara

Kalenda Saini

Page 60: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jumuisha picha kulingana na matiniKatika Outlook, ni rahisi kutuma picha katika mwili wa ujumbe wa baruapepe badala ya majalada tofauti yaliyo ambatishwa.

1

2

Bofya amri ya Picha kwenye kichupo cha Chopeka.

Kama katika mfano, utaona picha katika mwili wa ujumbe.

Kufanya hivi:

Ujumbe Chopeka Chaguo

Picha

Mifano

Page 61: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Tafakari hii: vichupo vinavyokuja na kwendaMjadala wa picha hutoa fursa kufafanua jambo moja kuhusu Utepe:

Baadhi ya vichupo huonekana unapofanya kazi mahsusi.

1

2

3

Teua picha ambayo umechopeka ujumbe...

…utaona kwamba Zana za Picha zinaonekana kwa Utepe.

Kichupo cha Umbiza kinajumuisha amri ambazo unaweza tumia kuhariri picha kabla uitume.

Kwa mfano, wakati:

Ujumbe Chopeka Chaguo Umbiza Matini

Mitindo ya Picha

Rekebisha Panga

Page 62: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Ona mwoneko awali kabla ya kufunguaKatika Outlook 2007, unaweza pokea viambatisho.

Baadhi ya majalada yaliyoambatishwa kutoka kwa Kidirisha cha Kusomea.

Ikiwa mtu amekutumia michoro mbili ya Microsoft Office Visio® kama viambatisho, lakini unajali tu juu ya moja inayoonesha chumba kipya cha mafunzo katika jengo lako.

Unawezake kuamua haraka ni jalada lipi la kufungua au kuakibisha katika zana mango yako?

Kikasha pokeziTafutiza Kikasha pokezi

Leo

Ujumbe

Imetumwa:Kwa:

25V_B8.vsd (219 KB) 25V_A6.vsd (219 KB)

Ujumbe 25V_B8.vsd (219 KB) 25V_A6.vsd (219 KB)

Page 63: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Ona mwoneko awali kabla ya kufunguaKama picha inavyoonesha, kuona mwnoneko awali wa ambatisho kunaweza kuwa jibu.

Kuona mwoneko awali wa ambatisho hukuruhusu kuangazisha mioneko awali ya aina fulani ya majalada kutoka kwa Kidirisha cha Kusomea Outlook. Unaweza fanya hii bila kufungua majalada yaliyoambatishwa.

Kuona mwoneko awali wa ambatisho, bofya ikoni yake. Mwoneko awali wa ambatisho huonekana katika Kidirishacha Kusomea

Kikasha pokeziTafutiza Kikasha pokezi

Leo

Ujumbe

Imetumwa:Kwa:

25V_B8.vsd (219 KB)

Ujumbe 25V_B8.vsd (219 KB) 25V_A6.vsd (219 KB)

25V_A6.vsd (219 KB)

Page 64: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Maoni kwa mazoezi1. Ambatisha jalada kwa ujumbe na itume kwako.

2. Chopeka picha kulingana na matini ya ujumbe wako.

3. Ona mwoneko awali wa ambatisho.

4. Tazama ni mioneko awali ipi umesanidi (hiari).

Page 65: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 3, swali 1Unajumuisha vipi picha kulingana na matimi ya ujumbe wako? (Chagua jibu moja.)

1. Tumia umbizo la Matini Tondoti.

2. Tumia amri ya Jalada kwenye kichupo cha Chopeka.

3. Tumia amri ya Picha kutoka kwa Jalada kwenye kichupo cha Chopeka.

Page 66: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 3, swali 1: JibuTumia amri ya Picha kutoka kwa Jalada kwenye kichupo cha Chopeka.

Page 67: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 3, swali 2Umepokea ujumbe na viambatisho viwili vya picha ya JPEG. Ni njia gani ya haraka kubaini ikiwa unataka kuakibisha ambatisho? (Chagua jibu moja.)

1. Fungua ujumbe na bofya mara mbili kila ikoni ya ambatisho.

2. Bofya ikoni za ambatisho katika Kidirisha cha Kusomea.

3. Bofya kulia ikoni ya ambatisho na bofya Fungua.

Page 68: Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Jaribio 3, swali 2: JibuBofya ikoni za ambatisho katika Kidirisha cha Kusomea.

Kubofya ikoni za ambatisho kutakuruhusu kuona mwoneko awali wa picha, moja moja, ndani ya Kidirisha cha Kusomea. Njia hii itafanya kazi kwa aina zingine za ambatisho pia: Wasilisho za Nyaraka za PowerPoint Word, au vitabu kazi vya Excel, kutaja tu chache.