31
Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya jamaa yenu Kibweta cha sanamu juu ya mazungumuzo na mashauri, kuhusu mpango wa uzazi bora kwa ajili ya washimizaji wa afya AFFICHETTES KIVU 1 AFFICHETTES KIVU 1 13/9/11 09:54:11 13/9/11 09:54:11

Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

  • Upload
    donga

  • View
    281

  • Download
    7

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya jamaa yenu

Kibweta cha sanamu juu ya mazungumuzo na mashauri, kuhusu mpango

wa uzazi bora kwa ajili ya washimizaji wa afya

AFFICHETTES KIVU 1AFFICHETTES KIVU 1 13/9/11 09:54:1113/9/11 09:54:11

Page 2: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

FHI 360 is a nonprofit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff includes experts in health, education, nutrition, environment, economic development, civil society, gender, youth, research and technology – creating a unique mix of capabilities to address today’s interrelated development challenges. FHI 360 serves more than 60 countries, all 50 U.S. states and all U.S. territories.

Visit us at www.fhi360.org.

In July 2011, FHI 360 acquired the programs, expertise and assets of AED.

Page 3: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

2

AFFICHETTES KIVU 2AFFICHETTES KIVU 2 13/9/11 09:54:1113/9/11 09:54:11

Page 4: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Tazameni faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya:

∑ Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake.

∑ Watoto ni wenyi nguvu na afya nzuri. ∑ Watoto wana pokeya matunzo bora waka wanapo ngonjwa. ∑ Wazazi wana amani na furaha. ∑ Jamaa ina chakula cha kutosha.

Tazama namna gani jamaa hii ina furaha :

∑ Wazazi wana pesa ya kutosha kwa kulipa masomo ya watoto na kufanya uchuuzi.

∑ Wazazi wanawaka ya kushurulikia jamaa yao. ∑ Wazazi wana waka ya ku miza miradi mbalimbali ya jamaa. ∑ Jamaa ina nafasi ya ku sha ndani ya muji wao.

Ulizo la mazungumuzo Ninini munayo ona kwenyi picha iyi ?

JJaammaaaa bboorraa

Ulizo la mazungumuzo Kwanini munawaza ya kuwa jamaa hii ivi ? Moja ya sababu nikuwa ilichaguwa kutumia mpango wa uzazi bora na kuweka muda inayo faa ka ya kuzaliwa ya watoto wao.

3

AFFICHETTES KIVU 3AFFICHETTES KIVU 3 13/9/11 09:54:1413/9/11 09:54:14

Page 5: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

4

AFFICHETTES KIVU 4AFFICHETTES KIVU 4 13/9/11 09:54:1513/9/11 09:54:15

Page 6: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Kuzaa watoto wenyi kutengana vizuri kwa myaka ya kuzaliwa, ni funguo ya maendeleo ya jamaa:

∑ Nikusema ya kwamba kuna myaka mitatu ya kutenganisha uzazi.

∑ Wazazi wana chunga myaka miwili mbele mama awe tena na mimba.

∑ Utenganishi wa uzazi wamupa mama waka wa mapumuziko mbele abebe tena mimba.

∑ Iyi nihuakika kama watoto wamezaliwa na afya tele. Zaidi ya muda ya kutenganisha uzazi mupango wa uzazi bora unaomba :

∑ Kujuwa waka gani kupenda kuwa na mtoto. ∑ Kujuwa hesabu ama uwingi ya watoto munao penda kuzaa.

Ulizo la mazungumuzo Nini munayo tambuwa ku fwatanana na myaka ya watoto hawa ?

Djibu : Watoto walizaliwa waki tengana myaka mitatu

Ulizo ya ukumbusho : Mawazo gani mnayo kuhusu utenganishi wa uzazi?

MMppaannggoo wwaa uuzzaazzii nnii nniinnii ??

5

AFFICHETTES KIVU 5AFFICHETTES KIVU 5 13/9/11 09:54:1713/9/11 09:54:17

Page 7: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

6

AFFICHETTES KIVU 6AFFICHETTES KIVU 6 13/9/11 09:54:1813/9/11 09:54:18

Page 8: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

JJaammaaaa bbiillaa mmppaannggoo wwaa uuzzaazzii bboorraa

Tazameni shida mbalimbali zenyi jamaa hii imepata kwa kuto miza mpango wa uzazi bora :

∑ Mama ni mwenyi mimba, mwenyi uzuni kwa kuwa hana namna ya kutayarisha uzazi.

∑ Watoto ni wenyi afya mbovu, hawana mapendo na amani ka yao.

∑ Jamaa haina uwezo, haiwezi hata kutunza watoto, na wengi ka yao hawaendi shuleni.

∑ Jamaa ina ukosefu wa udongo kwa mlimo na ufugo ili wa weze kupata chakula cha kutosha kwa wote.

∑ Jamaa haina uwezo, haiwezi kutuma watoto wao shuleni. ∑ Baba ni mzaifu, mwenyi manunguniko, na mwenyi kusumbuka

mara na mara na magonjwa.

Ulizo la mazungumuzo Shida gani munazo ona kwenyi sanamu izi ?

Ulizo la mazungumuzo Munawaza ya kama watoto hawa wame zaliwa kwa utashi wa wazazi na kutengwa myaka mi tatu ka yao? Watoto hawa wamezaliwa bila mpango wowote wa wazazi, na bila utenganishi wa myaka kama inavyo shauriwa na mpango wa uzazi bora.

7

AFFICHETTES KIVU 7AFFICHETTES KIVU 7 13/9/11 09:54:2013/9/11 09:54:20

Page 9: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

8

AFFICHETTES KIVU 8AFFICHETTES KIVU 8 13/9/11 09:54:2113/9/11 09:54:21

Page 10: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Assani na Furaha wanavitambulisho vifwatavyo: ∑ Ni wenyi mapenzi. ∑ Ni wenyi kuishi pamoja. ∑ Wana mtoto myenyi chini ya mwezi moja ya kuzaliwa. ∑ Wana tamani kupanga maisha yao ya kesho.

Wana gawanya mawazo fulani kama vile : ∑ Aina ya ufugo na mlimo wangelipenda kupata. ∑ Nyumba nzuri wangelipenda kuishi ndani. ∑ Wangelipendeleya maisha gani kwa watoto wayo. ∑ Namna gani ya kukinga mtoto wao.

Ulizo la mazungumuzo : Kwa kutayarisha maisha yao ya kesho munawaza Assani na Furaha wana zungumuza kuhusu nini ?

AAssssaannii nnaa mmkkeewwee FFuurraahhaa

9

AFFICHETTES KIVU 9AFFICHETTES KIVU 9 13/9/11 09:54:2413/9/11 09:54:24

Page 11: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

10

AFFICHETTES KIVU 10AFFICHETTES KIVU 10 13/9/11 09:54:2413/9/11 09:54:24

Page 12: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Assani na Furaha wamebaha ka kutembelewa na muhimizaji wa afya (RECO), na ana wazungumuzia juu ya mpango wa uzazi bora, ana waeleza ya kwamba:

∑ Kwa njia ya mashauri mganga ata wa saidia kupanga uzazi njinsi inavyo faa.

∑ Muna weza kwenda kukituo cha afya cha karibu kusudi mupewe mashauri kuhusu mafaa ya uzazi bora.

∑ Mashauri upewa bila malipo. ∑ Mume na mke wana weza kwenda wao peke wala pamoja.

Ulizo la mazungumuzo Unafikiri ya kwamba Assani na Furaha wataenda kwa mganga ili wa pewe mashauri juu ya mpango wa uzazi?

AAssssaannii nnaa mmkkeewwee FFuurraahhaa wwaannaa sshhaauurriiwwaa kkuuhhuussuu mmppaannggoo wwaa uuzzaazzii bboorraa

11

AFFICHETTES KIVU 11AFFICHETTES KIVU 11 13/9/11 09:54:2613/9/11 09:54:26

Page 13: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

12

AFFICHETTES KIVU 12AFFICHETTES KIVU 12 13/9/11 09:54:2813/9/11 09:54:28

Page 14: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Waka Assani na Furaha wana fika kwenyi kituo cha afya:

∑ Mganga ana wa salimu na ana wa karibisha. ∑ Ana waandika ka ka buku la mashauri ya uzazi bora. ∑ Waka wa majibu mganga ana wajulisha kama Furaha ana umri

wa kuzaa bila shida kwani ana myaka ka ya 18 na 34. ∑ Kuzaa watoto mbele ya myaka 18, kuto watenganisha chini ya

myaka 2, kuzaa wengi zaidi ya sita na kuwazaa kisha myaka 35 ni hatari kwa mama, shida kwa wazazi na kwa jamaa nzima.

Ulizo la makumbusho : Kwa umri gani mwanamuke ana shauriwa kuanza kuzaa? Mwanamuke ana shauriwa kuanza kuzaa zaidi ya myaka 18.

AAssssaannii nnaa FFuurraahhaa wwaannaaeennddaa kkwweennyyii kkiittuuoo cchhaa aaffyyaa wwaappaattee mmaasshhaauurrii kkuuhhuussuu uuzzaazzii bboorraa

13

AFFICHETTES KIVU 13AFFICHETTES KIVU 13 13/9/11 09:54:3013/9/11 09:54:30

Page 15: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

14

AFFICHETTES KIVU 14AFFICHETTES KIVU 14 13/9/11 09:54:3113/9/11 09:54:31

Page 16: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Mganga ana tamani kwanza kujuwa nini wangelipendeleya kupewa ili awasaidie kwa kupanga vema uzao wao :

∑ Waka gani wangependeleya kuzaa mtoto mwengine? ∑ Watoto ngapi wange tamani kuzaa?

Kisha mazungumuzo na mganga, Assani na Furaha wana penda kuzaa watoto tatu wenyi kutengana myaka 3 ya kuzaliwa. Mama ana pashwa chunga myaka miwili mbele kubeba mimba ingine.

Ulizo la mazungumuzo : Assani na Furaha watafanye jee ili wawe na mtoto kisha myaka 2 ama 3 ?

AAssssaannii nnaa FFuurraahhaa wwaannaa ppaannggaa uuzzaazzii kkwwaa mmaaffaaaa yyaa jjaammaaaa yyaaoo

15

AFFICHETTES KIVU 15AFFICHETTES KIVU 15 13/9/11 09:54:3313/9/11 09:54:33

Page 17: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

16

AFFICHETTES KIVU 16AFFICHETTES KIVU 16 13/9/11 09:54:3413/9/11 09:54:34

Page 18: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Mganga ana wafasiria ya kwamba kuna namna nyingi ya za nafasi mimba. Wana zungumuza juu ya ufasini zaidi njia :

Mganga anafasiria kama vidonge pilule :

∑ Vina uwezo zaidi ∑ Mama utumiya vidonge na maji kila siku kwa kuepuka mimba

isiyo tayarishwa. ∑ Vidonge vina vinyume kwa mama wa moja, ila sivya hatari.

Ulizo la ukumbusho Aina hii njia ya kuzaliwa nafasi ya itwa namna gani? Vidonge vinavyo itwa pilule.

AAssssaannii nnaa FFuurraahhaa wwaannaa jjiiffuunnzzaa kkuutteennggaanniisshhaa kkuu zzaaaa wwaakkiittuummiiaa vviiddoonnggee ppiilluullee

17

AFFICHETTES KIVU 17AFFICHETTES KIVU 17 13/9/11 09:54:3513/9/11 09:54:35

Page 19: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

18

AFFICHETTES KIVU 18AFFICHETTES KIVU 18 13/9/11 09:54:3713/9/11 09:54:37

Page 20: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Mganga ana fasiria kama kuna kipira :

∑ Ya kyanaume na ya kike. ∑ Ina uwezo sana kwa ukingo wa mimba musio jitakia, na

magonjwa ya ngono. ∑ Kipira ya kyanaume hutumiwa na mume ku kiungo uzazi waka

wa kitendo cha ndowa. ∑ Kinatumikishwa mara moja tu. ∑ Utupwa ndani ya choo kisha matumizi. ∑ Haina kinyume hata moja.

Ulizo la ukumbusho : Kipira ama kapo ina kinga nini? Mimba isiyo takiwa na magonjwa ya ngono

AAssssaannii nnaa FFuurraahhaa wwaannaa jjiiffuunnzzaa kkuuhhuussuu mmaattuummiizzii yyaa kkiippiirraa aammaa kkaappoottii

19

AFFICHETTES KIVU 19AFFICHETTES KIVU 19 13/9/11 09:54:3913/9/11 09:54:39

Page 21: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

20

AFFICHETTES KIVU 20AFFICHETTES KIVU 20 13/9/11 09:54:4013/9/11 09:54:40

Page 22: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Mganga anafasiria kuhusu ukingo wa mimba kupi a shindano ya Depo Provera, akisema ni nyepesi na yenyi uezo zaidi kwa matumizi:

∑ Dawa iyo inapewa kwa njia ya shindano kwenye mkono wa mama ku kituo cha afya.

∑ Upewa mara moja muda wa myezi mi tatu.

Mganga anauliza Furaha m ndo gani angelichaguwa kutumia.

Furaha asema anataka tumia Depo provera kwani ni nyepesi kuliko zingine zote.

Mganga anamutobowa shindano ya Depo Provera.

Mganga ana muharifu apite tena ku kituo cha afya kisha miezi mi tatu, ila kukiwa vinyume fulani aje haraka ku muona mganga.

Ulizo la ukumbusho Shindano moja ya Depo provera ina nguvu ya kinga kusipopata mimba muda wa miezi ngapi? Inanguvu ya kinga mimba muda wa myezi mitatu.

AAssssaannii nnaa FFuurraahhaa wwaannaa jjiiffuunnzzaa kkuuhhuussuu mmaattuummiizzii yyaa shindano ya Depo Proverashindano ya Depo Provera

21

AFFICHETTES KIVU 21AFFICHETTES KIVU 21 13/9/11 09:54:4213/9/11 09:54:42

Page 23: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

22

AFFICHETTES KIVU 22AFFICHETTES KIVU 22 13/9/11 09:54:4313/9/11 09:54:43

Page 24: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Wakitoka kwenyi kituo cha afya, Assani na Furaha wana kutana na wazazi wa Assani njiani. Wana zungumuzia kuhusu msimamo wao juu mpango wa uzazi bora ndani ya jamaa yao.

Assani na Furaha wana ngoja kufahamu mafikiri ya ndugu wa jamaa. Kwa hiyo wana fasiria :

∑ Walienda ku kituo cha afya kupewa mashauri ya mganga anae usika na mpango wa uzazi bora.

∑ Walikusudia kuzaa watoto 3 tu, tena wakitenganishwa miaka 3 ya kuzaliwa.

∑ Wana fasiria ya kama kupanga vizuri uzazi utatengeneza afia na maadibisho ya watoto wao, kwasababu watakuwa na akiba kwa ajili ya kila mtoto.

∑ Wana tu fasiria namna gani mpango wa uzazi bora itaweza kutufalia sisi na jamaa yote siku zijazo na kuwa watoto weyni elimu?

Moja ya faida ya mpango wa uzazi bora kwa ndugu wa jamaa nikutambuwa ya kama wazazi wana kuwa na pato kwa kuwasaidia wengine kwa kuwa wame pata muda ya kutafuta na kuweka akiba, sababu watoto wao niwa chache, wenyi afia tele na wenyi kuachanishwa vizuri.

Ulizo la mazungumuzo Namna gani mpango wa uzazi bora utaleta faida kwa dungu wa jamaa nzima?

AAssssaannii nnaa FFuurraahhaa wwaa nnaa ggaawwaannyyaa mmaawwaazzoo yyaa mmppaannggoo wwaaoo wwaa uuzzaazzii bboorraa

23

AFFICHETTES KIVU 23AFFICHETTES KIVU 23 13/9/11 09:54:4513/9/11 09:54:45

Page 25: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

24

AFFICHETTES KIVU 24AFFICHETTES KIVU 24 13/9/11 09:54:4713/9/11 09:54:47

Page 26: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Kila myezi 3 furaha ana rudi ku kituo cha afia ili atobolewe tena shindano .

Myaka kazaa ya pita Assani na Furaha wa ki miza mpango wao kama walivyo tayarisha:

∑ Wamekusudia kuzaa wa watoto 3.

∑ Wali tumia uchunguzi wa uzazi bora ili waanze kufa sha watoto wao wakiachana miaka 3.

Faida zenyi wa mamepata ni nyingi :

∑ Afia bora kwa jamaa nzima.

∑ Usiano, masikilizano, umoja ka ka jamaa.

∑ Uwezo ya kutosha kwa kusomesha na kutshunga watoto.

∑ Akiba kwa ajili ya mpango ya ufugo, mlimo na uchuuzi.

Ulizo la mazungumuzo : Namna gani Assani na Furaha wame rahishisha maisha yao kupi a matumizi ya mpango wa uzazi bora ?

FFuurraahhaa aannaarruuddii kkuukkiittuuoo cchhaa aaffyyaa jjuuuu yyaa

mmttiinnddoo yyaa mmppaannggoo wwaa uuzzaazzii

25

AFFICHETTES KIVU 25AFFICHETTES KIVU 25 13/9/11 09:54:5013/9/11 09:54:50

Page 27: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

26

AFFICHETTES KIVU 26AFFICHETTES KIVU 26 13/9/11 09:54:5113/9/11 09:54:51

Page 28: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Jamaa ya Assani na Furaha wana tembeleya wazazi wa Assani . Wazazi wana salimia wa jukuu wao wana tambuwa ya fatayo :

∑ Wote wana afia tele. ∑ Watoto wana soma na wenye mwenendo bora . ∑ Jamaa nzima wana pato ki feza.

Ulizo la mazungumuzo :

Wazazi wata fanya nini kusudi wa himize jamaa zingine kwenda kwenyi kituo cha afia kufuata mashauri ya mpango wa uzazi bora? Wanaweza kufasiria wengine faida ya mupango ya uzazi na kuwahimiza kufwata mashauri ku kituo cha afya.

JJaammaaaa nnzziimmaa nnaa wwaanndduugguu nnii wweennyyee aaffyyaa tteellee nnaa mmaaeennddeelleeoo

27

AFFICHETTES KIVU 27AFFICHETTES KIVU 27 13/9/11 09:54:5313/9/11 09:54:53

Page 29: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

28

AFFICHETTES KIVU 28AFFICHETTES KIVU 28 13/9/11 09:54:5413/9/11 09:54:54

Page 30: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Jamaa ya Assani na Furaha wa pana ushuuda wao kwa jamaa zingine za kando ndani ya jamii :

Polepole jamaa za mugini wanaanza mpango ya uzazi bora.

Faida ni hizi : ∑ Muji ni mwenyi maendeleo. ∑ Watoto wote ni wenyi kusoma. ∑ Akuna tena njaa wala magonvi ndani ya muji. ∑ wakaaji wote wa muji wana afia na maendeleo.

Muzungumuzie juu ya faida ya mpango wa uzazi bora ndani ya jamaa pamoja na mpenzi wako. Kwa hiyo nendeni kukituo cha afia cha karibu ili mupewe mashauri ya kupanga uzazi bila malipo

Mpango wa uzazi bora : kwa afia na maendeleo kwa faida ya jamaa yetu.

Aksan kwa mawazo yako

Ulizo la mazungumuzo : Namna gani mpango wa uzazi bora wa weza kufaidisha jamaa lako? Nani unajuwa ana pashwa kwenda kufuata mashauri ya mpango ya uzazi bora? Waweza fanya nini leo ili uanze mpango wa uzazi bora ndani ya jamaa yako?

JJaammaaaa yyoottee wwaannaattuummiiaa mmppaannggoo wwaa uuzzaazzii bboorraa

29

AFFICHETTES KIVU 29AFFICHETTES KIVU 29 13/9/11 09:54:5813/9/11 09:54:58

Page 31: Mpango wa uzazi bora : Funguo ya afya na maendeleo ya ... faida mbalimbali ya jamaa hii ki afya: ∑Mama alitumia mpango wa uzazi bora na kwa iyo ana chunga ujana wake. ∑Watoto ni

Project AXxesIMA / ECC / CRS / WVI

LMS Leadership, Managementand Sustainability Program

AFFICHETTES KIVU 30AFFICHETTES KIVU 30 13/9/11 09:54:5913/9/11 09:54:59