22
CAPACITY BUILDING PROGRAMME FOR LEADERS AND MEMBERS (MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI NA WANACHAMA) RUKWA WATER AND SANITATION ASSOCIATION (RUWASA) APRIL 2014 SUMBAWANGA PRESENTED BY: William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga. Ph:+255764902066

Mpango mkakati presentation

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Mpango mkakati presentation

CAPACITY BUILDING PROGRAMME FOR LEADERS AND MEMBERS(MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI NA

WANACHAMA)RUKWA WATER AND SANITATION

ASSOCIATION (RUWASA)APRIL 2014

SUMBAWANGAPRESENTED BY: William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.Ph:+255764902066

Page 2: Mpango mkakati presentation

YALIYOMO• Utangulizi•Maana ya Mpango Mkakati•Madhumuni ya kuwa na mpango Mkakati katika Asasi/Taasisi•Mchakato wa kuandaa Mpango Mkakati

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 3: Mpango mkakati presentation

Utangulizi Taasisi mbalimbali za kibiashara na zisizo za kibiashara zinaishi katika mazingira ya ushindani Taasisi moja yaweza kutumia rasilimali nyingi ili ziweze kushindana na taasisi zingine. Rasilimali hizo ni kama vile: Mitambo, vifaa, teknolojiaMuundo wa taasisi husika, mahusiano kazini, mifumo ya upangaji, tathmini na ufuatiliajiRasilimali watu (ujuzi, uzoefu na tabia) Kwa kawaida rasilimali ambazo Asasi inamiliki ndizo huweza kuipa uwezo wa kushindana na taasisi zingine katika mazingira ambamo taasisi husika imo.  Kwa hiyo lengo kuu la mpango mkakati ni kusaidia kugawa rasilimali kwa uangalifu ili ziweze kusaidia kushindana na taasisi zingine katika mazingira. 

 

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 4: Mpango mkakati presentation

Maana ya Mpango MkakatiMpango Mkakati (Strategic Planning):Ni mfumo wa kimaandishi unaoonesha kazi zinazotakiwa kufanywa na hatua mbalimbali za kufikia malengo yaliyowekwa kwa muda maalumu.

UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI KATIKA ASASI:

•Mara nyingi ufanisi wa utekelezaji huwa mzuri •Inaweka mpangilio mzuri wa matumizi ya rasilimali.•Inasaidia kuratibu kazi zote ili kufikia lengo.•Inasaidia kuweka vipaumbele•Inasaidia kutoendeshwa na matakwa ya wafadhili

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 5: Mpango mkakati presentation

Umuhimu wa kuwa na mpango mkakati katika Asasi………..

• Inatoa mwelekeo wa jumuiya na kuonyesha njia

• Inaonyesha shughuli / kazi kuu za jumuiya • Inasaidia kujua nyenzo zinazohitajika na hivyo

kuchukua jitihada ya kuzitafuta • Inasaidia kutathimini kama lengo la jumuiya

limefanikiwa au halikufanikiwa kwa muda uliopangwa

• Inasaidia katika ugawaji wa majukumu na dhamana miongoni mwa wanachama.

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 6: Mpango mkakati presentation

Mchakato wa kuandaa Mpango Mkakati

Kwa Asasi mpya au iliyopo maandalizi ya Mpango Mkakati ni huwa na mambo yafuatayo ya kuzingatiwa:

•Sababu ya kutayarisha mpango huo •Nani watashiriki katika zoezi hilo(wadau,NGO,CBO,Vikundi vya dini n.k)•Je washiriki wamearifiwa na kukubali •Je washiriki wanaelewa sababu ya kuandaa mpango mkakati huo•Nani ataongoza zoezi la mpango mkakati•Ni yepi maandalizi na mahitaji muhimu kwa ajili ya kufanikisha zoezi hilo. (Rasilimali)•Ni nyaraka zipi zitatumika kama rejea•Lini wakati wa kuanza na wakati wa kumaliza

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 7: Mpango mkakati presentation

Hatua za Kuaandaa Mpango kazi:kuna hatua sita (6) za Kupitia hadi Mpango kazi Kukamilika:

Hatua 1. Kuandaa Mchakato wa kutengeneza Mpango MkakatiHatua 2. Kuchambua mazingira ya Ndani Ya Asasi (Taasisi)Hatua 3 .Kuchambua Mazingira ya Nje Ya Taasisi/AsasiHatua 4 .Kutathmini Uwezo wa AsasiHatua 5 .Kupanga malengo/malengo Mahsusi

Hatua 6.Kuandaa na kutekeleza Mpango kazi

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 8: Mpango mkakati presentation

Hatua 1. Kuandaa Mchakato wa kutengeneza Mpango Mkakati

Kwa Asasi mpya au iliyopo maandalizi ya Mpango Mkakati ni huwa na mambo yafuatayo ya kuzingatiwa:

•Sababu ya kutayarisha mpango huo •Nani watashiriki katika zoezi hilo(wadau,NGO,CBO,Vikundi vya dini n.k)•Je washiriki wamearifiwa na kukubali •Je washiriki wanaelewa sababu ya kuandaa mpango mkakati huo•Nani ataongoza zoezi la mpango mkakati•Ni yepi maandalizi na mahitaji muhimu kwa ajili ya kufanikisha zoezi hilo. (Rasilimali)•Ni nyaraka zipi zitatumika kama rejea•Lini wakati wa kuanza na wakati wa kumaliza

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 9: Mpango mkakati presentation

HISTORIA YA ASASI ( ORGANIZATION PROFILE )

Hapa unaeleza kwa ufupi mambo yafuatayo: Sisi ni naniJina la asasiEleza iwapo ni NGO, CBO,FBO, VDO n.k Imeanza lini Kama imesajiliwaIdadi ya wanachama , wanaume wangapi? Wanawake wangapi?Inafanya kazi gani na wapi

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 10: Mpango mkakati presentation

Katika hatua hii ya Kwanza kuna mambo muhimu ya Kuzingatia mfano kwa Asasi Mpya na hata iliyopo:

Swali Kubwa la kujiuliza: Taasisi inataka kuwa ya namna gani?

Swali lina Jibiwa na Kutayarisha au kuhakiki wa Ndoto/Dira, Kazi Kuu

(dhamira) na Maadili ya Asasi pamoja na Malengo ya taasisi/asasi.

Vision: ni ile picha au ndoto ya kimaendeleo ambayo asasi inatarajia kuifikia Ni yale mabadiliko chanya ya kimaendeleo ambayo asasi inataka walengwa wayafikie na kufaidika nayo MFANO WA VISION (Ndoto-Dira)Inclusive and equitable society mobilized for sustainable development Poverty free society- Jamii isiyo masikiniEnvironmental Friendly Agricultural Production –Uzalishaji wa mazao ya kilimo ulio rafiki kwa mazingira

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 11: Mpango mkakati presentation

Ni kazi kuu ambazo asasi inajikita ili kufikia vision yake. Maswali muhimu ya kujiuliza katika kuandika mission ya

asasi ni, sisi ni nani , tutafanya nini na vipi, tunafanya kwa nani na wapi.

MIFANO YA MISSION: CEELS contributes in the improvement of economic Status

and AgriculturalProduction of small-scale farmers in Sumbawanga through

advocacy , Organic farming training and education.

Kazi Kuu –dhamira (MISSION)

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 12: Mpango mkakati presentation

Ni imani au maadili ambayo asasi imejiwekea, inayathamini na kuyazingatia katika utendaji wake wa kila

siku, mahusiano miongoni mwa wana asasi, walengwa na hata jamii kwa ujumla,

MFANO WA VALUE ZA ASASI:-Kufanya kazi kama timu-Haki sawa kwa wote-Uwazi na ukweli n.k

Maadili/Imani (VALUES)

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 13: Mpango mkakati presentation

Hatua 2. Kuchambua mazingira ya Ndani Ya Asasi (Taasisi)

Hatua hii inahusisha uchambuzi wa taasisi yenyewe.Lengo la kuichambua taasisi husika ni kufahamu uwezo (strengths) na udhaifu (weaknesses) wake. Mambo unayoyaangalia katika uchambuzi huu ni pamoja na Kukubalika kwa jamii, walengwa Kukubalika kuhitajika kwa huduma zenu Serikali na mipango gani katika nyanja ambayo mnafanyia kazi Wafadhili Asasi nyingine : ushirikiano /ushindani.Kuwa na wafanyakazi mahiri na wenye weledi

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 14: Mpango mkakati presentation

Hatua 3 .Kuchambua Mazingira ya Nje Ya Taasisi/Asasi

.Lengo la kutathmini mazingira yanayoizunguka taasisi ni kutaka kupata ufahamu wa fursa (opportunities) na vikwazo (threats) vya taasisi husika. Mifano :Hali ya kisera:sera ya serikali inaathiri vipi mipango yenu.Hali ya kisheria: sheria inaathiri vipi mipango yenu.Hali ya siasaGeografia Utamaduni n.k

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 15: Mpango mkakati presentation

Hatua 4 .Kutathmini Uwezo wa Asasi

Wana asasi na wadau kubainisha na kutathmini uwezo wa asasi katika

kutekeleza kazi husika ili kufikia malengo tarajiwa na ndoto za asasi

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 16: Mpango mkakati presentation

Hatua 5 .Kupanga malengo/malengo Mahsusi

Kuandaa mpango wa maendeleo ambao unaonyesha malengo, malengo hayo ni lazima yawezekutekelezeka kwa muda muafaka na vilevile kupimika. Malengo mahsusi ni yale mambo hasa tunayodhamiria kuyafanyia kazi na kuona matokeo yake baada ya muda tuliojipangia Mifano ya malengo makhsusi :Mashirikiano yanakuwepo na kuimarika baina ya serikali, asasi za kiraia na sekta ya biashara katika kuleta maendeleo

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 17: Mpango mkakati presentation

Hatua 6.Kuandaa na kutekeleza Mpango kazi

Kuandaa Mpango kazi ni hatua ya mwisho Baada ya kukamilisha Mpango Mkakati. Yale yote yaliyomo (Malengo) yanatafsiriwa katika Mpango kazi ambao ndio huwa unafanyiwa kazi siku kwa siku ili kufikia malengoTaasisi itafikaje kule inakotaka kufika?Wakati wa utekelezaji wa mpango sharti taasisi izingatie muundo wake wa utendaji, kugawa rasilimali kwa kufuata vipaumbele, kuhakikisha kuwa watumishi waliopo wanatosha na wana ujuzi unaotakiwa.Mpango wa utekelezaji wa mwaka pamoja na bajeti huandaliza kwa kuzingatia uwezo wa taasisi husikaBaada ya fedha za utekelezaji kupatikana mpango kazi huandaliwa ukiwa ni mwongozo wa utekelezaji 

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 18: Mpango mkakati presentation

Vitu Muhimu kuwepo katika Mpango Kazi:

Malengo mf:Taasisi za kiraia ziwe zimeimarika kitaaluma na kiuwezo ili ziweze kutimiza malengo zilizojipangia na hivyo kuchangia katika maendeleo ya kijamii.Wanajamii wapate taarifa muhimu na sahii za kimaendeleo ili nao washiriki kikamilifu katika mchakato wa maendeleoVijana wawe wanashiriki katika uongozi wa nyanja mbalimbali na mchakato wa maendeleo Kazi/shughuli

Viashiria- Tunatakiwa kuweka bayana kabisa viashirio ambavyo vitatusaidia kupima mafanikio wakati na baada ya utekelezaji wa kazi Swali la msingi hapa ni kujiuliza ni vipi tutajua iwapo lengo tulilojiwekea limefanikiwa ama la.Hivyo kwa kila lengo mahsusi na kazi tulizoainisha tunatakiwa tuweke viashirio ili kupima mafanikio yake

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 19: Mpango mkakati presentation

VIASHIRIA(Indicators)Tunatakiwa kuweka bayana kabisa viashirio ambavyo vitatusaidia kupima mafanikio wakati na baada ya utekelezaji wa kazi Swali la msingi hapa ni kujiuliza ni vipi tutajua iwapo lengo tulilojiwekea limefanikiwa ama la.Hivyo kwa kila lengo mahsusi na kazi tulizoainisha tunatakiwa tuweke viashirio ili kupima mafanikio yake

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 20: Mpango mkakati presentation

Mifano ya Viashiria:Kwa mujibu wa malengo mahsusi na kazi

tulizoziainisha hapo juu, viashiria vinaweza kuwa pamoja na

Idadi ya asasi za kiraia zilizojengewa uwezo

Kukua kwa ushiriki wa vijana katika uongozi

Vituo vya habari za maendeleo vilivyoanzishwa

Idadi ya waandishi wanaofika katika vituo vya taarifa za maendeleo kwa lengo la kupata taarifa mbali mbali za maendeleo

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 21: Mpango mkakati presentation

MATUMAINI/DHANA NA MASHAKA(RISK & ASSUMPTION)

Mambo mazingira au hali fulani tunayoitumiania ili kazi tulizojipangia ziweze kufanyika kwa ufanisi :•Kuvurugika kwa hali hiyo kunavyoweza kuvuruga kazi na malengo yetu •Ni matumaini yetu hali ya utulivu wa kisiasa itaendelea ikitokea kuvurugika kwa hali ya utulivu mipango yetu inaweza kuvurugika

Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Page 22: Mpango mkakati presentation

Asanteni !!!

Prepared by William Nathan

Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.