TAARIFA YA ZIARA YA KATA NA UKAGUZI WA MAENEO MENGINE.doc

Embed Size (px)

Citation preview

  • 8/15/2019 TAARIFA YA ZIARA YA KATA NA UKAGUZI WA MAENEO MENGINE.doc

    1/6

    TAARIFA YA ZIARA YA KATA NA UKAGUZI WA MAENEO MENGINE-BUNDA.

    UTANGULIZI:

    Ziara hii ilifanyika kwa siku mbili za tarehe 24/04/2012 na 25/04/2012 katika kata zote za tarafa

    ya Kenkombyo na katika maeneo ya mbuga ya Serengeti yaliyo ndani ya wilaya hii.Kazi hii

    ilifanywa na maafisa watatu!" #amo$a na dere%a mmo$a1" kutoka ofisi ya mkoa kama ma$ina

    yao yana%yoonekana ha#a &hini.

    1. '(S)S *. '+,-S'kaguzi

    2. '-S*- +-3)'kaguzi!. -,)6 ). )'-Konstebo

    4. -67(- '-88)9ere%a

    ZIARA YA KATA-24/04/2012

    1. KATA YA BUTIMBA.

    Katika kata hii tulionana na mtenda$i wa kata i.hristabell0:;5421!:1" na kutu#a taarifa

    kuwa katika kata yake hana taarifa yoyote ya kuwe#o wahamia$i haramu< ila ameandaa mkutano

    wa hadhara kwa a$ili ya kuwaelimisha wanan&hi $uu ya suala la uraia na ma#ambano dhidi ya

    wahamia$i haramu. =ia ame#anga kuwa na utaratibu wa kuzunguka kila ki$i$i ndani ya kata yake

    ili kukusanya taarifa yoyote ya kuwe#o kwa wageni.

    -idha tulitembelea kiwanda &ha S> 8???8 (. .,.9 na kukagua %ibali %ya wafanyakazi

    wasio raia. Kiwanda hiki kina wafanyakazi saba raia wa ndia wenye %ibali dara$a %ili%yohai

  • 8/15/2019 TAARIFA YA ZIARA YA KATA NA UKAGUZI WA MAENEO MENGINE.doc

    2/6

    6abia 9e%elo#ment

    'anager 

    5 -min +marbhai 9ar$ada ,e&hini&ian 10!0@A 1!/0@/2012

    : Sayan$a Kumar 'ukher$ee usiness

    9e%elo#ment

    'anager 

    0@@00! 0A/02/201!

    A 8hulam 'inai arsi System -nalyst 0;020 1A/11/201!

    NB: ,aarifa ya return of employment of non-citizen tuliyoagiza iandaliwe itafafanua zaidi.

    Bile%ile tulimuagiza mtenda$i kuweka utaratibu wa kuwa anatembelea kiwanda hi&ho mara kwa

    mara ili ku#ata taarifa sahihi #indi zina#ohita$ika.

    2. KATA YA KASUGUTI.

    ,ulionana na mtenda$i wa kata hii w. a$umaa0A;45@:!5;" na kutu#a taarifa kuwa 9iwani

    wa kata hii w. 3lugen&e Kanazi0A;A0@2:@4 anasadikiwa kuwa ni raia 6wanda kwa asili

    yake< hi%yo anaomba ufanyike u&hunguzi wa kina $uu ya suala hili ili kuondoa utata kwa

    wanan&hi . Suala hili tumelifikisha kwa -fisa +hamia$i ilaya kwa hatua zaidi.

    =ia alitu#a taarifa kuwa siku &ha&he baada ya semina aliyoi#ata ya uraia na ma#ambano dhidi ya

    wahamia$i haramu alifanya mkutano wa hadhara na kuwaelimisha wanan&hi suala la uraia na

    ma#ambano dhidi ya wahamia$i haramu.

    . KATA YA NYERUMA.

    'tenda$i wa kata hii haku#atikana kwani tuli#ata taarifa kutoka kwa kaimu wake w. araka

    umbaga mtenda$i wa ki$i$i &ha Kasahunga" kuwa anaumwa. 'tenda$i huyu wa ki$i$i alitu#a

    taarifa ya kuwe#o kwa raia wawili wa Kenya walioolewa na watanzania

  • 8/15/2019 TAARIFA YA ZIARA YA KATA NA UKAGUZI WA MAENEO MENGINE.doc

    3/6

    kina na kubaini kuwa wanaishi na kinamama hao kinyume &ha sheria kwani hawana %ibali

    %yo%yote . aada ya maho$iano hayo tuliwaagiza wafike ofisini siku ya tarehe 2A/04/2012 kwa

    mahi$iano zaidi na ku#atiwa utaratibu wa kufuata ili kuishi kihalali na kinamama hao.

     'wl ashngton alifika ofisini na ku$aza fomu ya ho$a$i ili uafanyike u&hunguzi zaidi $uu ya

    uraia wakefomu zitatumwa ofisi ya mkoa kwa hatua zaidi"

  • 8/15/2019 TAARIFA YA ZIARA YA KATA NA UKAGUZI WA MAENEO MENGINE.doc

    4/6

    A. NYANZA FARMING CO. LTD

    +kaguzi ulifanyika na kukuta raia wanne04" wa ndia wenye %ibali dara$a %ili%yohai kama

    ina%yoainishwa ha#a &hini.

    SN JINA KAMILI CHEO/WADHIFA NAMBA YA

    KIBALI

    MUDA WA

    MWISHO WA

    UHAI WA

    KIBALI

    1 Bishalkumar Binubhai =atel 3arm 'anager 0:1241A 01/0!/201!

    2 *as#al Singh ea%y =lant

    'anager 

    0@@4@@ 0:/10/201!

    ! =atel Binodkumar

    6am$imbhai

    3arm 'anager 0:12420 1!/02/201!

    4 nder$it Singh 9haram Singh =lant 'anager 0:1244! 1!/02/201!

    B. MBUGA YA SERENGETI.

    Katika mbuga hii tuli#anga kufika katika maeneo yafuatayoC

    1" K)?S?8,(? ,)?,)9 -'=

    2" K6-6- +D+67 ,)?,)9 -'=

    !" '--8), ,)?,)9 -'=

    4" 86+'), ,)?,)9 -'=

     KENSINGTON TENTED CAMP 

    atukwenda kabisa baada ya ku#ata taarifa za awali kuwa &am# hiyo ilishafungwa.

     KIRAWIRA !"!R# TENTED CAMP$

    ,ulifika na kukuta kuna mfanyakazi mmo$a raia wa Kenya w. *onathan heresam# 'anager 

    akiwa na kibali dara$a ?a. 0@2AA; kina&hoisha tarehe 1@/0A/2012.

     M%AAGET TENTED CAMP 

  • 8/15/2019 TAARIFA YA ZIARA YA KATA NA UKAGUZI WA MAENEO MENGINE.doc

    5/6

    atukufanikiwa kufika kwa sababu ya ubo%u wa barabara.

    GR!MET TENTED CAMP 

    atukufika kwa sababu ya ubo%u wa barabara.

    CHANGAMOTO/"IKWAZO

    I. KUSUBIRI KIBALI CHA KUINGIA MBUGANI KWA MUDA MREFU

    iki kilikuwa kikwazo kikubwa kwetu kwani tulitumia muda mrefu sana katika geti la ?dabaka

    tukisuburi ruhusa ya kuingia mbugani kwa sababu tuliyo#ewa kwamba hatukuwa tumetoa taarifa

    ya awali kwamba tutakua na safari hiyo kwa a$ili ya kazi. ili tunaliona kama litaendelea kuwa

    kikwazo kikubwa zaidi katika utenda$i kazi wetu kama halitatafutiwa ufumbuzi na n$ia mbadala

    ya kukabiliana nalo.Kwani kwa wakati mwingine inaweza ku#elekea hata kukosa kile

    kili&hokusudiwa baada ya kuzagaa kwa taarifa katika maeneo mbalimbali ya mbuga kuwa kuna

    maafisa wanaingia mbugani

  • 8/15/2019 TAARIFA YA ZIARA YA KATA NA UKAGUZI WA MAENEO MENGINE.doc

    6/6

    SHUKRANI

    ,unatoa shukrani zetu za dhati kwa uongozi wa uhamia$i mkoa kwa kutoa idhini ya kutumia gari

    ta$wa na kuwezesha kazi yetu kwa kiwango hi&ho kili&hofikiwa.

    Shukrani za #ekee tunazitoa kwa uongozi wa Kirawira uEury ,ented am# kwa msaadamkubwa waliotu#atia baada ya kuharibikiwa na gari.+ongozi huu ulitu#atia hifadhi ya miili yetu

    na huduma mbalimbali hususan &hakula na kutusaidia usafiri wa kutoka mbugani m#aka kufika

    unda m$ini