Upload
others
View
39
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
UPANGAJI UPYA KATIKA MAENEO YA STONE MOUNTAIN NA CLARKSTON
M K U TA N O W A U M M A W A R A U N D I YA 1N O V E M B A 2 , 2 0 1 7 6 : 3 0 P M
F R E E D O M M S
AJENDA
Kwa nini Upangaji upya?
Mchakato wa Kupanga upya
Kigezo cha Kupanga upya
Maoni ya Kundi Ndogo ya
Raundi ya 1
KWA NINI UPANGAJI UPYA?
▪Shule ya Msingi ya Rebuilt Rockbridge
▪Inafunguliwa tarehe Januari 2018
▪Shule ina zaidi ya viti 900+
▪Mamia ya viti inapatikana
▪ Kufunguliwa kwa Rockbridge ES na nafasi zinazopatikana
▪ Kujaa kupita kiasi katika shule 5 kati ya 6 katika Eneo la Clarkston
▪ Stone Mountain MS kutotumika vizuri
KWA NINI UPANGAJI UPYA?
AJENDA
Kwa nini Upangaji upya?
Mchakato wa Kupanga upya
Kigezo cha Kupanga upya
Maoni ya Kundi Ndogo ya
Raundi ya 1
MCHAKATO WA KUPANGA UPYA
▪Mchakato wa mkutano wa jamii
▪Kila mtu kushiriki kwa usawa
▪Mikutano kuanza na maonyesho ya kundi kubwa
▪Gawanya katika vikao vya makundi madogo
▪Makundi madogo kuwezeshwa na mhudumu mwenye ujuzi
▪Usawa katika mchakato
▪Majadiliano kuhusu kigezo
MCHAKATO WA KUPANGA UPYA
Raundi ya 1
Utangulizi na Maoni
(Nov 2, 2017)
Freedom MS
Raundi ya 2
Chaguo Mbadala
(Nov 30, 2017)
Clarkston HS
Raundi ya 3
Mpango Unaopendekezwa na Wahudumu
(Jan 11, 2017)
Rockbridge ES
Mkutano wa Bodi
Pendekezo la Msimamizi
(Feb 5, 2018)
Raundi ya 1-3 zitajumuisha mikutano ya umma na maoni ya mtandaoni
www.dekalbschoolsga.org/redistricting
MCHAKATO WA KUPANGA UPYA
▪ Raundi ya Kwanza – Freedom MS – Novemba 2, 2017▪ Madhumuni: Kukusanya mchango wa jamii kulingana na
kigezo kilichoidhinishwa cha bodi
▪ Raundi ya Pili – Clarkston HS – Novemba 2, 2017▪ Madhumuni: Kukusanya mchango wa jamii kuhusu chaguo
zilizowasilishwa za upangaji upya kulingana na kigezo kilichoidhinishwa
▪ Raundi ya Tatu – Rockbridge ES – Januari 11, 2018▪ Madhumuni: Kukusanya mchango wa jamii kuhusu Mpango
Uliopendekezwa wa Wahudumu kulingana na kigezo kilichoidhinishwa
MCHAKATO WA KUPANGA UPYA
▪Chaguo zote zilizowasilishwa zitaanza kutumika Agosti 2018
▪Wanafunzi wanaoingia gredi ya 5, 8, 11 na 12 watakuwa na chaguo la kuendelea katika shule yao ya zamani, bila usafiri wowote utakaotolewa
AJENDA
Kwa nini Kupanga upya?
Mchakato wa Kupanga upya
Kigezo cha Kupanga upya
Maoni ya Kundi Ndogo ya
Raundi ya 1
KIGEZO CHA KUPANGA UPYA
▪Tangazo la Sera ya Bodi: Ubadilishaji wa Maeneo ya Mahudhurio ya Shule huelezea kigezo cha msingi na cha pili
▪Kigezo cha Msingi, kulingana na utaratibu
▪Ukaribu wa Kijiografia
▪Uwezo wa masomo
▪Usajili unaotazamiwa
Kumbuka: Huenda wanafunzi wasiwekwe katika shule iliyo karibu nao, kwa kuwa lazima kigezo kingine kizingatiwe.
KIGEZO CHA KUPANGA UPYA
▪Kigezo cha Pili, wakati kigezo cha msingi kinaashiria zaidi ya chaguo moja la hatua
▪Mipangilio ya usalama na trafiki
▪Upangaji upya wa awali
▪Kusawazisha mipango maalum , (i.e., ESOL, chaguo la shule, n.k.)
▪Ulainishaji wa shule kuu
▪Mitaa thabiti
▪Shughuli bora na za kiuchumi
AJENDA
Kwa nini Kupanga upya?
Mchakato wa Kupanga upya
Kigezo cha Kupanga upya
Maoni ya Kundi Ndogo ya
Raundi ya 1
MAONI YA KUNDI NDOGO YA RAUNDI YA 1MALENGO
Kukusanya mchango kulingana na kigezo kilichoidhinishwa cha bodi
Mfululizo wa maswali matatu ya majadiliano
1. Kuhusiana na mambo kama vile vikwazo asili vya kijiografia na mashirika ya wamiliki nyumba, ni maeneo gani ya mitaa inapaswa kusalia pamoja na kwa nini?
2. Ni masuala gani ya trafiki unayo ambayo yanaweza kuathiri usalama na usafiri wa wanafunzi kwenda na kutoka shule?
3. Je, kuna mitindo au mijengo mipya ya makazi katika eneo lako ambayo inaweza kuathiri usajili wa baadaye shuleni?
4. Je, kuna mipango yoyote maalum shuleni mwako ambayo tunapaswa kujua?
MAONI YA KUNDI NDOGO YA RAUNDI YA 1MASWALI
MAONI YA KUNDI NDOGO YA RAUNDI YA 1KANUNI
▪Wasaidizi ni washiriki walengwa
▪Wanaweza kuzingatia tu michango inayohusiana na kigezo
▪DCSD imejitolea kupokea na kuzingatia michango yote mwafaka
▪Lazima wahudumu wasawazishe madhumuni kadhaa na vikwazo vya utaratibu katika kukuza mipango, kwa hivyo si michango yote inaweza kuzingatiwa.
▪Heshimu maoni ya kila mtu
▪Tafadhali andika maswali kwenye kadi za manukuu
▪Maswali yatashughulikiwa kwenye tovuti ya www.dekalbschoolsga.org/redistricting
ASANTE KWA KUJA!
M K U TA N O U F U ATA O :
M K U TA N O W A U M M A W A R A U N D I YA 2A L H A M I S I , 3 0 N O V E M B A 2 0 1 7 6 : 3 0 P M
C L A R K S T O N H S
www.dekalbschoolsga.org/redistricting