22
web fm sms comix .mobi Tengeneza bigger profits wakati wa mavuno! Nitakwambia yote juu ya youth fund! Mtu yeyote anaweza kuwa leader. Learn how!

03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 3 - Full Comic

Citation preview

Page 1: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

web fm sms comix .mobi

Tengeneza bigger profits wakati wa

mavuno!

Nitakwambia yote juu ya youth fund!

Mtu yeyote anaweza kuwa leader. Learn

how!

Page 2: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

DJ B HAPA! ASANTE KWA SMS ZENYU. kEEP THEM COMING!

SHOW MAFANS JUU YA PROJECT YENU.

SI UNAKUMBUKA PROJECT YETU YA CATERING VILE ILIANZA MDOGO MDOGO...

HELLO DJB!

VIPI SHUJAAZ FM!

SMS NUMBER NI 3008...HEBU NIPIGIE MA-DAMEWENGINE WAMENITUMIA SMS YA KISHUA.HELLO...

3

Page 3: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

“MA-CUSTOMERS WALIONGEZEKA NA HATA tukawa NA DOOH ZA KU-EXPAND!”

“TUKAAMBIWA TU-APPLY LOAN KWA YOUTH FUND!”

“ILE GANG YA HAPA MTAANI WALIPOSIKIA TUME-APPLYWALI-COME ATI PIA WANATAKA TUWAPATIE HIZO DOOH!”

“TUKAWAAMBIA HAZIJATOKEA NA LAZIMA WA-APPLY KAMA GROUP. WAKASEMA WAKO NA MISHONI.WAKASEMA WAO NI WAJANJEZ WATA-APPLY KAMA SECURITY...”

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers.

Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Bridget Deacon Art: Daniel Muli, Eric Muthoga, Salim Busuru, Movin Were, Joe Barasa Layout Design: Joe Barasa Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio.

Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

4

Page 4: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

“TUKAWAAMBIA WACHUKUE FORM ZA KU-REGISTER” FORM YA NINI

SASA?

“TENA WACHORE BIZNESS PLAN...”

SASA HIYO JO, SISI HATUNA PENCIL...

“TUKAWA-SHOW WACHUKUE SAMPLE FORM WAJAZE”

HAIYA, HII KITU INA-BORE!

Published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512 www.welltoldstory.co.ke

Printed by Bizone Limited, P. O. Box 47969 00100 Enterprise Road, Nairobi. In collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU.

Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

BIZONE

5

Page 5: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

WAO WALI-GIVE UP LAKINI SISI TULITIA BIDII...SASA DOOH ZIMETOKA, TUNAANZA KU-EXPAND BIZNA!

CONGRATS VIJANAA! MNAONA MVUMILIVU HULA MBIVU!

KWELI B! SASA TUNA-ORDERS ZA KU-SUPPLY FOOD KWA MACHUO NA MA-COLLE!

ALA...KWANI WALITOBOA? WEWE NDIYE

ULITUPISHA MBAO!

MIMI? WACHAUPUZI! NI WEWE!

MI NAENDA KU-JOIN HIYO GROUP YAO. NITAJARIBU HIZO DOOH, HAZINIPITI!

Youth

fund ina-

crea

te o

pport

unitie

s

kwa m

a-youth

s za

kuan

zisha

na ku

-gro

w

bizna

kwa k

u-pr

ovide

loan

s zina

zolip

wa with

in

1 yea

r. Pia

unap

ewa 3

months g

race

perio

d

kabl

a ya k

uanz

a kul

ipa

loan

.

Kuna

aina mbili

za loans

za youth

Enterpr

ise

Develo

pment F

und

A) Group l

oan: Kup

itia

distr

ict yo

uth o

ffice

iliy

o

kwa D

istric

t Hea

dqua

rter

s

kote

nchin

i. Una

weza p

ata

loan

ya up

to 50

,000

amba

yo m

nalip

a kwa

mwaka.

Hauh

itajik

i

kuwa n

a sec

urity

ili ku

pata

loan

. Hii

loan

hai-e

arn i

nter

est

b) In

dividual l

oan kup

itia

inter

mediar

y ins

tituti

ons

kama b

anks

na SA

CCOS

zilizo

chag

uliwa n

a Yo

uth

Ente

rpris

e Dev

elopm

ent

Fund

. Un

awez

a pata

loan

ya

up to

500,000 bo

b. Hii

loan

inapa

ta th

e lowes

t int

eres

t

rate

s in t

he m

arke

t.

Ili ku

-apply

youth

fund

unahitaji t

he following

Uwe b

etwee

n ages

18-35

Regist

rere

d gro

up ya

minimum

12 m

embe

rs na

cert

ifica

te o

f reg

istra

tion

kuto

ka kw

a socia

l ser

vices

.

ID ca

rd/s

za g

roup

membe

rs au

indiv

idual

appli

cants

Stro

ng bu

sines

s ide

a :

Unae

za ku

-apply

ukita

ka

kuan

zisha

bizn

a au k

ui-

expa

nd

Bank

acco

unt

Busin

ess p

lan:

Expl

ain

idea y

ako ya

bizn

a

na vi

le un

apan

ga

kutu

mia do

oh.

Kama

wewe

ni

individ

ual

utaen

da

kwa f

inanc

ial

inter

mediar

y

Chuk

ua ap

plica

tion f

orm ,

ijaze

na ur

udish

e kwa y

our

near

est Y

outh O

ffice

s.

Wase

e wal

io na s

trong

est

busin

ess i

dea n

dio

watach

agul

iwa kup

ata l

oan

kuto

ka Yo

uth Ente

rprise

Develo

pment F

und.

Apply

for y

outh fu

nd. W

ho

knows,

idea y

ako in

awez

a

kuwa n

dio ita

kupa

tia lo

an

ya ku

imarish

a futu

re

yako. W

engine

ove

r

70,000 w

asha

a pew

a

maloan

s.

youth

Fund pi

a

huwa intr

ain ma-

youth

s

websit

e yao

ni www.

youth

fund.

go.ke

Apply

kupa

ta

Youth

Fund

6

Page 6: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

HII NI ZAWADI YAMAEMBE

MAMA SIWEZI MALIZAMATUNDA HAYA YOTE

UNAJUA HUU NI WAKATIWA KUVUNA MAEMBE.

MKINIACHA NA HAYA MATUNDA YATAHARIBIKA

PIA MUM, HATUWEZI KUPATA MATUNDA HAYA NYUMBANI

MUM, SI TUUZE HAYA MAEMBEKWETU NYUMBANI, AM SURE KUNA

READY MARKET.PESA!.....

TUTABEBA YOTE MAMA.

individ

ual

utaen

da

kwa f

inanc

ial

inter

mediar

y

Chuk

ua ap

plica

tion f

orm ,

ijaze

na ur

udish

e kwa y

our

near

est Y

outh O

ffice

s.

Wase

e wal

io na s

trong

est

busin

ess i

dea n

dio

watach

agul

iwa kup

ata l

oan

kuto

ka Yo

uth Ente

rprise

Develo

pment F

und.

Apply

for y

outh fu

nd. W

ho

knows,

idea y

ako in

awez

a

kuwa n

dio ita

kupa

tia lo

an

ya ku

imarish

a futu

re

yako. W

engine

ove

r

70,000 w

asha

a pew

a

maloan

s.

youth

Fund pi

a

huwa intr

ain ma-

youth

s

websit

e yao

ni www.

youth

fund.

go.ke

7

Page 7: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

UNAJUA TULIPOKUWA WADOGOTULIKULA HAYA MATUNDA SAANA FOR REAL! WACHAA

HALAFU TUNGEUZA ZINGINE NA ZINGINEZINGEHARIBIKA. A WASTE OF MONEY!

..THIS IS YOUR BOY DJ B ON YOURSECRET RADIO STATION SHUJAAZ FM..

KAA RITHO, KAA CHONJO

KAA RITHO, KAA CHONJO!

HAPANA KAA TU FUAAA! HAHAHA..!

HAPANA KAA TU FUAAA! HAHAHA..!

8

Page 8: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

WHAAT! EBU ANGALIAHIYO PUNCTURE

MUM, PLEASE NISAIDIE HAPA..

GET OUTTA HERE! CHU!CHU!

ENDENI! CHU CHU!

9

Page 9: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

MUM, MATUNDA IMESPOIL!!

SITAWAHI SKIZA VILE UNASEMA TENA.ONA NI PESA NGAPI NIMEPOTEZA. TOTAL LOSS!

SHUJAAZ FM, NI MIMI HAPA KEJANI DJ B. NITUMIENISMS ZENU ILI TUSAIDIANE KA VIJANAA

“DJ B SASA, SHOSHO WETU ALITUPATIA MAEMBE MOBNA IKAHARIBIKA KABLA TUFIKE HOME. NIKO-DISSAPOINTED.

NIMEPATA SMS POA KUTOKA KWAMALKIA ALIYENIAMBIA STORY YAKE

YA FRUITS KUHARIBIKA

MALKIA, NIMEPATA SMS KUTOKA KWA HILA ANAYE-DRYMATUNDA KWA JUA. TASTE YAKE NI POA NA TUNDA INAEZA

KAA FOR ONE YEAR BILA KUHARIBIKA. IMAGINE!

UTAWEZA KUPATA DOOHMOB KWA KU-DRY MATUNDA.

HEBU MAFANS JARIBUNI KuKAUSHAFRUITS....TUKO GANGARE!!

ONA SASA IDEA YAKO YAKUUZA MATUNDA IMELETA

BALAA!

10

Page 10: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

KSH! KSH! KSH!ANANIPENDA! ANANIPENDA!

THANKS DJ B KWA KUNIPA IDEA YA KU-DRYFRUITS. FOR SURE NITAJARIBU NA PIA

KUMWAMBIA SHOSHO WANGU A-DRY MAEMBE.

ALL THE BEST MALKIA NA MAFANS WASHUJAAZ..MSISAHAU KUNITUMIA SMS

YA KUNI-UPDATE VILE ITATOKEA ON 3008.TUKO GANGARE!!

KSH! KSH! KSH!ANANIPENDA! ANANIPENDA!

THANKS DJ B KWA KUNIPA IDEA YA KU-DRYFRUITS. FOR SURE NITAJARIBU NA PIA

KUMWAMBIA SHOSHO WANGU A-DRY MAEMBE.

ALL THE BEST MALKIA NA MAFANS WASHUJAAZ..MSISAHAU KUNITUMIA SMS

YA KUNI-UPDATE VILE ITATOKEA ON 3008.TUKO GANGARE!!

Mara nyingi, wakulima wakati wa fruit season huwa wana-suffer losses kwa matunda kuharibika na kwa kuuza bei ra-hisi. Lakini kukausha matunda kwa jua inaweza kusuluhisha hii shida.

Ni simple ku-dry matunda. Unahitaji cotton cloth na rack ya kukausha chini ya jua. Dried fruits ni healthy snack juu iko na fibre. Matunda ita-pre-serve-iwa, kwa hivyo ku-provide supply na market mwaka mzima

ROSELYN kutoka Homabay ali-kuwa akipanda maharagwe na mahindi na kupata harvest ya 6 thao kwa mwezi. Sasa anapan-da pineapples na kupata dooh zaidi kwa ku-dry matunda yanay-obaki, ambayo ingeharibika kwa kukosa market.. Hellen hukau-sha matunda yake kwa

jua. Sasa ameweza ku-provide-ia familia yake na hana wor-ries za matunda yake kuharibi-ka wakati wa kuvuna. Hellen huwa na ready market ya dried fruits mwaka mzima.

Ni rahisi ku-dry fruits kwa jua:a) Chagua matunda yale yamei-

va kabisa lakini firmb) Peel matundac) Kata matunda kwa slices za

quarter inch thick d) kausha slices za matunda

kwa jua, juu ya rack au kwa cotton cloth. Inachu-kua 2.5 -3 days, lakini rate ya kukauka ina tofautiana

e) Rudisha matunda kwa shel-ter usiku ili kui-protect kwa dew

f) Funga dried fruits kwa air tight container.

Unaweza kausha matunda na mboga zifuatazo: Banana, Mango, pineapple, leafy veg-etables, chili peppers, okra, tomatoes, mushrooms

*Muda wa kukausha matunda unatofautiana

Tengeneza profit kwa ku-dry matunda

11

Page 11: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

Big ups kwenyu mafans

walionitumia SMS’s poa kwa wingi! Kweli Shujaaz

imewabamba. Keep them coming!

Vipi shujaaz.fm? hiyo story ya

ma-youths kujiinua through self

support ni great and nai-support

100%.Times have changed and life

hapa nje is very cruel. As youths

we have to be independent of other

people, especially maparoz wetu

na tu-find good and better means

of getting dooh. Hakuna mtu

hajiwezi, together we can

tukiungana pamoja ka youths.

Joseph Harry. Kisumu.

Since there are more job

seekers than job makers I

advice youths to be more creative

e.g. Grow crops that you can sell to

get money.

Vijanaa waanze mradi wa ku-

grow trees wawe wakiuzia watu

wakati huu ni wa kuget

Mau alive. Bundi

Festus, Meru.

Ideas zangu ni

vijanaa wa form

group (max 30), waunde

biz plan, halafu wa-

approach banks ku-fund

ma project kama

mushroom growing, rabbit keeping

au quail farming. Njenga Micugu,

Ngong.

Wassup DJ B, let ma-leavers

know that ata kama wali-fail

wasitoe stress na drugs. Tell them

to join facebook or tune to Shujaaz

FM to share ideas na wenzao.

Wazae watupatie chance

tujiexpress na tushow potentials

zetu coz mavijanaa tunaweza au

sio? Big up all fans massive.

Idea yangu ni wasee watoe

ma-talent zao na wazikuze juu

haunge-know ile time

zitakuokoa. Ka mimi

naeza-rap na mi hu-

practice sana incase

nipate chance. So

wasee tukuwe

mashujaaz, Benard

Wambua. Kitengela.

Niaje Shujaaz!

Mnafanya kazi

smatta, nawavulia

ngepa. Nataka

kuambia vijana wakuwe

humble. Mawaidha tunayopata

kutoka wazee na wenzetu pia

tusiyapuuze. Kusema ukweli, kuna

vitu nyingi yenye hatujui, kwa hivyo

tusijifanye tumeiva. Ivy

C h e p c h i r c h i r ,

Ngummo.

Youth may sell

njugu and get

dooh for a big bizna.

Zippy Kachibora

Boyie, struggle

upate yako. Iwe

kiasi, ni jasho

yako. Jaribu uwe

busy upate any

juu an idle mind

is a devil workshop.

Hemedy. Mutomo.

Ningependa kusihi wasee that

they should not consider

gender wakitafuta kazi. Bora ni

upate doh. Robert Kim.

Tunaweza kuwa-help mavijana ku-survive kwa kuanzisha biashara, kuzifufua talent zao. Dye nilijaribu ikanisaidia kidogo. Emmanuel MusoSi hu-make compost manure na ku-sell but at times tuna-apply kwa mboga si h u p a n d a . Big up DJB! Carol f r o m Nakuru

P i a kuna hii story ya green houses doing green grocery and real its bringing cash and us as the youths we have enhanced and its making dooh. Michael from KiambuNafanya job ya ushamba boy tena

mayai boil Ongwaro. OmbatiKile nina-do ku improve life yangu ni kuuza chai @20 bob na kuosha

ndai. Kadzo. Athi-RiverNiaje DJ B? Me na bro wa mine hugrow sukuma tuki-use money

maker hip pump. Me na-pump na ye ananyunyuzia. Faustin.Tumeanzisha project ya

kuchangiana pesa ili kutusaidia vijana. Joash Soita. Naitiri, Lugari

My project of kuku kienyeji is booming. Kuku 1 ni 500 bob. I regret wasting my time working in a bar in Mombasa for five years. Willy Muindi Mbooni West. Machakos.

Ufanisi youth group we rear goats, chicks and planning to open a c o m m u n i t y library. Elikana Wafula. Mukhe, KakamegaNina group ya vijanaa kama twelve . in our

leisure time we discuss our problems and try to solve them. As the eldest I saw that was the best solution. In the olden days we would do crimes such as steal scrap metal and sell, but these days we raise little money and talk about our problems at home and socially. Benard Njenga. Ongata Rongai.

Ideas kw

a vijana

a

Big ups kwa Ma-youth wanao make difference kwa life yao!! Cheki.

Hi DJ B!

Nimependa

magazine yako.

Ambia wasee

wanaweza anza

kuokota taka

each plot kwa

20 bob per week

na kwa month na

kutengeza pesa

mob kama huku

Mombasa.

Nilimaliza chuo 05 maisha ikawa ngumu kiasi, niliamua instead ya kukaa idle nitafute ka-job. Nilianza kupika uji napelekea watu wa mjengo na maboda. Saa hizi nime-manage kununua blenda ya kutengeneza fruit juice, nalipa rent hao, napata food. Ningependa kwambia ma-youths wasingoje kazi za ofisi kwani hatuwezi toshea sote. Watafute vibarua ama waanze biashara kidogo na itakuja kuwainua. Lucy Muthoni. Nakuru.*

Ma-boyz mtaani tulijipanga na MP wetu na ku-save dooh tukaanza project ya ku-buy milk kwa farmers na kuuzia dairies kwa bei poa. Kamaa. Ituru, Thika*

Mavijanaa

wanaweza pata dooh

wakiwa wameenda

chuo ya electronics

wata use hio

education ku-make

invention mob na in

the end wana pata

experience na kudo

mambo fresh na

Kenya ita-prosper.

Ken. Nyayo Estate,

Embakasi.

Hi shujaaz fm

pliz help with

various projects

which can help

me am intrested

2 start 1 that

kan boost my lyf.

doris

Sema DJ B. Maze mtaani

kuna waste mob ya

food. Idea ya kukeep

nguruwe ni poa. Pigs

feed on waste food na

zile mamboga zimeoza.

Evelyne Karimi from

Chuka , Meru

Doris, Cheki ideas murwa

nilizotumiwa na mafans wa Shujaaz

FM!!!

12

Page 12: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

Big ups kwenyu mafans

walionitumia SMS’s poa kwa wingi! Kweli Shujaaz

imewabamba. Keep them coming!

Tunaweza kuwa-help mavijana ku-survive kwa kuanzisha biashara, kuzifufua talent zao. Dye nilijaribu ikanisaidia kidogo. Emmanuel MusoSi hu-make compost manure na ku-sell but at times tuna-apply kwa mboga si h u p a n d a . Big up DJB! Carol f r o m Nakuru

P i a kuna hii story ya green houses doing green grocery and real its bringing cash and us as the youths we have enhanced and its making dooh. Michael from KiambuNafanya job ya ushamba boy tena

mayai boil Ongwaro. OmbatiKile nina-do ku improve life yangu ni kuuza chai @20 bob na kuosha

ndai. Kadzo. Athi-RiverNiaje DJ B? Me na bro wa mine hugrow sukuma tuki-use money

maker hip pump. Me na-pump na ye ananyunyuzia. Faustin.Tumeanzisha project ya

kuchangiana pesa ili kutusaidia vijana. Joash Soita. Naitiri, Lugari

My project of kuku kienyeji is booming. Kuku 1 ni 500 bob. I regret wasting my time working in a bar in Mombasa for five years. Willy Muindi Mbooni West. Machakos.

Ufanisi youth group we rear goats, chicks and planning to open a c o m m u n i t y library. Elikana Wafula. Mukhe, KakamegaNina group ya vijanaa kama twelve . in our

leisure time we discuss our problems and try to solve them. As the eldest I saw that was the best solution. In the olden days we would do crimes such as steal scrap metal and sell, but these days we raise little money and talk about our problems at home and socially. Benard Njenga. Ongata Rongai.

Sema DJ B? You guyz have

really inspired me, nimeanza

kujiona kama shujaa! Nataka

kuambia mayouth wa-put effort in

whatever wana-do juu hardwork

always pays. T Mimi ni Roba natoka Mombasa

hio story

ya Shujaaz

imenibamba nimepata funzo kali

sana.Nilisoma mag na hiyo ni poa tu

sasa. inashow mavijana tuko

set. Thanks so much kwa ku-bring

back ile burning fire ya mavijana.

Lucie Kent Nanyuki.

Niaje DJ B, articles zenu zinani-

encourage tu sana. lm just from

high school 2009. Bravo. Winny .

EldoretMaze hiyo mag yenu iko juu tu

sana inanifunza kumake the

best out of life and to see every

challenge as an opportunity

Well done Shujaaz FM comix

yenu imenibamba sana

nimejifunza mambo mengi hasa ile

ya chakula cha kuku. Kuanzia leo,

kuku zangu zitashiba na pia

nimejifunza jinsi ya kunyunyiza

maji shambani kwa njia rahisi

sana na pia nitaanza ku save

pesa pole pole. Yaani guyz

mumenifunza asanteni na

endeleeni hivyo hivyo.

Nawauliza wasomaji, ni nani

kama Shujaaz FM? Nipeni

jibu. Sauda Omar. Mombasa

Mimi ni mkulima

ituru,Thika. Ningependa

kutumia pump badala ya

mitungi kunyunyuzia

nyanya na mboga zangu

maji. Andrew Kamau

Secret kubwa ya ku-save dooh

ni kuavoid ku-spend dooh kabla

huja-get. Yaani madeni irrelevant.

Christine. Kahawa

Mimi ni mtoi wa class 8 lakini

kila saa nipatapo doo mi hu

save ata niliopen account na ikona

doo mob sijawahi waste.

Vijanaa tujipe tu moyo. ya

ngumi haisaidii. me mwenyewe

nimejua ku-save. Sasa maisha

haisumbui maisa masai . Mtito

Andei.

Big ups kwa Ma-youth wanao make difference kwa life yao!! Cheki.

Hongera kutoka

mafans wa Shujaaz

Hizi ni v

iews ku-

toka kwa

mafans

juu ya sto

ries za

Chapta 2

SMS

Njia ingine ya ku-save doh vinoma ni kumake organic fertilizer. Ni easy na hu-make plants zi-grow fast. All you need is kitchen waste (Maganda, food remains but no plastic/glass). Dig pit deep kiasi na weka waste kisha mwaga mchanga juu. Funika na maize stalks. I-turn every 2-3 weeks and in 2 months itakuwa sare. Ikiwa dry sana sprinkle maji juu. Miliana Khalwalepo. Rongai*

Ma-boyz mtaani tulijipanga na MP wetu na ku-save dooh tukaanza project ya ku-buy milk kwa farmers na kuuzia dairies kwa bei poa. Kamaa. Ituru, Thika*

Kaa we ni poet unaeza chorea machuo poems za music fest, u-sell. ka mimi! Christine. Kahawa*

Endeleeni kunitumia

SMS za nguvu kwa 3008 na kama kawa, zile poa nitaziweka kwa next

chapta ya Shujaaz FM plus nina T-sho’s to win!

Wale wasee walio na kwa messages ndio wameshinda T-shirt ya Shujaaz.FM.

Congrats guyz!!

Kunitumia SMS ni @ 5 bob!

Msisahau kuandika jina na location!!!

13

Page 13: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

1) Pot belly- Mbotu2) Sun glasses- Digaga3) Oi!- Kushangaa4) Risto-Story5) Mishoni- Mpango6) Wajanjez- Watu wale

wamejipanga (organized)7) Zii- Hapana8) Dooh/ mkwanja- Pesa9) Sooh- Hundred bob 10) Gangare- Kuwa

macho au alert11) Mulch- Mabaki ya mimea

baada ya kuvuna12) Silage- Mimea inayo-

ferment-iwa na kupewa wanyama

13) Mtaa- Estate14) God papa- Kofia inayovaliwa

sanasana na matajiri ili kuonyesha cheo. Inakaa kama ya cowboyz

15) Ashu- 10 bob16) Bonga- Kuongea17) Bwerere- Free18) Cheki- Ona19) Lenga- Ku-ignore kitu20) Timamu- Kuwa sawa (Enjoyable)21) Githafu- Mathematics22) Jiwekelea- Kulala23) Mode- Teacher

Nitumie zile mgependa ku-share

Sheng Dictionary

Shujaaz WebsiteShujaaz FM Kwa Redio

Mchongwanoz Motomoto Kutoka Kwenu Mafans1. Babako ni fala hadi ana-

fence gari isiibiwe 2. Ati tumbo yako ni chafu

hadi minyoo wanatapika 3. Nyumba yenyu ni ya round lakini

mnang’ang’ana kulala kwa kona 4. Ng’ombe zenu zimekonda hadi

zinakamuliwa milk powder 5. Wewe ni m-short mpaka

unakiss dame yako na straw 6. Unameza tape unanyamba wimbo 7. Paka yenu ime-watch Nigeria

movies sana mpaka ikilia inalia miaaaooo, oga uche

8. Uko na mdomo kubwa hadi ukicheka tunaona roho

9. Wewe ni official hata ukinunua bamba kobole unatumia money order.

10. We ni mfupi hadi unacheza rugby na njugu.

11. Shujaazfm: Kuku zenu zinapenda musik hadi wezi wakija zinasema ibeni kila kitu muache radio.

12. Kwenu kumekauka mpaka nyi huokota mahindi choma.

13. Wewe ni mkonde hadi ukilala unapiga nduru

14. Wewe ni mkikuyu sana hadi ulibatizwa na supu ya githeri

15. Nyinyi ni machopi hadi lastborn wenu anaitwa chemistry.

16. Gari yako ni mzee hadi ikiwa tired inasema "mifupa"

Cheki www.shujaaz.FM kwa net na utaona chapta 1 na 2 ya Shujaaz, utanicheki on facebook na twitter as [email protected]. Go on, kuwa friend ya mine na tutaongea zaidi online.

Msi-miss kuniskiliza

kwa hizi radio stations

nitakazopenya. Julisha

mabeste wako. Utaskia

ideas poa za mafans

walionitumia SMS on 3008

1. QFM- weekdays@4PM

2. Pamoja FM -

weekdays@4:10PM

3. Koch FM -

weekdays @4:30pm

4. Radio Lake

Victoria

14

Page 14: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

Mnataka

maji….Chagua godpapa!

Ati mnataka?...

eeeh?...

itakuja!

Stima?

ataleta!

atawapatia!! Hata hiyo, godpapa

atawaletea!nitamwambia!

Ni muhimu tupate water connection iliyo karibu

kwetu.

Lakini tunahitaji nini ili kuwa

na water connection?

Si tujaribu tuwekewe maji kwa

mtaa Lakini tutatoboa

kweli?

Tu-applykwa watu wa water. Bora tujiunge pamoja

15

Page 15: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

Sasa tupange watu,

tuchimbe mtaro,

wa-connect maji

Inakuja mkichagua

godpapa tu!

Chagua godpapa na mtapata maji!

Maria, Leo tuna-connect-iwa

maji!

hahaaaa!!

leo!aki ya nani leo

nitaoga!!

Imechukuwa muda mrefu!

Najuwa watu watajitolea

Maji?

ataleta!!

Maji?...

mimi chuxx nawaambia...

tuchague mtu wetu godpapa!

16

Page 16: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

Pigiazima moto

simu!! pigia redio!!!!

Moto!!!Aaauuuiii!

17

Page 17: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

ni naani?!

ni sisi!!

Hii ni saa ngapi kuamsha

mkubwa?

Si wewe ni wa kabila yetu

chuxx,kunaungua!!

na tunapigia godpapa kura...

tusaidie!

ah! sio nyumba yangu inaungua!

Pigieni polisi!

Oi!

cheki!!

na hawatusaidii!!

Ala? ‘pigia godpapa’!

Ile mfereji ya mtaa

imetu-save!

Pangeni laini….

Pitisheni maji!!

18

Page 18: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

Thankx, jana mlijitolea

Asante. ni wewe ulitupanga

Kama sio wewe hatungekuwa na maji

ya mfereji

Chuxx ni maneno tu!

hebu nitumie djb sms nimshow risto yetu!

Lakini vitendo, hakuuna!

Si tukuchague badala ya god-

papa?

mimi niko chuo. Nilifanya what was

needed, sio kutafuta cheo

Apana...

Ili kupata community connection ya maji unahitajia) Enda kwa nearest water service provider upate application formb) Enda na certificate of registration kutoka kwa social servicesc) Mtalipa 2,500/= ya wasee wale wata-survey community yenu. Baada ya kupata approval ya kuendelea na registration, Mtalipa deposit

d) Community members watahitajika kuchanga ama kupata dooh za kusaidiza connection ya majie) Community huwa organise jobbo ya ku-lay pipes na baadaye watu wa maji huconnect maji.

Kila msee anaweza kuwa leader akijuwa skills zinazohitajika. Hizi skills zinaweza saidia ku-identify na kuchagua leader mpoa ambaye;

a) Ni mtumishi, msaidizi, mwalimu na leader

b) Huchukua muda, kufikiria kabla yaku-take action

c) Huchagua maneno yake kwa makini kabla kuyasema kwa anao ongoza

d) Huwa na mwelekeo na hu-direct watu ku-achieve goals

e) Huwa na concern ya ku-serve community

f) Hu-develop waonafanya job nao ili kuleta the best in them

g) Huskiza na kusaidia ku-develop umoja

h) huona potential ya kila mtu kwa community na ku-encourage watu kujiendeleza.

i) Anaona wale anaongoza kama partners

j) Husikiliza na kuelewa mahitaji ya anaoongoza

k) Huwa ana share challenges na anao ongoza, ku –invite, ku-share ideas zao na kusikiliza ideas zao za kusolve shida.

Leader mpoa

19

Page 19: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

aki purity hii job ina udhi...

hizi tripzinatumia dohmob sana... situchome hizi

stover badalaya kuziuza?

taabu unateta?nilikushow, hizi stover

ndio doh mob zenyewe. ni

feed, namulch...

...nacompost,na silagepia, na...

woi!

20

Page 20: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

chukuapena yakoya pili...

21

Page 21: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

wasalaaleee! akipole charlie!

?%*#%@^$}! cheki tena. sasatunapoteza muda

na tungekuwashambani.

wewe! kwanihuoni

umuhimu wahizi stover?

zii! si tuzichomee hizostover kwa shamba?

zinachukua space mob,time na doh mobkuzitransport natukiuza ni kidogo...

uko poa?

niko poa, lakini nadhanitumepoteza ball chini ya

hizi leaves...

tutatoa wapiball ingine?

tutengeneze yamajuala na tutumie hizi

leaves ndani?

haina shape!cheki!

nizichome na nifood ya ng'ombe?! aki

wewe!

oi!

inamalizachapaa!!!

aI!

22

Page 22: 03 - Shujaaz.FM - Chapta 3

cheki hii ballilikuwa kubwa,sasa imekuwa

small...

?

si mnaeza tengeneza

squares kamawatu wa bricks?

hiyo inaeza work?

na pia ni mob;tutatengeneza

aje?

nilisikia juu ya njia fulani tunawezakutumia...

purity! nimegetmethod

tunawezakutumia!

leo tumebebamob! tutauzachapaa nyingi!

sasa nina chapaamob... si nikubuyie

kanyama?

wacha nitextieboyie ujumbe

huu mpya!

Kutengeneza balesMara mob, wAsee huwa wa-nachoma mabaki ya mimea after kuvuna. Lakini hiyo mabaki ni food poa ya wan-yama na wanaipenda sana. Wakulima huwa wanaona ku-transport mabaki haya kwa shamba ikiwa expensive. Kutengeneza bales za ma-baki ya mimea itafanya ku-transport mabaki cheaper by 60% juu ni rahisi kubeba.

Unahitaji kutengeneza wooden box na ni simple sana

1. Tengeneza box ya 75cm x 50cm x 40cm ukitumia mbao. Unaweza saidiwa kutengeneza hii box isiyo na lids kwa side ya juu na chini. Hii box inaweza chukuwa 12Kg ya mabaki ya mimea.

2. Weka uzi mbili za sisal ze-nye urefu wa 2.5 meters

across san-duku itakayo funganisha mabaki ya mimea pamoja

ili kutengeneza bale.3. Weka mabaki ya mimea kwa

wooden box na ui-press ndani kwa kukanyaga ili ku-ipack na mabaki iliyo compact.

4. Funga mabaki ya mimea ilio kwa sanduku tighly kwa kutumia uzi ya sisal na ku-kanyanga mimea kwa box .

5. Ili kutoa bale yako, ina-misha box na uivurute kwa kutumia uzi ulizofunga za sisal.

Jua Ili leaves za mimea zisi-break tengeneza bale, asubuhi wakati hakuna

joto Weka bales pahali haitan-yeshewa au kupata maji

Tengeneza bales ukitumia leaves a mimea, halafu tumia stalks kuwa mulch kwa shamba na kuten-geneza compost manure.

Kutengeneza bales kwa ma-baki ya mimea ni simple sana. In that way, utabeba mimea mob kuliko mabaki yasio kwa bale. Pia, utaweka bei kwa bale utakayouza.

160 kg ya ma-baki

260Kg ma-baki ya mimea ambayo ni 100 Kg zaid

23