Upload
well-told-story
View
321
Download
6
Embed Size (px)
DESCRIPTION
CHeki Maria Kim aki-meet mzito fulani wa Kenya...hutaki kukosa hii stori.
Citation preview
CHAPTA 37
Not for sale
KUJENGA KENYA
The CJ + MK!? Cheki Ndani...!
imebaki tu siku tatu
kufika elections...
i’m sure this time kutakuwa
ku-peaceful.
watu wako na faith na system ya this time...constitution MPYA
inabadilish kila ktu!
eeh... i’m sure kila mtu anataka
ku-vote vipoa na peacefully
wah! cheki chuxx!
anafanya nini?
chuxx!!mbona unaharibu
poster ya wenyewe?
lazima godpapa a-win elections!
asipo-win tuta-fight-ia justice!
justice? wewe!! this time
mambo ni tofauti!
watu kama nyinyi mtaenda
jela!
sasa dad? nime-come na
mgeni.
maria kim, karibu! nilikuwa
nimeenda kununua sukari. tuko na mgeni.
njoo mumsalimie...
wah!chief
justice!
yes, willy mutunga. wewe ni maria kim,
sivyo? nimekusikia
sana!
nimesikia vile
una-fight corruption
huku kwenu!
hehe! lakini wewe ni kakali! si tuende pale hivo niku-buy-ie kauji
hivi?
sitaki uji
yako! nina
date na j.k.!
agh! j.k. kila wakati!
baadaye, kwa kina j.k....
Manze mmetu-help sisi masafara ku-mek dooh na mmetu-help na hii election. God atawa-appreciate. - Ibrahim Shune 3
maria kim, unanikumbusha
sana vile nilikuwa m-young...
yes!Nili-grow up Kitui na baba
yangu alikuwa tailor. Family yetu haikuwa dosi sana kwa
hivyo lazima ninge-work hard chuo ili niwe na maisha poa
baadaye.
nikaenda Nairobi University na after hapo nikafanya job kama
human rights lawyer. Baada ya miaka nyingi nikapata recommendation ya
prezo ku kuwa Chief Justice. baada ya interviews mingi, nili-vote-iwa kwa ofisi na ma-lawyers na wananchi!
Hii inaku-show hard work na ku-stick kwa principles zako inaeza
badilisha life yako. Maria Kim usi-give up ju
haujui future yako!
maria kim na j.k., si
mnitembelee kwa supreme
court, niwaonyeshe vile justice hu-work?
what?!uko
serious?Niko
serious! Koti ni za wananchi. Si za majaji pekee. Koti ni zetu sote!
Thanks! Tuta-come na nita-recordia
DJ B!
sawa...hebu gota vile nyinyi ma-youth
hufanya...hehe!
aki?
Kitu moja yenye napendea shujaaz. Wasee wanatupa ma ideaz mob ya ku-mek dooh & also how to tackle problems. - Aliyah Babez4
5
Hey DJ B! Hii ni mwaka wa election na vile mavijana wanasaka dooh in every way possible. Just continue talking 2 us. U hav a gr8 impact. - Boniface Benson Lelesiit.6
Sasa DJ B? Acha niku-show, leo...
NILIKUWA nilikuwa na siku poa! Lazima mayuts Kenya
yote wasikie hii story!
Produced in collaboration with:USAID, Tupange, RIU, DFID-UK, Galvmed & Marie Stopes Kenya. Distributed by Nation and Safaricom.ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa PRODUCER: Koome MwitiART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared NgugiRESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah FINANCE: Dorothy Acholla DISTRIBUTION: Joram Kioko.Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio
This publication was supported by a sub-agreement from Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health with funds provided by JHPIEGO under a grant from the Bill & Melinda Gates Foundation. Its contents are solely the responsibilty of the authors and do not necessarily represent the official views of JHPIEGO the Bill & Melinda Gates Foundation or the Johns Hopkins Bloomberg of Public Health.
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.
Well Told Story © 2012 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
7
To Register iCow SMS “shujaaz” to 5024
kupata ujumbe juu ya kulinda ng’ombe vyema, text jina ‘shujaaz’ kwa 5024!
leang’ombe
na 5 bob tu!
dream yangu ilikuwa kuenda college, lakini fees hazikupatikana, so nikaanza
ukulima.
nauza crops zangu na inasaidia ku-save dooh za fees, lakini kuna shida kubwa ya maji yenye ina-threaten hiyo mpango.
Jina: Bubi A.K.A. Yvonne NjeriMiaka: 20
Base: Syokimau
Napenda sana ma-electronics na radio. So nimeamua kujenga pirate radio station - Shujaaz.FM! DJ B mwenyewe, ndani ya nyumba!
BOYIEBOYIE
Fuata Steps KUPATA
MAJI
Hae DJ B, 2dy it was mai 1st dy 2 hear ua voice on air kw Qfm bat nimekuwa niki-read magazine yako na uwa inanibamba na ime-change life yangu. - Earnest Kip’z Honest.8
Ever since tulihamia
Syokimau, imebidi tununue maji.
SO nili-approach mamangu
nikamuelezea habari nilikuwa nimesoma
kwa shujaaz.
nilim-show stori ya charlie stori ya charlie pele ya water
rights, na alikuwa excited sana
(mathe ni fan wa shujaaz FM).
nilihitaji solution ya hizo shida.
na bei ya kununua maji na
kulipa msee wa honda ni ghali. hizo vitu zote
zina-make farming ikuwe hard
sana.sana.
crops zangu zinahitaji maji, lakini syokimau
ni area dry sana na maji ya
borehole ni salty. salty.
Usikonde manze don’t give up on ur job ata iki-fail poa. Unaona vile supa strikers iko down hadi umeishinda kwa market! keep up booooooom!!!! - Brian Maranga. 9
ikuwe
inatu encourage ku-take action,
kama vile charlie ali-do aki uliza mp
wao story za maji...
Hi Dj B! Manze uko juu tu sana aki umeni-inspire hadi nime become hero kwa district yetu. Thanks a lot kwa ile stori ya coloured chicks. - Innocentho Okumu.10
WALICHAMBUA
TUNGOJEE
Manze mko yuuest! Keep it up maxe! tembea maxhambani mcheki venye watu wana teseka espescialy gals plz. - Kevin Moseti. 11
napenda shujaaz FM sana, favourite characters wangu ni
charlie pele na maria kim. shujaaz inajenga mayuts. inaweza kusaidia
kuanza bizna peke yako bila ku-depend kwa mapero. ni comic ku-depend kwa mapero. ni comic
interesting sana.
kuna time niliskia show ya DJ B kwa
Ghetto Fm, kwa mat, lakini baada ya hiyo time imekuwa ngumu
kui-get.
nimekuwa nikisoma shujaaz since
ianze. mbuyu wangu ananunuanga magazeti ananunuanga magazeti kila siku, na saturday ya kwanza kila mwezi
mimi na bro tunangojea hiyo
comic.
tume-rear rabbits, tume-plant sweet potatoes,
tumejaribu water harvesting, na hata sukuma harvesting, na hata sukuma in a sack! kuna time mathe
hata alituma SMS kwa 3008 ku-show DJ B juu ya hizo
sweet potatoes!
nili-make mathe pia a-fall in love na shujaaz fm. pamoja
tumejaribu ideas kadhaa kutoka hizo
pages.
12
hiyo project ya water harvesting ilikuwa ngumu - kwanza tulichimba shimo na tukai-cement. halafu tuka-direct ma-pipes kutoka roof mpaka hiyo shimo, lakini shida tulipata ni hiyo shimo
ilishinda iki-crack baada ya kui-cement.
hizo idea zingine
zimekuwa amazing.
asante DJ B!
Hii story ya BUBI ni noma hadi detail zingine tuli-censor. kama unataka hii info ju ya rights ya
kupata maji text jinaThe first 1000 people
watatumiwa
na address yako kwa “maji”
www.shujaaz.fm
‘Fuata Steps’ Guide!
Au ukitaka radio recording, soft copy na videos enda u-download
kutoka
Hi dj b,nimelan alot about kids kwa shujaaz chapta 32 na nita-put hiyo comic buk hadi tym yangu ifike n u guyz r teaching us alot. big ups:-) - Kayla Dedesh. 13
14
15
wachana na mambo ya elections!
wewe haujafika
age ya kupiga kura!
tuongee juu ya
elections siku
utakuwa na id!
hehe! ati kura? sasa wewe
mtoto unaniambia nini? mimi sipigi kura, nafanya
biashara!
chuxx!! hii ni mara ya pili nakuona ukirarua
poster ya wenyewe!
oh, maria kim...
hehe! mimi nataka the right person
a-win. na the right person ni
godpapa!
slim... sifa! mbona mko sad
hivyo?
hata wewe unakaa m-sad...
ni hizi story za
elections...
kwani hakuna kitu mayut
tunaeza-do ku-make sure zitakuwa
peaceful?
tukibongesha ma-adults
wanatulenga... ni kama hawatuoni hata...
i’m warning you! vitu zitakuwa different this
time!
watu kama nyinyi mutaenda
jela! constitution ya saa hizi si ya
mchezo!
hata mimi nimeona hivo. sasa tuta-do?
tujaribu kubongesha
councilor, maybe atatu-help.
hiyo ni idea poa. twende!
ati?
hahaha!
aki!
slim ana-try kumbongesha babake juu ya elections...
sifa naye na shosh wake...
Kwingine mtaani...
kwa councilor...
njiani akielekea home......
hahah
a!
hahah
a! yaani nyinyi watoto ati
mnataka tuongee juu ya elections?
ey... si masomo siku hizi ni free?
ebu endeni shule. achana na
elections.
16
sasa djb? eh! leo umenipigia
simu!sema
maria kim! dem wa vungu! leo umekuwaje?
ah, sijakuwa poa sana...
maria kim, nini hizo?
hizi ni pledges toka kwa dj b.
kila myut anafaa ku-get signatures
tano toka kwa adults...
ma-adults wata-sign pledge,
na kupromise wata-keep peace
time ya elections!
eeh... nishasikia hiyo risto. niaje, nina
mpango fulani, na-need
unisaidie ndio i-succeed...
hiyo mpango ni kali! niko
ndani! kesho basi!
nisaidieni kuzisambaza!
make sure kila youth mtaani na shuleni ameget
copy!
wabonge na ma-adults karibu nao, wa-get hizo
signature kabla ya march 4th!
I KNOW YOU CARE ABOUT KENYA.
I KNOW YOU ARE PATRIOT. I KNOW YOU CARE ABOUT
MY FUTURE...
nime-get signatures tano!
na wewe je?
after kuambiwa mpango...baadaye...
keshoye...
17
18
19
20
21
Hi Djb, mie nilimada chuo 207 cna doo ya cole, niliamua kuanza kazi ya kugonga mawe iwe kokoto, nauzia watu 400/ kwa wilbaro. - Rodgers Terem, Bondeni OlKesem. 22
Big up Dj! Tunaku-congratulate sana kwa kujenga mayuts wote Kenya. - Ruthy Wanja.Hae! I luv tha way u help si mayuts thanks 4 dat. - Lynn Kenly. 23
Hi, DJ Boyie unabambisha mbaya nimecheki kwa nation leo. - Nixon Masiar. Hey! Dj boyie uko tu majuu hadi watu wanakuita DJ Majuu high. - Boniface Maundu.24
boyie
Niaje Dj B mixing zako zina nibamba, uko juu tu sana. Keep it real buda! - Dancan Sengia Kalasinga. Hae Dj B, Shujaaz.fm inabamba tu sana. - Gerald Muvengei. 25
Happy New Year Dj B na ukuwe na nguvu za kutusaidia ma-youths this year. God bless your work. - Blessed Dorothy. Dj b show yako iko juu tu sana. - Evans Kanyua, Gatanga.26
Mzea manzee congrats fi ua gud job kip de candle blazin nxt year. - Bob Fi Gully Bwoy. Uko topz kaa nundu ya ngamia. Endelea kuchapia mayut izo teachinz noma. - Kim Mbugua. 27
Mazee Dj b, umetu-help tu sana si mayuts. Endelea mara dat dat. - Eldon Okingo Ochieng. Thanx 4 yo advices jo mmenijenga. Kip it blazin Dj B! - Con Kataka D’NaughtyBuoy.28
Niaje boyie coment zako ziko juu 2 xana na zinaweza encourage ma yout 2 xana nikiwa msee wa kwanza. - Voke Kathiaka. I like ur ideas, keep it up! - Hesbon Matoke Nyagaka. 29
shosh nini mbaya? unajiskia poa? nikuletee dawa?
hehe, kazi ishaisha mwanangu, vile
nimeanza kutumia biogas kazi kwisha..
sisumbuki na kifua sababu ya moshi!
hakuna!
eh! UNAJUA NILIKUWA SHULE KABLA TUPATE UHURU. hebu kaa hapo kwanza nikalete hiyo
githeri tamu ya bio-gas
eish.. gITHERI KILA SIKU..KWANI NI DAWA
EEEH, SA VILE UME-RLAX UNAEZA
NISAIDIA NA HOMEWORK YANGU
SHOSH?
na hata mgongo yangu haumi siku hizi tangu niache kubeba kuni
he! na unona vile skuma inamea.
eh shosh, harufu ya samadi haikusumbui!? NA NZI KUJAA KILA MAHALI?
Exactly my broda. I realy love ur work coz u really inspire us. Afte poa! - Susan Onwong’a. Niaje Dj B! Manze tnx kwa ku-advise mayuts truly u r our hero! - Zizu Gonjobe.30
bei nafuu
ni safi
ina save doh
inatengeza stima
ina-save time
ni-safe kutumia
inaokoa ma-forest
ni rahisi kutumia hata
watoi wanaeza itumia
si nzito kwa hivyo ni rahisi kuipeleka pahali unaihitaji
si lazima uwe na ngombe ndio utumie bio-gas. unaeza tumia majani
hiyo mbolea inatokana na bio-gas ni poa sana kwa mimea
SAIDIA CUCU WAKO A-FEEL M-YOUNG TENA, MWAMBIE
VILE HII BIO-GAS NI noma!
seriously wasee, hii bio-gas ni noma - haisaidii kwa nyumba
pekee inatengeza mbolea poa sana ya kuweka kwa mimea
UKITAKA KUJUA ZAIDI JUU YA BIO-GAS, TEXT JINA ‘BIOGAS’ KWA 3008 NA USISAHAU KUANDIKA JINA YAKO, miaka na place unaishi
Hi shujaaz, your show is great u r enlightening youths & be blessed. - Diana. DJ B napenda comics zako. Leta show kwa TV. - Ronaldo Messi umo.