32
CHAPTA 4 Magangs wata-discover DJB ni nani? Malkia: Riot shuleni! Maria Kim ana-search answers Charlie Pele atajishindia manzi na a-feed family yake?

04 - Shujaaz.FM - Chapta 4

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 4 - Full Comic

Citation preview

CHAPTA 4

Magangs wata-discover

DJB ni nani?

Malkia: Riot shuleni!

Maria Kim ana-search answers

Charlie Pele atajishindia manzi

na a-feed family yake?

BOYIE

boyie...niaje zile doh zetu?

doh? mimi sina doh!..lakini naweza wapatia idea za kuwapatia doh!

wacha upuzi!

BOYIE

o z u?

w z ap a ide za kuw pa ia d h!

BOYIE

ku a at a !

3

nini nyinyi?

kades sema!

wacheni kusumbua chali wangu. nyinyi mumezoea sasa, niliomba loan kuendeleza bizna yangu alafu mnataka kula jasho ya watu. fanyeni job acheni kutusumbua!

ati tuchore bizness plan?

sisi tunakaa kuvaa suti?

wewe leta kichwa tu, lipa ama utachangaa!

tafuteni job! achenikutunyanyasa! ishieni!

walikuwa wapi nikikazana na bizness plan ya kuomba loan?

mambo vipi? dj b hapa...shujaaz fm. nimepokea sms kibao toka kwa ma-fans ambao wali-applyyouth fund na wakatoboa!..na kwa wale ambao bado mnakazana na business plans - -

4

hello kades vipi...

wacheni tubonge na msee mmoja alijikaza na sasa ametoboa...

poa dj b! sema...

nataka utu-show vile ulitoboa kupata loan.

aaah hiyo... niliandika business plan nikisema juu ya buzna yangu...

yaani nataka kufanya nini, nitauza vipi, bei, nitashinda aje ma-competition. yaani ni mpango wa kujiuza poa!

5

ala...si hiyo ndio kades alitu-show tukiwa na boyie?

alijuaje?

labda boyie ndiye dj B!

tumsake jamaa!

waazi kades. najua ma-youth wengi wameguswa na story yako. wajikaze jamaa. maisha ni

ku-struggle, lakini ukiketi tu fwaa hakuna kitu uta-get.

poa jamaa, story conscious kutoka kwa kades hapo...

basi tupate ngoma kiasi...

we, toto, wapi boyie?

alitoka...alienda huko...

huko? wapi?hayuko home?

6

alisema anawatafuta eti kuna chapaa mnadai na anataka kuwalipa!

tukimbie jamaa...

na si boyie yuko kwa keja.

phewks!

hadi next time jamaa... shujaaz fm. bye!

boyie...wale jamaa walikuwa hapa kukutafuta!

7

jamaa gani?

wale wa kutisha tisha. nikawa-show umetoka!

poa sis. nilijua tu wewe una ni save sana!

niliwa-show unawatafutauwalipe doh zao za security!

ati! toto! umeharibu mambo sasa!

Umewahi jaribu ku-sell idea yako kwa wasee ili kupata financial support ya kui-make a reality? Ni muhimu ku-organize ideas zako venye zitafanya watu kuwa willing ku-support.

Bizness plan ni document inayo-show goals za bizna na vile una-plan ya kuzi-realise. Ni njia yaku sell idea yako. Biz-ness plan inasaidia ku-develop idea ya ku-tumia dooh za kuanzisha au ku-grow bizna ili ku-make profit. Ina-explain vile bizna yako itapata capital, na venye products zako zita -manage-iwa na ku-market-iwa.

Jinsi ya kuchora bizna plan1. Andika kwa ufupi juu ya business idea yako. Eleza mambo unique juu ya idea yako. Hii huitwa executive summary.

2. Eleza watu watakao-involve-iwa kwa bizna yako, qualifications na skills zao ambazo zitasaidia kuendeleza bizna.

3. Location: Eleza Sababu ya kuchagua location hiyo ya bizna.

4. Plan ya vile bidhaa zako zita-market-iwa ukitumia hizi points:

a) Ni kitu gani unique kita-attract cus-

tomers’ kununua bidhaa zako?

b) Ni bidhaa gani customers wananunua currently kwa market, competition ya bidhaa zako ni gani, na gap yenye bid-haa zako zitajaza ili ku-meet mahitaji ya customers?

c) Ni njia gani umetumia kujulisha cus-tomers juu ya bidhaa yako kama kuwa na fair price?

d) Kama kuna uamuzi umefanya ulioletwa na ku-research juu ya market?

e) Ona vile sales zitaendelea in the fu-ture ili u-make profit?

5. Finance- Predict mambo yale yatafanyika ili u-make profit au loss in the future.

6. Vitu zenye zitahitajika kwa bizna:

a) Assets- Mali na vitu ulivyo navyo vya ku-run bizna kama equipments.

b) Capital-Andika kwenye utatoa dooh za kuanzisha ama ku-grow bizna

Andika bizness plan ukiambia DJ B views zako on the story kwa SMS on 3008 or email: www.shujaaz.fm

Realize dream yako na ukuze bizna yako na bizness plan

8

...ati nilisikia ma stude wanataka kuchoma chuo...

ulisikia wapi?

n-n-nilisikia kwa shower,a-a-ati the princie

a-a-a-ana stress watu...

sir,there is lots of

tension in school.the students want to

strike.

nani ring leader?find out who it is and report back

immediately!

they say that you are too harsh.

strike...why!?

jut when we are about to do

exams!

mazee knnoma,tu--show pinie!

9

prefects wana-bullymastude pia.

ati chakula hakipikwivizuri...?

yenyewe hiyosio poa

mambounderground

wazeiya...sikizeni kila kitu.

hapa ma form 2’swanatumonolise

kila siku.

ati kwani princieana-stress

kivipi?

pole form 1’s,kila stude ako na

kitu ya kusema lakinihawaskiki.

mtu mmoja tuanaongelesha mastude

...it’s malkia!!

aaah bana,ukipatwa huja-tuck-in

shati, unapewasuspension

kuna tension mobkwa chuo na waseewanataka kustrike.

shida ni gani?

10

sir, it’s malkia who isleading the strike

she ia also saying you aretoo harsh,

she is addressing a meeting inthe assembly hall

she’s inciting students

by telling them lies!

kuna tetesi nyingineniongezee

kwa hizi kisha nipelekeeprincipal hii list?

you see principal!you see!?

malkiais incitingstudents to strike!

msiogope ongeenifreely

loud mouth girl...she will know

who i am!!

11

strike?! in myschool??

really!!?!!

Ididn’t knowabout any of

this

i will suspendthe culprits!

bookshazitoshi!

ma-form 2’s wanaibanyama zetu

tuna-discriminatiwasababu ya kabila yetu

sir, the prefectshave not given you the

right information.

if we can meet oncea week and discuss ourproblems we can avoid

such an incident infuture.

ohhh... sikujua mna shida hivi...malkia, naona students kukutana na

kusema shida zao mapema ni vizuri ili zitatuliwe. au mwaonaje?

tutachagua ma-officialswa hi bunge halafu itwill be made official.

si muwe mkikutana kila wiki alafunaletewa ripoti kuliko kusikiafununu kuwa mnataka kugoma.

we get stressed about exams

and some studentsdisrupt classes

12

Ni muhimu dialogue iwepo kati ya students na administration shuleniMinistry of Education ime-support ku-form-iwa kwa school council ili ku-replace prefects kwa shule in the next 2 years. Hii itafanyika kwa usaidizi wa Unicef na Kenya Secondary Schools Heads Association. Student representatives huchaguliwa na mastude, na kukutana na mastude ili ku-ongea juu ya problems shuleni.

School Council inaleta Democracy kwa shule

Sababu za kuwa na shida kwa shule:

a) Pressure ya ku-perform: Teachers na wazazi wana-expect-students ku-perfom highly ili wa-enroll kwa machuo. Mastude hawana wakati wa kupumzika during holidays na instead huenda tuition. Mastude wengine huona masomo si important juu wanaona wasee wana-mada shule na kukaa idle na unemployed.

b) Maparo hawako involved kwa maisha ya watoto wao. Wanapeleka kwa board-ing school na hawa-spend time na watoto wao.

c) Bullying ya mastude espe-cially monos.

d) Prefects huwa wanaon-goza kidikteta inafanya wasipendwe na mastude.

Faida za kuwa na school council kwa shule yenu:

a) Inasaidia kusuluhisha shida za mastude kab-la ya ku-cause demonstrations au strikes. 300 schools were closed down in 2008 as a result of unrest

b) Students wanapewa power ya kuchagua lead-ers na play part kwa kusuluhisha shida kati ya students na school administration. Hii ni muhimu kwa sababu decisions zinazofanywa hu-affect wanafunzi.

c) ita-improve performance: School council itasaidia ku-create atmosphere poa ya masomo na ya shule

Uliza headteacher kama shule yenu inawe-za kuwa na school

council. Tuma views zako juu ya school council

on 3008.

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers.

Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Bridget Deacon Art: Daniel Muli, Eric Muthoga, Naddya Oluoch, Movin Were, Joe Barasa Layout Design: Joe Barasa Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio.

Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

Published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512 www.welltoldstory.co.ke.

Printed by Colourprint Limited.

In collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU.

Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

Ambia mzazi wako kama mwalimu hakuji class. Ambia mzazi wako kile kina-happen shule. Julisha wazazi juu ya parents meetings, open meetings ili wa-attend.

Tunaweza soma na kuandika

Uwezo Ilifanya research kwa 70 districts na ku-test watoto karibu 69,000 wa 6-16 years ili kujua vile

wana-learn shuleni.

Wali-learn mambo yasio poa, lakini kuna vitu tunaweza fanya ili kuyabadilisha.

4% ya watoto wa standard 8 hawawezi soma standard 2 English na 10% hawawezi fanya

standard 2 Maths.

Peer Learning: Watoto walio bright wanaweza soma pamoja na wale wasio bright na itawasaidia kukumbuka virahisi. Si vipoa kucheka watoto wasio-bright kimasomo.

Teachers wana-skip

class

15% ya watoto hawako shule

kila siku

Majamaa, mko-responsible kwa success na failure yenu ya maisha.

Ulijua: Kwa hizo tests the Bottom 10 districts zote zilikuwa from Kenya arid

lands na performance yao ni 3 times worse than the best performing districts from agricultural productive areas.Watoto from agricultural productive areas za Kenya wako mbele 3 times kuliko wale wanaotoka kwa arid areas.

Na kwa nini iwe hivyo? Tunaweza

ishi aje kwa umoja kama Wak-enya wa areas zingine wame-baki nyuma? Ni Muhimu tujenge daraja za masomo ili tuwe pamoja kama Kenya.

By the way, unafanyaje ili ku-improve learning yako na ya walio karibu na wewe? Nitumie ideas murwa on 3008 na utawe-za jishindia Uwezo T-shirt!!

Ili kupata more info, visit www.uwezo.net

14

Maskio zako ni kubwa mpaka ukitigiza, jiko zote

za Kariokor zina wakaAti kwenyu mko wengi mpaka mama yenyu

anawapa chai na sprinklerAti wewe ni mlafi mpaka unaonja maji ya ugali Wewe ni mnono hadi ukianguka watu

wanakimbia kuokota mafutaWewe ni m-slim hadi unavaa pete kwa waistNyinyi ni masonko hadi mkipe kuku zenyu maji

moto, zinataga mayai boiroAti dogie yenyu ni shy, ikiona magondi ina blush.Wewe ni mjinga kupindukia ukiambiwa

uandike 22 unauliza uanze na 2 ipi.

Wewe ni infectious uki-sneez, Osama Bin Rodent

anapata homa ya ngamiaKuku zenu ni noma mpaka zikikula nyasi zinataga

mayai herbal.Siku moja niliwakuta mkishangilia nika wauliza

kwa nini mnashangilia, ukaniambia ni kwa sababu buda yenu alipata kifuniko cha bairo.

1. Machedas-Pesa2. Ngori-Shida3. Pang’ang’a-Kuongea Mob

4. Mthama-Mama5. Mbota-Saa6. Buda, mzae, mzito-Baba

7. Mawaba/mawode-Maji

8. Nangos-Simu9. Dingo/Kauzi-Mwizi

10. Don/mdosi/sonko- Boss

11. Kiruma-Chakula

12. Maparo-Wazazi

13. Stude-Student

14. Bamba/Kukwachu-Kufurahisha15. Node- Nundu ilio kwa mmea16. Kapi/Orifo-prefect

17. Maparo- parents

18. Princie-Principal

19. Fathake- Father yake

20. Kumada-kumaliza

21. Kukinda-Kuuza

22. Rwabe-200 bob23. Chwani- 50 bob24. Tenga/ ngiri/kenge- 1000 bob

Shujaaz RadioHi DJB, I want to know what

time you are live at QFM.

Thanks for your wonderful

stories. Keep up Shujaaz

guyz. Gabriel Kelly. Mutomo

(Kitui South)

Niaje DJB, si you pliz send

me the frequency of

Shujaaz FM @ Mombasa.

Thumbs up fi ya entertain

magazine! Josh.24.

Mombasani.

Sema DJB, endelea na

mchongwano

Huyu ni Adrian kutoka Cheswe village Boyie nisendie sheng dictionary sawa.

Mchongowano

Nitumie mchongwano zingine zimeiva

kwa 3008

Shujaaz.FM comic inapatikana free every 1st Saturday of the month.

Tegea na ujulishe mabeste!!

Visit website yangu kule utasoma latest

Shujaaz chapta 1-4, utaona animation ya Shujaaz, uskizw radio

shows kutoka kwa keja yangu, unicheki kwa

Facebook(DJ Boyie)Twitter (Shujaaz)

Youtube (Shujaaz1). Niandikie mail on

[email protected]. Dunia yote ionane at

www.shujaaz.fm.Kubuka kunitumia SMS on 3008 ikiwa na jina, na mtaa

yenye umetoka. SMS poa nitaziweka kwa chapta 5 ya Shujaaz. FM comic. Keep

texing wasee!

Niskize nikipenya Shujaaz FM. kwa stations

zifuatazo weekdays. Utaskia ideas zile tume-

highlight kwa comic book in detail. Nitasoma sms zile poa kwa hizi shows, so keep texting manze

ili tuskizane na tujengane.1. QFM 94.4FM Nairobi& 87.9FM

Mombasa@4PM2. Pamoja FM 99.9FM@4:10PM

3. Radio Lake Victoria 92.2 FM@ 9:30AM

4. Koch FM 99.9FM @4:30PM5. Star FM 105.9FM-Nairobi &

97.1FM Garissa @11:10AM

Sheng Dictionary

SMS

www.shujaaz.fm

Comix

15

Stephen Odhiambo Oketch. I do home visit within Kitengela area

repairing PC’s and other comp accessories

Kufunguliwa ka-website waweke content yoyote ambayo ni

creative na wauze online cheaply. SAFCOM wanaweza wasaidia. Unajua ukiuza ngoma moja kshs.2 kwa watu 20,000 hiyo ni 40k? Kitu kama ngoma, wallpaper, lyrics, ideas na zinginezo ni possible products za kuleta doh.Vijana tuinuke jo!!!! Kazi zipo. BOBO SHANTY toka ATHI RIVER. “James Karanja”

Hi, Shujaaz FM. Just wanted to give an idea. Ma youth

wanaweza build nursery za ku-plant trees and then wanazi- sell to various people even the government. Eva Maina. Munyu Location, Nyeri

Semaz kuna hii group yenye we started, si

hu-save doh then tunatumia ku-help children homes. Stella from Siaya

Tuili-form group ya mayouth 10 na tukaanza ku-act ma-setbooks

kwa high schools tukilipwa. Right now tuko 30 na tunataka kuji-divide

into two tu-spread. Mark V. Oti. Ruaraka

Hi DJ B, ma youth tuko juu 2 sana, nilianza kukusanya

ma-plastics kwa garbage bins back in 2006, nime-save kwa

bank cash, nimefaulu loan ya ka-pick-up. Ma youth, hii inakaa chafu lakini ina-pay poa. Sisi ndio masonko wa tomorrow, tukae ritho.

Ailsa Wanjiku 11 yrs alijishindia T-sho ambayo amepigwa akiwa mevaa kwa

kunitumia SMS murwa on 3008 na kunitumia picha yake na brother na sister . Anapenda kusaidia

mathake kupanda skuma nyumbani. Congrats Ailsa!

Wasee wakati umefika wa ku-announce winners wa Kickstart MoneyMaker pumps.

Congratulations kwa wote walio ingia hii competition. Manze sms zilikuwa kibao!

Congrats kwa wale washindi wa MoneyMaker pumps!!!

H kwa m

impr kwa in

Shujaaz T-sho

Improve life

yako!

Congrats kutoka kw

a

mafans wa Shujaaz

When are you announcing

the winners?WASEE, whats happened, na

ile game tulicheza kwani

results bado?

Imagine!

nyumba ya

survive kwa k

flowerbed al

from Makindu

1. George Wambua: Ameshinda Super

MoneyMaker Pump

2. Susan W. Njaramba:

Mombasa. Ameshinda MoneyMaker Hip Pump

(Aliye kwa picha)

3. Judy Wambui: Eldoret.

Ameshinda MoneyMaker

Hip Pump

Hi, ni Deno wa Machakos School. Hizi

project zako ziko applicable. Big up to

you.My son and I wish to congratulate you for

your wonderful job. Thank you very much.

Hi DJB. Your magazine is the bomb mna-

show mavijanaa njia za ku-make ma-

bizna. Dude I am telling you. You inspired

me. Hard work never goes unrewarded. Mary.

Money Maker Pumps

Wasee

walio na kwa kwa messages ndio wameshinda T-shirt

ya ShujaazFM. Congrats

guyz!!16

Hi DJB, show na

m a g a z i n i i n a t u j e n g a ambia vijana w a n a e z a chimba dam na wafuge

fish, food yake ni mchwa u-save them 3 times per day wanaweza uzia wenye kuchoma fish mtaani kwa bei poa. After 5months watakuwa na doo za kufungua kabizna ka nguvu. Nancy from Kawangware.Niaje DJ B. Maboys wamemada chuo wanaeza osha magari kwa maesto zao na hiyo mkwanja kutumiwa ku-wahelp financially na pia ku-help f a m i l i a

z a o . Maria, 19yrs, Thome.

V i j a n a nawafichulia

way ya ku-survive kwa kuchimba metal remains na kuuza ni poa kwa kutafuta mikwanja

As far as jobs are concerned youths should take education alot more seriously inorder to be more flexible and to also secure better jobs in future because the world is dynamic. Esir Victor, NAKURU.

Hapa kwetu nimeona wamama wakiuza

githeri, ndengu, njahi zote zikiwa zimepikwa na wana-make doh mob kwani w naokolea wateja wao time ya kuzipikia home. R

Walio karibu na gugu maji (Hyacinth) kama NBI dam, L.Victoria e.t.c. Wavune, wa-make mbolea, wauzie wakulima!

Yours wasee kutoka Kirinyaga near Mt

Kenya Forest. Tunatafuta dooh kwa kuwa na nurseries za different hardwoods which we sell and they are planted in the forest. We get alot from that because we search the seedlings from the forest.

Manze mimi kama youth hii plan ya ku-suply food imeni-help

sana hadi nime-get job huko Western. Nikikumbuka nilipomada chuo, nalia. Thanks jo. Jamie Bikatsi.

Mimi ni mtoi wa 8 na kitu na-do kama youth ni kuchora na kuuzia

watu ili nipate doh. Joyce Faith Syokimau

Mimi ni Mercy from

M w i n g i n i n g e t a k a kuambia DJB idea yangu ya kuuza jungu

mtaani inaniletea doo. So vijana msijidharau kwa kazi mnazafanya.

Niaje mi naitwa Winny from Kisumu. Mathangu anakinda

tomato sokoni sa mi na kinda juala kwa stall yake na na-get doo mpaka sasa nimebank na nitawaiwa loan ni prosper kibizna. Ma-youth tuchanukeni kibizna au sio?

Church yetu ina educate vijana ku-make local produced yoghurt,

ready to drink juice, preparation of detergents and its making money and many youths have tried it, thanks to our Vicar. Michael 19 yrs from Kiambu.

Hongera ma-youth wanao rove life yao a kufanya vitu nteresting

Hizi ni ideas mumenipatia za

kusaidia vijanaa. Kudos!!

Ma-ideas

Tunaishi kwa

a kukodi na nina-

kupanda dania kwa

afu kuiuza. Faith

u.

DJ B mambo? Kuna vile

u m e n i k w a c h u , manze ata wewe ni brainstorm utazidi kuvuma, lakini show m a - y o u t h wasipende dooh ya haraka upesi, one step @ a tym. K a m a h o m m y , Kayole.

Hi DJB, vijana wanaweza get

dooh by ku-collect ma-nylon/gazeti na ku-take kwa recyclers. 1kg ni 20 bob. Deric. Kasarani

Hi Dj B! Nimependa

show yako vinoma.

Napenda ku-show

vijanaa kwamba skills

zako ndogo zinaweza

kupeleka far. ESTHER

M. JOHN from

Donholn(Embakasi)

Hi DJ B, nina idea

ingine ya ku-save

dooh badala ya ku-use

magarine kupaka mkate

na wa-advice watu wa-

buy avocado ndio cheap

na safe. Boniface

Dereba. Kathivo, KITUI.

Youth FundHi Shujaaz, you guyz rock my world. My name is Esther from

Kiambu. You are doing a very good job kuwa-show ma-youth what to do & about youth funds. Sasa nimepata kitu ya kudo all thanks to you keep it that way.

Sa ideas zangu ni mbili hivi. Ya first ni kuwa siku hizi gava

imepatia vijana mkwanja ya youth fund na wakifikiria poa watajiokoa nayo. Kwa mfano mi nina group yangu na tunapanda mboga but ni za export. Nimesaidiwa na Horticultural Crops development Authority ku-get market na pia kupanda hizi mboga. Pia wao siwafanye hivi?

Kukausha fruitsHiyo plan ya mango imenisaidia sana, nimepata faida kubwa. DJB, hii story ya kukausha fruits h h i d Th k

from

LeadershipVipi Shujaaz, me nawavulia

ngepa hii risto ya Maria Kim ya kuwa leader inatu-show difference ma-youth wanaweza make.maze hizo tips za kuget water ni poa,kwani water niuhai.me niko gangare ku study mag ya shujaaz,more fire.albert muthomi .chuka magumoni.

Termite trapBig ups Shujaaz.FM. Hiyo risto ya termite trap ni poa. Nimei-

start. Ninapata soo mbili per day. Dan Njure kutoka Nanyuki.

UbaguziShujaaz imenibamba. Me sina story mob its just i moved in to

Kenya 3years ago na me ni pointy but I learnt kiswahili na nika-join chuo. But guys don’t take you for who you are. Wanasema me ni

kosa kabila but hawajui me ni ocktail. Anyway, me sijali juu mi ni supa bt mesage ni take someone r who she/he is. Nadine

17

Mbona mna-fight?

mtoto mdosi amepata bursary fund na kila mtu

anajua hafai kupata

Ee!! alidanganya na yenyewe sio

poa!!

Ata bro yangu

haku-get…

Ebu nikaulize princie nini ili-happen

niaje?

Asante, lakini zii

nimesikia vile mnabonga,

na naeza help

by the way, naitwa jk

18

Excuse me madam, my

brother applied for a bursary and he

didn’t get itYet some rich kids

were given funds!

actually many parents complained.

something did not go well

But I don’t know why, and

there’s nothing I can do about it.

Pengine uulize chief

Yenyewe mimi hata sijui pesa

ziligawanywa vipi.

Hiyo siwezi jua. Hiyo ni mambo ya

council. Uliza councilor

Unaeza jua huku kulitumwa pesa ngapi?

19

yEnyewe pesa za bursary ni

kidogo

hata sijui zilitumwa ngapi au

kupewa nani

Lakini mrembo

kama wewe, ongea vizuri

nikulipie

Badala ya kunisaidia

unajaribu nini mbaba kaa

wewe?

ebu kuja niku-show

kitu

Yaani huna hata aibu!!

Maria Kim!!

Naeza kusaidia - tafadhali trust me kidogo

20

Huyo JK anataka kuniibia DAME!!

Kuna jamaa wanajiita

open governance

Hapana, wanachukua

information kuhusu matumizi ya

pesa za umma ya kila constituency

Wanapeana bursary?

Kisha, wanaiweka kwenye internet

Wana-show chapaa ngapi

zimepeanwa na ngapi zimetumika Unaeza

cheki kwa internet au u-SMS

Tucheki eneo letu

ala!! CDF yetu

imepatiwa 800 thao kwa bursary!

Please print that

page!

Waazi JK!!

Sasa ni hugs na kisses zenye sijawahi

pata!!!

mtu honest kwa cdf committee

alinipatia hii karatasi

inashow names za

watu wame-get bursary

21

Watsee, chekini hizi print –outs

Ati chapaa za constituency zilipeanwa mob kwa watu wadosi na wasio kwa constituency

yetu

Hii ni noma jamaa, lazima

tu-act!!

Kweli, tumepata info, sasa ni

tu-act!

Tusambaze hizi posters kila

stude kwa kila chuo ajue!

nitahakikisha kila sermon hii sunday ni juu ya bursary fund!!

hata kwa mosque pia!!

ambie chief!

ambie princie!

22

Watu wamejua doh za bursary zilitoka na wana-

show wengine zilivyotumiwa!

Ha! Hawanijui!

Godpapa! Kuna noma!!

Nitawanyamazisha!!!

Bursary inatakikana kusaidia wanafunzi wali-otoka kwa poor families kuwapatia chance ya kuendelea na masomo. Wanao-benefit na bursary ni orphans, watoto walio-affect-

iwa na HIV/AIDS, watoto walio na mahitaji ya kipekee kama walemavu au medical conditions, wasichana huwekwa kando, wanao-perform vipoa kimasomo na waliotoka kwa familia za maskini.

Commitee za ku-manage dooh za bursary zimeun-dwa kwa kila constituency. Members ni local MP, Education officer, KNUT representative, 3 religious leaders, 1 chairperson Board of Governance, 2 PTA chairpersons, 1 Councillor, DO, representative wa NGO au CBO ya shule, headteacher wa girl school na members wengine wawili wanaochaguliwa na committee.

Nita-apply vipi ili kupata bursary fund?1. Chukua bursary form kutoka kwa Divisions Educa-

tion Office. Ni bure. Lazima uwe unaishi kwa hiyo constituency

2. Kuwa na barua ya shule na ya assistant chief au

religious leader na upatie Division Education Officer atakayeipatia kwa Constituency Bursary Committee

3. Constituency Bursary Committee’s huchagua stu-dents watakao-benefit kupata bursary.

4. List ya wanaopata bursary hutumwa kwa DEO na cheques hu-sign-iwa in 1 week na kutumwa kwa area officer ili aweke signatures mbili

5. Cheques za stude wale wame-benefit kutoka kwa bursary hutumwa directly kwa headteacher

6. Notice boards za shule na constituency huwekwa list ya mastude wale wame-benefit kupata bursary

Nitapata dooh ngapi kutoka kwa bursary fund?a) Day school-Ksh. 5,000b) Boarding school- Ksh.10,000c) National school- Ksh.15,000d) Primary school-Ksh. 1,020

Constituencies hupata 1 million shillings za bursary halafu amount ingine inapewa kwa constituency kwa kulingana na level ya umaskini ya watoto kwa hiyo constituency. 5% ya constituency budget huwekwa kando for masomo ya wasichana.

Ili kupata more info juu bursary ya constituency yenu, visit, www.opengovernance.info

Secondary school bursary

23

waa waah!! cheki kunadame ana-watchtukicheza ball!

24

dunda utengwe

kama pele!ha ha haa!!

sitaki. mi hupatanga heartburn ni-kikula mahindi..

25

nimepata hasara kwa

kupanda mahindi.

26

lakini baba kuna mimea tofauti ambayo tunaweza panda badala

ya mahindi.

nimeona jirani sasa anapanda new variety

sweet potatoes na amepata pesa mingi.

na kununua vine mbegu moja kwa shilingi moja tu!

na ni taamu!

nimepanda new variety sweet potato!

si ni poa?

lakini hizi ni weeds tuu! sasa umenileta nione nini?

naishia...

wewe ni bure sana!

na unadhani watu watasema nini wakituona? hawa neighbors sio watu wa kabila na tabia kama

yetu.

27

wacha nikuonyeshe!

taraaa!

ni poa! si tui-roast?

inanukia poa!

ni kitu gani

inanukia hivyo?

nimevuna na ku-roast ile new variety sweet potato nilionunua kutoka kwa jirani. vine moja ya sweet potato

shilingi moja. ni rahisi kupanda na ni tamu sana.

sasa nina vines zangu, na ambazo naeza

uzia neighbours wangu wengine! kwa kila vine!

ni kweli! new variety ni

soo!

28

Utapata info ya areas utakazo-pata New ImprovedSweet Potato varieties na zinazo-suit area yako ukituma SMS ilio na the word SWEETPOTATO#CONSTITUENCY kwa 3008

nimechoka kuskia juu ya majirani. they are not our people!! staki

kukuona ukiwakaribia!

hiyo roast new variety sweet potato ilikuwa tamu! hebu tufanye

hivyo tena.

hata kama fathako hajaelewa najua djb ataelewa - hebu tum-

text!

New improved variety za sweet potato ni tasty sana na mavuno poa. Varieties za new improved sweet potato varieties zinatofau-tiana na areas zenye zinamea vipoa. New sweet potato varieties ni kama Wera, Mugande, SPK013, SalyBoro, Ejumula, Kemb10, Nyawo na Mugande Vindolo Vitamu na salyboro.

Kupanda sweet potato vines

sweetpotato#magarini

Kupanda sweet potato vines1. Chagua vine

ya urefu wa 1 foot ilio healthy (green bila yellow veins)

2. Chimba shimo isio-deep juu ya rows utakazo tengeneza ili kupanda

3. Weka 2/3 ya nundu kwa mchanga na 1/3 ya nundu iwe juu

4. Spacing ya kupanda ni 1 foot(30cm)

Kuzalisha sweet potato vines kwa nursery

1. Tayarisha pale utapanda new improved variety ya sweet potato kwa kuchanganya mchanga na manure kisha uweke maji. Tengeneza kivuli juu yake.

2. Chukua mmea wa sweet potato usio na magonjwa au yellow stripes kwa matawi

3. Kata matawi ukitumia sharp blade vertically kwa sehemu utakayopanda kwa mchanga ukibakisha node moja juu

4. Ili kupata mbegu ya kuzalisha, hesabu nundu tatu kwanzia sehemu ya chini halafu ukate stem. Endelea kukata hivyo ili kupata mbegu mob za kupanda na kuuza.

5. Ukipanda, hakikisha kuwa nundu mbili ziko kwa mchanga na nundu moja iko juu. Nyunyizia maji kila siku.

6. Mimea ya sweet potato vines itakuwa tayari kupandwa kwa shamba after 2 1/2 months

7. Vines zinaweza kuvunwa baada ya wiki kadhaa na kuuzwa for 1 bob kwa majirani. Unaweza anzisha bizna yako simply kwa kupanda new improved variety ya sweet potato seeds!

8. Sweet potato vines zinaweza pandwa kwa areas zenye hazina mvua ya kutosha kwa kufunika nursery yako na nylon paper. Fungua sehemu kidogo ya nylon paper mchana. Toa plastic bag 2 weeks kabla ya ku-harvest ili mimea izoee hewa kavu. Weka mulch ili ku-conserve maji.

Kumbuka: Vines za new variety sweet potato hazitazalisha tubers mob lakini ni kubwa zaidi in size. Nyunyizia maji vines kila siku. Unaweza pata up to mbegu 10 kutoka kwa sweet potato vine moja.

29

Sasa DJ B, please nisaidie Fathe always

ana-complain juu ya ma-neighbours wetu juu ni wa kabila ingine. But since nianze

ku-spend time na wao, nimegundua kuwa hawako kama vile fathe hudai na wako tu ka sisi. Infact wameni-saidia sana ku-discover vitu mob

zile nimekuwa niki-share na Shujaaz FM

Sawa mafans, nimepata text kutoka kwa

Charlie Pele. Manze ni issue serious ya ukabila. Share ideas

mlizonazo ambazo zinaweza ku-help Charlie. Niambie kama ume-face

kitu kama hio?

Mara hiyo hiyo nimepata text kutoka

kwa Maria Kim

Thanks Maria Kim kwa advice poa sana. Malkia

ameni-SMS na kuni-show problems wamekuwa

waki-solve za ukabila kwa chuo

Hi DJB, nilipo-discover kuwa bursary zote

zinaenda kwa mastude wa kabila moja, nili-share hii info na facts kwa watu wote including mstude, princie na chief. Hatuwezi solve

problem kama hakuna mtu anaongea kuihusu!

Hi DJB, tuna mastude wanaotoka

kote nchini na ni wa kabila mob kwa chuo na tume-form school council ili ku-create team spirit ili ku-solve problems kabla

zikue worse

30

DJB, Hatuelewi nini Charlie Pele ana-try kusema

juu tuna-agree na fathake. Job yetu ya Security ni ku-protect kabila yetu kutoka kwa ma-outsiders. Tunataka

utupatie nafasi on Shujaaz FM tuongelee hiyo story na tu-promote group yetu.

Pole manze lakini hii show si ya ku-incite wasee ku-form groups za kikabila but ku-unite ma-youths wa

Kenya nzima!

Manze hata kuna law inakataza ma-stations za media kuchochea watu kikabila juu

unaweza kuwa arrested na kutupwa jela. UKISKIA WATU

WAKIONGEA VIBAYA JUU YA WENGINE, HAKIKISHA UMEWA-REPORT KWA

NCIC

Nitumie ma-ideas on namba 3008 juu ya vile tunaweza deal na kumaliza hate

speech na tribalism. Ideas noma zitapata zawadi poa kutoka kwa National Cohesion and Integration

commission (NCIC)

According to Section 63 of the National Cohesion Integration Act 2008:

(1) Anyone who utters words intended to incite feelings of contempt, hatred, hostility, violence or discrimina-tion against any person, group or community on the basis of ethnicity or race, comits an offence and shall be liable on conviction to a fine not exceeding 1 million shillings, or to imprisonment for a term not exceeding five years, or both.

(2) A newspaper, radio station or media enterprise that publishes such utterances referred to in subsection (1) commits an offence and shall be liable on conviction to a fine not exceeding one million shillings.

Report Hate Speech to NCIC for investigationP.O. Box 7055-00100 NairobiTel 020 - 8073264/5

Hatuwezi jenga Kenyan youth tukiendelea kuacha watu kuongea na

kufikiria vibaya juu ya wengine kwa sababu ya kule wametoka.

Mafans, hebu tutafute solutions za kumaliza hate

speech na ukabila

31

Published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. www.welltoldstory.co.kePrinted by Colourprint Limited

Printed on recycled paper

Nijoin kwa facebook na

twitter na niwapatie latest updates juu ya comic na radio show na info noma yenye hautpata place ingine juu ya kila story.

Hii ni chance yetu poa ya ku-chat na kushare ma-ideas.

Ni introduce kwa mabeste zako wa Facebook na Twitter tuconnect zaidi na kuendelea ku share faida za Shujaaz FM!

Visit www.shujaaz.fm usome Chapter 1,2,3 na 4 ya comic, na hata uzi-download ukipenda!

Na pia unaweza nitumia request kwa Facebook:

DJBoyie Shujaaz

Ama Shujaaz kwa Twitter.

Tuchekiane online!