24
unaeza earn soo 5 per kila kg ya nyama ya sunguch Skia show kwa radio station 20 kote nchini! kuna winners 10 wa google compe! 10 20 4 0/- Kuna Shujaa of the month kila mwezi! hawa ndiyo ma-fans tuko nao Facebook 10,000 500 c o s t y a k u - b u y s u n g uc h za doo h 5 ni ngovo tu kutumia DJ B ka-text P3 500 4 Idea 4 kali za ku-change life yako Mashujaa 4 ndani ya comic! Shujaaz ni mangapi? 1 of the month a h h h h hu h hu hu uj ja ja jaa month K o Ku Ku una na na n of the S S S S S Sh h h h h h h e m ni form utapewa uki-report case ya violence H a p a k u n a p a g e s 24 Namba ya SMS ya ku-gotea DJ B 3008 web fm sms comix not for sale sms comix chapta 20 empowering kenyan youth empowering kenyan youth a publication

20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 20 - Full Comic

Citation preview

Page 1: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

unaeza earnsoo 5 per

kila kgya nyama

ya sunguch

Skia show kwaradio station

20 kote nchini!

kuna winners 10wa google compe!

1020

40/-

Kuna Shujaaof the monthkila mwezi!

hawa ndiyo ma-fanstuko nao Facebook

10,000

500

cost

ya

ku-

buy sunguch za dooh

5ni ngovo tu

kutumiaDJ B ka-text

P3500

4 Idea 4 kaliza ku-changelife yako

Mashujaa 4ndani ya comic!

Shuj

aaz

ni m

ang

api?

1of the month

ah

hhhhuhhuhuujjajajaamonth

KoKuKuunanananof the

SSSSSShhhhhhhe m

ni form utapewa uki-report case ya violence

Hap

a kuna pages24

Namba ya SMSya ku-gotea DJ B

3008

web fm sms comix

not for sale

sms comixchapta 20

empowering kenyan youthempowering kenyan youth

a

publication

Page 2: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Wasee! Hapa ndani kuna mambo fyaam. Mafans wangu wameni-show ideas kali sana…

“Hapo Twitter kwa @Shujaaz, nacheki Malkia anadai Jipendo anajitibu!”

chekiu!”

“Kwa Facebook fanpage yangu, MariaKim anaboeka na

risto za ubaguzi.”

Soma hizi risto na pia unipe risto yako! Tuko gangare!

3008

sms

re!

“Ala! Tena nina SMS kwa 3008: Charlie Pele anasema Taabu ako kwa noma!”

Page 3: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Er, hata si mimi…em, si tutaonana?

Hakuna ngori msuper. Si

unajua naku-mind!

Niaje Collo? Thanks kwa ile sms jana. Nime-accept kuenda na wewe

bash!

Wacha nigotee Collo!

TIHIHI! AKI GOSH!

3

kujitibukujitibu

Page 4: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Wooooi!

Ai! Bado siskii poa!

Hakuna haja! Cheki, enda u-buy Pentriflex mbili kwa chemist. Ni dawa poa ya tumbo na itakufanya

ukuwe msupuu in 1 day!

Si tuishie kwa school nurse akupe dawa?Manze naskia

vibaya!

Jipesh, naskia una-drive?

Una-feel aje?

Aki naendesha!

4

Page 5: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Alipofika home…

Si twende hospitali

uangaliwe?

Zii! Lazima nijipange

niende bash!

Surely Jipendo! Unajua lazima upone kwanza! Wacha

nikakuangalilie kienyeji,

itakusaidia haraka.

Wacha niambie Collo nita-make sure nipone

ndio niende na yeye bash!

Nitang’ara hii dresstop!

Hapo mtaani…

Dawa ya mende, coakroach murderer!

Dawa ya kisukari, ki-sugar, malaria!

Daktari, uko na dawa ya tumbo?

Hapa niko na madawa ya magonjwa yote duniani!

5

Page 6: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Chukua hii: ni pure! Akunywe baada ya ugali mara mbili kwa siku. Na ikibaki mtatumia kuua

mende hapo nyumbani! Si unaona unatibika na hii chwani! Mimi ni daktari tosha!

KULE HOME…

Labda hii itakusaidia.

Sasa nimehata bash! Na ningeenda

na Collo! Gff!!

6

Page 7: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Jipendo, una

mgeni!

Woishe Jipendo! Unacheki vile kujitibu imeleta shida! Amka uende kwa doki ndio

upate full treatment..

Nimekukosea sana Jipendo. Singekupa hizo madawa za kununuliwa

mtaani na hazijulikani ni za nini. Amka nikupeleke

hospitali. Malkia umetufungua macho!

Nimekuandikia madawa. Next time usirudie kujaribu

kujitibu! You were lucky this time!

Baadaye kidogo…

Mum nimeskia poa! Wacha

nikimbilie bash kabla iishe!

7

Page 8: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Madawa herbal zinasaidia mwili na

immunity, kama matunda na chakula.

Lazima ucheki Daktari

kama wewe ni m-sick.

Qualified chemist huwa ako na Cert

imewekwa kwa wall yake.

KUMBUKA!!

Ni Daktari tu, ama Clinical Oficer ambaye

ana authority ya kukukagua na kukupa

dawa akishaku-cheki. Ukishakaguliwa,

atakupa ‘prescription’, penye

amekuandikia madawa yenye utatumia.

Tumia hizo dawa vile umeandikiwa,

kupunguza au kuongeza dosage ni

HATARI!Ukijitibu, unaweza kosea na

mwishowe itabidi ulipe bills

mob sana za hosi.

KWA HIVYO…Elewa kuwa kuna diseases mob na symptoms

hufanana, lakini madawa ya kutibu ni tofauti.

Kwa hivyo, kama wewe sio daktari, ni hardest

kujua ni ugonjwa gani uko nayo!

Pia wengine wakipewa dawa hawamalizi dose,

akiskia poa kiasi, anaacha dawa! Mwishowe

mwili inakuwa resistant kwa madawa,

na hii ndio expense noma.

Kujitibu ni cheap kwa muda mfupi, lakini

mwishowe, inaweza leta shida mobs sana!

Wacha ningoje Collo hapa, najua bado yuko around.

Collo hatokelezei?!

Manze siezi cheki Jipesh na vile naendesha hivi!

Relax collo! Enda u-buy pentriflex, ni dawa poa ya tumbo!

8

Page 9: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Shu

jaaz

(TM

) is

publ

ishe

d by

Wel

l Tol

d S

tory

Ltd

. , P

. O. B

ox 1

700

00

50

2 N

airo

bi, K

enya

. Tel

: 02

02

60

3214

,ww

w.w

ellto

ldst

ory.

co.k

e. P

rinte

d by

Col

ourp

rint L

imite

d, P

. O. B

ox 4

44

66

- 0

010

0 N

airo

bi G

PO

. Pro

duce

d in

col

labo

ratio

n w

ith: U

SA

ID, S

afar

icom

, Tw

awez

a, R

IU.

Dis

trib

uted

by

Sat

urda

y N

atio

n an

d S

afar

icom

.

Co

nte

nt

pro

du

cer:

Aud

rey

Wab

wire

C

on

ten

t: P

aul P

eter

Kad

es |

Vinc

ent M

uthi

ni |

Dav

id O

uma

| Jor

am K

ioko

A

rt P

rod

uce

r: F

atim

a A

ly J

affe

r/Ti

m O

dero

L

ayou

t D

esig

n: T

im O

dero

A

rt: D

anie

l Mul

i | E

ric M

utho

gaS

hin

Tuxe

do |

Sal

im B

usur

u | J

oe B

aras

a | N

oah

Muk

ono

Rad

io: E

unic

e M

aina

| D

omin

ic O

igo

S

pec

ial t

han

ks

to J

ust

A B

and

for

thei

r fa

ntas

tic m

usic

on

Shu

jaaz

FM r

adio

Wel

l Tol

d S

tory

© 2

011

All

righ

ts r

eser

ved.

No

part

of

this

pub

licat

ion

may

be

repr

oduc

ed,

stor

ed in

any

ret

rieva

l sys

tem

or

be t

rans

mitt

ed in

any

for

m o

r by

any

mea

ns,

elec

tron

ic o

r m

echa

nica

l with

out

prio

r pe

rmis

sion

of

the

publ

ishe

rs. A

lthou

gh e

very

eff

ort h

as b

een

take

n to

ens

ure

the

accu

racy

of i

nfor

mat

ion

cont

aine

d in

thi

s pu

blic

atio

n, in

no

even

t sha

ll th

e pu

blis

hers

be

liabl

e fo

r an

y in

cide

ntal

, ind

irect

, con

sequ

entia

l los

ses

or d

amag

es o

f any

kin

d w

ithou

t lim

itatio

n ar

isin

g ou

t of o

r in

con

nect

ion

with

the

use

of th

e in

form

atio

n in

this

pub

licat

ion.

9

Page 10: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

big-upsto shujaaz

DJ B, am a former victim wa drug trafficking. I was

partly inspired na storo ya Chuux, venye ma-barons hu-misuse mayuts with false promises. Though niko rehab, tena under watch, am reformed na

sitaki ma-yut waumie kwa lyf kaa yangu.

Abdulrazack Saidi.

I was once an alcoholic but thru counselling

kutoka kwa mabeshte, I changed. The best thing I

did is I changed the company of friends.

Luli Mercie.

Niaje Dj B. Hii risto ya Malkia na Filo imeni-

affect coz nilikuwa navuta tumbaku. Nilijiamini na

kuacha drugs. Tuwe gangare na masomo.

Richard Sydy.

Bro wangu alikuwa mtu mandom na makuber. Hii

issue ilini-hurt. I researched on the ways

ya ku-quit drugs Nilichambua poa na later

nikam-show in detail. Alinisikia na aka-quit!

2naplan tuunde group ya ku-address addiction ya drugs kwa village yetu.

Thanks! Karam Yubiz.

Niaje DJ Boyie. Naeza lyk ku-share out stori ya me dat once nilikuwa an addict

wa coke nika-get busted bt nilipo take-iwa rehab one of de inmates

wakani-encourage ni-takelife yangu serious.

Bobbie.

Niaje DJ B. Nili-try ile idea ya ku-make viazi i-stay

for long. Manze nakuambia zinaweza stay for more than a year bila

ku-spoil. Thanks sanakwa ideas zako.Dennis Barasa.

Niaje DJ B.Chuo yetu ime-buy fire

extinguishers na first aid kits. Naku-big up coz

nilisoma shujaaz ile vako ya first aid. Na-big up

Gathiruini Boys Hae Skul kwa

ku-buy fire extinguishers.

Peter Waxi Maina.

unwaezachange lifeyako - acha addiction

shule yetuni shule poa ku-store

sweet potatoesDJ B umetushika

vinoma huku Kibera, na mwote Kenya. Umeni-inspir

zile idea za bizna, na juu nilna pesa kiasi nika open sh

Saa hii iko big tu sana hatahawa-believe! Ni-propose

jina ya hio shop manze jbado sijaipea name.

David Mutinda - Kibera

uuuupssujaaz

SMS3008

ni 5/-tu!!

1. Eliud Kisongochi

2. Sharleen Inganji

3. Brian Muinde

4. Martin W. Mugo

5. Mark Odhiambo

6. Sylvia Kihundu

7. Mwajuma Rashid

8. Victor Kimaru

9. Joan Mwariri

10. Francis Ngowa

BIG UP SANA WINNERSWA GOOGLE

T-SHIRTS

Page 11: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

big-upsto shujaaz

-upshujaaz

SHUJAAof the monthb

ttt

DJ B umetushikahuku Kibera, na mayutnya. Umeni-inspire na

za bizna, na juu nilikuwa a kiasi nika open shop.ko big tu sana hata watu

elieve! Ni-propose-iea hio shop manze juudo sijaipea name.d Mutinda - Kibera.

If luvin shujaaz fm was a crime then ningekuwa shimo

la tewa prison ama kamiti maxmum

prison. Faith Mukami

“Nilizaliwa na spine imejikunja. Nikiwa mtoi watu walikuwa wananiita ng’ombe juu ya

nundu yenye ilikuwa kwa back yangu mgongoni. Chuo, ma-stude na mamode

walikuwa wakinitukana. Hakuna msee alitaka ku-interact na mimi; walidhani nitawaambukiza

hiyo disability!”

“Nilijiunga na Young Voices Club yenye ilini-help ku-dicover talent yangu ya poetry na

arts, na nime-get chance ya ku-perform!”

“Na-advise my fellow disabled friends kuwa disability is not inability, ambayo pia ndio title ya song yangu latest. Nimekuwa featured kwa Pamoja FM na Kibera Community TV station. Fuata dreams zako & kila kitu ita-work out!”

uuuuupssujaaz

JINA: GURSTON OPARBASE: KOCHIA – WEST

KARACHUONYO DISCTRICTWAX: MODE, MUSICIAN

SAVE DOOH

na maji ya mvua

Hi DJ B? Kwetu sasa hakuna mtu anajisumbua kuteka maji kutoka kwa kisima. Tuna tanks tatu ambazo zaweza hold

about 1500ltrs! Hata boy wetu wa job ame-relax. Sasa yeye ni kuangalia

maslahi ya ng'ombe zetu na hiyo ni almost 3

months! Wa2 wahimizwe kuchukulia maji ya mvua

kuwa serious!Pablo De Machinery.

DJ B, mimi nili-show mthama juu ya hii risto yaku-harvest maji ya

mvua. Alikubali ku-buy gutters instead ya

ku-buy maji.Leon - Kokwanyo

DJ B, rain water iko na use mob kaa domestic

use na hata irrigation. Pia inapunguza burden na

time ya kuendakutafuta maji.

Doro - Chavakali.

SMS3008

ni 5/-tu!!

Si uiiteShujaazDuka?

Si uiiteShujaazDuka?

Page 12: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Si nimekufungia ya kutosha? Uko poa

lakini?

Ah! Kuna mtu najua anaweza

kuku-help. Yeye ni pro kwa risto za farming.

Ana ma-ujanjez. Tuta-come na yeye

baadae.

Siko poa. Aki sunguch wangu

wanasumbua! Sijui ni-do what!

Umeni-save jo! Thanks.

Baadae!

Poa!

Poa!

Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!

12

Ma-Sunguch!

Page 13: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Dan, nime-come

na ule beste yangu.

Ndio huyu beste yangu. Ako poa sana na farming.

Niaje? Naitwa Sifa!

Ala! Sasa unaniletea kiwete hapa anisaidie na

nini?!

Wee! Unaongeaje

hivyo?!

Hebu kuja!Sifa ni

mlemavu, lakini ni binadamu kama mimi na wewe! Na amenisaidia

sana. Ndio maana nimemwomba akusaidie hata

wewe!

Wazi. Thanks sana.

13

Page 14: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Haiya!

Ni kapoa!

Ah! Hakuna kitu kiwete anani-show mimi! Hata chukua hiyo sungura ni useless!

Sifa tuishie. Achana na huyu fala hasaidiki!

Na msirudi!

14

Page 15: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Sifa, unatakia nini sungura?

Unajua sungura ni rahisi kulea. Kuifuga haihitaji move-ment mob so ni poa kwa mlemavu

kama mimi.

Pia una-get products mob kutoka kwa

sungura kama ngozi yake yenye ni poa ku-make ndula,

na makofia

Nyama yake ni tamu sana na

inauzwa bei poa: kshs 300 kwa kg moja!

Mbolea ya sunguch ni

poa sana kwa mimea

Wacha niishie home sasa. Chunga huyo sungura

vipoa!

bye!

Kuanzisha kuweka rabbits si hard, naweza

zijengea ka-hao ka mbao na mabati zenye nimeokota mtaani. Pia sihitaji cheddars*4

mob kuanza!

15

Page 16: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Sunguch zangu!

Haiya! Dan anafanya nini pale?

Sasa nitaanzia

wapi?

Dan? Ume-lost. Hebu kuja niku-show

mtu amekuwa successful sana na

rabbit farming…

Oh? Sawa, twende.

Maria Kim! Dan! Karibuni. Sikujua

mna-come?

Nimeamua nimtembeze Dan acheki rabbit farm yako.

Ala?! Manze sunguch wako

wamekuwa wasoo! Kwani unazilisha

nini?

Baadae kidogo…

16

Page 17: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Thanks! Farming ni passion

yangu. So nawachunga poa na kucheki afya yao

kila time.

Manze iza vile nilikubongesha siku ile. Sikujua una talent hivi.

Ni ufala yangu. Ni-forgive tu.

Hakuna was! Lakini kuna vile

unaweza ni-save…

Nahitaji msee wa kunisaidia kupeleka

sungura kuuza. Utani-help?

Ushasema! Nianze lini?

“Nilipomada chuo 2008, nilisaka ways za

ku-make dooh lakini wapi! Big up sana kwa

beste yangu, aliniambia nisi-concentrate na

job za office, nikuwe creative. Nikaamua

kufuga sunguch.”

“Nawalisha twice a day na mabaki ya sukuma wiki na

carrots yenye naokota sokoni. Maji nawapa mara

moja kwa siku.

Na kwa risto ya market…

Huwa ninabonga na mayuts wenye wametoka seco

majuzi ili nao waanze pia kufuga sungura.

So nimekuwa nikiwa-supply!

Naingia Kenyatta University soon, so nimeamua

nitauza hao sunguch wangu wote, nijaze na savings

zangu zingine ili nijilipie fees. Sunguch haina job nzito,

haina stress, msee yeyote anawez do!”

Kuweni wajanja, sunguch ina dooh

kuruka!

DJB, sunguch ni biz poa sana. Kuna huyu boy ana doworks

noma!

JINA: Moses MudavadiAKA: ‘Mdash’ 19 YRSBASE: Migori

HIVI NDIO NILI-DONilienda ocha nika-buy sungura male na

female kwa kshs 500 tu!

Saa hizi nina sunguch 17.

Nikarudi nikawaundia hao na locally

available materials: mbao na mabati scrap.

Nili-raise hiyo hao ndio maji isiingie ndani

mvua ikinyesha.

Ndani ya hiyo hao, niliweka nyasi imekauka,

na huwa nai-change kila siku.

a!

17

wazi!

Hakuna was! Lakini kuna vile

unaweza ni-save…

Page 18: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

vijana! kucheza

karata tu!

mnajua, ukulima ni kazi ngumu! unafaa

kukaa macho kila... zzzz... wakati...

fungueni mlango!!!

wamenikujia! madeni zangu zote zitaniua!

poleni vijana wangu, niljaribu kuwalea vizuri

lakini nimeturusha kwa shida...

nawaskia hapo ndani! fungueni

mlango!!!

oho! Nimeshinda

tena!

agh!tucheze game ingine!

18

Page 19: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

huyu mtu hatatuacha... itabidi mmoja wetu aende kufungua mlango...

hapana! ataenda tukikaa kimya...

wacha nifungue mlango...

taabu! utakufa!

er... ehm... pole sana,

jirani, nilikuwa kitandani...

wewe ni taabu?

...EHM...NDio...

WOi!Nime-come kuku-show

Purity ni wangu!

ah, poa... ni wewe

nakutafuta. naitwa matata.

19

Page 20: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

NIlimpenda

tangu tukuwe

watoi!

nikapatiwa transfer

kuenda kuwa polisi

pale nairobi city...

...lakini

niliposikia ya

kwamba mrui

fulani alikuwa

anataka kumuoa

purity wangu...

...ilibidi nirudi....

Unasemaje?!?!?!

hiyo ndio sababu

nimekuja hapa kukuambia...

...uwachane na yeye.

lakini...

...tunapendana...

Manze

alituliza

roho

yangu!

lakini sikuweza

kumuambia... nilikuwa

mwoga mbele yake...

oh, purity!

hiyo jina lake

linamfaa!

anaweza

kumnyamazisha

ndume kama

mimi!

ni msupa!

Ni mtamu!

Aki huyo dem!

20

Page 21: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

...uuuuh....

taabu amekufa!

woooi woi, majirani,

taabu amekufa!

ah, wewe baba charlie,

taabu hajakufa!

nisaidie kumuingisha

kwa nyumba...

eish, taabu! huyo msee

amekuchafua!!!

utado? utado?utado?

aki taabu, pole...

taabu, pole

sana...purity,

huyo msee

ameniumiza vibaya...

yenyewe, sijui

ni-do nini...

sitaki kufa!

nadhani itabidi

tu-break up!

taabu... do hivi: twende kwa

police station u-report matata.

uta-defendiwa

hapo.

TAABU! kuwa brave! utalea

familia aje na hii attitude yako?!?!

lakini alisema nisichukue

p-3 forms za kumstaki...

huyo msee ataniua!

uwachane na purity wangu!

na nisikuone

kwa station ukichukua

p-3!

21

Page 22: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Taabu, kumbuka ni wewe nime-

choose unioe.

ni wewe nakupenda.

...mtajaza hiii p-3 form na

details za hiyo assault...

asante.

ahem!

sawa basi, twende kwa

station...

22

Page 23: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

23

USIO

GOPE

!US

IOGO

PE!

THE KENYA POLIC

E

P3

MEDIC

AL EXAM

INATIO

N REPORT

PART 1-

(To be c

ompleted

by the P

olice O

ffice

r Req

uesting E

xaminatio

n)

From…

……

……

……

……

……

……

……

……

…..R

ef……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

...Date

……

……

……

……

……

..

To the…

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

…Hosp

ital/D

ispen

sary

I hav

e to re

quest th

e fav

our of y

our e

xamina

tion o

f:-

Name…

……

……

……

……

……

……

……

……

…...A

ge……

……

…(If

known)

Address…

……

……

……

........

.....D

ate an

d Tim

e of t

he alle

ged offe

nce....

...

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

…...

Sent to

you/H

ospita

l on th

e……

……

……

……

20…..u

nder esc

ort of…

……

……

……

……

……

……

…an

d of your f

urnishing m

e with

a rep

ort of t

he na

exten

t of b

odily in

jury su

stained

by him

/her.

Date an

d time r

eport

to police…

……

……

……

……

……

……

……

Brief d

etails

of the a

lleged

offence

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

……

me of O

ffice

r Comman

ding Stat

ion

Signatu

re of t

he O

MEDIC

AL DETAIL

S - (To b

e com

pleted

b

carry

ing out exa

copies

from th

e orig

inal manusc

HIS SECTIO

N MUST B

E

E

XAMIN

A

……

……

ence

THE KENYA POLICE

MEDICAL EXAMIN

ATION REPORT

PART 1-(T

o be completed by the Police Officer R

equesting

From………………………………………………..R

ef…

……………………………………………………...Date

To the…………………………………………………

I have to request t

he favour of y

our examination of:

Name………………………………………………

Address………………….....

........D

ate and Time

…………………………………………………

Sent to you/Hospital on the…………………

……………………………and of your fu

rn

extent of bodily injury su

stained by him/h

Date and time report t

o police…………

Brief details

of the alleged offe

nce…

………………………………………

……………………………………

Name of Offic

er Commanding St

PART 11-M

EDICAL DETA

(Please type four copies f

SECTION ‘’A

’’-THIS

Medical O

fficer’s

R

1. State of clothin

.…

…………

....…

……

…………

2. General

.…

…G

Ad…

……

Sent t

……

……

……

estthe f

……

……

……

……

……

you/H

PA

etett

………

………

To

………

II hhaavvee

euquest

Name…

……

Address…

Bonga na hawa wasee upate info zaidi

juu ya jinsi sheira in-work kwa kesi za

‘assault’ ama kupigana:

P.O.BOX 7483 - 00300 NAIROBI

SIMU: 254-0203874191

MOBILE: 0734 874221

0727 773991

EMAIL: [email protected]

BIG UP KITUO CHA SHERIA KWA INFO!

Wasee, lazima uelewe vile

sheria ina-work! Cheki hapa!

P3 ni a FREE document official

ambayo inatolewa kwa KILA police

station wakati msee ameenda

ku-report case ya kupigwa.

Msee amepigwa huwa anahitaji

kupata hii form ili aende nayo hosi

ku-get matibabu.

P3 form itaonyeshwa kortini

wakati wa kesi.

Kutojua sheria sio excuse! Share risto zenu za kuwa kwa police station

na DJ B. Tuma SMS kwa 3008! kumbuka

‘NI 5 BOB TU’

KUMBUKA ukienda kwa police station:

Bonga na officer mwenye ako kwa desk juu ya kitu unataka ku-report.Kuwa na points zinaeleweka na ukumbuke tarehe zote zenye zinahusika ili uandike statement ambayo inaeleweka.Kuwa mpole ndipo utasaidika.Heshimu huyo officer ambaye unampatia report!

nimeandikisha statement

yako lakini...

Page 24: 20 - Shujaaz.FM - Chapta 20

Shujaaz. FM radio show inapenya kwa hizi station kenya

mzima. pata story zote za comic kwa show yangu. cheki

time na ukae rada!