32
H a p p y N e w Y e a r ! H a p p y N e w Y e a r ! S h u ja a z im e i m p r o v e lif e y e tu , ita i m p r o v e y a k o p ia! web fm sms comix chapta 23 not for sale p u b l i s h e d b y empowering kenyan youth

23 - Shujaaz.FM - Chapta 23

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 23 - Full Comic

Citation preview

Happy New Year!

Happy New Year!

Shujaaz ime improve life yetu, ita improve yako pia!

web fm sms comix

chapta 23

not for salepublished by

empowering kenyan youth

TUMEKUJA HAPA KUOMBOLEZA KWA MAZISHI

YA MAREHEMU.

MASKINI MAREHEMU ALIKUWA KIJANA MWENYE

HEKIMA SANA

sema Boyie, YULE MP WA MTAANI

AMEKAM KUFUNGUA ILE BRIDGE

NIMEHUZUNIKA SANA NA MKASA HUU uliofanyika juzi,

LAKINI NIMEHAKIKISHA HAUTAFANYIKA TENA2

Utamchagua nani?

KAMA MBUNGE WENU, NIMEAMUA

KUZUIA MKASA KAMA HII KUFANYIKA TENA, NJOO MJIONEE…

…MNAONA NIMEJENGA DARAJA

NZURI AMBAYO ITAZUIIA VIFO

HIYO NDIO BRIDGE? ULIKUWA

WAPI WADHII WAKI-DIE?!!

MHESHIMIWA YEEEY!!

3

HIYO BRIDGE NI MBAO TU UMEWEKA!!

WASEE, PIGIENI MSEE WA NGUVU KA BI AMANI, HATA AMEJENGA CHILDREN’S HOME PEKE

YAKE…

WACHIENI HUYU MP HII BRIDGE

YAKE FAKE! TUKO PAMOJA?

TUISHIE KADES! HAWA WASEE NI

WAOOOGA

EHEE EHEE…

4

5

DERE, HII NDIO KEJA INAANGUSHWA

ATI NINI?? SITOKI HAPA, LABDA MNIKANYAGE KAMA

MNATAKA KUBOMOA…

TOKA HAPA MATHE!!

NIACHENI, NIACHENI!!!

KWANZA WE BOYIE UTAFUNGA HIYO

MDOMO BIGI

NIACHENI, MNANI-TAKE

WAPI

6

Hii story ya political intimidation lazima ma-youth wamalize. Tusiitikie

kutumika kwa violence. Kama MP wenyu ha-perform, ishieni kwa debe na m-make choice poa.

Sheria inasema hivi kwa Chapta 7 ya Constitution:

“Msee yeyote anaweza simamia uchaguzi kama independent candidate kama yeye – sio member wa chama yoyote registered ya kisiasa…”

KUWA dongaSIO KUWA LEADER!

Inter-Party Youth Forum (IPYF)

Youth leaders wenyu wanangoja views zenu kwa facebook. Wana need mu-washow vile mnataka kwa page ya Inter-Party Youth Forum (IPYF) au page yao na ukue fan. Hii ni chance yenu kubwa ku-make positive change.

Unaweza kuwa MP kama wewe ni:

• Registered Voter.

• Uko na good conduct cert na education

yako iko juu (English na Kiswa).

• Uko na support ya wasee thao moja

kutoka constituency yenu.

sms3008donga

TUMA

SMS NA NENO DONGA KWA 3008 UTOE MAONI JUU YA HII R

ISTO.

7

8

CHUKUA ID YAKO SASA KAMA UNATAKA KU-REGISTER KUPIGA KURA!Nani ana-qualify ku-register kama voter?• Lazima uwe Mkenya.• Lazima uwe over 18.• Lazima uwe na ID ama Kenyan passport.Na-registrer aje kama voter?• Enda kwa registration clerk kwa designated registration centre.• Patia clerk ID ama passport yako.• Huyo clerk ata-fill OMR form ambayo uta-sign na kuweka thumb print.• Clerk ataandika ID number ama passport namba kwa register.• Voters card yako itaandikwa, ikuwe laminated kisha upewe.• Kama uko na voters card mzee rudisha kwa polling clerk upewe mpya.

KUWA READY KU-VOTE!

ILANI:Kuuza ama kuharibu voters card yako ni kosa kwa laws za Kenya!Naweza katazwa ku-register kupiga kura? Kama…• Nimekuwa declared bankrupt• Kama court ishawahi kunipata guilty of any election offence• Kama uko neti/gerezani• Kama kotiko/koti imeku-declare chizi

Nafaa ni-register wapi kama voter?Kila constituency iko na offe inafunguliwa six months before

elections. Zitakuwa advertised soon kwa daily papers kwa hivyo, kaa gangare.

Niki-lostisha voters card yangu inaweza kuwa replaced?Ndio. Lazima u-present national ID yako kwa registration clerk

mahali ulikuwa ume-register lakini ujue haiwezi kuwa replaced on election day.

Naweza change registration details

zangu?Ndio. Unaweza change

jina yako na address ukienda kwa centre ya

voter registration.

Naweza register zaidiya mara moja?

Zii/Hapana.Ni noma kubwa sana kisheria ku-register more than once.

Unaweza fungwa miaka sita ama u-fainiwe tenga tano ama both.

Q&ASo kuwa prepared!

Kama ushafikisha

miaka 18 na hauna

ID bado….Usingoje

mpaka last minute!

Utakuwa

disappointed.

Ili kupata information zaidi cheki

www.IIEC.or.ke ama visit facebook

page yao“IIEC Voter Education”

INTERIMINDEPENDENT

ELECTORALCOMMISSION

Ndio hii information yote unahitaji ili

kuhakikisha umepiga kura kwa

election ina-come. Kumbuka, kama

uko over 18, ni right yako na duty

yako kupigia kura leader wako.

9

9

Ata singe-think

twice, kutoka

mara that that!

Ahhh!kaa mimi wewe

ningejazika sana! I wish

mbuyu angenishow

nitoke chuo!

Cheki venye kuna

watu wengi!!

Tuharakishe!

Acheni za ovyo!

Tunafaa kuhepi juu

kesho kuna show ya

NAMELESS!

Bado ile stori ya

Kazuri inanisumbua.

Nataka kum-help.

Jipendo!Achanga izo, chuo ni

muhima sana. Tunafaa

kuwa tunafikiria venye

tuta-help Kazuri...

keshoye...

KESHO YAKE

10

Karibu masupa!

Unaenda wapi wewe?We ni mtio sana. Ebu rudi

home spidi!

Aha!Niko na idea!

11

Hiyo concert

imekuwa smart!

whaaat!!!Ni Malkia!

Queen wa

mchongoano!

Wahhh!Nini mbaya

Malkia!So

unanikumbuka?!

Aki pole, ni vile

lazima ningebonga

nawe kabla uishie.

keshoye...

12

Aki ako wapi?!

Nime-invite Nameless

a-come abongeshe

community kuhusu umuhimu

wa madem kuwa chuo.

Nameless ni jina kubwa.

Hawezi tokelezea kwa hio

event yako!

Yaaaay! Nameless,

wohooooo!

SIKU YA CONCERT...

Malkia tume-come mtaa

yako kuwakilisha, ebu

come apa uangushe

mistari kadhaa.

13

Wacha niwaambie wasee, kila mtu ana GIRLS kwa life yake. Anaeza kua matha, sistako

ama wife yako. Jambo la muhimu ni kuhakikisha wasichana wameget elimu.

Kumpa msichana uwezo na skills ni kuendeleza jamii yote. Walami husema, ukimwelimisha msichana, umeelimisha

mtaa.

Wasee, madem kuenda

na kumaliza system ni

kitu poa! Mamanzi

wana haki ya ku-chop

ndio hata baadae

wajitegemee ausio?

JINA: Susan Adhiambo aka Suzie

AGE: 19 BASE: Kibera, Nairobi

sms3008soma

TUMA

SMS NA NENO SOMA KWA 3008 UTOE MAONI JUU YA HII R

ISTO.

Pata info zaidi juu ya kuelimisha madem tofauti kutoka:Binti Pamoja – Carolina for KiberaNangos: 020 80406333Email: [email protected]

Binti Pamoja ni group ya madem wengi wa Kibera wenye huinuana

through ma-training na kutumia talents za drama na performance.

Mimi ni Group Leader wa madem 56 hapa mtaani.

Mother yangu amenilea peke yake. Yeye ni m-sick na hana job. Wasee wengi

hawakutaka nisome, waliambia mother kila time ati aniachishe chuo.

Uzuri, mother hakuwaskia na aliendelea tu kukazana na mimi. Nilifukuzwa chuo

mara mob juu ya fees. Sikuchoka! Niliendelea kubonga na wasee mtaani wanipe ideas

za vile naweza get scholarship, na pia wenye wanaweza nisaidia!

Nilisoma hivyo kwa shida lakini nikamaliza Form 4 2010. NAEZA ADVISE MA-DEM hivi,

tusi-lose hope na tusisahau dreams zetu. Kuwa na tabia poa na wasee hawatakosa

kuku-help! Join groups za maana ili upate ujanja kutoka kwa wenzako.

Hadi lini madame

tutakaa down kusini, time imefika

tupande juu kaskazini. Kwenda chuo

ndio deal then life iwe real.

Umaskini utakill, ukipata hizo skills.

Hakuna shame ukiwa dame, GIRL or

BOY mbele ya GOD

tuko same!

Malkia

karibiaaaaa.

ebu come apa

uangushe mistari

kadhaa.

14

15

DJ B. @i we ni mstrange hadi any place umeenda hata viroboto wanakulenga. B Kevo

Kulisten comments za mayuts wote sio mchezo. Kumaanisha DJ B una maskio BIG hadi ur no 1 enemy ni mahoka wa blanketi! Stelvio Stekay

Ati unachawa mingi mpaka ukivua nguo zinauliz,a kwani tumehama?

Ati manzi yako nim-fat hadi akivaa T-shoo ya Safcom anakaa ka kibanda ya M-PESA! Joe Dzombo

DJ B wewe simu yako umezoea msoto mpaka ukiiweka credo inakuuliza, 'kwani leo umeangukia wapi?!'David Mbuthi

*Ati Buda yako ni m-short mpaka aki-pocket mikono zinaingia kwa socks! Tabel from Kajiado.

Ati wewe ni fala, ukiambiwa uandike 11 unauliza uanze na 1 gani!

Ati hii gava ya Kenya haijali hadi ma-refugees wanarudi kwao.

Ati dem yako ni m-slim hadi ukitembea naye, wasee wanazusha “chunga hiyo mkuki isindunge msee!”

Simu yako imezoea bamba 20 hadi ukiweka 50, inasema "invalid amaunt!"

Ati Nairobi imekuwa scary hadi madogi hawabweki. Kwanza wana-investigate.

mcho

ngoano

1. Kuchala –Kuiba

2. Mabeba –Matatu

3. Ndari/Seco – Secondary school (Rolf Junior)

4. Ka-remix – Dem mrembo

5. Uombitho –Ujinga

6. Ku-Torres –Ku-miss

7. Gwangu –Mtu ugly

8. Ng’at – Soo Moja

9. Mbwatuka -Kulewa

10. Ku-stak –Kulala

SHENGDICTIONARY

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd.,

P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214, www.welltoldstory.co.ke.

Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.

Produced in collaboration with: USAID, Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday

Nation and Safaricom.

Content producer: Audrey Wabwire | Koome Mwiti

Content: Paul Peter Kades | Vincent Muthini | David Ouma | Sylvia Thuku | Koome Mwiti

Art Producer: Tim Odero Layout Design: Tim Odero

Art: Daniel Muli | Eric Muthoga I Shin Tuxedo | Naddya Aluoch | Joe Barasa

Radio: Eunice Maina | Dominic Oigo Finance: Dorothy Acholla

Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio

Well Told Story © 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or

mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the

publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

16

MAKE MKWANJA VI-SIMPLEST! P3 NA NOMAP3 NA NOMABut ikiwa polisi amekukosea, si kesi itazimwa 2 hivyo coz utakuwa unaripoti kwao na ni mwenzao, ama? Mariam Chao.

“Usiogope Mariam. Kesihaitazimwa. C uliona matata alipata justice? Pia wewe utapata ukiwa na courage ya ku-report.”

Wanadamu hufanya mbaya sana kubagua walemavu.

Bingwa kama Henry Wanyoike alianzisha H.W

Foundation na sasa inasaidia walemavu. Tuwache

kuwatenga. Wako na unbelievable talent na potential.

Tiffany a.k.a Triza.

DJ B mi nasema walemavu tutawasaidia tukiwapa

better working conditions na equality kwa community.

Hey DJ B! Walemavu wana njia

mingi za kuchangia

community. Kuna wenye

utumia mashin za

mikono, either kukata

funguo na waki-make

hizo dooh, watajisaidia

na tena wao hutoa Tax.

So it means wanachangia

in our society.

Ben Kioko, Kangemi

TUSIBAGUE WALEMAVU

Mambo DJ B! Imagine job ya kuuza kuku ina dooh sana. Mi hu-buy kwa farmers nauza sokoni. These days na-earn @least soo tano per day! Geof hapa Thika.

DJ B! Nimemada class 8, sa nimeanza job ya kupanda skumawiki thru irigation na napata dooh mob tu sana!. Chepkoech From Kericho.

Niaje, DJ B! Nime-try hiyo idea ya kutumia taka kumake doo na nimepata doo mob sana. Thanks for your info. Wewe ni mtungwaz. Na uendelee na mchongo!

DJ B saa hii naenda practise ya dancing. Mayuts, polictians saa hizi wana show mob! Mki-perform mnapata kaunga. Mi nina talent ya dancing na drama acting, so ganji itaingia! Emiliano

Ajez DJ Boyie...njia ya mayuts ku-mek doo They cn mek plates with old magazine papers soaked in water, then sell the plates kwa waxe wenye wako na ma-bash...those plates r used 2 serve food lyk snacks only...dat cn help em than kukuwa invlved in bad groups...Daglas Barasa

*Hustle yangu, mi hu-buy njugu 1kg inacost kshs 140 kisha nafunga za 5bob ju ya ma stude na wasee wa veve. Ukifunga poa, profit ni soo 300 per day! Joyttez Nyambura

Vipi Boyie? Mie ni Jimmy toka Coast. Manze sisi hu-get maji once per month. Tunateseka sana na end month bill ina-come! I wish tuzengue hawa mamatheri wa h2o.

He! DJ B, kwanza hapa home kuna kalandi kangati sana! Hakana mita ya wode. kaufunga makanjo macho na juju. Marvo Njoro

DJ B hawa watu huiba pipes sababu hawana job. Wanastahili wakishikwa wafanye kazi ya kusaidia community. Ben Nganga

Wasee wakishikwa waki-vandalise water resources wanafaa walipie renovations zote zenye zitafanywa kwa hizo pipes waliharibu. Steffi

*Huku Taita, 2liunda squard ya mu2 tano (big 5) naku-show hiyo squard 2kisaidiana na area counselor 2mesaidia sana kuelimisha watu umuhimu wa ku-conserve maji ya pipes na wa2 walipoelewa, uizi wa maji ukapungua. Hata 2liongea na wasee wa region hiyo wa maji wa bring down rates za kuweka maji kwa nyumba na wali reduce 4rm 500 to 350. Renson Saidi

*Hii issue ya nyanya ni true! Kwanza kwa green-house inalete dooh videadly! Nime buy motorbike juu ya kupanda na kuuza nyanya. When I started, nilikuwa

nauza ki-retail. From there nikapata habitual customers. Sasa wenyewe hukujia kwa shamba na wale hawawezi mi huwapelekea na motorbike.Julius Mauka

Boyie hiyo ni idea poa sana, ila tu nyanya hutaka diversified ecological requirements...So it is gud but wasee lazima wapewe guidelines on how to practice to minimise costs and maximise profits! Bwiyere*Wow, maze idea ya nyanya iko yuu! Imagine xina land

but nimezipanda in between maize rows kwa shamba ya mzae. zinakam poa, infact zitajisapot kwa izo mei so hakuna haja ya vijiti vya support.Kixinga David

Boyie hapa nilipo G town (Garisa) ma copy za

Shujaaz ni scars, so plz act. Surely I missed risto za

Maria, Malkia na wezi!! N-wei, thumpz up.

Bajal Almeida

SHUJAAZ ZINAPATIKANA WAPI?

SMS3008

ni 5/-tu

KUMBUKA: INCLUDE JINANA LOCATION KWA MESSAGE

SHUJAA OF THE MONTHJINA: Peris Gumbo

AGE: 17 yrsBASE: Yala

Mimi ndio the biggest Shujaaz fan! Nimesoma Shujaaz all along juu iko na ideas zinasaidia ma-youth. Nilisoma

risto yak u-harvest rainwater na nika bambika sana. nili-show Dad hiyo comic na tukam-help ku-install

gutters na water-tank home kwetu. Vile mvua ili-come, hatujawahi kosa maji tena! Tuli-collect maji mingi sana!

Ma-youth, msilale. With DJ B on our side, for sure tuta-make. Chukua hiyo idea ndogo na uta-save doo ama u-make doo! Bro wangu ni example. Alichukua

idea ya rabbit na saa hii ana-reap benefits.Thanks sana DJ B!

KUPANDA NYANYA

*Thanks DJ B 4 ur inspiration. Sasa nishamada primo n I've left a good name as a

peacemaking student, skull captain, a Shujaa & a gud leader! Kudos kwa ma-ujanjez!

Kimathi kutoka Meru

Hi DJ B. Tulikua na gang mbaya chuo but nika realise tunaezat soma na 2change others na

hio grup. Musa Aka kartel.

Niaje Dj B?i jst wanted to congraturate u 4 hvo ideal umedevelop ya kusave mayouths. Keep

on keep’n on. Marto ,Thika.

ASANTE SHUJAAZ!

MULIKA WEZI WA MAJI

Nitumie message ya mpendwa wako

na nitazisoma kwa VALENTINE special Show

Sawa Bajal nashugulika. Mafans

wote, pata Shujaaz.Fm comic 1st Sato

of the month kwa Saturday Nation na

Pia kwa Mpesa karibu na wewe

starting 1st Sato of the month.

17

18

daktari! daktari!

hapa!saidia hapa!

msichana yangu anashindwa

kupumua... si umuletee ile machine ya oxygen?

alice jikaze tu... mungu atakuponya.

jikaze msichana yangu...

sasa mama alice. nime-come

kumcheki. anaendeleaje?

ana shida sana ya kupumua

lakini hawa madaktari... mimi

sijui!

na uwache kuniitaita hivyo.

huoni niko busy?

aaaah! mama acha

kunisumbua! mwenye kifunguu ya oxygen

ameenda lunch!

ako tu.

Mulika Daktari

19

20

21

22

siku ya next...

daktari! rafiki yangu anaitwa alice ali-die hapa leo. mathe yake anaomba umpe mwili

azike. yeye hu-do bizna ya kuuza fish. to be

honest, hawezi afford hizo doh mnataka.

tafadhali...

oh, unajuana na huyo mama?

mwambie aache kunisumbua. na hiyo mwili ya mtoto

wake hatuwezi kumpatia.

asipolipa by friday, mimi mwenyewe nitatupa hiyo msichana yake huko tunatupanga

takataka.

my friend, umesikia huyo daktari vile anaongea?

huyo ni binadamu kweli? yaani hana huruma hata kidogo! sasa nakuuliza

wewe mwezangu, umewahi kuenda kwa hospitali ama clinic kutibiwa halafu...

mama junior, si utachukua

junior kutoka shule leo?

haya ! breakfast show hapa! it’s twenty minutes to 8 a.m. na tuko na show kali

leo! unakula breakfast? haya basi, kula na mdomo lakini utupatie sisi masikio

maanake you don’t want to miss this! sawa.

nini mbaya? unasikia baridi?

aaah...ndio...

hapana...ndio...aaaah...

aaaah!mimi nimeenda job. kuna kitu

nataka kufanya kabla

saa mbili...aaaah...

aaaahh!!

kuna dem fulani ametutumia clip noma sana! madaktari wengi ni wapoa, lakini kuna

some rotten fish among them! sisemi

zaidi, sikiza mwenyewe uniambie...

23

24

sato...

tuna huzuni, lakini tuna furaha pia.

huzuni kwasababu mwenzetu ametuacha.

furaha kwasababu kule ameenda hakuna

kuumia...

lakini nyinyi nataka mujiulize

jambo moja: kuna kitu unaweza-do ku-prevent mambo yasiyofaa kama haya kutokea? kama vile yona mbatizaji...

eh, maria kim, asante sana. kweli

ulifikiria. kama si wewe hatungeweza kumzika

vizuri. asante!

alikuwa beshte yangu.

nilifurahi kusaidia.

Kuwa na evidence ni njia poa ya ku-report ukiukaji wa sheria! Ukiona umeteswa na daktari au dentist unaweza download complaint form kutoka www.medicalboard.co.ke

Wasee, mnaweza report madoki, na ma-nurse

wenye hawatuheshimu

hosi. Una haki ya kupewa

treatment poa kwa hosi.

sms3008doki

TUMA

SMS NA NENO DOKI KWA 3008 UTOE MAONI JUU YA HII RIST

O.

ACTION

CH

ANGAMKA • CHUKUA ACTION •

Kila mtu yuko na right ya kutunzwa poa hosi bila kuteswa au

kunyayaswa na pia kutibiwa vile inafaa according to katiba ya

Kenya Article 43(1)a.

Ukitaka kujua more juu ya rights zako kama patient au mtu yuko

na patient hosi enda kwa hii website, pia advice watakupatia.

www.morrismosesfoundation.org

HIVI NDIVYO UTA-DO:Kama una simu yenye ina camera, record huyo daktari au nurse mwenye anakosa heshima. MAKE SURE USIONEKANE UKI-RECORD!

Piga simu kwa media house uwa-show uko na evidence yahii risto. Wataku-show vile ya kuwatumia hiyo video yako. Pia watafanya uchunguzi zaidi na kumulika hawa wasee wote.

Eleza wasee wa media wasiseme jina yako, ili baadae usifuatwe!

REPORT SERVICE MBOVU KWA MA-LEADERS WENYU.

ai, biashara

siku hizi ni mbaya!

yule daktari wa

wanyama, uncle rosie, ameniibia

customers wengi tu sana...

itabidi nianze ku-strategize aggressively...

...kabla nianze kuisha!

wah! vile

figure yangu inakuwanga

sweet...

grrr!

ngoja tu nimpate huyo uncle rosie!

weweeeee!!!nimejazzika

tu sana!

ai!

sasa hawa ni akina nani?

ni taabu na mwenye

kelele nyingi, charlie pele!

naenda home ku-make dye ni-colour

hizi chicks mpya!

MGANGA

VACCINE

25

nizi-make pink kama zile zingine? Ama

labda ni orange this

time? wah, unajua hizi

chicks ni vile nitaanza

kuchanga dowry ya komwoa

purity?

itabidi nizilee vizuri...

ama green, kuzitofautisha?

ama blue?

ama purple???

oho!

strategy imeiva!

baadaye...

...unajua, hizi kuku ni pesa!

huwezi kuzilea bila mimi

kuzi-bless! zitakufa!

na vile wewe ni customer

mpoa, niko na special offer, kuku moja tu badala ya

mbili zangu za kawaida...

...ni dj B kwenye dial, na leo

tunawakilisha wakulima!

sikizeni stori fulani...

eh, sijui mambo ya hizi

chicks za taabu, lakini siwezi

kuhata offer...

uncle rosie?!?

umeshafika???

sangoma! habari yako?

26

unafanya nini hapa?

nimekuja ku-vaccinate hizi chicks...

kwenda huko na hizo madawa zako! blessings

zangu pekee ndio zinahitajika

hapa!ehm,

taabu ndiye ameniita...

aaaah, hawa watoto wanajua

nini? wacha kudanganya watu na hizi madawa

zako! wasee!

sikizeni!

DJ B anaongea

juu ya stori kama hii

yetu!

dj b, thanx 4 da tip about chicken vac. i've started a project 2 help generate sme

income.

pia nimeweka trees flowers nursery coz we need them and also i'll get some money big ups

4da gudwork. lydia amagoro.

lydia, asante sana

kwa hiyo message yako, hiyo ni stori

poa sana... si utuelezee more kuhusu project

yako?

27

Name:Lydia Amagoro Namaemba

Base: Webuye, lakini nasomaMachakos Technical

Age:33 years

Tulikuwa na kuku mob sana kwetu time nilikuwa mdogo. Then later vile nilienda high school, kuku zetu zilianza ku-reduce pole pole. Sikujua reason then, but baadaye Mum aliniambia diseases zilikuwa zimeongezeka sana.

Later on long baada ya kumaliza shule, nilikuwa tu home. Most of the time nilikuwa free. Around hiyo time ndio niliona story ya chicken vaccines kwa Shujaaz.FM. Nili-realize kuwa kama ningechukua hatua, maybe kuku zangu zingeacha kufa ovyo ovyo. That is when niliamua kutafuta place yak u-buy vaccines.

Kulingana na wasee wa hapa mtaani, kuku zinalindwa na Mungu. In case of disease outbreak, wanaziacha tu zife na zile zina-survive ndio wanaanza nazo afresh. Mimi niliamuanii-give a try nione kama ita-make a difference.

28

So outbreak ilipo-come, nilienda kwa agrovet na nikam-show symptoms. Huyo msee anajua kazi yake. Alinipa dawa flani inaitwa Coprsol ambayo hu-prevent chicks kupata magonja. Ali-advise nizipe for 4 days only. According to instructions, hii dawa inafaa kuwekwa kwa maji ili chicken zikunywe maji pamoja na dawa. Yeye alini-advise nizipatie drops za hiyo maji mwenyewe kwa sababu haiko guaranteed zitakunywa ukiiweka hapo nje.

After the 4 days nilianza kuzipatia Avapox ambayo nilizidunga kwa mabawa. Imagine hiyo dawa yote ilini-cost 65 bob! Of the 13 chicks ambazo zilikuwa na dalili ya ugonjwa, only 1 died. Saa hii niko na over 60 chickens, nimeuza more than 10 na zenye nimepeana kwa harambee hazihesabiki. Thanks to Shujaaz.FM, nina project inani-susutain nikirudi home during holidays. Pia pocket money ni constant. 29

na-hope stori ya lydia imewasaidia,

wasee! tupatane next time!

tuko gangare!

agh, sawa, basi. mnaweza

kuzi-vaccinate.

grrr... uncle rosie... ngoja tu! siku moja nitakupata...

Advise yangu kwa ma-youth na farmers ni, tuwe wajanja. C ati kuku zinajilinda. Hizo kuku zinakula uchafu na ni lazima tuzitunze sisi ili kupata faida zaidi. Vaccine ni cheap lakini outcome ni rewarding. Kuku moja inauzwa 450 at the moment huku ocha. Imagine utapata how much kwa kuku 60! Pia tunauza mayai, na tunakula incase tunataka mboga. Thanks sana DJ B!

sms3008kuku

TUMA

SMS NA NENO KUKU KWA 3008 UTOE MAONI JUU YA HII R

ISTO.

30

31

Niaje mafans. Valentines iko kwa corner, hebu mnitumie text zenu kwa

3008 mkianza na jina “LOVE” alafu zile text moto zitakua announced na

DJ B kwa show yake kila siku!

texts moto

Radio

Radio lakeVictoriaKisumu 92.1FM

@6.30 P.M.

[email protected]

Radio Namlolwe

97.3FM @6.30 P.M.

RadioMangʼelete

[email protected] P.M.

mtaa radioLodwar - 101.1FM @3.00pm

Ghetto.Fm99.9FM

@12.00 P.M.

Radio Sahara94.3 FM

@2:55 p.m.every

weekday

Mwanedu96.1 FM

@11:15 a.m.9:20 p.m.

Star fm Nairobi - 97.1FM

Garissa - 105.9FM

@11.10 A.M.

fm 89.5FM

@7.55 A.M. (repeat

@7.55 P.M.)

Hossana Mugambo fm

102.3FMsaturdays @12.45,

2.30, 4.45, 5.15pm

MMU99.9FM saturday @12.45,

2.30, 4.45, 5.15pm

Kenyatta University (KU FM)

[email protected] P.M.

weekdaysFrom 1.00 P.M. - 3.00

P.M. Saturdays

Early life online radiowww.earlylife

radio.comEvery Monday and Fridays @3.00 P.M.

sifa fmGarissa - 101.1FM 11.05am

Voi - 107.7FM 12.55pmMarsabit - 101.1FM 3.00pmLamu -

101.1FM 12.55pm

Koch

Q fmNairobi - 94.4FM

Mombasa - 87.9FM

From ten minutes to 4.00 p.m.

MMU

Pamoja 99.9FM

@8.30 a.m.

Shujaaz. FM radio show inapenya kwa hizi station kenya mzima. pata story zote za comic kwa show

yangu. cheki time na ukae rada!