Upload
well-told-story
View
326
Download
6
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Chapta 14 - Full Comic
Citation preview
inspiring kenyan youth
14chapta not for sale
web fm sms comix
TV mtaani!
3
4
5
6
7
Larry G.Ndio waseme aliyekuja ni mbaya a true Kenyan ajijue asidanganywe na pesa na instead azidi kuishi kwa shida.
Samson M. Wa2 janjarukene. Manga hizo mapeni n u-attend da show. It’s ur right c’mon!!
Raymond B. Nisha-witness hii risto! Juu kuna leader mmoja alijaribu kutuwahi 50 bob each ndio tusi-attend show fulani but only 1 of us alishika pesa. The rest tulikataa.
DJ B.UNA HAKI YA KUONGEA!
ARTICLE 33 ya Katiba ya Kenya inakupa haki ya kuji-express:Kila msee ana haki ya expression- freedom ya kusaka, ku-get na kupatia wasee info na ma-idea!
Umewahi kuwa kwa situation kama hii? Nitumie text kwa 3008, ama tuongee kwa Twitter [Shujaaz] na Facebook fanpage [DJ Boyie].
CHEKI VILE MAFANS WALIDAI KWA FAN PAGE
YANGU!
8
EHE, MALKIA! YULE BOY ULI-MEET
ALIKU-CALL?
IMAGINE NIMEONGEA NA YEYE
HATA JANA!SASA ANADHANI TUNAM-BELIEVE?!
MALKIA, WAKATI WA KURUDI NYUMBANI UMEFIKA. UMEPANGA BAG YAKO?
9
LAKINI SASA NANI ATACHUNGA FISH
WANGU?
USIJALI…
NITAWACHUNGA VIZURI SANA!
HATA WAKIKUWA VIZURI, NITAPATA CHAKULA NA ITASAIDIA
SANA KWA UPANDE WA PESA.
NA PIA NINGEPENDA KUPELEKEA MUM FISH…
SI ATABAMBIKA?!
LAKINI ZIKIOZEA NJIANI ATAJAM
KAMA LAST TIME…
10
KUMBE HAUJAISHIA MSUPER…NILIKUWA NAHARAKISHA
NIKU-GET!
NATAKA NIKUPE KA-GIFT NDIO UNI-REMEMBER NAYO.
SHIKA HIZI FISH NIMEKAUSHA…
ULIZIKAUSHAJE?
COZ NILIKUWA NAFIKIRIA VILE NAWEZA BEBEAMUM ZINGINE
NIKIISHIA.
AKI,THANKS!
LAKINI… 11
12
BY THE WAY, HII NI NJIA POA YA KUWEKA FISH NDIO NIZIUZE BAADAE.
UMEJUA, MIMI NI MSEE NAJIPANGA FOR
THE FUTURE. KUNA TIME NITAKUWA NA FAMILY, NA ITABIDI
NIWE READY.
7. HALAFU, ZIANIKE KWA MBAO.
USITUMIE CHUMA, KWA SABABU CHUMA INAWEZA RUST NA IHARIBU
TASTE YA SAMAKI. KUMBUKA KUZIRUDISHA
NDANI YA HAO USIKU.
8. CHEKI FISH ZAKO KWA SIKU 5,
USHINDE UKIZIFINYAFIYA NDIO MAJI ITOKE
NA ZIKAUKE FASTER.
SAMAKI IKI-DRY, UKIIFINYA NA VIDOLE
HAIINUKI TENA!
13
WOOW!! SI UME-PATA MA-ADVENTURES!
ERICO ANA-SOUND M-POA!
EHE, NAJUA! NA ANANI-CALL
TENA LEO!HATA NILIKUWA
NIMESAHAU KUWA SHOW! JUZI, NILI-MEET COUSIN
WA DAUGHTER WA NEIGHBOUR
WA BESTE YA OBAMA...
14
Budako ni mkonde na mshort hadi hana shadow.
Wewe ni m-ugly hadi ukipigwa snap inatoka tu negative.
Una kichwa ndogo hadi huwezi think twice.
DJ B wewe ni mjinga. Siku mathako aliona report form aliuliza,
“Boyie, hii ni namba yako ama balance ya school fees?”
Gari yenu ni ya kitambo. Dere hukalia, stool hao wengine kwa floor.
Wewe ni fala. Ukipotea tao unarudi nyuma ukiuliza watu “Ulinicheki hapa?”
Phone yako imezoea bamba 10 hadi ukiweka 100 ina-vibrate siku mzima.
Phone yako imezoea bamba 20 hadi ukiweka 50 inakurudishia change ya 30 bob.
Unakichwa bigi, ukifikiria tunasikia echo!
Kwenyu nyi wengi badala ya sofasets muko na viti za stadium.
MCHONGOANO
Yaani Chuxx
bado anamen-
dea Maria Kim?
Nilipata kismat
morning,
sikunyeshewa na
mvua niki-come
chuo.
Tosh amegutuka
akaacha risto
za gang.
SHENG’ DICTIONARYAladhe(n) - Class/School
Arbesa/Rwabe(n) - Soo mbili/sh. 200
Chwara(n)- Chang’aa/strong alcohol
Fyetuka(v)- Hepa/Toroka
Gutuka(v) - Chanuka/Kuwa mjanja
Guoka(n)- Vita
Hotio(v)- Futwa kazi
Kerende(n)- crowd ya watu
Kismat(n) - Luck/bahati
Loba(v) - Fall in love/kuanguka examz
Mlami/Odiero(n) - Mzungu
Mendea(v) - katia
Rapash(n)- chupa ya pombe
Roga(v) - Ku-entertain/rap
Ridhe(n) - Gun/Bunde
Shu
jaaz
(TM
) is
publ
ishe
d by
Wel
l Tol
d S
tory
Ltd
. , P
. O. B
ox 1
700
00
50
2 N
airo
bi, K
enya
. Tel
: 02
02
60
3214
ww
w.w
ts.c
o.ke
. Prin
ted
by C
olou
rprin
t Lim
ited,
P. O
. Box
44
46
6 -
001
00
Nai
robi
GP
O. P
rodu
ced
in c
olla
bora
tion
with
: Saf
aric
om, T
waw
eza,
RIU
. D
istr
ibut
ed b
y S
atur
day
Nat
ion
and
Saf
aric
om.
Cont
ent p
rodu
cers
: Aud
rey
Wab
wire
C
onte
nt: P
aul P
eter
Kad
es |
Cha
rles
Oud
a | D
avid
Oum
a
Art
Pro
duce
r: Fa
tima
Aly
Jaf
fer
L
ayou
t de
sign
: Ste
fani
e Fr
ecci
a | S
usan
Mw
ange
Art:
Dan
iel M
uli |
Eric
Mut
hoga
| N
addy
a O
luoc
h-O
luny
a | N
oah
Muk
ono
| Joe
Bar
asa
Rad
io: E
unic
e M
aina
S
peci
al th
anks
to
Just
A B
and
for
thei
r fa
ntas
tic m
usic
on
Shu
jaaz
FM r
adio
Wel
l Tol
d S
tory
© 2
011
All
righ
ts r
eser
ved.
No
part
of th
is p
ublic
atio
n m
ay b
e re
prod
uced
, sto
red
in a
ny re
triev
al s
yste
m o
r be
trans
mitt
ed in
any
form
or b
y an
y m
eans
, ele
ctro
nic
or m
echa
nica
l with
out p
rior p
erm
issi
on o
f the
pu
blis
hers
. Alth
ough
eve
ry e
ffort
has
been
take
n to
ens
ure
the
accu
racy
of i
nfor
mat
ion
cont
aine
d in
this
pub
licat
ion,
in n
o ev
ent s
hall
the
publ
ishe
rs b
e lia
ble
for a
ny in
cide
ntal
, ind
irect
, con
sequ
entia
l los
ses
or d
amag
es o
f any
ki
nd w
ithou
t lim
itatio
n ar
isin
g ou
t of o
r in
conn
ectio
n w
ith th
e us
e of
the
info
rmat
ion
in th
is p
ublic
atio
n.
15
16
17
18
hapo awali...
Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!
Laana ilioje? Part 2 » Laana illioje? Part 2
19
Ah! Sasa hawa wananiharibia
biashara kila siku. Wacha niite soja
awaonyeshe!
Kama mnaweza kutusikiliza kidogo, tumekuja hapa ili
tujadiliane kuhusu hii shida ya pombe
inavyo-affect maisha yetu.
Ninawaelewa kabisa. Nilikuwa mlevi number 1. Mwenyewe nilikuwa jobless na sikuwa
najijali. Mwanzoni, pombe ilianifurahisha but nilivyoendelea…
Nikawa addict na mambo yakaharibika.
Lakini, nilipata usaidizi, na nikajirekebisha.
Kwa nini unatusumbua na haujui maisha yetu
vile ni ngumu?!
20
Na sasa ninawapa hii chance ya kupata
usaidizi. Ni ngumu, lakini lazima mjitokeze na
muamue kwanza.
Aki Daddy! Ulikuwanga hero
wangu. Siku hizi hata hauna job, haukuji home, unapiga tu Mum ukishalewa.
We! Aibu gani hii unabebana na
mtoto mpaka hapa kwa wanaume?!
Hata haujani-buy-ia
ile bike ulikuwa ume-promise.
Una-bore!!
21
Rubo! Ulikuwa chali mpoa sana, saa hizi ebu jiangalie: ume-lose
bizna yako, hauna ene!
Uamuzi ni wenu. Najua pombe ni
ngumu kuacha kama umezoea.Lakini niko
hapa kuwasaidia.
Ni mimi unapenda
ama ni
gej?
22
Bwana Chief, kumbe ulikuwa huku?
Na wewe unasaidiana
kuendeleza hii shida, eh?! Polisi mzima? Nitapeleka hii report mbele
immediately.
Na utakimbia
sana!
Wasee, Chief ako ready kuwa-support. Chekini vile
mnaji-waste.
Please, hii ni chance yako u-start a-fresh. Consider-ini
manze. Kuna hope.
23
Nilikuwa m-sharp primary, lakini nikaboeka na
shule by class 8. Sikuona haja ya kuenda seco.
Nili-club vi-excess na gej ndio zilikuwa zangu.
Nikiwa nimelewa, nilikuwa natumia pia drugs kadhaa, life yangu haikuwa inaenda poa. Sikuwa na future! Wazazi wangu ni wasee wa church na nilikuwa nawa-disappoint. Then waka-threaten kuni-disown…
BEFORE:
AFTER:Najijua, mimi ni msee ma-akili! Nilianza kufanya innovations kadhaa. Nime-make mechanical album, home-made computer, robots kadhaa na camera crane.
Pia naji-keep busy na ku-write plays za groups za mayuts
mtaani. I believe kuna siku nita-make it big!
NIKAFANYA UAMUZI HAPO HAPO! Niliachana na mabeste walikuwa nagej nao. Nikaanza kuji-keep busy na projects ndogo ndogo.
PAUL KIHUHA
AKA: Protisa BASE: Uthiru 87
SHUGLI: Inventor/ Writer/ Actor
24
Shangazi yako ametuma msichana mzuuuuuri kutoka
kwetu...
lakini sitaki huyu msichana...
hata sijui jina yake...
sasa taabu unaninyima wajukuu???
ni nini na wewe???
kwani uko na msichana
mwingine???
...ehm...
si dame wake ni
purity???
Amenipa juju!
25
Ala?! Sikubali!!
purity si wa kabila
yetu!!!
Nawaambia kila siku, hawa jirani wetu ni
wachawi!
umerogwa!usiogope,
taabu! nitakusaidia!
ni nini inasumbua
mbuyu?na wewe! mbona
unaniuza hivyo?!?! mimi
sijui...
aki pole...
ehm...
hodi!
ingia...
siku mingi, sangoma!
umeniletea mazuri?
aaaaah... kuku! basi!
niambie shida yako!
26
ni kijana wangu... amerogwa na msichana wa
kabila ingine...
fanya hivi... mwaga hii dawa kwa chai ya kijana... uchawi wa hiyo kabila ingine
itaishia hapo pap! na atampokea msichana
uliyemletea...
taaabuuu!
huyu taabu ameenda
wapi? Wacha nimdanganye na hii chai. hehehehe!
ooooooh...chai!
vile naskia
kiu!
27
charlie! Umekunywa chai yangu!!
Sasa unakunywa dawa za uchawi! Utaanza kufuata
ng'ombe!
ati...
dawa za uchawi?
by the way...
si-feel poa...
wololo...
ni-excuse-ini please! tumbo
yangu inauma...
Ati dawa za uchawi? Sasa unaniwekea uchawi kwa
chai?!?!
28
lakini umerogwa! najaribu
kukusaidia!
nimeenda!
sihitaji usaidizi wako! nampenda
purity na hajaniroga!
Utaacha kuzishia majirani lini?!?
taabu! unaongelesha
babako hivyo!?!? Hautarithi mali
yangu!
Hii stori ya ukabila itabidi uache!!! hawa
watu ni marafiki, hawana ubaya
na sisi...
taabu! kwani utaoa bila kufanya
kimila??
29
“Hakuna mtu kwa family yetu ame-date msee wa tribe different, na aliona nafanya kitu strange. But ameona Annette ni dem
mpoa na akam-like!”
“In my family, kuna intermarriages mob na tribes different around Kenya. So,
nime-grow nikijua all people are the same na other people have
much to offer. ANNETTE & JARED
Annette: 22 Kutoka: KakamegaJared: 23 Kutoka: Oyugis
“Ni politicians ndio huleta ma-differences
kati yetu, lakini, hakuna difference kati ya wasee.
Nime-learn so much from Annette, na sina
regrets!
UAMUZI NI YA WASEE WAWILI…
Ukiwa kwa relationship, cheki qualities za
personality, tribe si muhimu.”
“Nimekuwa na Annette since 2008, ni dem mpoa na tunaelewana sana. Nina
plans mob sana na yeye. Nilim-introduce home na at first na mother yangu hakufurahia coz Annette
ni wa tribe different.”
Kenya ni ONE!”
30