32
CHAPTA 7 INSPIRING KENYAN YOUTH NOT FOR SALE

07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 7 - Full Comic

Citation preview

Page 1: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

CHAPTA 7

INSPIRING KENYAN YOUTH

NOT FOR SALE

Page 2: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7
Page 3: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

chief, kwanini hukuzuia auctioneers kuchukua mali yangu?

uli-fail ku-provide security kwa community yetu na nikaumizwa na majambazi!

mume wangu, yaani ulikataa kusaidia huyo mama kutokana na auctioneers kwa sababu ya kabila lake? mkabila!

magangs,

nitawa-spare kurushwa prison mkiniambia dj b ni nani!!!

shujaaz fm! vipi mafans, ni mimi boy wenu dj b! nilipigia fan mmoja simu na akasema haya...

dj b, thanks kwa show yako! iliendaje na friend aliyechukuliwa mali yake na auctioneers?

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

page 1.pdf 1 11/08/2010 13:10:42

3

boyieboyie

Page 4: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

sawa chief. lakini hakuna mtu anajua dj b ni nani.

kuna muhadhara?

ndio, kuna muhadhara. chief atatu-spare kufungwa jela tukimwambia dj b ni nani leo. twende ku-research.

dj b ni nani?

sijui ni kijana wa city.

sijui dj b ni shujaa. anaishi wapi by the way?

sijui ni big brother ya wakenya.tunampenda.

kazi gani hii tumejiletea?

dj b amekuwa fumbo...

ati dj b?

tutajaribu.

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

page 2.pdf 1 09/08/2010 16:52:14

4

Page 5: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

imagine makubwa tunaweza fanya mob na hiyo station ya dj b! tuta-control community nzima!!

hatuwezi ipatia chief hivo!

saseni. najua dj b. twende niwa-show pale anaishi.

brathangu ameisha leo!!

nitamjulisha!

boyie majamaa wa kutisha tisha wanakukujia saa hii! wanajua wewe ni dj b!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

page 3.pdf 1 09/08/2010 16:59:48

5

Page 6: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

nimejiweka kwa shida gani? hii ni too much. siwezi jificha anymore! wakati wangu umeisha wa kuwa na hii show.

lakini umesaidia watu wengi ku-improve life yao na hii show. usi-lose hope virahisi hivo boyie, umetoka mbali!!

kumbuka wakati uli-fix wheel-chair ya stima na kupigwa shock? huyo ndiye boyie nime-grow nikijua. usi-give up bro!

kwa dj b. sawa? naishia.

wewe ni dj b?

ndio.

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

page 4-1.pdf 1 11/08/2010 13:32:03

6

Page 7: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

karibuni. naeza wasaidia vipi?

tumekujia redio station yako. tangazakwa community kuwa tunachukua dooh za security leo usiku.

mimi ni dj b wa ku-play music kwa concerts. sina redio station!

wacha kujifanya! ni opensecret kuwa wewe ndiyedj b wa shujaaz fm show!

dj b ni nani?

tumempata kwa station yake. si vizuri kukupatia radio station virahisi hivyo. he he he

wajinga! nyinyi ni wajinga!nawakujia!!

yaani kuna dj b wawili? tumeji-mess!

tuko gangare kuruka!! hii ni shujaaz fm na mimi dj b! mambo vipi? watu wanataka kujua dj b ni nani. umewahi tishwa na watu?

mmmh..mmmmh..

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

page 5 new.pdf 8/11/2010 2:03:50 PM

7

Page 8: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

lazima tu-avoid ku-threaten-iwa na watu. nitumieni experiences zenu kwa 3008 na nitawaambia jinsi ya ku-resist intimidation...

(gasp)..

tuishie!! auuuiii!!!

mtoto wangu!!

tokeni!! tokeni!!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

page 6-1.pdf 1 24/08/2010 07:41:08

Kila mtu huwa na fightingspirit ndani yake. Mara nyingi, wanao kutisha

hujaribu kupunguza confidence yako kwa kusema maneno yanayo ku-hurt. Mtu anayetishwa

huachwa akijishuku na akiogopa. Ni up to you kukubali au kukataa kutishwa jo!

kataa kutishwa!!!

Kuwa calm, confident na tayari kujibu maswali yatakayoulizwa .

Mtu anayetaka kukutisha ataku-interrupt kwa kuuliza maswali kabla umemaliza kuongea. Mwambie akupe time ya kujibu swali aliyouliza kwanza.

Julisha wengine vile unatishwa. Kuwa na facts za wakati ulitishwa na nini kilichofanyika.

Wanaotisha mara nyingi watakufanya kukaa kama wewe ndiye bad guy. Kuwa na good record ya mambo poa umefanya.

8

Page 9: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

MALKIA!

HEBU CLEAR THIS MESS! UNCLE YAKO ANAKUJA

KUNI-VISIT.

HAWA NI KINANANI?

9

Page 10: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

Oh, ni friends naclassmates wangu.

Sisi ni memberswa peace club.

For goodness sakeMalkia! Sitaki uwe rafiki ya

hawa foreigners!!!

But ni schoolmatesmum!

If not nitaku-transfershule. Sawa!!??

Mi si-understand sababuya mathe kusema hataki

niwe beste yenu.

Mathe Alisma ati watu wenu niwa-greedy, ...na nyinyi ni wazembe, ...na kuwa wewe watu wenyu hutumia urogi kwa exams!

Na budangu alisemanyinyi Malkia huibaga

doh kwa maskini!

Na nyinyi ati huwaga fitina na hupenDa

kupigana vita.

Ohoo, ni hivo? Sasa nitakuonyesha

vita wewe!

10

Page 11: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

Wacha kumpiga

Kichwa soo ntakwonyesha oxygen hu-spell-iwa aje

Heeey! Ni nini?

Hii ni meeting ya peace club ama

ni wrestling club?

11

Page 12: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

PRINCIPAL

Na hii fighTimeanzia wapi?

Na si ni wewe ulianza hIyo storo na mathako?

i’m sorry, sikuwanataka tupigane.

Sorry kwa kukuvurutanywele.

Sasa nimepata idea poa. Hii shida najuwa ina-represent wazazi wengi. So, kwa next

parents meeting, situ-make ka-presentation juu ya tribalism.

Come inExcuse me sir, we wantto have a presentationon tribalism in the next

p.t.a. meeting.

We live together in harmony in schooland need to show our parents how

to do that...

That is a great idea. Prepare yourpresentation then call me ToPREVIEW it once you are ready.

12

Page 13: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

Mum, Pleeease kuja uone play yetu kesho.

Nitakuwaniki-act

Eee nita-try.Oookay.

Mum thanks a million!

Ma-Paro wame-come wengi?

Ndio na ninatafutamathangu

Simwoni.

A WEEK LATER AT MALKIA’S HOME...

13

Page 14: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

“Tuachane na ukabila, kwani huleta utenganyifu, mgeni kumpokea kumbe ni kujitongea.”

Very good Malkia. The parentshave received the message

and understood.Don’t be sad Malkia.Change begins with

you and yourgenerationMY MOM HASN’T

COME...

ubaguziMara nyingi, watu husikika

wakiongea vibaya juu ya watu wa kabila, race, tabia, na tabaka tofauti

na yao. Hii sio sawa.

Wanaobaguliwa huanza ku-doubt watu wengine, wanaskia guilty na kuwa na low self-esteem. Utakuwa responsible citizen kwa

kusaidia kumaliza ubaguzi!

Tumia DJ B maoni juu ya ubaguzi on 3008, facebook

Djboyie Shujaaz

Jua kila mtu ni tofauti na special.

Kuwa sensitive kwa feelings za watu wengine.Ni unfair kubagua.

Usikubali kuona wengine wakibaguana juu ya dini, lugha, kule wametoka, gender, au sura zao.

Teach friends zako ku-respect tofauti za watu na kuwajulisha wanapo bagua.

Kuwa kwa activities zinazo-encourage watu wa different groups kuwa pamoja kwa concerts, sports forums, ku-visit festivals.

Jivunie kuwa from your culture, ambia watu wengine juu ya culture yenyu.

Hi DJB keep it up mnatia Wakenya moyo eg. Mi ni

Mkamba I stay in Kerugoya pahali Wakamba uogopwa sana.1st niliwa-show mi ni mtu na Mkenya kama wao, u-join story za kukataa ukabila juu ata kama kwetu kuko uchawi sio kila mtu mchawi also hizo ni vitu vya kale, tena sijionangi au kujitenga kando kwa ujenzi wa taifa. Kwanza mi ni wanachama wa shule, na niliaza merry go round ya wamama ili tuwe kitu kimoja and they turned to love me and many have no problem with my tribe now. Always show people around you that, you are brothers, share your talent with them wherever you are na Kenya will be a nice place to stay.Tresa M. M from Machakos via Kirinyaga.

14

Page 15: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

Sheng Dictionary / Dicmusi

1. Nduthe-Ku-run fast2. Doro- Kulala3. Mbori-Refugee 4. Blada-Rubber band/Ku mess up5. Dondoa- Ku-drop passengers6. Mdongera- Tajiri7. Ubege- Njaa8. One pack- Pot belly9. Ndula-Kiatu10. Fedi- Police11. Kindema-Monday12. Gange/Janta- Kazi13. Ndyefi-Shida14. Mngaro- Nguo poa15. Kuvuta arial- Kuwa wise16. Harare- Kuwa unfair

1. Damu yako ni sweet mpaka mosquito ina-come na cake.

2. Mko matajiri mpaka mnapikia chapati mafuta ya baby care.

3. Phone yako ni kali kwa extras iko na nailcutter

4. TV yenu ni nzee hadi Dexter anaongea kikamba

5. First time yako ya kuingia kwa mat uliwacha viatu nje na ukasalimia kila mtu na mkono

6. Una kichwa bigi ukiinama unapiga sama7. Gari yenu ni mzee hadi ikiwa kwa

jam unadhani ime-cause accident!8. Ati budako ni mwoga hadi yeye

hulala akiwa amekuja ngumi.9. Mbwa yenu ime-watch movie mob

mpaka wagondi wakija inawafuata ikisema “TEREN TEREN”

Ma-fans! Sheng dictionary na

mchongwano ni kali, au sio? Nitumie mi DJ B mchongoano na sheng

words zingine moto ili tuwe smatta kama

vijanaa!

Hi DJB your sheng words and mchongwano

are nice keep up the good. - Ernest from Kijabe.

Mchongowano

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512 www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO.. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Bridget Deacon Layout Design: Joe Barasa Art: Daniel Muli, Eric Zøe Muthoga, Salim Busuru, Movin Were, Naddya Oluoch, Joe Barasa Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio.

Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

15

Page 16: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

Mafans, jaribuni ideas za mine!!! Mtasaidika kama hawa vijanaa. Nitumieni

messages juu ya vile ideas za mine kutoka kwa Shujaaz.FM zime-change lives zenyu.

Walio na kwa messages zao wamejishindia

T-sho ya Shujaaz.FM. Congrats mashujaa!!!

Endelea kunitumia ideas poa poa kama hizi juu ya Shujaaz

kwa kuni-SMS on 3008, Facebook: Djboyie Shujaaz na Twitter: Shujaaz.

Tuendelee kujijenga sisi vijanaa ili tujenge Kenya yetu!!!

Niaje DJ B, imagine mi huwanga chuo na venye nilikam home nilichop hizo mag za

Shujaaz na maze zinani kimbia kwa damu as in zimenijaaz. Saa hii na-feel tu mi ni Shujaa. Kip it blazing Boyie. Beth Agonya, Kisii.

Hi DJ B, nimekuwa nikisoma Shujaaz.FM kwanzia chapta 1-5 hadi na-wish kungekuwa na

channel kwa TV inayoitwa Shujaaz TV ndiyo niwaone kila siku. congratulations.Shujaaz FM, kusema kweli nyinyi ni mashujaaz. Denzel. Bungoma.

It was ma first time to read and can’t wait for the next chaptas. God bless you for your work. Noeline

Kaptich.Ever since hii samo ya magazine ya Shujaaz itokee i have learnt many things and ma life has

tremendously changed alot big-ups 2 u waaaseiye!! Obiero Edwin

As long as Charlie Pele and the Sangoma-beliver Dad are in you can repeat it to eternity coz he is

crazziiy!! Sasha Manka Kalonje.Nacheki hiyo picture Shujaaz DJ B ukiongoza uki-raise flag ya Kenya na support ya familia nzima

ya Shujaaz. Tunaangaziwa na upya wa Kenya kwenye future na hiyo nyota . Shujazz niko pamoja nanyi na mabeste wangu. Bila shaka. Asante kwa nakala safi ya hayo majuma manne. Nilifurahia kuisoma na ku-share na mabeste wangu! Hellen Mukosi

Thanks for the Shujaaz mag, ilini-uplift sana to think about mambo ya bizna

although nimeenda college but sijawahi get job, thanks kwa kuni-boost morale... Miriam Mwangi.

Am gonna try on your ideas. Maze bro wa mine anakugotea na anani-show kuwa amependezwa na

hiyo idea ya ku-paint kuku ziwe pink.. Keep it up with your ideas. Patrick Kay Ngetich.

Hi DJ B! nina idea ya ku-make chapaa, ningeambia wasee ati waanze ku-keep doves

ama rabbits alafu wazikinde na wapate machedas na waendelee na life. DOMNIC R

How is you DJ B, hiyo story ya vijana kujiinua kimaisha imenibamba sana,

mine am employed but every end of month when I get my salary I use 50% & 50% na keep because I want to employ myself . Zeddy Moi’s bridge.

Nina idea ingine ya kumake doh. Kama hauna job tafuta

tuwaya na ku-make tu-toy then uzia watoi kwa bei safisafi au sio ma-youth.

Thanks for your great inspiration. We have started the

student’s council in our school and it’s working very well. Dan Oduori. Mombasa

Credits

Idea za ku-make dooh

Vijana wana-improve lives zao na ideas za Shujaaz

Big up kwa ma-fans wote wa Shujaaz.FM comic, tumeendelea ku-grow sababu ya kupata

encouraging messages kutoka kwenyu through SMS, Facebook na Twitter.

Shujaaz.FM comic hutokea every 1st Saturday

of the month. Tegea na mabeste wenyu ili tupate ideas ya kuendelea kama vijana!

16

Page 17: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

soma encouraging storo ya Tresa M. M from Machakos

kwa page ya Malkia. Amejishindia

T-Sho pia!

Mafans, jaribuni ideas za mine!!! Mtasaidika kama hawa vijanaa. Nitumieni

messages juu ya vile ideas za mine kutoka kwa Shujaaz.FM zime-change lives zenyu.

Benson kutoka Lewa primary school ni fan aliyeonekana akisoma

copy ya Shujaaz. Thanks Benson. Umejishindia

T-sho.

Big ups kwa mafans walionitumia SMS wakiniuliza juu

ya chicken vaccine. Ningependa mnieleze vile chicken vaccine imesaidia kuku zenyu.

Walio na kwa messages zao wamejishindia

T-sho ya Shujaaz.FM. Congrats mashujaa!!!

Hi DJ B! nina idea ya ku-make chapaa, ningeambia wasee ati waanze ku-keep doves

ama rabbits alafu wazikinde na wapate machedas na waendelee na life. DOMNIC R

Hi DJ B, vijanaa lazima waseme NO to violence roundi hii. I choose Kenya, I choose peace.

Dogg.ta wa Eldoret.Watu wa kabila nyingine huwa na vitu mob za kutu-teach so tuki-associate na wao watatufunza

vitu mob na tuta avoid Nepotism na Tribalism in this way.

Hapa Antony kutoka Gilgil. Tukitaka kumaliza tribalism na kuokoa Kenyan youth wetu,

tunaweza ku-form kama time za ball, na zinginezo. Shujaaz .FM mko poa. Obiero Edwin.

PEACE should be the middle name of all Kenyans tuko pamoja. Benard Ikua.

Hi. DJB, ni Kanga from Nakuru, storo ya

ku-vaccine kuku umeni-coach pakubwa, thank’s alot Shujaaz.fm.

DJ B unani-inspire sana. Nyuma ya keja, mi hu-plant

skuma ndani ya gunia. Am doing well. Miry Nyahururu.

Thanks for your great inspiration. We have started the

student’s council in our school and it’s working very well. Dan Oduori. Mombasa

Nili-apply ile style yako ya kupanda kale (sukuma wiki) na

zile dooh ni poa. Nilifanya course ya comp Egerton na nimemada. Hiyo dooh nimepata kiasi imeni-help kununua CPU ya comp. Thanks for the ideas. Roy Omondi.

Vijana wana-improve lives zao na ideas za Shujaaz

Peace

Chicken vaccine

Jua Kuwa: Chicken vaccine aina ya drop huwekwa kwa macho

na si kwa maskio kama ilivyo semwa kwa chapta 5. Pole kwa any

inconvenience

17

Page 18: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

skuma ni ten bob kwa bunch.

nifungie mbili

what?

sawa asante

september 14th ni leo! na watu hawajui!

very good! watu hawajui, kama tulivyo panga. niliambiwa ukitaka kuficha kitu from an african, ifiche kwa maandishi.

ha ha ha haaaa!!!

latf meeting 14th september mnaalikwa kwa mkutanowa latf ili kufuatilia miradi ya maende- leo kwa wards. venue: county hall time: 8:30

18

Page 19: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

nimepata hii kwa newspaper article. si watu wengi wanajua juu ya hii meeting. Tutafanya nini?

endeni mkisema hivi: “twendeni kwa county hall! latf meeting ni leo kwa county hall!” sawa? then nitawapatia sweets.

thanks, j.k. kweli wewe ni genius!

si tuambie brathako na beste zake waende waki-announce barabarani juu ya hii meeting?

rusha mkono maze!

rusha rusha!

twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

pg 2.pdf 1 24/08/2010 07:41:44

19

Page 20: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

sikujua ni leo. kwanini hawakutuambia?

aii! siachwi nyuma!

haki yeetu! haki yeetu! haki yeetu!

ona hata hakuna watu wengi

twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!

twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!

twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

pg 3.pdf 1 12/08/2010 09:41:48

20

Page 21: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

hamwezi fanya latf meeting bila watu wa community kuhusishwa!!! na sisi ni akina nani madam? i am the

councillor of this ward! si makosa yetu kuwa mmechelewa!

na sindio!

na by the way, councillor hana mamlaka ya ku-chair mkutano wa latf, ni mmoja wa community anatakikana kuwa chair.

nani alisema hivo? kijana unataka kunionyesha kazi yangu?

in fact, regulations imesema chairman awe appointed by the majority.

nina chagua chuxx, nani anani-support? hakuna!! na...huyu...pastor?

ndiooo!!!

21

Page 22: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

asanteni kwa kunichagua. hebu tuseme shida gani tuko nazo kwa community halafu tuziandike.

stima!..maji! hatuna maternity iliyo karibu!

tunahitaji street lighting ili kukumbana na insecurity!

sawa. haya yote tumesema na nimeandika ile issues tatu mmesema kua muhimu. nitaandika minutes na kupatia latf committee. pangeni ku-attend annual latf meeting iatakayo kuwa next month. hapo mtajua kama miradi yetu itakubaliwa na kupatiwa funds. kisha mtatakikana ku-participate kwa miradi yenyu.

hawa ni wajinga!!! wanafikiri wameshinda? huu ndio mwanzo wa mapambano!!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

pg 5.pdf 1 12/08/2010 09:41:16

22

Page 23: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

siku ya leo ilikuwa a success!

thanks to you kwa kutoa idea poa. i loved it!

nimeanza kupenda company yako siku hizi

najua, na mimi naku-like sana. nilikuwa nataka kuuliza...

kriing! kriiing!

kriing!

Wengi wanaweza kuwa victims kama watu wa community yetu. Nime-share information

tuliopata juu ya LATF na dj b.

tunakudai sweets zetu! wazee! tulikuwa na fun mob! Lakini chuxx akaja kutufunga mdomo ati

tusiende tukiwaita watu kwa meeting.

Hiyo ilikuwa kitu serious! kuna watu

wanapinga kazi tunafanya. jichungeni!

Je, community ya maria kim ita-pata funding? Cheki next comic!C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

pg 6.pdf 1 12/08/2010 09:51:22

Vile LATF inavyo operateUlijua kuwa 5% ya national personal income ya tax collections huwekwa kando kwa matumizi ya LATF fund?

LATF fund husaidia ku-improve service delivery kwa communities na local council. Pia, inasaidia management ya finances za local authorities na kupunguza deni.

Councils hu-manage funds za LATF na ku-guide-iwa na Local Government Act.

a) Attend meetings za LATF. Jua time na location ya meetings. Hizi hu-anounce-iwa kwa gazeti.

b) Kwa LATF meeting, ongea juu ya mahitaji ya community na uwe involved kuchagua projects zitakazoanzishwa kwa area yenu. Itasaidia watu ku-own miradi yao. Watu walio na selfish interests watazuiwa ku-benefit na miradi ya community.

c) Follow up miradi ya area yenyu na ujue inavyoendelea. Itafanya viongozi kuwa accountable.

d) Soma financial reviews za LATF funds zinazowekwa kwa newspapers ili ujue vile pesa zimetumika kwa projects mlizochagua kwa area yenyu.

Go ahead ma-fans na m-participate kwa LATF meetings za area yenyu na mtafaidika na maendeleo nyote!!

Unaweza participate kwa LATF fund ya area yenu

Tumia DJ B maoni juu ya LATF on 3008, Facebook kwa Djboyie Shujaaz na Shujaaz kwa Twitter ili tujengane kama vijana!!!

23

Page 24: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

charlie avamiwa na worms!

Hizi minyoo

ni laana!!!

Zitakuwa mbaya kama...

kama...

...siku ya mwisho!!!

Lakini naweza

kuwaokoaaa!!! Leteni

mali zenyu!!!

Isipungue shilingi

elfu mbili!!! Ikipungua?

Minyoo ya fumbo itaharibu shamba zenyu

pamoja na wale hawatafanya

ninachosema!!!

SangOma nitakuletea ng’ombe yangu!

Nitakuletea A.T.M. card!

Ngoja niwaambie ukweli!!!

24

Page 25: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

Hiki kifaa kinaitwa pheromone trap. Kinasaidia ku-trap moths za army

worm au minyoo ya fumbo.

Moths huwa signs za army worms zinazoharibu

mimea shambani.

Army worms zinaweza kula

mimea yote kwa shamba moja within 1 day!

Lakini

zinaweza

zuiwa

kuongezeka

mapema kwa

kunyunyiziwa

dawa.

Haiya!!

Maajabu!! Tangu lini container ya mafuta ya kupikia ikasaidia kujua juu ya army worms?

Haha-haha!

kweli kusoma kwingi ni kupoteza

wengi!

Na wewe unataka kupewa nini ili tupate

hiki kifaa chako? Meli? Ndege?!

sikizenitafadhali...

Watu husema army worms

hutoka binguni kama adhabu ya dhambi za

watu.

Wengine wanasema kuwa

kuzuia army worms ni kama kuzuia upepo.

Hiyo si kweli. Unaweza zuia army worms kuongezeka.

Hii trap inasaidia

kutabiri army worms kwa

shamba yako.

Kwanza weka hii trap chini ya mti 1 ½

meters kutoka chini.

MPENZi!

Army worm moths zita-vutiwa na hii kemicali inayotolewa wakati wa

ku-mate. Kisha zinaanguka kwa hii container na

kuuwawa na hii cube ilio ndani ya container.

kuJua signs za army worms mapema unahitaji kuhesabu

moths kwa container. Ukipata 20 moths kwa wiki moja, Jua moths zimekuja. ishara ingine ni mvua ya milimita 5 baada ya

kiangazi... Huo ni Uchawi!!!

25

Page 26: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

huyu hajui mambo!

usilete vituko kwa mambo serious,

wewe jamaa! Enda na container yako

mbali!! Sangoma, Twende

ubariki shamba yangu!

wiki mbili zilizofuata...

Rosie, ulienda kuangalia kama kuna

moths kwa trap?

Na si leo ni turn yako?

Niliangalia jana na

juzi. lakini inachosha

kuangalia kwa trap kila wakati na

kukosa moths!

Oookay, nitacheki trap uki-insist!

Rosie...

umeona vile

kumenyesha?

Twende tuangalie kama ile trap ya

army worms imepata moths.

26

Page 27: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

Ni mob!!!

20 moths!!!

Twende twambie Uncle.

20 moths zimepatikana kwa trap ya army worm

moths!

Tuna siku nne za kununua na kunyunyizia dawa kwa mimea shambani ili tuharibu mayai ya army worms! Hii ni chance ya kuzuia army worms kuongezeka na

kuharibu mimea yetu yote!

Ishia na stories zako za kufanya

tununue dawa zako mbali hatujaona

hizi army worms!!! Watoto wanaweza

kudanganya.

Baba, si ununue dawa ya kuua army worms ili zisivamie

shamba yetu na kuharibu mimea

yote!Hakuna

kitu kibaya kitafanyika kwa mimea yangu!

Sangoma ameniahidi!!!

Army worms ni propaganda

tupu!!!Wooi, kumbe ilikuwa kweli!

Tafadhali tuuzie dawa.

Town ni mbali, tutachelewa tukiiendea!

sawa!

usingizi huo ulikuwa tamu! Na

kumenyesha! Wacha

niangalie shamba...

27

Page 28: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

wololoyaye!

mahindi zangu!

wameroga shamba yangu!!!

Nimeisha!!!

sangoma atajua cha kufanya!

28

Page 29: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

Ω Moths zake hu-fly usiku na kufuata upepo ili kufika kwa mashamba. Mostly hazionekani na hujulikana

zimefika na wakulima wakati zimeanza kuharibu mimea.

Ω Zinachukua 10 days kutaga mayai chini ya matawi na baada ya 5-10 days kuwa army worms.

Ω Wakulima huona worms za black, white na green kwa shamba. Hii ni stage poa ya ku-control army worms kwa ku-spray pesticides kwa shamba kabla kuwa haribifu. Baadaye zinakuwa black na kuwa haribifu na kula nyasi, grass crops na cereals.

Ω Baada ya 2 weeks, zina-disappear na kujificha kwa mchanga na kuwa moths.

Ω Army worms huja kwa mashamba miezi ya November-May na October. Wakulima wanahitaji kujua hizi seasons

ili wajitayarishe kujua wakati zimefika kwa ku-spray pesticides ili kuzuia great losses kwa mimea.Ω Pheromone trap husaidia ku-trap moths na

kujua wakati army worms zimefika kwa eneo yenyu. Hii trap huwa na kemikali inayo-attract army worms zinazo ingia kwa container na kuuwawa na kemikali iliyo ndani.

Ω Utajua kama eneo yenyu itavamiwa na army worms kwa kuhesabu 20 moths kwa hii trap.

Ω Enda kwa your nearest agricultural officer ili kupata more information juu ya pheromone traps na pale unaweza ipata.

Tumia DJ B SMS on 3008, FACEBOOK: DJBOYIE SHUJAAZ and TWITTER: SHUJAAZ maoni yako juu ya hii story?

usijali, baba

charlie! Nimefika!

Chum Chuumm!!!

Endeni!!!

Basi! Zitaenda baada ya siku

kumi!!!

lakini si inajulikana kuwa army worms

hukaa muda wa siku kumi kisha kwenda underground ili

kuwa moths?

Nyamaza!

Kile unahitaji kujua juu ya army worms

29

Page 30: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

Nuvita A5 shujaa magazine sudoku2.pdf 1 12/08/2010 10:24:34

Page 31: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

Nuvita A5 shujaa magazine sudoku2.pdf 1 12/08/2010 10:24:34

Page 32: 07 - Shujaaz.FM - Chapta 7

Wasee, tuonane kwa wall ya DJBOYIE SHUJAAZ kwa FACEBOOK na Shujaaz kwa Twitter ili tu-connect kama vijana!!!

Visit website yangu on www.shujaaz.fm na utapata ku-view na ku-download chaptas za shujaaz.FM comic zile hukupata.

Tutaweza ku-discuss juu ya stories za Shujaaz.FM, ku-share ideas, uta-meet na mashujaa wengine, uta-chat na mimi. Ni-suggest kuwa friends na mabeshte wako yaani, hujui ni kile una-miss.

Ma-fans, tuchekiane online coz niko only a click away!!!

Kumbuka, Djboyie Shujaaz kwa facebookShujaaz kwa Twitter. www.shujaaz.fm website ya mine!!!

Skiza Shujaaz.FM show na mtaskia stories zile za comic in more detail, kupta more info juu ya sto-ries za shujaaz.

Mafans, nimeweza kupenya hizi radio shows moto moto. Tune in wasee ili tu-connect na kenya nzima!!!

QFM 94.4FM & 87.9FM Mombasa @4PM

Pamoja FM 99.9 FM @4:10PM

Hossana FM 89.5FM @6:55am, repeat 7:55PM

Radio Lake Victoria 92.2FM @ 9:30am

Koch FM 99.9 FM@4:30PM

MMU (Multi-media University radio)

Sifa FM Garissa 101.1 MHz 2 @ 6:55PM

Mandera FM 100.7 MHz @6:55PM

Marsabit FM 101.1 MHz @6:55PM

Maata FM Lodwar 101.9 MHz @ 6:55PM

Wajir FM 101.7 MHz @ 6:55PM

Sifa Lamu 101.1 MHz @ 6:55PM