5
Cheo cha Swala na Hukumu Yake https://www.al-feqh.com/sw

Hukumu za Kiislamu zilizowepesishwa … · Hadhi ya Swala katika Uislamu 1. Swala ni nguzo ya pili katika nguzo za Uislamu. Amesema Mtume ﷺ: (Uislamu Umejengwa juu ya nguzo tano:

  • Upload
    others

  • View
    41

  • Download
    1

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Hukumu za Kiislamu zilizowepesishwa … · Hadhi ya Swala katika Uislamu 1. Swala ni nguzo ya pili katika nguzo za Uislamu. Amesema Mtume ﷺ: (Uislamu Umejengwa juu ya nguzo tano:

Hukumu za Kiislamu zilizowepesishwa

Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

HijjaZakat Funga Swala Tohara

Tarjama Dr Abdalla Khatib Sheikh Salim Barhayan

Ustadh Said AbduUstadh Ahmed Yasin MustafaSheikh Said Bawazir

Marejeo

Cheo cha Swala naHukumu Yake

https://www.al-feqh.com/swht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

w

Page 2: Hukumu za Kiislamu zilizowepesishwa … · Hadhi ya Swala katika Uislamu 1. Swala ni nguzo ya pili katika nguzo za Uislamu. Amesema Mtume ﷺ: (Uislamu Umejengwa juu ya nguzo tano:

76

Mlango wa Swala

Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

Hadhi ya Swala katika Uislamu1. Swala ni nguzo ya pili katika nguzo za Uislamu.

Amesema Mtume ملسو هيلع هللا ىلص: (Uislamu Umejengwa juu ya nguzo tano: kukiri kwa moyo na kubaini kwa ulimi kuwa hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ni mja Wake na mtume Wake, na kusimamisha Swala…)(1)

(1) Imepokewa na Bukhari na Muslim.

Swala kilughaMaombi

2. Swala ndio amali bora kimatendo.

Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ملسو هيلع هللا ىلص: ( Amali bora kuswali mwanzo wa wakati wake).

3. Swala ni upambanuzi baina ya Uislamu na ukafiri. Mtume ملسو هيلع هللا ىلص amesema: (Baina ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha Swala)(2).

4. Swala ni nguzo ya Uislamu. Juu yake – baada ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu ndio yajenga Uislamu. Mtume ملسو هيلع هللا ىلص: (Kichwa cha jambo hili ni Uislamu na nguzo yake ni Swala) (3).

(2) Imepokewa na Muslim. (3) Imepokewa na Ahmad

1

Swala kisheriaNi kumuabudu Mwenyezi Mungu kwa maneno na vitendo maalumu, vinavyoanzia kwa takbiri na vinavyomalizikia kwa kupiga salamu.

Y a l i y o m oMaana ya Swala

Hadhi ya Swala katika Uislamu

Utukufu wa Swala

Hukumu ya Swala

Swala Inamlazimu Nani?

Hukumu ya Mwenye Kuacha Swala

Hadhi ya Swala na hukumu zake

https://www.al-feqh.com/swht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

w

Page 3: Hukumu za Kiislamu zilizowepesishwa … · Hadhi ya Swala katika Uislamu 1. Swala ni nguzo ya pili katika nguzo za Uislamu. Amesema Mtume ﷺ: (Uislamu Umejengwa juu ya nguzo tano:

77Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

Hadhi ya Swala na hukumu zake

- Na imepokewa kutoka kwa Twalhah bin ‘Ubeidillah kwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume Ni Swala tano) :ملسو هيلع هللا ىلص kuhusu Uislamu, akasema ملسو هيلع هللا ىلصmchana na usiku. Akasema: “Je, kuna nyingine zinazonilazimu sizizokuwa hizo?” Akasema: La, isipokuwa ukijitolea)(6).

3. Umoja wa wanavyuoni: Umma kwa umoja wao wamekubaliana juu ya uwajibu wa Swala tano kipindi cha mchana na usiku.

Swala inamlazimu nani? Swala inamlazimu kila Muislamu, aliyebaleghe, mwenye akili, awe mwanamume au mwanamke.

1. Mwenye kuacha Swala kwa kukanusha uwajibu wake: Atafahamishwa akiwa hajui. Akiendelea kukanusha kwake, basi yeye ni kafiri, mkanushaji wa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na umoja wa Waislamu.

(6) Imepokewa na Bukhari na Muslim.

Fadhila za Swala1. Swala ni nuru kwa mwenye kuswali. Mtume ملسو هيلع هللا ىلص

amesema: (Na Swala ni Nuru) (1).

2. Swala ni kafara ya dhambi. Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Amesema: {Na simamisha Swala ncha mbili za mchana na nyakati za usiku zinazokaribiana na mchana. Hakika mema yanafuta maovu. Hayo ni makumbusho kwa wenye kukumbuka} [11: 114].

Na amesema Mtume ملسو هيلع هللا ىلص: ( Mnaonaje, lau kuna mto mlangoni mwa mmoja wenu ambao anaoga ndani yake kila siku mara tano, je kutasalia chochote cha uchafu mwilini mwake(2)

Wakasema: Hakutasalia uchafu wowote katika mwili wake. Akasema Mtume ملسو هيلع هللا ىلص: Huo ndio mfano wa Swala tano,. Mwenyezi Mungu kwa hizo Swala anayafuta madhambi)(3).

3. Swala ni sababu ya mtu kuingia Peponi. Mtume alimwambia Rabi’ah bin Ka’ab, alipomtaka ملسو هيلع هللا ىلصwasuhubiane naye Peponi,: Mtume akamjibu: (Nisaidie kwa kuishughulisha nafsi yako kwa kusujudu sana)(4).

Hukumu ya Swala Swala tano ni wajibu kulingana na Qur›ani, Sunna na umoja wa wanavyuoni:

1. Qur’ani: Anasema Mwenyezi Mungu Aliyetukuka: {Na simamisheni Swala na toeni Zaka na rukuuni pamoja na wenye kurukuu} [2:

43].

2. Sunna: Amesema ملسو هيلع هللا ىلص: (Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano: kushuhudia kuwa hapana mola isipokuwa Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ni mja Wake na mtume wake, na kusimamisha Swala, nakutoa Zaka, nakuhiji Alkaba na kufunga mwezi wa Ramadhani)(5).

(1) Imepokewa na Bukhari na Muslim.(2) Imepokewa na Muslim.(3) Imepokewa na Bukhari na Muslim.(4) Imepokewa na Muslim.(5) Imepokewa na Bukhari na Muslim.

Kulipa Swala Kafiri haamrishwi kulipa Swala zilizompita kabla ya kusilimu, kwa kuwa uislamu unafuta yale yaliyo kabla yake.

https://www.al-feqh.com/swht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

w

Page 4: Hukumu za Kiislamu zilizowepesishwa … · Hadhi ya Swala katika Uislamu 1. Swala ni nguzo ya pili katika nguzo za Uislamu. Amesema Mtume ﷺ: (Uislamu Umejengwa juu ya nguzo tano:

Mlango wa Swala

78 Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

2. Mwenye kuacha Swala kwa uvivu: Mwenye kuacha Swala kwa kukusudia na uvivu atakuwa amekufuru. Na ni juu ya kiongozi amlinganie kuswali na amuorodheshee toba kwa muda wa siku tatu. Basi akitubia ni sawa, na akitotubia atamuua kwa kuwa ameritadi. Hii ni kwa kauli yake Mtume ملسو هيلع هللا ىلص: (Ahadi iliyoko baina ya sisi na wao ni Swala. Yoyote yule atakayeiacha basi atakuwa amekufuru )(1), na kauli yake ملسو هيلع هللا ىلص: (Hakika baina ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha Swala) (2).

(1) Imepokewa na Tirmidhi.(2) Imepokewa na Muslim.

Swala ya mtoto Mtoto anaamrishwa kuswali akifika miakasaba, kwa kumzoeza, na anapigwa kwa kuiachaafikapo miaka kumi kipigo kisichoumiza.Amesema Mtume ملسو هيلع هللا ىلص: (Waamrisheni watotowenu kuswali wakiwa ni vijana wa miaka saba,na wapigeni kwa kuiacha swala wakiwa nivijana wa miaka kumi)) (1).

(1) Imepokewa na Abu Daud.

https://www.al-feqh.com/swht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

w

Page 5: Hukumu za Kiislamu zilizowepesishwa … · Hadhi ya Swala katika Uislamu 1. Swala ni nguzo ya pili katika nguzo za Uislamu. Amesema Mtume ﷺ: (Uislamu Umejengwa juu ya nguzo tano:

79Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

Hadhi ya Swala na hukumu zake

https://www.al-feqh.com/swht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

wht

tps:

//ww

w.a

l-feq

h.co

m/s

w