13
Toleo namba 006 | Mei 6 2019 A wali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha tena wadau wa soka katika safu hii ya Jarida letu hili. Ningependa kuwashukuru watu wote, ambao kwa namna moja ama nyingine waliosaidia kufaniki- sha kufanyika kwa mashindano ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17,kwa mara ya kwanza nchini. Shukran za kipekee ni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Joseph Pombe Magufuli ,pamoja na serikali anayoiongoza kupitia kwa Wizara husika ya Michezo,taasisi za serikali zikiwemo Jeshi la Polisi,Hospitali ya Muhimbili,Wizara ya Mambo ya Nje,Wizara ya Utalii Bara na Visiwani na Idara ya Uhamiaji kwa mchango mkubwa walioutoa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mashindano. Kama Shirikisho,tunashukuru sana kwa serikali kutuamini na kutusaidia katika mambo mbalimbali, ambayo kimsingi tunaimani bila ya wao kuweka mkono wao,mashindano hayo yangepata ugumu katika mambo mbalimbali. Pamoja na serikali, lakini hatuna budi pia,kuwashukuru washirika wetu mmoja mmoja,makampuni binafsi na baadhi ya taasisi ambazo kwa namna moja ama nyingine zilifanya kazi kubwa na Kamati ya Uratibu wa Mashindano ya ndani (LOC) kuhakikisha mashindano hayo yanafana. Halikuwa jambo jepesi,kuandaa mashindano makubwa kama hayo,lakini tulijipa moyo na tukad- hubutu na tunashukuru Mungu tumeweza kuandaa katika kiwango bora,licha ya kutokea changa- moto ndogo ndogo za kiutendaji. Niwakumbushe Watanzania,matokeo ambayo tuliyapata kwa vijana wetu wa Serengeti Boys ni se- hemu ya mchezo,ingawa haikuwa malengo yetu kupata matokeo hayo ,lakini niwaombe tu Watan- zania tuendelee kuwaunga mkono vijana hao. Pia,ningependa kuwaomba tena,ushirikiano ambao tuliouonesha katika michuano ya TOTAL U17 AFCON,tuuhamishie katika timu yetu ya taifa Stars, ambayo itaanza kujiwinda hivi karibuni na mi- chuano ya Mataifa Afrika nchini Misri mwezi Juni. Wallace Karia Rais TFF NENO LA RAIS

JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

  • Upload
    others

  • View
    2

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1

J A R I D AL A W I K I

Toleo namba 006 | Mei 6 2019

Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha tena wadau wa soka katika safu hii ya Jarida letu hili.

Ningependa kuwashukuru watu wote, ambao kwa namna moja ama nyingine waliosaidia kufaniki-sha kufanyika kwa mashindano ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17,kwa mara ya kwanza nchini.

Shukran za kipekee ni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Joseph Pombe Magufuli ,pamoja na serikali anayoiongoza kupitia kwa Wizara husika ya Michezo,taasisi za serikali zikiwemo Jeshi la Polisi,Hospitali ya Muhimbili,Wizara ya Mambo ya Nje,Wizara ya Utalii Bara na Visiwani na Idara ya Uhamiaji kwa mchango mkubwa walioutoa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mashindano.

Kama Shirikisho,tunashukuru sana kwa serikali kutuamini na kutusaidia katika mambo mbalimbali, ambayo kimsingi tunaimani bila ya wao kuweka mkono wao,mashindano hayo yangepata ugumu katika mambo mbalimbali.

Pamoja na serikali, lakini hatuna budi pia,kuwashukuru washirika wetu mmoja mmoja,makampuni binafsi na baadhi ya taasisi ambazo kwa namna moja ama nyingine zilifanya kazi kubwa na Kamati ya Uratibu wa Mashindano ya ndani (LOC) kuhakikisha mashindano hayo yanafana.

Halikuwa jambo jepesi,kuandaa mashindano makubwa kama hayo,lakini tulijipa moyo na tukad-hubutu na tunashukuru Mungu tumeweza kuandaa katika kiwango bora,licha ya kutokea changa-moto ndogo ndogo za kiutendaji.

Niwakumbushe Watanzania,matokeo ambayo tuliyapata kwa vijana wetu wa Serengeti Boys ni se-hemu ya mchezo,ingawa haikuwa malengo yetu kupata matokeo hayo ,lakini niwaombe tu Watan-zania tuendelee kuwaunga mkono vijana hao.

Pia,ningependa kuwaomba tena,ushirikiano ambao tuliouonesha katika michuano ya TOTAL U17 AFCON,tuuhamishie katika timu yetu ya taifa Stars, ambayo itaanza kujiwinda hivi karibuni na mi-chuano ya Mataifa Afrika nchini Misri mwezi Juni.

Wallace KariaRais TFF

NENO LA RAIS

Page 2: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

. Jarida la Wiki . Toleo la Sita2

Cameroon U17Bingwa wa TOTAL AFCON U17 TANZANIA 2019

Mchezaji Bora wa MashindanoSteven Mvoue

Mchezaji Bora wa FainaliDaouda Amadou

Page 3: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 3

Matukio ya Picha katika Mchezo wa Fainali

Page 4: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

. Jarida la Wiki . Toleo la Sita4

Matukio ya Picha katika Mchezo wa Fainali

Page 5: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 5Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 5

Matukio ya Picha U17 TANZANIA

Page 6: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

. Jarida la Wiki . Toleo la Sita6 . Jarida la Wiki . Toleo la Sita6

Page 7: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 7

Page 8: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

. Jarida la Wiki . Toleo la Sita8 . Jarida la Wiki . Toleo la Sita8

Picha za Vikosi U17 TANZANIA 2019

Kikosi cha Nigeria U17

Kikosi cha Uganda U17

Kikosi cha Angola U17

Kikosi cha Tanzania U17 Kikosi cha Cameroon U17

Kikosi cha Guinea U17

Kikosi cha Morocco U17

Kikosi cha Senegal U17

Page 9: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 9

Makocha wapigwa msasa.

Semina ya makocha imefanyika kwa siku tatu katika Uwanja wa taifa, ikiwa chini ya wakufunzi Andy Martine na Jason kutoka timu ya soka ya Southampton ya England pamoja na Mkuru-

genzi wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Ammy Ninje.

Makocha hao waligawanya mafunzo hayo katika siku tatu:Siku ya kwanza makocha walifundishwa umuhimu wa kuandaa vipindi pamoja na kudhamiria kuyafanya yale ambayo wameyapanga kuyafanya katika vipindi vyao. (Planning Strategy)Siku ya Pili,makocha hao walijifunza kuwa kila kipindi wanachofanya lazima kuwe na kona kona hizo ziwe na maendeleo kwa mchezaji kwa upande wa Kimbinu,Kijamii,Saikolojia na Kimwili.

(Four Corners of Players Development)Wakati siku ya tatu,mafunzo hayo yalijikita zaidi katikia kutazama maeneo ambayo yanahusu mchezaji mmojammoja,kikundi cha wachezaji na timu nzima.Ni jinsi gani wanaweza kuchagua wachezaji na tabia za wachezaji katika eneo analocheza pamoja na majukumu wanayotakiwa kuyafanya.(Position Specifi cs)

Page 10: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

. Jarida la Wiki . Toleo la Sita10 . Jarida la Wiki . Toleo la Sita10

Samatta azidi kung’ara Ubelgiji

Nahodha wa timu ya soka ya taifa Tai-fa Stars,Mbwana Samatta,amezidi

kujiimarisha kileleni baada ya wikiendi hii kuweka kibindoni mabao 23 katika Ligi Kuu ya Ubelgiji.

Samatta,amefi kisha mabao hayo baada ya ushindi wa timu yake ya Genk wa mabao 4-0 dhidi ya Antwerp.Mshambu-liaji anayemfuatia kwa ufungaji katika Ligi hiyo ni Hamdi Harbaoui, anayekipi-ga katika klabu ya Zulte Waregem, am-baye hadi sasa ana mabao 18.

Lipuli uso kwa uso na Azam Fc Fainali FATimu ya soka ya Azam FC inatarajia kukutana na timu ya Lipuli,katika mchezo wa fainali ya kombe la Azam Sports Federation Cup, Mei 1 Mwaka huu,katika dimba la Ilulu - Lindi

Katika nusu fainali ya kwanza Azam FC ilifanikiwa kutinga hatua hiyo ya fainali, baada ya kuichabanga kwa bao 1-0 KMC,huku Lipuli nao wakitinga hatua hiyo kwa kuichakaza Yanga ya Dar es Salaam kwa magoli 2 - 0

Page 11: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 11Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 11

Matokeo Ligi ya Wanawake

Misimamo ya Makundi RCL

Matokeo U20

Matokeo Beach Soccer

Matokeo Ligi Kuu Tanzania Bara

Page 12: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

. Jarida la Wiki . Toleo la Sita12

Page 13: JARIDA LA WIKI - TFF...Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 1 JARIDA LA WIKI Toleo namba 006 | Mei 6 2019 Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha

Jarida la Wiki . Toleo la Sita . 13

RATIBA YA MATUKIO YAJAYOMechi ya Kirafi ki Simba vs Sevilla ya Hispania:

RCL Fainali

Azam Sports Federation Cup Fainali

Kombe la Mataifa Afrika (Misri):

Kagame Club Cup Championship (Rwanda):

CECAFA under 17 boys Challenge Cup:

CECAFA under 20 boys Challenge Cup (Uganda):

CECAFA Senior Women Challenge Cup (Tanzania):

CECAFA Senior Challenge Cup and Women Under 17 (Uganda)

CECAFA Women Under 20 (Kenya): (TBC)

Mei 23

Mei 10 - 19

Juni 1

Juni 21 – Julai 19

Julai 26 – Aug 10

Aug 17 – Sept 1

Sept 14 – Sept 28

Nov 16 – Nov 28th

Dec 1 – Dec 19

Fainali Kombe la Shirikisho 2018/201901.06.2019

VSIlulu - Lindi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)Karume Memorial StadiumUhuru/Shaurimoyo Road P.O.Box 1574Telefax: +255 22 286 1815 Ilala - Dar es SalaamEmail: [email protected]: www.tff.or.tz