JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

Embed Size (px)

Citation preview

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    1/11

    BulletinNews

    Ofisi ya Mawasiliano Serikalini inapokea habari za matukio mbalimbali

    kwa ajili ya News Bullettin hii na Jarida la Wizar a ya Nishati na Madinias ana nas engo c a awas ano wa s mu am a + ax o : +

    au Fika Osi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: [email protected]

    http://www.mem.go.tz

    HABARI ZA

    NISHATI &MADINI

    Toleo No. 41 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM Tarehe Novemba 7-13, 2014

    Balozi Muganda Mwenyekiti mpya Bodi ya STAMICO-uk2

    nUshuru wa huduma sasa kutolewa kwa uwazi

    zamadinikukaguliwabaadayamiezi Sita

    Habari UK.6&7 Soma habari kamili uk.9

    LESENI MPYA

    az r wa s at na a n ro esa ospeter u ongo a sa n mo a ya esen za ma n z zoto e wa w a ma ampun m a m a wa a ya uc m a m a nna u o maeneo. anaos u u a n a mu am s na wa a n , oro g ow wa wanza u a na am s na sa z wa a n anay

    es ug u a esen

    o n ayopa.

    SomahabariUk.2

    Jotoardhi agendaya MaendeleoAfrika

    Burundi kusarishaumeme kupitiaTanzania

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    2/11

    2 BulletinNewshttp://www.mem.go.tz

    HABARI

    Leseni mpya za madini kukaguliwa baada ya miezi Sita

    Balozi Muganda Mwenyekiti

    mpya Bodi ya STAMICO

    a Teresia Mhagama

    er a mee eza uwa esenzote za mad n z wemo

    za uta t , uc m a na z eza u od maeneo z ta -agu wa aada ya m ez ta

    mara aada ya uto ewa wa wa-miliki ili kuhakikisha kuwa maeneoyaliyoombewa leseni hizo yanaen-delezwa. Hayo yalisemwa jijini Dares Salaam na Waziri wa Nishati naMadini Profesa Sospeter Muhongowakati akisaini leseni Sita za uchim-baji madini na Mbili za kuhodhi mae-neo z zotoewa wa ampun m a -m a za ndan na ne ya nc .

    roesa u ongo a e eza uwaengo a u aguz uo n u a s awam a e ta ya ad n nc n n-

    aongeza mc ango wa e at a pato aa a uto a as m a . na . na u-

    panda ad u a as m a 1 a a

    ya mwaka 2025.Inabidi tufikie asilimia 10 kabla

    ya mwaka 2025 kwa kuwa uchumiwetu inabidi ukue kulingana na idadiya watu inavyoongezeka.

    Kwa mfano, Sensa ya Watu naMakazi ya mwaka 2012 ilionyeshauwa anzan a uwa na watu

    ta r an m on a n sasa mwa a2014 idadi ya Watanzania ni takriba-ni milioni 48, hivyo Sekta ya Madinini sekta sahihi katika kukuza uchumihuo, alibainisha Profesa Muhongo.

    Alifafanua kuwa, baada yamwombaji kupata leseni ya madini,Serikali inamtaka mwombaji husikakuandaa taarifa ya mpango kazi ita-ayoones a p a muda ata aoanza

    uc m a wa mad n us a.wa mu u wa az r u on-

    go, aada ya m ez ta to a upat waesen, a ams na na ao sa a-d n wata agua maende eo ya esen

    yo na utoa taar a ya ute e ezakwa Waziri.

    Hatuwezi tu kutoa leseni am-bazo hazifanyiwi kazi, kwa mfano,kama mtu amepata leseni ya kuhodhieneo kwa muda wa miaka mitano,lazima atueleze ndani ya hiyo miakamitano atafanya shughuli gani za

    uende eza eneo us a vyo amaa una uende eza a una sa a u yautoa esen ny ngne, a s s t za ro-esa u ongo.

    ev e, az r u ongo a e ezauwa ames amwag za am s na waad n u a s a uwa esen zote

    za mad n z nato ewa a rus wa, nakwamba suala linalotakiwa kuzingati-

    wa na mwom a wa esen n utm -za vigezo vyote vya umiliki lesenikama Sheria ya Madini ya mwaka2010 inavyoelekeza na si vinginevyo.

    Alieleza kuwa, ameshawaagizaMakamishna wa Madini nchini kujik-ta katika kuwezesha uanzishwaji wamigodi ya kisasa, midogo na ya kati,hii ni kutokana na mazingira ya sasaya uc um yanayope e ea uende-ea us u a wa e za mad n at aso o a dun a, vyo m god m u watac u ua muda u ungu wa.

    ume ta at a uendeezawac m a wa at na wadogo wauwa awa nd o watatusa d a u-

    pandisha mchango wa sekta ya madi-ni katika pato la Taifa kutoka asilimia3.5 iliyopo sasa kwa kuwa biasharayao ya madini haitegemei sana sokola nje ambalo halitabiriki.

    Wachimbaji wakubwa naotunawahitaji sana lakini sasa inabidi

    p a uanga a na ma und meng ne,sema azr u ongoat a atua nyngne, az r

    u ongo a toa agzo uwa ed az nazotoewa na ampun ya madnama us uru wa uduma (serv ceevy wa a mas aur us a z -to ewe wa uwaz to aut na vyo u-wa hapo awali.

    ag za uwa uanz a sasa undza fedha hizo wakati zinatolewa zihu-sishe watendaji wa halmashauri husi-ka, Kiongozi mmoja kutoka Wizaraya Nishati na Madini (Katibu Mkuu,Naibu Katibu Mkuu, Naibu Waziri,au Kamishna wa Madini), maafisakutoka Wizara ya Nishati na Madini,na wananchi wa eneo husika.

    engo a utarat u uo uwawez-es a wananc u a amu as na-c o pwa na us r at a utoav paum e e vya matum z ya ed a

    zo ada a ya uwaac a watendawa a mas aur pe ee.

    ev e az r u ongo amez -taka kampuni zote za madini nchinikuhakikisha kwamba zinalipa kodizote zinazotakiwa kulipa kama sheriaya madini ya mwaka 2010 inavyoele-keza na fedha hizo zilipwe kwa wakatiunaostahili.

    Kampuni zilizopata leseni za

    uc m a mad n n enan ro- s aeo- ng neer ng anzan a ompanym ted, n ngu nes ert zerm ted, ov ta amunga yam ,

    na ampun z zopata esen za u o-d maeneo n a angu n ng m-ted pamoa na eso ute ( anzan a

    m ted .Katika hatua nyingine, Kampuni

    ya enan ro- s a eo- ngneernganzania Company Limited imepan-

    ga kushirikiana na Shirika laMadini la Taifa (STAMICO) ka-

    tika masuala mbalimbali ikiwemo ku-anya utafiti wa madini yaliyo katika

    kundi adimu (rare earth elements).Kampuni hiyo pia itashirikiana

    na STAMICO katika upatikanajiwa v aa vya uc m a madn wag arama na uu v ta avyowasa d awac m a wadogo nc n wa uwaampun yo na wanda nac o-

    tengeneza v aa vyo.d a ampun yo ya ampun

    ya enan ro- s a eo- ngneernganzania Company Limited ita-

    shirikiana na Wakala wa Jiolojia Tan-zania (GST) na STAMICO kujengamaabara ya madini jijini Mbeya.

    Watendaji wa Wizara na Taasisiwaliohudhuria utiaji saini huo niKaimu Kamishna wa Madini, Oforo

    gow , ams na sa d z wa a-d n anayes ug u a esen , w. o nayopa, a mu urugenz wa

    and s dw n gon-yan , urugenz wa er a, w.

    edard a eman na maa sa wa ma-d n uto a anda na m oa am ayoampun zo z taanya s ug u za

    uchimbaji madini.

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    3/11

    3BulletinNewshttp://www.mem.go.tz

    MAONI

    Tahariri

    MEM

    Na Badra Masoud

    FIVEPILLARS OFREFORMS

    KWA HABARI PIGA SIMUKITENGO CHA MAWASILIANO

    BODI YA UHARIRI

    MHARIRI MKUU:Badra Masoud MHARIRI : Leonard Mwakalebela

    MSANIFU: Essy OgundeWAANDISHI: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson Mwase

    Teresia Mhagama, Mohamed Saif na Nuru Mwasampeta

    INCREASE EFFICIENCY

    OF GOODS/SERVICE

    SATISFACTION OFTHE CLIENT

    SATISFACTION OFBUSINESS PARTNERS

    SATISFACTION OFSHAREHOLDERS

    TEL-2110490

    FAX-2110389

    MOB-0732999263

    Ukaguzi mpya wa lesenimwarobaini wa udalali wa vitalu

    TEL-2110490

    FAX-2110389

    MOB-0732999263

    Moja ya maeneo yanayotia doa sekta ya madini ni vi-tendo vya baadhi ya wenye leseni kuhodhi maeneoya uchimbaji bila ya kuyaendeleza.

    Tabia hii mbaya kiuchumi imekuwa ikiletausumbufu kwa serikali na kulisababishia Taifa hasara

    kubwa kwani maeneo hayo yangeweza kuliingiza Taifa fedha nyingi

    kama yangekuwa yameendelezwa.Kuna baadhi ya wafanyabiashara na wenye leseni wametumia

    tabia hiyo kujitajirisha kwa kuhodhi maeneo hayo kwa makusudi kwania ya kuyauza au kuyakodisha baadaye kwa wawekezaji.

    Wafanyabiashara na wenye leseni hao wamekuwa wakitumianguvu kubwa kuhakikisha wanaendelea kuhodhi maeneo bila kuy-aendeleza na wamekuwa wakali pale wanapotakiwa kuyaendeleza aukuyaachia maeneo hayo.

    Wiki liyopita, Wizara ya Nishati na Madini ilitoa leseni Sita zauchimbaji madini na Mbili za kuhodhi maeneo zilizotolewa kwakampuni mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

    Akisaini leseni hizo, Waziri wa Nishati na Madini alisema kuwaSerikali itakuwa ikikagua leseni zote za madini zikiwemo za utafiti,uchimbaji na zile za kuhodhi maeneo kila baada ya miezi Sita marabaada ya kutolewa kwa wamiliki ili kuhakikisha kuwa maeneo yali-yoombewa leseni hizo yanaendelezwa.

    Profesa Muhongo alieleza kuwa lengo la ukaguzi huo ni kuhakik-isha kwamba Sekta ya Madini nchini inaongeza mchango wake ka-

    tika pato la Taifa kutoka asilimia 3.3 na 3.5 na kupanda hadi kufikiaasilimia 10% kabla ya mwaka 2025.

    Alifafanua kuwa, baada ya mwombaji kupata leseni ya madini,Serikali inamtaka mwombaji husika kuandaa taarifa ya mpango kaziitakayoonesha pia muda atakaoanza uchimbaji wa madini husika.

    Kwa mujibu wa Waziri Muhongo, baada ya miezi Sita toka ku-patiwa leseni, Makamishna na Maofisa Madini watakagua maende-leo ya leseni hiyo na kutoa taarifa ya utekelezaji kwa Waziri.

    Profesa Muhongo alisistiza kuwa Serikali haiwezi kutoa leseniambazo hazifanyiwi kazi. Waziri Muhongo alitoa mfano kuwa, kamamtu amepata leseni ya kuhodhi eneo kwa muda wa miaka mitano,lazima ndani miaka hiyo mitano aonyeshe shughuli za kuendelezaeneo husika la sivyo hakuna sababu ya kupewa leseni nyingine.

    Tunampongeza kwa dhati Waziri Muhongo na watendaji wen-gine kwa kuja na mwarobaini huu wa udalali haramu wa maeneo yamadini.

    Wakati Serikali ikijitahidi kutengeneza ajira mpya na kuendelezasekta ya madini na hivyo kukuza uchumi, baadhi ya watu wanaamua

    kuhodhi maeneo ya madini na hivyo kukwamisha juhudi hizo za Seri-kali. Ikumbukwe kuwa kama hawa wafanyabiashara na wenye leseniwote wangekuwa wanayaendeleza maeneo waliopatiwa, mchangowa sekta ya madini katika pato la Taifa na uchumi kwa ujumla un-gekuwa mkubwa zaidi.

    Tunaamini utaratibu huu mpya utasaidia kuongeza mapato natija katika sekta ya madini, kuongeza ajira, kuchochea sekta nyingineza uchumi na kuongeza pato la Taifa.

    Ningependa kutoa rai kwa wadau wa sekta ya madini kushiriki-ana na Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini katika kulimalizakabisa tatizo hili.

    Kuhodhi maeneo ya uchimbaji madini ni uhujumu uchumi nawote wanofanya vitendo hivyo inabidi wachukuliwe kama wahujumuuchumi kwani wanalizuia Taifa kuendelea kiuchumi.

    Ni vyema kwa Serikali sio tu kuwanyanganya leseni watu hawabali pia kuwachukulia hatua za kisheria kwani hawalitendei hakiTaifa letu.

    otoardhi ni muhimu kwa Tanzania:

    Kamishna wa Nishati

    a Asteria Muhozya,Arusha

    Kutokana na ongezeko la mahitaji yaishati ya umeme nchini, nishati ito-

    kanayo na jotoardhi imeelezwa kuwa

    muhimu kwa kuwa itachangia katikakukidhi mahitaji ya nishati ambayo

    i kiunganishi kikuu cha ukuaji wauchumi.

    kiwasilisha mada katika Kon-amano a ano a mata a a o-oard wa nc za onde a a,

    o any a n rus a uanzaare e to a ovem a, 1 ,

    amesema uwa otoard nawezauwa su u s o a ma ta ya n s atwa anzan a na dun a.

    Tanzania inahitaji nishatimchanganyiko ikiwemo itokanayo naotoardhi ili kukidhi mahitaji ya nisha-i ya umeme nchini ambayo mahitaji

    yake yamekua kwa kiasi cha asilimia

    1 -1 wa mwa a mmoa, a eezaMhandisi Mbise.

    Kamishna Mbise alifafanuakuwa, hadi kufikia mwishoni mwamwaka 2015 Tanzania itakuwa im-eunganishwa na nishati ya umemeunaofikia kiasi cha megawati 3000

    ambapo ifikapo mwaka 2033 kiasi chamegawati za umeme 10,000 zinatara-wa uza s wa.

    e eza uwa, z po ursa wase ta na s us r at a s ug uza uwe eza na uende eza wa ns a-t yo uto ana na uwepo wa erampya ya s at ya mwa a 1 am-ayo mez ngat a masua a ya n s at

    jadidifu ikiwemo jotoardhi, Sheriaya umeme ya mwaka 2008, Sera yaushiriki wa sekta ya Umma na SektaBinafsi ya mwaka 2009 na taratibunyinginezo.

    Kamishna Mbise alisema kuwa,Serikali itahakikisha kuwa inaende-leza nishati ya jotoardhi kutokana na

    mazng ra ora yanayoru usu uen-deleza nishati hiyo ikiwemo kuanzish-wa kwa Kampuni ya Maendeleo yaJotoardhi ya Taifa (TGDC), mchangowa serikali katika kusaidia masuala yauchorongaji katika maeneo ya ZiwaNgozi na Songwe Mkoani Mbeya, ka-

    tika Ziwa Natron (Manyara), KisakiMorogoro na Luhoi (Pwani).

    d a, am s na se a semauwa, taas s za mata a z metoapaum e e c a uende eza otoardanzan a na r a z wemo e n

    ya un a ( , en ya aende eoya r a ( , r a a mo awa aende e o a apan ( ,Shirika la Kimataifa linaloshughulikiaMazingira (UNEP) na Shirika la Mis-aada la Watu wa Marekani (USAID).Ameongeza kuwa ushirikiano huo namazingira wezeshi yataiwezesha Tan-zania kufikia lengo la kuzalisha mega-wati 200 zitakazotokana na jotoardhiifikapo mwaka, 2020 .

    nKampuni , Sheria, Sera kuwezesha uendelezaji

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    4/11

    4 BulletinNewshttp://www.mem.go.tz

    ttp: www.mem.go.tz

    o o wa wa at a a ya on e a gorongoro

    Mtotowa a i a aJamiiyaKimasaikati a i ad iyaBon e a

    Ngorongoro

    aa ya was r wa ongamano wa ongea am o nawatoto wa a a a am ya masa wa o ua wa en e eana s ug u za uc unga m ugo sam am a na wanyamawa por n . as r ao wa ones a u s angaa u as r wawatoto ao.

    em o at a a ya a a ya wa anyara

    aa ya as r wa wa anga a n ege a na ya am ngo at a a yya wa anyara

    VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA

    atoto wa a a ya am ya masa wa en e ea na g ug u za uc angam ugo at a a ya a ya on e a gorongoro.

    Pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano la Tano la Jotoardhi kutembelea viashiria vya Jotoardhi ikiwa ni ziara ya mafun-zo katika hifadhi ya Bonde la Ngorongoro na hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, washiriki hao walipata fursa ya kutembelea vitu-tio vya utalii vinavyopatiana katika hifadhi hizo wakiwemo wanyama na ndege mbalimbalimbali wanaopatikana katika hifa-dhi hizo kama wanavyoonekana katika picha. Picha zote na ster a u ozya

    yum u at a a ya a ya on e agorongoro

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    5/11

    5BulletinNewshttp://www.mem.go.tz

    TGDC yatakiwa kuharakisha uzalishaji Jotoardhi

    Meneja Mkuu wa kampuni ya

    kuendeleza uzalishaji wa Jotoardhi

    nchini (TGDC), ambayo ni kampuni

    tanzu ya Shirika la Umeme Tanzania

    TANESCO Mhandisi Boniface

    Njombe (wa kwanza kulia) akitoa

    maelezo kwa Naibu Waziri wa

    Wizara ya Nishati na Madini anayes-

    hughulikia Madini Stephen Masele

    (wa pili kushoto) alipotembelea

    banda la TGDC katika maonesho

    ya mkutano wa tano wa Kimataifa

    wa Jotoardhi kwa nchi zinazopitiwa

    na bonde la ufa. Wengine katika

    picha (wa kwanza kushoto ni Naibu

    Katibu Mkuu Nishati na Madini

    Mhandisi Ngosi Mwihava, nyuma

    ya Naibu Katibu Mkuu ni Kamishna

    Msaidizi anayeshughulikia nishati

    Jadidifu Edward Ishengoma, Kam-

    ishna wa Nishati na Maendeleo ya

    Petroli Mhandisi Hosea Mbise na

    baadhi ya wafanyakazi wa TGDC.

    Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Maselle (Wa kwanza kulia)

    akiongea na baadhi ya washiriki wa kongamano la tano la Kimataifa la Jotoardhi kwa

    nchi zinazopitiwa na Bonde la Ufa na nchi nyingine duniani mara baada ya kutembelea

    banda la Kampuni ya Kuendeleza Jotoardhi (TGDC) ambayo ni kampuni tanzu ya Shirika

    la Umeme Tanzania TANESCO.

    Wanafunzi Chuo chaMadini Dodomawatembelea STAMIGOLD

    Kupitia kifungu Na 10 sehemu ya 1 na 2 cha sheria ya Wakala wa Serikali Na 30ya mwaka 1997 na marekebisho yake , Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Wakalawa Jiolojia Tanzania (GST) Prof Abdukarim H. Mruma amefanya uteuzi katikanafasi 2 za Ukurugenzi na nafasi 6 za Meneja katika idara za taasisi.Kwa mujibu wa Meneja wa Rasilimali Watu na Maendeleo wa GST Bw. GabrielKasase ametaja majina ya viongozi hao na nafasi zao kama ifuatavyo.

    1 . Bw. Fadhili M. Moses - Mkurugenzi wa Huduma za Jiolojia2. Bi. Yorkbeth F. Myumbilwa - Mkurugenzi wa Kanzidata na Mifumo ya Habari3. Bw. Petro Faustine Nyanda - Meneja Mapping and Economic Geology4. Bw. Maruvuko E . Msechu - Meneja Applied Geology5. Bw . Momburi Philip Bazili - Meneja wa Mawe , Miamba na UchakatajiMadini6. Bw. Mohamed Z.Makongoro - Meneja wa Kemia7. Bw. Terence T.Ngole - Meneja Uchoraji Ramani na uchakataji wa taarifa zakijiosayansi8. Bw. Massota M.Magigita - Meneja Makumbusho na Maktaba.

    Uteuzi umeanza rasmi tarehe 01/11/2014.

    Uongozi wa Menejimenti na Bodi ya ushauri ya GST inawatakia mafanikio mema

    katika nafasi zao mpya.

    UTEUZI MPYA GST

    odfrey Francis na Jackline Mattowo- STAMIGOLD

    Wanafunzi wa chuo cha Madini cha Do-doma (MRI) hivi karibuni walifanya ziaraya kimasomo katika mgodi wa STAMI-

    w ayan aramu o wa engoa u unza wa vten o s ug u znazo-anywa na mgo uo uongeza ue ewa

    wa e wanac o unza arasan .ara yo yo umu wa mu a wa

    s u tatu us s a wana unz wa o u-wa wameongozana na wa u unz wao.Wanafunzi hao walianza kwa kutembeleamtambo wa uchenjuaji dhahabu (Process-ing Plant) na kujionea namna mtambohuo unavyofanya kazi ya uchenjuaji wadhahabu katika ngazi tofauti.

    Akizungumza mara baada ya kuka-milika kwa ziara hiyo, Mkufunzi wa MRIna uu wa msa ara uo, osep tu

    a e eza uwa wa u uma z ara uana ma engo ya uwa un s a wana unzwa vten o aa a ya e mu ya na ar a

    am ayo wana unz ao u pata wa waarasan .

    engo etu me an wa wa asu wa wan tumepewa us r ano wa

    kutosha na wataalamu tuliowatembeleana yale tuliyokuwa tumedhamiria kuji-funza tumeyapata na mengine ya ziada.Hivyo sisi kama walimu tumepata changa-moto za kwenda kuboresha ufundishajiwetu. Mmeturahisishia ufundishaji kwanihawa wote waliofika STAMIGOLD wa-ta ua ma a oz na wa mu wa wenzao,

    e eza tu.aye a mu ene a uu wa

    mgo uo an s a a wassa

    aliwasihi wanafunzi hao wakawe maba-ozi wazuri wa kampuni ya Watanzaniaya STAMIGOLD. Mhandisi Kwassa al-ongeza uwa ampun yo ta tautazama namna am ayo taweza utoaa as nyng wa wana unz uto a at -a c uo c o wapate na as ya u anya

    mazoez ya vten o.zungumza wa n a a ya wa-

    a unz wenza e, . wana ama-dhan alisema kuwa wamevutiwa sanaa namna mgodi huo unavyoendesha

    shughuli zake na jinsi wataalamu wa Ki-anzania wanavyofanya kazi kwa bidii naujituma kwa lengo la kuiletea nchi yao

    maendeleo.Naomba Serikali iwaunge mkono

    at a uwasa a wa namna yoyote

    mgo uen eee wan mgo uu wawatanzan a unatoa ra mpya ya upat -ana wa a ra wa v ana wa tanzan a.umeeezewa vyema e tu c o u a u -

    unza na tumepata v ng vya z a a tu vy-o ua atuv u . a anua wana

    uo c a ma n c a o oma -anzishwa mwaka 1978 huko Bukobaa baadaye mwaka 1982 kilihamishiwa

    mkoani Dodoma kikiwa kinafundishamasomo ya Jiolojia na Utafiti wa Ma-dini, Uhandisi wa Uchimbaji madini naUchenjuaji madini kwa ngazi ya Chetiwa muda wa mwaka mmoja wa maso-

    mo. a, uanz a mwa a c uo -c o anza rasm u un s a wana unzwa ngaz ya p oma wa mu a wa m a-a m tatu ya masomo.

    Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Madini cha Dododma pamojana Wakufunzi wao wakiwa katika picha ya pamoja mara baada yakumaliza ziara yao.

    u

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    6/11

    6 BulletinNewshttp://www.mem.go.tz

    Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Stephen Masele akiongea jambowakati wa kufunga Kongamano la Tano la Kimataifa la Jotoardhi lililofanyika tarehe 27Oktoba 2 Novemba, 2014. Wanaomsikiliza ni baadhi ya Naibu Mawaziri kutoka nchi mbalimbaliwaliohudhuria kongamano hilo na baadhi ya washiriki

    Jotoardhi agenda yaMaendeleo Afrika

    a Asteria Muhozya,Arusha

    Nishati ya umeme utokanao naotoardhi umetajwa kuwa mion-goni mwa agen a za maen e eokwa nchi zilizo katika Bonde laUfa kutokana na umuhimu wa

    nis ati iyo kwa maen e eo ya bara a rika.Kauli hiyo ilibainishwa kwa nyakati

    to auti wakati wa ku unga ongamano aano a imataia a jotoar i tare e

    Oktoba, 2014 jijini Arusha na Naibu Waziriwa is ati na a ini anayes ug u ikia a-

    ini, tep en ase e na aibu kurugenziUkanda wa Afrika wa Shirika la Umoja wa

    ataia ina os ug u ikia asuaa ya az-ingira (UNEP). Dkt. Desta Mebratu.

    Akifunga kongamano hilo kwa niaba yaaziri kuu e. izengo in a, aibu

    Waziri Masele alieleza kuwa maendeleo yoy-ote ya nchi kiuchumi yanahitaji nishati ya

    umeme ivyo, kutokana na umu imu na un-afuu wa nishati ya jotoardhi kwa maendeleoya rika, sua a a nis ati iyo itakua ajen aya maen e eo kwa rika.

    Aliongeza kuwa, kufuatia kongamanoi o kuwakutanis a wa au wazoe u wa ni-

    shati hiyo kwa miaka mingi, nchi za Afrikahususani zilizo katika bonde la Ufa zinawajibu wa ku akikis a zinaen e eza nis atihiyo kwa maendeleo ikiwemo kuimarishanguvu ya nishati ya umeme kwa Ukanda wanc i ziizo as ariki mwa rika na nc inyingine za Afrika.

    kieeza mtizamo wa anzania ku usunis ati iyo aibu aziri a ie eza kuwa,Tanzania imejifunza mengi kutokana na kon-gamamano i o ivyo, nis ati ya jotoar ipia itakua miongoni mwa agen a ambazoSerikali itazisimamia kuhakikisha inaende-eza nis ati iyo.

    Tanzania tumejifunza mengi kutokanana kongamano hili, tutahakikisha tuliyojifun-za yanasai ia kuongeza nis ati ya umemenchini, alibainisha Masele.

    Aidha, aliongeza kuwa kutokana namanu aa na vias iria vya jotoar i viivyoponchini, uwepo wa nishati mchanganyiko kwa

    anzania ni mu imu.aibu aziri asee vi evie, a ie eza

    kuwa, kupitia malengo ya kongamano hilo,yatawezes a kuwepo na mipango ya kuima-risha nishati hiyo kwa sasa na kwa baadayena hivyo, kuwataka washiriki wa kongamano

    i o kuen e eza us irikiano kwa aji i ya kuen-deleza nishati ya jotoardhi barani Afrika.

    Akihutubia kongamano hilo, Naibukurugenzi kan a wa rika wa irika

    la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maz-ingira , kt. esta ebratu a ie ezakuwa, kongamano i o imekuwa a ma-

    fanikio kupitia elimu na uzoefu wa masu-a a yanayo usu nis ati ya jotoar i ambayowas iriki wa iyapata kupitia ma unzo ya iyo-tolewa, na mada mbalimbali zilizowasilishwa

    katika kongamano i o ivyo, a izitaka nc iwashiriki kuimarisha ushirikiano baina yaona kutumia ma unzo na uzoe u wa ioupata

    katika kongamano hilo.Aidha, alisema kuwa, jotoardhi imekuaajen a ya maen e eo kwa rika na ajen a yaAfrika, hivyo kuwataka nchi washiriki kuzin-gatia suala la kuwajengea uwezo watalaamkatika tasnia iyo kwa aji i ya kuen e ezanishati hiyo.

    uwajengea uwezo wataaamu nataasisi zinazo usika na masua a aya nijambo la kuzingatia na jambo la muhimu.

    ikwazo vya kutu ikis a tunakotaka kwen ani mu imu vi anyiwe kazi. akini pia mkum-buke kuwashirikisha taasisi binafsi katika

    i i, a isisitiza kt. ebratu.Wakati huo huo Dkt. Mebratu aliwa-

    taka washirika wa maendeleo kuziwezeshanc i ziizo katika bon e a u a kuen e ezanishati hiyo na kuongeza kuwa, nchi washiri-ka wamejiandaa na wako tayari kuendelezanis ati iyo.

    Afrika iko tayari kwa jotoardhi,tumeamua ku itekeeza i i, ivyo was irikawa aen e eo tuwezes eni katika i i. una-taka kufikia kiwango cha kuzalisha kiasi ki-kubwa c a megawati tunac o itaji rika ku-tokana na nishati hii, alibainisha Mebratu.

    Awali akieleza kilichojadiliwa wakatiwote wa kongamano io, wan is i kuuwa Kongamano hilo ambaye pia ni Mtend-aji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania

    ro esa b u karim ruma a ieezakuwa, kwa miaka mingi nchi za Afrika nazi izo katika bon e a a zi ikua zikitumianis ati ya umeme inayoza is wa kutokanana maji lakini kutokana na mabadiliko yamazingira yamec angia kuzi anya nc i izokuwa na u aba wa nis ati iyo.

    Profesa Mruma aliongeza kuwa, ku-tokana na upungu u wa nis ati iyo nc ihizo zinakutana na kujadili njia mbadala zi-

    takazowezes a kuongeza kiasi c a nis ati yaumeme barani Afrika na kwa nchi zilizo ka-tika bon e a a zikiwemo nis ati itokanayona jotoar i, upepo na nyinginezo.

    Jotoardhi ni ngumu kuanzisha lakinini na uu sana mara baa a ya kuanzis a kwakuwa ni nafuu na haiishi, lakini Afrika ina-hitaji uzoefu na teknolojia, ndio maana nchi

    izi zinakutana pia na wa au wa maen e eokujadili hayo yote, aliongeza Mruma.

    Kongamano la Tano liliwashirikisha wa-s iriki zai i ya kutoka nc i zi izo katikabonde la Ufa, Afrika na nchi nyingine duni-ani, ambapo was iriki wa ipata ma unzoku usu masua a ya uta iti, uc orongaji namasuala yanayohusu masuala ya fedha nausimamizi wa mira i ya jotoar i.

    Aidha mara baada ya kufunga konga-mano hilo, baadhi ya washiriki walipata fursaya kutembeea maeneo mba imbai yenye

    viashiria vya jotoardhi katika hifadhi za Taifaikiwemo bonde la Ngorongoro na Manyaraambapo pia wa ipata ursa ya kuanga ia vi-vutio vya utalii vilivyoko katika hifadhi hizo.

    Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakifuatiliahotuba ya kufunga Kongamano la Tano la Kimataifa la Jotoardhi.

    Naibu Mkurugenzi Ukanda wa Afrika wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikiaMasuala ya Mazingira (UNEP). Dkt. Desta Mebratu akiongea jambo wakati akitoa hotuba yakufunga Kongamano la Tano la Kimataifa la Jotoardhi.

    Jotoardhi Arusha

    nTanzania tumejifunza: Masele

    nUNEP: Afrika iko tayari kwa jotoardhi

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    7/11

    7BulletinNewshttp://www.mem.go.tz

    Naibu Waziri Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Stephen Masele(wa tatu kulia mbele waliokaa)katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano la Tano la Jotoardhi kwa nchi zilizokatika Bonde la Ufa na nchi nyingine duniani.

    Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano la Tano la Jotoardhi kwa upande waTanzania wakiendelea na shughuli mbalimbali wakati wa Kongamano hilo. Wa kwanza kulia niMkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Julius Ningu.

    Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi waRasilimaliwatu kutoka Wizara ya Nishati na MadiniMrimia Mchomvu akisisitiza jambo wakati wa ufunguziwa semina ya maandalizi ya uchaguzi wa viongozi waSACCOSS .

    Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Tano la Kimataifa la Jotoardhi wakifuatilia mada mbalimbalizilizokuwa zikiwasilishwa katika kongamano hilo liliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano waKimataifa AICC, Arusha.

    Mwenyekiti wa SACOSS ya Nishati na Madini SikujuaMusiba (kushoto) akimpokea mgeni rasmi ambayeni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi waRasilimaliwatu kutoka Wizara ya Nishati na MadiniMrimia Mchomvu (kulia) kabla ya kufungua rasmi seminaya SACCOSS. Semina hiyo ilikuwa ni ya maandalizi yauchaguzi wa viongozi wa SACCOSS hiyo unaotarajiwa

    kufanyika mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka huu.

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    8/11

    8 BulletinNewshttp://www.mem.go.tz

    Na Bland naMunghezi, Buzwagi

    Migodi ya dhahabu nchini imetaki-wa u ga m ano wa mgod wa uzw-ag w ayan a ama at a utunzana uwe a maz ng ra ya uza s asa ama wa nadamu na v um eweng ne.

    a yo meto ewa na mwe-nye t wa amat ya unge ya r-dhi, Maliasili na Mazingira JamesLembeli, wakati kamati hiyo ili-potembelea mgodi huo tarehe 30 Ok-toba 2014.

    Lembeli alisema kuwa kamatiyake ilifuatilia kwa kina utekelezajiwa maagizo na maelekezo ya Barazala Taifa la Mazingira (NEMC) kwam god ya d a a u yote nc n nau uta mapungu u meng na dosar

    za ute eeza .wenye t uyo a ongeza

    uwa ata vyo n mgod wa uzw-ag pe ee ndo u oz ngata maagzoya araza o at a uwe a az-ingira bora na salama kwa binadamukwa kiasi kikubwa.

    Lembeli alifafanua kuwa Mgodiwa Buzwagi umeweza kuharibumaji taka ya sumu aina ya cyanide namabaki ya takataka zingine kutokamgodini hapo na kuzihifadhi kwaviwango vya kimataifa kama ilivyo-ag zwa na .

    a a sumu za uto a m god yad a a u z ac wa z at r r a adwenye vyanzo vya ma z naweza

    kuleta madhara makubwa kwa binadamu na viumbe wengine kamam ugo,ndege na wanyama wapor n e eza em e .

    wa a toa maeezo ya namnamgod uo unavyo ad na uwe amaz ngra at a usa ama na u oraunaota wa s era, ene a uuwa mgod uo, wana ert weyemamu alisema NEMC imewapacheti cha kutambua utekelezaji wakanuni na sheria husika baada yakufanya ukaguzi wa kina mara kwamara.

    Katika ziara ya mgodi huo unaomilikiwa na kampuni ya AfricanBarrick Gold, wajumbe wa kamati

    yo wa onyes wa wawa maaumua u ad ma wa matum z yanaadam na p a wawa a u ad

    ma ta a ya sumu na madawa yanayotum a uc en u a d a a u.

    ene a uu weyemamu ae uwa a ongoza z ara yo a sema

    bwawa la Buzwagi la kuhifadhi majikwa ajili ya matumizi ya binaadamuni bwawa pekee la aina yake hapanchini ambalo limejengwa kwateknolojia ya hali ya juu ili kuwezakuhifadhi maji. Alisema bwawa hilolitakua raslimali kubwa kwa jamii yaKahama hapo mgodi utakapofungwa wan wataweza u ma mazaowa mwa a mz ma wa utum a

    n a ya umwag a .weyemamu a sema ser a

    up t a m em a m uu wa ser ame uwa anya uc unguz wa

    na wa vyanzo vya ma uzun

    guka mgodi huo na kuridhika kuwahakuna sumu inayovuja kutoka ka-tika mgodi wa Buzwagi.

    Jukumu la kutunza mazingirani la kila mfanyakazi hapa Buzwagina idara ya Mazingira ipo tu kwa ajiliya kusimamia utekelezaji alisema

    ene a uyo.wa upande wa e es m wa

    em e a sema az am ayo m-e any a at a mgod wa uzwag

    katika miaka miwili iliopita imekuwaya kusifika hata katika mahusianoyake na jamii inayozunguka mgodi.

    Wajumbe wengine wa kamatihiyo ya bunge walioshiriki katikaziara hiyo ya mgodi wa Buzwagi nipamoja na Naibu Waziri (Ofisi ya

    az r uu az n g ra, e s m -wa mmy wa mu am ae nae p au um m n a s a mgod wa uzwagwa uwa nara at a utunza wa

    Wabunge waupongeza mgodi wa Buzwagi

    Na Yisambi Shiwa -

    TMAA

    a a a wa -aguzi wa a-

    ini anzania( ) ume-o ea vi aa

    m a im a i vya isasa u o aradi wa simamizi ndelevu

    wa asiimai a ini u io c iniya izara ya ishati na adiniwa a i i ya s ug u i za

    uchunguzi wa madini.izungumza mara aada ya

    upo ea vi aa hivyo, ene a wauduma za aa ara, handisivunilwa wara u alivitaa vi-

    aa hivyo uwa ni ashine m iliza ro essional nalyzer,

    izani m ili aina ya 6 ( lec-tronic alance), pamo a na a-i o mawili ya u aushia sampuli( ssay rying ven).

    i aa vingine ni i o mo ala uyeyushia sampuli za metali( upellation urnace), i o moala uyeyushia sampuli za udongo( usion urnace) pamoa na i omoa la annealing ( u le ur-nace ssay urnace).

    handisi wara u alielezauwa upati ana wa vi aa hivyouta oresha shughuli za ucham-uzi wa madini na urahisisha

    upati ana i wa ma i u ya ucham-uzi huo azi am ayo hu anywa

    na a ala huo wa nia a ya eri-ali.

    idha, alieleza uwa pamo ana upo ea sampuli nyingi za ma-dini uto a migodi mi u wa yadhaha u hapa nchini, a ala piaunapo ea sampuli za madini u-

    to a wate a wengine wa iwemowata iti wa madini, wachim a iwa madini na wa anya iasharawa madini

    ampuli uto a migodi mi-u wa hu anyiwa uchunguzi wa

    lengo la uweza u ua u ora nathamani ya e ili hatimaye uwezau ua mapato stahi i ya eri ali

    yanayoto ana na madini yaliyo-zalishwa ati a migodi hiyo.

    ali na utoa vi aa hivyowa , radi wa -

    pia uliwezesha utolewa iwa ma unzo m alim ali yanayo-husu matumizi ya vi aa hivyo wawataalamu wa ucham uzi wa ma-dini ( inerals analysts).

    handisi wara u alisemauwa, mcha ato wa usa iliaa ara ya a ala ati a viwan-

    go vya imatai a vya 1unaendelea, hivyo vi aa hivyo vi-pya vinatoa uha i a wa hudumaendelevu na ya uha i a i iwa niigezo imo awapo cha viwango

    hivyo vya u ora wa imatai a.lisema uwa aa ara ya

    a ala ime ipanga uendelea u-toa huduma wa wate a wa adriya mahita i.

    Maabara ya TMAA yapata vifaa vya kisasa

    ya naa amu vyo engwa taaam wa at wa potem e ea wawa o.

    o awapo ya urnace agu wa na w. omas a ur ectrca ec n c an

    mazingira.Katika ziara hiyo pia

    alikuwepo Mkurugenziuu wa araza a a a

    a az ng raand s onaventura

    aya am ae a ud ts a mgod wa uzwaguwa wa wanza wa

    utunza wa maz ng ra

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    9/11

    9 BulletinNewshttp://www.mem.go.tz

    Burundi kusarisha umeme kupitia Tanzania

    na Madinianzania, Profesa

    Sospeter Muhongo(kushoto) na Waziriwa Nishati naMigodi wa Burundi,Come Manirakizawakisaini mkatabawa maridhianowa kuruhusuSerikali ya Burundikusafirisha umeme

    wake wa kutokaRusumo kupitiaanzania.

    Waziri wa Nishatina Madini Tanzania,Profesa SospeterMuhongo (kushoto)

    akibadilishanamkataba wamaridhiano na Waziriwa Nishati na Migodiwa Burundi, ComeManirakiza.

    Waziri wa Nishatina Madini, ProfesaSospeter Muhongo(wa tatu kutokakushoto) na Waziriwa Nishati naMigodi wa Burundi,Come Manirakiza(kushoto kwa ProfesaMuhongo) wakiwakatika picha yapamoja na Wataalamumbalimbali kutokaSerikali ya Tanzaniana Burundi marabaada ya Mawazirihao kusaini mkatabawa maridhiano wakuruhusu Burundikusafirisha umemewake wa kutoka

    Rusumo kupitiaTanzania.

    u

    u

    u

    Na Mohamed Saif

    Serikali za Tanzania na Burundi zimesainimkataba wa makubaliano ya kuruhusuSerikali ya Burundi kusafirisha umemewake wa kutoka Rusumo kupitia Tanza-

    nia.Makubaliano hayo yalisainiwa Oktoba 31, mwa-

    ka huu jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nishatina Madini Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo naWaziri wa Nishati na Migodi wa Burundi, Bw. ComeManirakiza.

    Akizungumza wakati wa hafla hiyo, ProfesaMuhongo alieleza kuwa mkataba huo ni wa miaka50 na unairuhusu Serikali ya Burundi kutumia eneola Tanzania katika kusafirisha umeme kutoka kwenyemradi wa kuzalisha umeme wa Rusumo Hydro-Elec-tric Power Project (RHPP) kwenda nchini Burundi.

    Lengo la mkataba huu ni kuruhusu Burundi

    kutumia eneo la Tanzania kupitisha mradi wake wakusafirishia umeme. Ili Burundi iweze kutumia huuumeme wa Rusumo ni lazima upitie Tanzania nahivyo wanahitaji ardhi, alisema Profesa Muhongona kuongeza kuwa wananchi ambao maeneo yao ya-tatumiwa na mradi huo watafidiwa.

    Profesa Muhongo alifafanua kuwa Mradi waKuzalisha Umeme wa Rusumo utazalisha jumla yaMegawati 80 ambazo zitauzwa kwa nchi tatu na al-izitaja kuwa ni Tanzania, Burundi na Rwanda. Aid-ha, Mradi huu umegawanyika katika sehemu kubwambili ambazo ni kujenga mtambo wa kufua umeme(Generation Power Plant Component) na kujenganjia za kusafirisha umeme (Transmission Line com-ponent), aliongeza Profesa Muhongo.

    Tumekubaliana kila nchi katika hizi nchi tatu it-anunua umeme lakini suala la usafirishaji wa umemehuo yaani transmission kila nchi itajigharamia. Kwabahati nzuri Benki ya Dunia imeshatoa fedha jumlaya Dola za Marekani Milioni 340 kwa ajili ya Mradi

    wa Kuzalisha umeme na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imekubali kutoa Dola za marekani Mil-ioni 110 kwa ajili ya Miradi ya kusafirishia umemekatika kila nchi alifafanua Profesa Muhongo.

    Profesa Muhongo alisisitiza kuwa wakati wanchi za Afrika kujikwamua kiuchumi kwa kutumiaumeme kama bidhaa umefika. Lazima na sisi Afrikatuanze kufanya biashara ya umeme, alisisitiza.

    Waziri Muhongo alibainisha kuwa Mradi huowa kuzalisha umeme wa Rusumo umefikia katikahatua za kuanza kuzalisha umeme. Huu mradi niwa muda mrefu sana, ulianza kujadiliwa kuanziamiaka ya 1970, lakini sasa hatimae tunakoelekea nikuzuri maana kama ni fedha kwa ajili ya mradi huozipo, alieleza.

    Profesa Muhongo alisema kuwa kumekuwepona tatizo la umeme katika maeneo yanayozungukaMkoa wa Kagera ambayo yanapata umeme kutokaUganda. Tunanunua umeme wa Megawati 10 ku-toka Uganda lakini hautoshi na pia sio wa uhakika

    sana, alifafanua.Waziri Muhongo alisema kwa kuwa umeme huo

    utazalishwa kwa kutumia maji bei yake itakuwa ninafuu na itawezesha kukua kiuchumi kwa maeneo yaMkoa wa Kagera.

    Umeme huu bei yake itakuwa ni nafuu na piautapelekwa katika Mgodi wa Kabanga Nickel japohautatosha maana Kabanga wanahitaji Megawatinyingi zaidi ambazo itabidi tuongeze kutoka kwenyegridi, alieleza Profesa Muhongo.

    Profesa Muhongo alibainisha kuwa mwaka jananchi hizo ziliingia mkataba kwa ajili ya uzalishaji nahatua ya sasa ni usafirishaji. Aidha, alisema mradihuo unatarajiwa kukamilika ifikapo mwaka 2018.

    Naye Waziri Manirakiza alisema kuwa tukio hilolitazidisha mshikamano baina ya Tanzania na Burun-di na kuongeza kuwa Tanzania imekuwa mshirika waBurundi wa miaka mingi.

    Wakati tunatuma ombi hili kwa Serikali ya Tan-zania, tulikuwa tukiamini fika ya kwamba Tanzaniahaiwezi kukataa ombi letu ikizingatiwa tumekuwana uhusiano mzuri sana na Tanzania kwa miongomingi alisema Waziri Manirakiza.

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    10/11

    10BulletinNewshttp://www.mem.go.tz

    Na Asteria Muhozya

    aliyekuwa Ngorongoro na

    Manyara

    Baadhi ya ashiri i wa

    ongamano a ano aimatai a la otoardhiwa nc i zi izo a i aonde la a pamo a

    na nc i nyingine wa ipa a ursaya utem elea maeneo yenye viashiria vya otoardhi.

    ashiri i hao walitem elehi adhi za onde la gorongorona i adhi ya ai a ya anyaraarehe 1- ovem a, 14, i iwa

    ni ziara ya ma unzo mara aadaya umalizi a wa ongamanohilo.

    iara hiyo ni miongoni mwashughuli m alim ali zilizopangwa u anyi a wa ati wa onga

    mano hilo lililotanguliwa nama unzo masuala ya otoardhii iwemo uhusu uta iti wa ni-

    shati hiyo, uchoronga i na usi-mamizi wa edha za miradi ya o-toardhi na ushiri isha washiri i1 uto a nchi m alim ali,a la ya u unguliwa rasmi waongamano tarehe to a,14

    izungumza ati a ziarahiyo, urugenzi wa undiuto a ampuni ya uendelezaotoardhi anzania )

    handisi aramaeli n o ava,alieleza uwa, lengo la ziara hiyoni uta a uwaonesha washiri iwa ongamano hilo na washiri awa maendeleo maeneo m alim-ali yenye viashiria vya otoardhi

    yanayopati ana nchini.

    a adhili wa o tayari u-saidia uendeleza nishati hii,la ini wanapenda u ahamu

    zaidi uhusu taari a za isay-ansi. aada ya uwa wameona

    aeneo haya, u umu letu ni

    uwasiliana na mamla a husi ali iwemo hiri a la i adhi laai a ) uona namna

    gani tutaendeleza nishati hiii iwemo u anya ta iti, alieleza

    handisi n o ava.ali na utem elea mae-

    neo yenye viashiria vya otoardhiati a wawa la origor lililopoati a onde la gorongoro, pia,

    washiri i walitem elea eneo laeneto gorongoro na eneo laiwa anyara ati a maeneo

    am ayo yana viashiria hivyo.amoa na utem elea mae-

    neo ya viashiria vya nishati hivyo,washiri i hao pia walitumia ursahiyo uangalia vivutio m alim-

    ali vya utalii i iwemo wanyamana ndege m alim ali wanaopati-ana ati a hi adhi hizo.

    Viashiria jotoardhi Tanzania vyatembelewa

    Mkurugenzi wa Ufundi kutoka Kampuni ya kuendeleza Jotoardhi Tanzania (TGDC) Mhandisi TaramaeliMnjokava (katikati) akiwaeleza jambo baadhi ya washiriki wa Kongamano la Tano la Kimataifa la Jotoardhikwa nchi zilizo katika Bonde la Ufa wakati walipotembelea katika bwawa la Gorigor katika Bonde laNgorongoro. Kwa mujibu wa Mhandisi Mnjokava.

    Afisa wa Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro Bahati Kidiri akiwaelezajambo baadhi ya washiriki wa Kongamano la Tano la Kimataifa laJotoardhi baada ya kutembelea eneo Seneto lenye viashiria vyajotoardhi katika hifadhi ya Bondela Ngorongoro.

    Mmoja wa Washiriki wa Kongamano la Tano laKimataifa la Jotoardhiakigusa maji yenye viashiria vya jotoardhi ili kujua kiasi cha nyuzi jotocha maji hayo. Wengine ni washiriki waliotembelea viashiria hivyo.

    a u az r wa s at na a n anayes ug u a s at ar estwanga us oto a zungumza na t mu ya wataa amu a oam atana nao

    wenye z ara ya e wenye ampun ya ma uta ya o s n wa e a aya uanza rasm wa z ara yo.

    Wizara, wadau wa mafuta kujadili maboresho ya uingizaji wa mafutaNa Greyson Mwase

    Wzara ya s at na ad -

    natara a u utana naadau m a m a wa

    a ya u ad m a ata u ores a u n g za

    wa ma uta up t a ampun ya nau a s a uwa od sta ya ma uta

    yanayoingizwa nchini inalipwa.Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Waziri

    wa Nishati na Madini anayeshughulikiaNishati Charles Kitwanga katika ziarayake aliyoifanya katika kampuni ya usam-

    bazaji wa mafuta ya TIPER jijini Dare esSalaam. Kampuni ya TIPER inamilikiwana serikali ya Tanzania kwa asilimia 50na ampun ya ryx nergy s o m ted

    w tzer and wa as m aA sema wadau wanaota wa us r -

    at a m utano uo n pamo a na am-a a ya d t wa uduma za s at

    na a A , r a a aende eoya etro c n , am a a yaMapato Nchini (TRA), Shirika la Viwango

    Nchini (TBS), Wakala wa Vipimo Nchini(WMA), Mamlaka ya Bandari (TPA),Wizara ya Uchukuzi na Msajili wa Haz-

    ina (TR)Awa , a e ezea ma an o at a

    ampun wa urugenz tenda- at a ampun yo, an e e a r a se-

    ma uwa ampun me an wa uongezamatan ya u ad ma u ta u to a

    ad .w. e a r a sema uwa matan ma-

    tano kati ya hayo kwa sasa yako katika hat-ua za mwisho za ukarabati wake na kuwakutokana na ongezeko la uhitaji wa mafutatangu kipindi cha Novemba 2012 kampuniilianza kufanya kazi kwa muda wa saa 24kwa siku saba.

    Aliongeza kuwa kampuni hiyo kwasasa na uwezo wa u ad ma uta at am ta za uazo 4 , na uss t za uwa

    apo esem a mwa a uu ampunyo ta uwa na uwezo wa u ad m ta

    za u azo , na mw s on mwa mwa-a ta uwa na uwezo wa u ad

    m ta za u azo , .

    Baadhi ya washiriki wakichukua picha katika eneo lenye viashiria vyajotoardhi katika eneo la Ziwa Manyara. Kwa mujibu Mkurugenzi waUfundi kutoka Kampuni ya kuendeleza Jotoardhi Tanzania (TGDC)Mhandisi Taramaeli Mnjokava utafiti kubaini chanzo unawezakufanywa kwa umbali wa km 20 kutoka katika mahali husika.

  • 8/10/2019 JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 41

    11/11

    11 BulletinNewshttp://www.mem.go.tz

    Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano SerikaliniWasiliana nasi kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263au Fika Osi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: [email protected]

    WIZARA YA NISHATI NA MADINI

    Na Greyson Mwase

    Cama c a uwe a na u-opa A c a z-

    ara ya s at na ad nnatara a wa as u -

    wa u ores a mas a yawa anya az wa zara.

    Hayo yalielezwa na Mkurugenziwa Idara ya Utawala na RasilimaliWatu, Bw. Mrimia Mchomvu kwenyemkutano ulioshirikisha wajumbe waSACCOS, lengo likiwa ni kujadili mas-uala mbalimbali ikiwa ni pamoja nakutoa semina kwa ajili ya maandaliziya uchaguzi wa viongozi watakaosi-mam a c ama c o.

    w. c omvu a sema uwa uon-goz wa zara ume uwa u ama-s s a wa anya az uunda A

    wa a ya uwe a a a na u opaengo wa n usa d ana at a u a-

    biliana na changamoto mbalimbali zamaisha na kujikwamua kiuchumi.

    Lengo la menejimenti ya Wiz-ara ni kuhakikisha kuwa wafanyakaziwanakuwa na maisha bora hivyo tupotayari kuunga mkono juhudi zenu kwakuchangia na kuiwezesha SACCOSyenu pale itakapohitajika, alisema

    w. c omvu urugenz uyo a -wata a wa um e wa amat yo u -mar s a zad wa utoa taar a na u-pata wanac ama wapya weng za duwa na A yenye nguvu u wata ayoweza uwa na ed a ya utos ana uende ea u ores a ma s a ya se-hemu kubwa ya wafanyakazi.

    Elimu zaidi kuhusiana na SAC-COS hii inahitajika zaidi kwa wafan-

    yakazi wengi kwa kutumia mbinumbalimbali, hadi kuwe na wanancha-ma wengi hali itakayowapa nguvuhata ya kuanzisha miradi kama vileya kuomba viwanja vingi na kukope-sha wafanyakazi kama zinavyofanya

    A ny ng ne nc n a a n s a.w. c omvu a s s t za uwan vyema wa anya az wa a we eama engo ya ma s a ya aadaye wau anz s a m rad ta ayowawez-

    es a u wamua uc um ada a yautegemea c anzo moa tu am ac o

    ni mshahara.Alisema mtumishi anapostaafu

    anatakiwa awe amekwishaanza kuji-jenga tangu mwanzoni kwa kuanzishamiradi kwa kutumia mikopo kutokaSACCOS na kuongeza kuwa asipoji-andaa maisha huwa magumu.

    Akielezea faida za kujiunga naA , w. c omvu a sema

    kuwa mikopo kutoka SACCOS ni yagharama nafuu tofauti na mikopo ku-toka katika mabenki na taasisi nyingineza fedha ambazo riba zake ni kubwa.

    Kwa mfano kwenye mabenki kwe-nyewe kunakuwa na SACCOS ndani

    ya e, apo unaona uto aut u opo atya A na en at a masua aya m opo. a ss t za w. c omvu

    A zungumz a a na ya v ongozwanao ta a at a us m am z wa

    A yo, A sa s r a w.am s as a a a sema A

    inahitaji viongozi ambao ni waaminifuna wenye kujituma kwa ajili ya ku-hakikisha kuwa SACCOS inakua.

    Bw. Mashaka zitakazogombewakuwa ni pamoja na Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti na wajumbe wa

    bodi. Uchaguzi huo unatarajiwa ku-fanyika mwishoni mwa mwezi Desem-a mwa a uu.

    UJUMBE WA WAZIRI WIKI HIIUJUMBE WA WAZIRI WIKI HIIWAFANYAKAZI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, KAMPUNI NA

    TAASISI ZETU TUENDELEE KUCHAPA KAZI KWA UMAKINI, UADILIFU NAUBUNIFU MKUBWA SANA KWA KUSUDIO LA KUFUTA UMASIKINI NCHINI

    MWETU. TUTASHINDA, TUSIKATISHWE TAMAA.

    ra i wa umeme Geita-Nya anazi unu ais a vijiji 27

    nNia ni kuboresha maisha ya wafanyakazi

    Mwenyekiti wa SACCOS yaNishati na Madini Sikujua Musibaakisoma hotuba ya ufunguzi wa

    semina hiyo .

    Mjumbe wa SACCOS ya Nishatina Madini Joyce Kaali aliyekuwamwendeshaji wa semina hiyoakisisitiza jambo.

    Mjumbe wa SACCOS ya Nishatina Madini Misky Masaweakichangia mada katika seminahiyo

    Mjumbe wa SACCOS ya Nishatina Madini Dennis Mrengoakiuliza swali wakati wa semina

    hiyo.

    Na Neema Mbuja, TANESCO

    za ya s rn na sa a v natara wau a a na uenz wa mra wa umeme wa

    msongo wa ovot uto a e ta aya anaz unao engwa sam am a na tuo

    kipya cha kupooza na kusambaza umemeeneo la Nyakanazi ikiwa ni hatua ya Shirikala Umeme nchini TANESCO kupanuagridi ya taifa kwa upande wa KaskaziniMagharibi mwa Tanzania (North-West gridextension) ambayo itaunganisha mikoa yaGeita, Kagera na baadaye Kigoma.

    zungumza wa at wa utem e ea

    mradi huo, Meneja wa Mradi Mhandisi Pas

    -

    c a assa a sema uwa, mra uo uta a-po am a utawanu as a wananc wav vyo na vyo u wamua uc umasa wa uanzs a s ug u z nazotegemea

    umeme.an s assa a sema, ser a ya

    eruman upt a en ya aen e eoya Ujerumani (KfW) itachangia kiasi chaeuro milioni 20 sawa na pesa za kitanzania

    bilioni 42.6 kusaidia utekelezaji wa mradihuo ambapo jumla ya gharama yote yamradi ni euro milioni 40 sawa na bilioni85.2. Washirika wengine watakaogharamiamradi huo ni pamoja na Benki ya maendeleo

    ya Afrika (AfDB) euro milioni 5 sawa napesa ya tanzana on . na ya

    aransa ta ayotoa euro m on sawa napesa za tanzan a on . u an s aute eeza wa mra uo.

    v ta avyonu a a na mra uo npamoa na pomvu, a an, uun a,

    ungue, usan a, sasa, a e a, o-ndo, Katoro, Buseresere, Matengorumasa,Minkoto na Kalembela. Vingine ni Bwanga,Bukiruguru, Nyakayondwa, Nampalahala,Mavota (StamiGold), Busonzo, Runzewe,Msalabani, Kasilo-MpakaniMgela, Nyamise-

    behi, Nyakanazi, Nyarwambo, Lusahunga,Mji wa Biharamulo na wilaya ya Chato.

    Mradi huu wa njia ya umeme wamsongo wa ovot utasa a uvun-gan s a v vyo wa u uma ya umeme,wan wa mu a mre u aa ya maeneo

    mengne yame uwa yanategemea umemewa maenerata yanayotum a ma uta ya seam ao uza s a wa e n wa g arama u wana s wa u a a sana a sema m an sKibassa.

    Makampuni ambayo yameomba kuwawahandisi washauri ni pamoja na Fichtnerna Lahmayer International yote kutoka Uje-rumani, Studi International kutoka Tunisia,Tractebel Engineers kutoka Ubeligiji naTrans Africa Projects kutoka Afrika Kusini.