2
Utafiti wa Viashiria vya VVU/UKIMWI na Malaria Tanzania (THMIS) ulipima kiwango cha maambukizi ya VVU na kutathmini ufahamu, mitazamo na tabia za watu kuhusu VVU/ UKIMWI. Kiwango cha maambukizi ya VVU kinatofautiana kutoka kiwango cha chini ambacho ni chini ya 1% Pemba na 1.2% Unguja hadi kiwango cha juu 14.8% Mkoani Njombe. Kiwango cha maambukizi ya VVU ni kikubwa miongoni mwa wanawake (6.2%) kuliko kwa wanaume (3.8%). Watanzania waishio mijini wana uwezekano mkubwa zaidi wa kuwa na maambukizi ya VVU kuliko wale waishio vijijini (7.2% dhidi ya 4.3%). Kiwango cha maambukizi ni kikubwa zaidi miongoni mwa wanawake na wanaume ambao ni wajane na waliotalikiana/ waliotengana. Wanawake na wanaume ambao hawajawahi kuwa katika ndoa wana uwezekano mdogo wa kuwa na maambukizi ya VVU. Miongoni mwa wanaume na wanawake, kiwango cha maambukizi kwa ujumla kinapanda sambamba na kuongezeka kwa umri. Wanawake wana kiwango kikubwa cha maambukizi kuliko wanaume wa rika lao. Kwa ujumla, 5.1% ya Watanzania wenye miaka 15-49 wana maambukizi ya VVU. Kiwango cha maambukizi miongoni mwa wanawake na wanaume kimepungua kutoka 5.7% katika THMIS 2007-08 hadi 5.1% katika THMIS 2011-12. 0 2 4 6 8 10 15-19 20-24 25-29 30-34 35-39 40-44 45-49 Wanawake Wanaume Kiwango cha Maambukizi ya VVU kwa Umri Asilimia Umri 12 VVU kwa Mikoa Asilimia ya wanaume na wanawake miaka 15-49 wenye maambukizi ya VVU Tanzania 5.1% Unguja 1.2% Kagera 4.8% Mara 4.5% Simiyu 3.6% Mwanza 4.2% Geita 4.7% Shinyanga 7.4% Tabora 5.1% Kigoma 3.4% Katavi 5.9% Rukwa 6.2% Mbeya 9.0% Singida 3.3% Dodoma 2.9% Manyara 1.5% Arusha 3.2% Kilimanjaro 3.8% Tanga 2.4% Morogoro 3.8% Pwani 5.9% Iringa 9.1% Njombe 14.8% Lindi 2.9% Ruvuma 7.0% Mtwara 4.1% Dar es Salaam 6.9% Pemba 0.3% Mijini VVU kwa Makazi Asilimia ya wanawake na wanaume miaka 15-49 wenye VVU Wanawake 15-49 Wanaume 15-49 Tanzania kwa ujumla Jumla 15-49 Vijijini 6.2 3.4 3.8 7.2 5.1 8.9 5.2 4.3 5.1 Miongoni mwa wenzi ambao wote wawili walipimwa VVU, 5% walikuwa ni wale ambao mmojawapo ana maambukizi na mwenzake hana maambukizi. VVU kwa Hali ya Ndoa 3.3 1.2 5.2 5.4 15.2 8.9 Wanawake 15-49 Wanaume 15-49 Hawajawahi kuoa/ kuolewa Wameoana/ wanaishi pamoja Wametalikiana/ wametengana Wajane Asilimia ya wenye VVU 24.7 (27.9) Takwimu katika parandesi zimetokana na matukio 25-49 tu Jumla 15-49 Wanawake 15-49 Wanaume 15-49 Mwenendo wa Maambukizi ya VVU Tanzania (Bara na Zanzibar kwa Pamoja) 5.7 5.1 4.6 3.8 6.6 6.2 Asilimia ya wenye maambukizi ya VVU 2007-08 THMIS 2011-12 THMIS Matokeo ya Utafiti wa Viashiria vya VVU/UKIMWI na Malaria Tanzania 2011-12 2003-04 THIS Mwenendo wa Maambukizi ya VVU Tanzania Bara (Haihusishi Zanzibar) Asilimia ya wenye VVU Wanawake 15-49 Wanaume 15-49 2011-12 THMIS Jumla 15-49 2007-08 THMIS 6.3 4.7 3.9 7.0 6.8 7.7 6.3 5.8 5.3 Kwa Tanzania Bara, kiwango cha maambukizi ya VVU miongoni mwa wanawake na wanaume miaka 15-49 kimepungua kutoka 7.0% mwaka 2003-04 THIS hadi 5.3% mwaka 2011-12 THMIS. Kupungua kwa maambukizi kati ya mwaka 2003-04 na 2011- 12 ni kwa kiwango kikubwa kitakwimu (7.0% dhidi ya 5.3%). Zaidi ya hayo, maambukizi yameonekana kupungua kwa kiasi kikubwa zaidi miongoni mwa wanaume 6.3% dhidi ya 3.9%).

Matokeo ya Utafi ti wa Viashiria vya VVU/UKIMWI na Malaria Tanzania … · maambukizi na mwenzake hana maambukizi. VVU kwa Hali ya Ndoa 3.3 1.2 5.2 5.4 15.2 8.9 Wanawake 15-49 Wanaume

  • Upload
    others

  • View
    0

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

  • Utafi ti wa Viashiria vya VVU/UKIMWI na Malaria Tanzania (THMIS) ulipima kiwango cha maambukizi ya VVU na kutathmini ufahamu, mitazamo na tabia za watu kuhusu VVU/UKIMWI.

    Kiwango cha maambukizi ya VVU kinatofautiana kutoka kiwango cha chini ambacho ni chini ya 1% Pemba na 1.2% Unguja hadi kiwango cha juu 14.8% Mkoani Njombe.

    Kiwango cha maambukizi ya VVU ni kikubwa miongoni mwa wanawake (6.2%) kuliko kwa wanaume (3.8%). Watanzania waishio mijini wana uwezekano mkubwa zaidi wa kuwa na maambukizi ya VVU kuliko wale waishio vijijini (7.2% dhidi ya 4.3%).

    Kiwango cha maambukizi ni kikubwa zaidi miongoni mwa wanawake na wanaume ambao ni wajane na waliotalikiana/waliotengana. Wanawake na wanaume ambao hawajawahi kuwa katika ndoa wana uwezekano mdogo wa kuwa na maambukizi ya VVU.

    Miongoni mwa wanaume na wanawake, kiwango cha maambukizi kwa ujumla kinapanda sambamba na kuongezeka kwa umri. Wanawake wana kiwango kikubwa cha maambukizi kuliko wanaume wa rika lao.

    Kwa ujumla, 5.1% ya Watanzania wenye miaka 15-49 wana maambukizi ya VVU. Kiwango cha maambukizi miongoni mwa wanawake na wanaume kimepungua kutoka 5.7% katika THMIS 2007-08 hadi 5.1% katika THMIS 2011-12.

    0

    2

    4

    6

    8

    10

    15-19 20-24 25-29 30-34 35-39 40-44 45-49

    WanawakeWanaume

    Kiwango cha Maambukizi ya VVU kwa Umri

    Asi

    limia

    Umri

    12

    VVU kwa MikoaAsilimia ya wanaume na wanawake miaka

    15-49 wenye maambukizi ya VVU

    Tanzania5.1%

    Unguja1.2%

    Kagera4.8%

    Mara4.5%

    Simiyu3.6%

    Mwanza4.2%

    Geita4.7%

    Shinyanga7.4%

    Tabora5.1%

    Kigoma3.4%

    Katavi5.9%

    Rukwa6.2% Mbeya

    9.0%

    Singida3.3% Dodoma

    2.9%

    Manyara1.5%

    Arusha3.2% Kilimanjaro

    3.8%

    Tanga2.4%

    Morogoro3.8% Pwani

    5.9%Iringa9.1%

    Njombe14.8%

    Lindi2.9%

    Ruvuma7.0% Mtwara

    4.1%

    Dar es Salaam6.9%

    Pemba0.3%

    MijiniVVU kwa Makazi

    Asilimia ya wanawake na wanaume miaka 15-49 wenye VVU

    Wanawake15-49

    Wanaume15-49

    Tanzania kwa ujumla

    Jumla15-49

    Vijijini

    6.2

    3.4 3.8

    7.25.1

    8.9

    5.24.3 5.1

    Miongoni mwa wenzi ambao wote wawili walipimwa VVU, 5% walikuwa ni wale ambao mmojawapo ana

    maambukizi na mwenzake hana maambukizi.

    VVU kwa Hali ya Ndoa

    3.3 1.25.2 5.4

    15.2

    8.9

    Wanawake 15-49 Wanaume 15-49

    Hawajawahi kuoa/

    kuolewa

    Wameoana/wanaishi pamoja

    Wametalikiana/wametengana

    Wajane

    Asilimia ya wenye VVU

    24.7(27.9)

    Takwimu katika parandesi zimetokana na matukio 25-49 tu

    Jumla15-49

    Wanawake15-49

    Wanaume15-49

    Mwenendo wa Maambukizi ya VVU Tanzania (Bara na Zanzibar kwa Pamoja)

    5.7 5.1 4.6 3.86.6 6.2

    Asilimia ya wenye maambukizi ya VVU

    2007-08 THMIS 2011-12 THMIS

    Matokeo ya Utafi ti wa Viashiria vya VVU/UKIMWI na Malaria Tanzania 2011-12

    2003-04 THIS

    Mwenendo wa Maambukizi ya VVU Tanzania Bara (Haihusishi Zanzibar)

    Asilimia ya wenye VVU

    Wanawake15-49

    Wanaume15-49

    2011-12 THMIS

    Jumla15-49

    2007-08 THMIS

    6.34.7 3.9

    7.0 6.87.7 6.35.8 5.3

    Kwa Tanzania Bara, kiwango cha maambukizi ya VVU miongoni mwa wanawake na wanaume miaka 15-49 kimepungua kutoka 7.0% mwaka 2003-04 THIS hadi 5.3% mwaka 2011-12 THMIS. Kupungua kwa maambukizi kati ya mwaka 2003-04 na 2011-12 ni kwa kiwango kikubwa kitakwimu (7.0% dhidi ya 5.3%). Zaidi ya hayo, maambukizi yameonekana kupungua kwa kiasi kikubwa zaidi miongoni mwa wanaume 6.3% dhidi ya 3.9%).

  • Mwitikio na mfumo wa utafi ti: Taarifa za kiwango cha maambukizi ya VVU zilipatikana kutokana na sampuli za damu zilizotolewa kwa hiyari na wanawake na wanaume walioshiriki katika utafi ti wa THMIS 2011-12. Kati ya wanawake na wanaume 20,811 wenye miaka 15-49 walioshiriki katika utafi ti, 85% walitoa sampuli ya damu kwa ajili ya kupima VVU.

    Kwa taarifa zaidi kuhusu matokeo ya Utafi ti wa Viashiria vya VVU/UKIMWI na Malaria Tanzania 2011-12, tafadhali wasiliana na:

    Utafi ti wa Viashiria vya VVU/UKIMWI na Malaria Tanzania 2011-12 (THMIS) ulifanywa na Ofi si ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Ofi si ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali- Zanzibar (OCGS-Zanzibar) kuanzia Desemba 16, 2011 hadi Mei 24, 2012. Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Zanzibar (ZAC) zilitoa idhini ya kufanyika kwa utafi ti huu. Utafi ti huu ulifadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID), TACAIDS na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (MoHSW). ICF International ilisaidia kufanyika kwa utafi ti huu kupitia mradi wa MEASURE DHS unaofadhiliwa na USAID. Mradi wa MEASURE DHS unatoa msaada wa kiufundi na fedha kwa tafi ti za demografi a na afya katika nchi mbalimbali duniani.

    Nchini USA:ICF International11785 Beltsville DriveCalverton, MD 20705 USASimu: 301-572-0200; Nukushi: 301-572-0999www.measuredhs.comwww.statcompiler.com

    Nchini Tanzania:Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) P.O Box. 76987, Dar es Salaam, TanzaniaSimu: 255 22 212 2651; Nukushi: 255 22 212 2427www.tacaids.go.tz

    Ofi si ya Taifa ya Takwimu (NBS)PO. Box 796, Dar es Salaam, TanzaniaSimu: 255 22 212 2722; Nukushi: 255 22 213 0852www.nbs.go.tz

    TANZANIANS AND AMERICANSIN PARTNERSHIP TO FIGHT HIV/AIDS

    Ushauri nasaha na upimaji wa VVU umeongezeka kwa kiasi kikubwa; hivi sasa 62% ya wanawake na 47% ya wanaume miaka 15-49 wamewahi kupima VVU na kupokea majibu yao, ukilinganisha na 37% tu ya wanawake na 27% ya wanaume mwaka 2007-08.

    Tohara kwa wanaume ni jambo ambalo linafanyika sana nchini Tanzania, ambapo 72% ya wanaume wenye miaka 15-49 wameripoti kwamba wametahiriwa. Kiwango cha kuenea kwa VVU ni 3.3% miongoni mwa wanaume waliotahiriwa na 5.2% miongoni mwa wanaume ambao hawajatahiriwa.

    Ushauri Nasaha na Upimaji wa VVU

    37

    62

    27

    47

    2011-12 THMIS2007-08 THMIS

    Wanawake15-49

    Asilimia ya waliowahi kupima na kupokea majibu

    Wanaume15-49

    Utafi ti wa Viashiria vya VVU/UKIMWI na Malaria Tanzania (THMIS) 2011-12

    Kiwango cha Maambukizi ya VVU

    VVU Miongoni mwa Vijana

    Asilimia ya wasichana na wavulana miaka 15-24 wenye VVU

    15-17 18-19 20-22 23-24

    Wasichana Wavulana

    1.1 0.61.5 1.1

    3.01.2

    6.6

    2.8

    UmriKwa ujumla, 2.0% ya wasichana na wavulana miaka 15-24 wana maambukizi ya VVU. Kiwango cha maambukizi miongoni mwa wasichana ni kikubwa kuliko kwa wavulana, hususani kwa vijana wa miaka 23-24 ambapo wasichana wana uwezekano mkubwa zaidi ya mara mbili wa kuwa na maambukizi kuliko wavulana. (6.6% dhidi ya 2.8%).

    /ColorImageDict > /JPEG2000ColorACSImageDict > /JPEG2000ColorImageDict > /AntiAliasGrayImages false /CropGrayImages true /GrayImageMinResolution 300 /GrayImageMinResolutionPolicy /OK /DownsampleGrayImages true /GrayImageDownsampleType /Bicubic /GrayImageResolution 300 /GrayImageDepth -1 /GrayImageMinDownsampleDepth 2 /GrayImageDownsampleThreshold 1.50000 /EncodeGrayImages true /GrayImageFilter /DCTEncode /AutoFilterGrayImages true /GrayImageAutoFilterStrategy /JPEG /GrayACSImageDict > /GrayImageDict > /JPEG2000GrayACSImageDict > /JPEG2000GrayImageDict > /AntiAliasMonoImages false /CropMonoImages true /MonoImageMinResolution 1200 /MonoImageMinResolutionPolicy /OK /DownsampleMonoImages true /MonoImageDownsampleType /Bicubic /MonoImageResolution 1200 /MonoImageDepth -1 /MonoImageDownsampleThreshold 1.50000 /EncodeMonoImages true /MonoImageFilter /CCITTFaxEncode /MonoImageDict > /AllowPSXObjects false /CheckCompliance [ /None ] /PDFX1aCheck false /PDFX3Check false /PDFXCompliantPDFOnly false /PDFXNoTrimBoxError true /PDFXTrimBoxToMediaBoxOffset [ 0.00000 0.00000 0.00000 0.00000 ] /PDFXSetBleedBoxToMediaBox true /PDFXBleedBoxToTrimBoxOffset [ 0.00000 0.00000 0.00000 0.00000 ] /PDFXOutputIntentProfile () /PDFXOutputConditionIdentifier () /PDFXOutputCondition () /PDFXRegistryName () /PDFXTrapped /False

    /CreateJDFFile false /Description > /Namespace [ (Adobe) (Common) (1.0) ] /OtherNamespaces [ > /FormElements false /GenerateStructure false /IncludeBookmarks false /IncludeHyperlinks false /IncludeInteractive false /IncludeLayers false /IncludeProfiles false /MultimediaHandling /UseObjectSettings /Namespace [ (Adobe) (CreativeSuite) (2.0) ] /PDFXOutputIntentProfileSelector /DocumentCMYK /PreserveEditing true /UntaggedCMYKHandling /LeaveUntagged /UntaggedRGBHandling /UseDocumentProfile /UseDocumentBleed false >> ]>> setdistillerparams> setpagedevice