Upload
others
View
33
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI) 1
HAKIELIMU 2017 – 2021
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU (MUHTASARI)
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI) 1
YA
LIY
OM
O
DONDOO MUHIMU KUHUSU HAKIELIMU .......................2
• Dira ...........................................................................................2
• Dhamira ...........................................................................................2
1.0 HISTORIA yA ELIMU TANzANIA ................................... 4
1.1Mageuzikwenyeelimubaadayauhuru.....................................4
1.2Kushughulikiaubaguziwakidini,ranginakimapato..............4
1.3Mahitajiyawafanyakaziwakiafrika(Afrikanaizesheni)...........4
1.4Maendeleomiakayahivikaribuni...............................................5
1.5JuhudizaSerikalinaMafanikio....................................................5
1.6ChangamotozaElimu...................................................................6
2.0 TUNATAKA KUfANyA NINI: MAENEO TUNAyOLENGA KATIKA MPANGO MKAKATI 2017-21 .............................................................. 7
2.1Kushawishimabadilikoyaseranautekelezajiwake..................7
2.2Kukuzaushirikiwawananchinakujishughulisha.....................9
2.3Kukuzauwazinauwajibikaji........................................................11
3.0 TUNAfANyAjE KAzI? ......................................................12
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI)2
Dondoo muhimu kuhusu HakiElimu
HakiElimu ilianzishwa mwaka 2001 na kundi la Watanzania 13 ambao waliweka nia thabiti na dhamira ya dhati na ya muda mrefu kuleta mabadiliko kwenye elimu ya umma kwa watoto wote.
DiraKuwa na Tanzania yenye uwazi, haki na demokrasia ambapo watu wote wanafurahia haki ya kupata elimu bora inayokuza usawa, ubunifu na kufikiri kiyakinifu.
DhamiraKuwawezesha watu kubadilisha elimu, ndani na nje ya shule; kushawishi utungaji wa sera na utekelezaji wenye ufanisi; kuchochea mijadala bunifu ya umma na mabadiliko ya kijamii; kufanya tafiti, uchambuzi wa sera na utetezi na kushirikiana na wadau ili kukuza ushiriki wa wananchi, uwajibikaji, uwazi na haki za kijamii.
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI) 3
HIstOrIA YA ELIMu tAnzAnIA
Mwenendo wa hivi karibuni wa bajeti ya elimu unaonesha kuwa bajeti ya elimu ya Tanzania imeendelea kubaki kiwango cha 21% ya bajeti ya taifa. Hata hivyo, mgawo wa sekta ya elimu kwenye bajeti ikiwa ni pamoja na kulipa madeni ya taifa imebakia katika
wastani 17%, ikimaanisha kuwa kwa miaka kadhaa hakujawa na ongezeko kwenye eneo hili ikilinganishwa na bajeti ya taifa.
1.0
1.1 Mageuzi kwenye elimu baada ya uhuruMwalimuJuliusNyerere,RaiswakwanzawaTanzaniaalikuwakiongozimwenyemaonoambayealikuwanawazolililokuwawazikabisakuhusuainayajamiialiyotakakuijenganchiniTanzania.Chiniyauongoziwake,mwaka1967TanzaniailichukuarasmiSerayaUjamaakamafalsafaelekezikwenyejitihadazakezakujileteamaendeleo.Lengolaserikaliiliyoundwabaadayaukolonililikuwanikujengaumoja,usawanakuimarishaushirikiwawananchikwenyeharakatizakuletamaendeleokatikamaeneoyaonataifa
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI)4
1.3 Mahitaji ya wafanyakazi wa kiafrika (Afrikanaizesheni)Baadayauhuru,SerikaliilionakunahayakwaWatanzaniakuchukuanafasizakaziambazozilikuwazinafanywanaWaingerezahasabaadayawafanyakaziwengiwazungukuamuakuondokanchinibaadayauhuru.Serikaliiliamuakupanuaelimuyasekondarinaelimuyaufundiilikukidhimahitajihayoyawafanyakazi.TaifalikaanzishaSerayaElimuyaKujitegemea(EK)ambayoiliwaandaawanafunzikwaajiliyajamiiyakijamaa.
1.4 Maendeleo miaka ya hivi karibuniTangumiakaya1990serazaSerikali,zimekuwazikiongozwanaajendazakiliberalizasokohuriachiniyauongozinamsaadawaBenkiyaDunianaShirikalaFedhaUlimwenguni(IMF).BaadayaEK,
kwaujumla.Mapematubaadayakupatauhurumwanzonimwamiakaya1960,mfumowaelimupiaulianzakufanyiwamageuzihatuakwahatuailikuendananamalengohayamapyayaserikali.
1.2 Kushughulikia ubaguzi wa kidini, rangi na kimapatoKablayauhuruwaTanzaniaBaramwaka1961,vyombombalimbalivyavilikuwavikitoaelimu,kwakuzingatiamisingiyarangi,dininahaliyakiuchumiyawananchi.Lakinimwaka1962,SheriayaElimuilipitishwa,sheriahiiilipigamarufukuutoajielimukibaguzikwakuzingatiarangi,udininahalizakiuchumi.Adanakarozashulezilifutwamwaka1963,nahivyotatizolakihistorialawatotowakiafrikakutengwanakubaguliwakwenyeelimulikawalimeshughulikiwa.
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI) 5
seramuhimuzaidiyaelimuiliyotungwaniSerayaElimunaMafunzoyamwaka1995,serahiiiliongozasektayaelimukuanziakatikatiyamiakaya1990kwakipindichamuongommojananusu.Malengoyaelimuyalibadilikakutokakuandaawanafunzikuwawazalishajikwenyeuchumikijamaahadikuwaandaawanafunzikwaajiliyakuajiriwakwenyeuchumirasmi.
Mwaka 2014 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ilizindua Sera
mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuinua ubora wa elimu kupitia
hatua kadhaa. Hatua hizo ni pamoja na kuboresha ufuatiliaji, kurekebisha mitaala ili kuifanya elimu ishabihiane
na mahitaji ya jamii pia iendane na mbinu za kisasa za ufundishaji na ujifunzaji wenye ufanisi zaidi,
kuboresha huduma za msingi kwa watoto shuleni, miundombinu ya
shule na kujenga mazingira salama kwa watoto wote.
1.5 juhudi za Serikali na Mafanikio Tanzaniaimedhamiriakuwanchiyakipatochakatiifikapomwaka2025naimeandaamiongozokadhaayakiserailikutekelezaazmahii.Baadhiyamafanikiomakubwahadisasanihaya:
1.5.1. Uandikishaji Umeongezeka maradufu Mafanikiomakubwayamepatikanakwenyekuongezaidadiyawanafunziwanaoandikishwashulendaniyakipindichamiaka10iliyopita.Ushahidiunaoneshakuwauandikishajiumepandakwaasilimia26kwashulezamsinginasekondari.Ongezekokubwazaidilimeshuhudiwakwenyeuandikishajiwawanafunzisekondarikwaasilimia244naudahilielimuyajuukwaasilimia438.
1.5.2. Ugharamiaji wa elimu MwenendowahivikaribuniwabajetiyaelimuunaoneshakuwabajetiyaelimuyaTanzaniaimeendeleakubakikiwangocha21%yabajetiyataifa.Hatahivyo,mgawowasektayaelimukwenyebajetiikiwanipamojanakulipamadeniyataifaimebakiakatikawastani17%,ikimaanishakuwakwamiakakadhaahakujawanaongezekokwenyeeneohiliikilinganishwanabajetiyataifa.
1.5.3. Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014KupitiaSerahiiyaelimuya2014,Serikaliimedhamiria:kutoaElimuMsingibilaada,kuinuauborawaelimukwakuimarishaudhibitiuboranaukaguziwashule,kuboreshamazingirayakujifunzianakufundishiakamavilemiundombinuyashule,kutoavifaavyakujifunziakwausawa,nakuboreshautendajiwawalimukwakutoamafunzoyaualimukazininamotisha.Hatahivyo,ilikufanikishahayayote,serikaliinahitajikuongezamgawonaupelekajiwafedhapamojanakusimamiakikamilifuutekelezajinamatumiziyafedhazilizotengwa.
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI)6
1.6 Changamoto za ElimuLichayajuhudizaserikalizinazoendelea,sektayaelimunchiniTanzaniabadoniimesongwanachangamotonyingi.Baadhiyachangamotokubwanihizizifuatazo:
• Matokeoduniyaujifunzajikwawanafunzi,
• Utorowawalimunaumahiriduniwakufundisha,
• Kukosekanakwausawawakijinsia,
• Kutojumuishwakwawatotowenyemahitajimaalumnamazingiramagum,
• Ukatiliuliokithirimashuleni
• Kushamirikwamfumo-tabakawaelimuambapowenyepesawachachewanamuduelimuborakwenyeshulebinafsinamaskiniwanaachwakwenyeelimudunishulezaserikali
• Kukosekanakwafalsafanamalengoyaelimuvinavyoelewekakwakilamtu.Matokeoyake,elimuyaTanzaniaimekosafalsafanamalengoyakuiongoza.
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI) 7
2.1 Kushawishi mabadiliko ya sera na utekelezaji wake ElimuyaTanzaniahainafalsafailiyowazinainashindwakufikiaujumuishajikamiliwamakundiyote,imeshindwakutoamatokeoborayakujifunzanayenyemanufaakwawanafunzi.Wasichanabadoniwaathirikazaidi.Shulesisehemusalama,kwanimtotommojakatiyawawilihukumbananaukatili,ambaoumezoelekakutendwanawalimukunahajayakufanyiamarekebishozaidiserayaelimunakampeniyakuhimizautekelezajimakiniwaserayaelimuyamwaka2014ilikuhakikishaupatikanajiwaelimunauborawakevinaimarika.Hatahivyo,kushughulikiaukatili,kutengwanakubaguliwabaadhiyawatotonamasualamenginekunahitajimbinunajitihadazapamojakwawadaumbalimbalinakuendeleakuutaarifuummanakuhimizamijadalayaumma.
tunAtAkA kufAnYA
nInI: MAEnEO
tunAYOLEngA
kAtIkA MpAngO
MkAkAtI 2017-2021
2.0
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI)8
Katikakipindichamiakamitanoijayo,lengokuulitakuwakufanyaushawishikwaSerikaliiliiandaenakutekelezaserazinazozingatiaushahidiambazozitakuzafursazawatotokuandikishwashule,usawanaelimujumuishiiliyoboranainayotolewakwenyemazingirarafikinasalamakwawote.
Mwishowasiku,tunatakakuwanamfumowaelimuulioboreshwaambaounahimizausawa,ujumuishajinaujifunzajiwenyeufanisi.Huuutakuwamfumoambaounahimizaufundishajinaujifunzajiunaozingatianakukuzausawawajinsia,namazingirarafikiyakufundishianakujifunzia;seranamikakatiyaelimuinatekelezwakwaufanisinamapungufuyaliyoainishwakwenyeserayaelimuyamwaka2014yanashughulikiwa,nafalsafayaelimuTanzanianamasualamenginemuhimuyakiserayanajadiliwanamapendekezoyanatolewa.
Lengo la 1:KufanyaushawishikwaSerikaliiliitungenakutekelezaserazinazozingatiaushahidiambazozitakuzafursazawatotokuandikishwashule,usawanaelimujumuishiiliyoboranainayotolewakwenyemazingirarafikinasalamakwa
wote.
Matokeo: Mfumowaelimuulioboreshwaambaounahimizanakukuzausawa,ujumuishajinaujifunzajiwenyeufanisi
Matokeotarajiwa
Tarajio 1:Mazingirayanayokuzaufundishajinaujifunzajiunaozingatiausawawajinsia,nakuweka
mazingirarafikinasalamakwawoteyanaimarishwa
Tarajio 2:Seranamikakatiyaelimuinatekelezwakwaufanisinamapungufuyaliyoainishwakwenyeserayaelimuyamwaka2014
yanashughulikiwa
Tarajio 3: FalsafayaelimuTanzaniana
masualamenginemuhimuyakiserayanajadiliwanamapendekezoyanatolewa
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI) 9
2.2 Kukuza ushiriki wa wananchi na kujishughulisha
KiwangochaushirikiwawananchikatikasektambalimbalizakiutawalanchiniTanzania,nahasakwawanawake,kikochinisananabadokinashuka.Kwamfano,ushirikiwawananchikatikavikaovyakamatizashuleulipunguakutokaasilimia36mwaka2006hadikufikiaasilimia15mwaka2013,hiinisawaasilimia13yakushukakwaushirikiwawananchikwenyehudumahiimuhimuyaumma.
Niasilimia22tuyawananchi,hasawanaume,huhudhuriamikutanoyamabarazayavijijiambayonifursamuhimukwaajiliyakujadilimasualamuhimuyakijijinakufanyamaamuziyanayoathiriwatotonaelimu.Naniasilimia16tuyawananchindiohushirikikatikakuandaamipangoyakatanayavijiji.Idadikubwayawashirikihawaniwalewaliopataelimuyamsingitu,hiiinamaanakuwawasomiwengikwakiasikikubwahawashirikimichakatohiimuhimu.
Matokeoyakenikwamba,ingawakamatizashule,
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI)10
mikutanoyavijijinakatanifursamuhimukwaajiliyakufanyamaamuziyanayoathiriwatotonaelimu,kwaviwangohivividogovyaushirikiwawananchi,kunauwezekanochangamotozasektazitaendeleakubakibilakutatuliwa.
NdiyomaanaMkakatihuuunatakakuhakikishakuwawananchiwanapatataarifa,wanajipanganakushirikikutatuamatatizomuhimu,kufuatiliautawalanautoajiwaelimubora.Tutajitahidikufanikishahilikwakuhakikishakuwatunakuzanakuimarishauelewawawananchikuhusumasualayaelimupamojanamasualayajinsianaukatilidhidiyawatoto;tutahakikishaushirikiwawananchinaufuatiliajiwautawalawashulenautoajiwaelimuboraunaboreshwa,nakwambatutatafsirinakuchapishakwalugharahisinakusambazaSera,Sheria,Nyaraka
naMiongozoilikuwawezeshawananchikuichambuanakuitekelezakwaufanisi.
Lengola2:Kukuzaushirikiwawananchikwenyeutoajinaufuatiliajiwausawa,ujumuishwajinauborawaelimu
Matokeo: Wananchi wanapata taarifa, wanajipanga nakushiriki kutatua matatizo muhimu, kufuatilia utawala nautoajiwaelimubora
Matokeotarajiwa
Tarajio1:Uelewawawananchikuhusumasualayaelimujinsianaukatilidhidiyawatotounaimarishwa
Tarajio2:Ushirikiwawananchinaufuatiliajiwautawalawashulenautoajiwaelimuboraniunaboreshwa
Tarajio3:Sera,nyarakanamiongozoitatafsiriwa,kuchapishwakwalugharahisiilikuwawezeshawananchikuitekelezakwaufanisi.
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI) 11
2.3 Kukuza uwazi na uwajibikajiUwazinauwajibikajinimambomuhimukwenyeutawalawakidemokrasia.Kwasababu,Uwaziwaserikaliunawawezeshawalipakodi,kutafitinakujuakiurahisiutendajiwaserikalinakuiwajibishaserikaliauviongoziwakuchaguliwakutokananajinsiwanavyotumiafedhazawalipakodikwenyengazizotezaserikali.Uwaziwaserikaliunamaanishakuwekataarifazotezakifedhanataarifazaummakuwawazikwawananchi,rahisi-kwa-matumizi,katikamifumoiliyorahisikueleweka.Hiiinawapafursawalipakodikuonawaziwazijinsiwatumishiwaummawanavyotumiafedhazakodi,nainawapauwezowananchiwakuwawajibishaviongoziwaowakuchaguliwa.Serikaliyenyeuwazinimuhimukwaushirikiwawananchiwalionataarifa,nawananchiwaliohabarikanimuhimusanakwademokrasia.
Uwajibikajihubebakiwangoambachomamlakakamavilemamlakazaserikalizamitaazinapaswakuelezeaaukuhalalishakilewalichofanyaauwalichoshindwakufanya.
KwabahatimbayanchiniTanzania,kiwangochauwaziwabajetiyaserikalikikochiniyakiwangokinachotakiwakimataifa.Hiiinazuiaushirikiwaummakwenyemichakatoyabajetinainawekamatatizomakubwakwenyeufuatiliajiwamatumiziyafedhakatikautoajiwahudumazakijamiinauwajibikajikwenyefedhazaserikali.Kwahiyo,HakiElimuitaendeshakampeniyakudaiuwazizaidinauwajibikajikwenyematumiziyarasilimalizaummailikujengamfumowautoajihudumazaummawenyeufanisi.
Lengo la 3:Kukuzanakuteteakuwepokwauwazizaidinauwajibikajikwenyeutoajielimubora
Matokeo:Serikalinawadauwanakuwawasikivunawanawajibikakutoaelimujumuishinabora
Matokeo tarajiwa tarajio 1:
Mahitajinamadaiyawananchikwenyeelimuyanatetewa
tarajio 2:
Uwazinauwajibikajiwaserikalinashule
unakuzwa
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI)12
Ilikufanikishamalengohaya,HakiElimuitaendeleakufanyakazikwakaribusananawashirikawandaninawakimataifa.
Hapanchini,ShirikaletulitaendeleakufanyakazikwakaribusananamashirikayenyenianamalengoyanayofanananaHakiElimukamavileMtandaowaElimuTanzania(TEN/MET),PolicyForumnamengineyo.TutaendeleapiakufanyakazinchinzimakupitiaMarafikiElimu(Mtandaowawatubinafsi,taasisinavikundi)kuongozajuhudizakuwahamasishawatukushirikikikamilifukwenyeusimamizinaufuatiliajiwautendajikwenyeelimukatikamaeneoyao.Marafiki wa Elimuwanafanyakazikamamawakalawamabadilikokwenyeelimuwakiongoza,kushawishinakuletamageuzinademokrasiakwakuhamasishawananchiwakawaidakushirikikutoamaamuzi,kufuatiliaseranautendaji
waserikalinamijadalayaumma.Hadimwaka2016,harakatizaMarafiki wa Elimuzimefikishaidadiyawanachama40,000Tanzanianzimaambaoni-watubinafsi,taasisinavikundi.
Katikanyanjayakimataifa,mkakatimpyawaHakiElimuumefungamanamojakwamojanaMalengoyaMaendeleoEndelevunamba41na52nakazizetuzimeendeleakutambuliwanakukubalika
kwajumuiyayawafadhiliwakimataifawenyenianamalengoyanayofafananayetukamavileShirikalaTanFiDe,IBP,ADD,n.k.HakiElimuitaendeleakuimarishamahusianohayakupitiakanunizaubia,kuheshimiananauwazi.
1SDG4:Kuhakikishaelimujumuishi,yenyeusawanauborainatolewanakukuzafursazakuendeleakujifunzakwawote2SDG5:Kufikiausawawakijinsianakuwawezeshawanawakenawasichanawote
tunAfAnYAjE kAzI?
3.0
MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021 (MUHTASARI) 13
KUKUzA USHIRIKI WA jAMII kupitia…• Kuwapataarifawananchi• Kutoafursakwawananchikushiriki
masualayakijamii
KUSHAWISHI MABADILIKO yA SERA kupitia…• Ufumbuziunaozingatiaushahidi• Kufuatiliautekelezajiwasera• Kudainakuteteamageuzi
KUKUzA UWAzI & UWAjIBIKAjI kupitia …• Kudaiuwazikwenyebajeti• KukuzaUsikivunaUwajibikajiwa
Serikali
jamii yenye uwazi, haki na demokrasia na elimu
bora kwa wote
Marafiki ElimuWazaziWalimu
Wanafunzi
SerikaliVyombo vya usimamiziWananchi
NADHARIA YA MABADILIKO YA MPANGO MKAKATI WA HAKIELIMU 2017 – 2021