1
Kuboresha Utawala wa Misitu. Kunufaisha Wananchi. Improving Forest Governance. TARATIBU ZA UVUNAJI NGAZI YA KIJIJI 1. Mpango wa uvunaji wa Wilaya au Kijiji husika 2. Namba ya utambulisho wa mlipa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) 3. Leseni ya biashara ya mazao ya misitu kutoka Halmashauri ya Wilaya husika 4. Hati ya usajili wa kufanya biashara ya mazao ya misitu kutoka Halmashauri ya Wilaya 5. Fomu/na barua ya maombi ya uvunaji kutoka kwa mfanyabiashara 6. Muhtasari kutoka Serikali ya Kijiji ukionyesha maamuzi ya Kamati ya Maliasili 7. Leseni ya uvunaji kutoka Halmashauri ya Wilaya au Kijiji 8. Stakabadhi halali za Serikali kwa malipo yote yaliyofanyika Kijijini au Wilayani Maelekezo ya ziada Mfanyabiashara ama mvunaji asiye raia wa Tanzania atazingatia taratibu, sheria na miongozo ya ziada ya kiserikali ili kuhalalisha ushiriki wake. TARATIBU ZA UCHAKATAJI NGAZI YA KIJIJI 1. Leseni ya biashara kutoka Halmashauri ya Wilaya 2. Namba ya utambulisho wa mlipa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania 3. Hati ya usajili wa uchakataji kutoka Halmashauri ya Wilaya 4. Stakabadhi halali kutoka kwa muuza magogo/ mbao au nakala za hati muhimu kutoka kwa muuzaji 5. Stakabadhi halali za Serikali kwa malipo yote yaliyofanyika TARATIBU ZA USAFIRISHAJI WA MAZAO YA MISITU 1. Leseni na nyaraka zote muhimu za uvunaji/ na uchakataji wa mazao ya misitu 2. Kibali cha kusafirisha mazao ya Misitu kutoka kwa Wakala wa Huduma za Misitu Wilaya kuruhusu kusafirisha magogo/mbao/mkaa 3. Stakabadhi ya ushuru wa asilimia tano (5%) kutoka Halmashauri ya Wilaya 4. Stakabadhi ya malipo ya mrahaba wa asilimia tano (5%) ikiwa ni tozo kwa ajili ya upandaji miti 5. Alama ya nyundo pande zote mbili za gogo au mbao 6. Cheti maalumu kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (Kwa wawekezaji wakubwa) Maelekezo ya ziada Mfanyabiashara azingatie vigezo na masharti ya usafirishaji kutoka kwa mamlaka husika kama SUMATRA na Jeshi la Polisi, pamoja na kuzingatia sheria na taratibu mbalimbali za idara na mamlaka za serikali. Mazao ya misitu yatasafirishwa kisheria kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni ama kwa mujibu wa miongozo rasmi itakayotolewa na serikali ama idara husika. TARATIBU ZA MAUZO YA MAZAO YA MISITU NDANI YA NCHI (SOKO LA NDANI) 1. Leseni ya biashara ya mazao ya misitu kutoka Halmashauri ya Wilaya 2. Namba ya utambulisho ya mlipa kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania 3. Hati ya usajili wa kufanya biashara ya mazao ya misitu kutoka Halmashauri ya Wilaya 4. Leseni ya kuuza mazao ya misitu kutoka Halmashauri ya Wilaya 5. Kibali kilichosafirisha mazao husika kutoka kwa Wakala wa Huduma za Misitu 6. Stakabadhi na nyaraka halali za malipo yote yaliyofanyika katika hatua za uvunaji na uchakataji TARATIBU ZA USAFIRISHAJI WA MAZAO YA MISITU NJE YA NCHI (SOKO LA NJE) 1. Hati ya usajili wa kampuni kutoka kwa Msajili wa Makampuni 2. Hati ya leseni ya biashara ya nje kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara 3. Namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) 4. Mkataba wa mauzo kutoka kwa mnunuzi utakaonesha bei ya mazao hayo kwa thamani ya dola za kimarekani au fedha zinazokubalika kimataifa, ujazo, uzito au idadi ya mazao 5. Hati ya usajili ya kufanya biashara ya mazao ya misitu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu 6. Hati ya usajili wa kusafirisha mazao ya misitu nje ya nchi kutoka Wakala wa Huduma za Misitu 7. Hati ya madaraja ya ubora wa mazao husika ya misitu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu 8. Uthibitisho wa kumiliki kiwanda cha misitu au mkataba kutoka kwa mwenye kiwanda kuwa mazao yatakayosafirishwa yatazalishwa katika kiwanda chake 9. Barua ya uthibitisho wa kuruhusiwa kusafirisha mazao ya Misitu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu 10. Kibali (kama kinahitajika)kwa ajili ya kuruhusiwa kusafirisha mazao ambayo yameorodheshwa katika mkataba wa kimataifa wa kuzuia biashara ya mazao ya Misitu au mimea ambayo ipo hatarini kutoweka duniani (CITES). Kibali kinatolewa na Wizara ya Maliasili na Utalii. 11. Hati ya ukaguzi wa ubora wa mazao ya misitu kutoka Wizara ya Kilimo na Chakula (Phytosanitary Certificate) 12. Stakabadhi halali za Serikali kwa malipo yote yaliyofanyika ORODHA KAGUZI YA UHALALI WA BIASHARA YA MAZAO YA MISITU KUTOKA KATIKA MISITU YA HIFADHI YA JAMII TANZANIA 9 9 9 9 9 Kampeni ya Mama Misitu, Namba 27 Mtaa wa Sangara - Mikocheni, Dar es Salaam. Tovuti: www.mamamisitu.com | Barua pepe: [email protected] Simu: +255 758828398 | Facebook: www.facebook.com/mamamisitu | Twitter: www.twitter.com/mamamisitu Kampeni ya Mama Misitu inafadhiliwa na Serikali ya Finland.

new checklist swahili A2 poster 1000 op - Mama …mamamisitu.com/wp-content/uploads/2014/10/Checklist...Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) 4. Mkataba wa mauzo kutoka kwa mnunuzi utakaonesha

  • Upload
    others

  • View
    10

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Kuboresha Utawala wa Misitu. Kunufaisha Wananchi.

Improving Forest Governance.

TARATIBU ZA UVUNAJI NGAZI YA KIJIJI

1. Mpango wa uvunaji wa Wilaya au Kijiji husika

2. Namba ya utambulisho wa mlipa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

3. Leseni ya biashara ya mazao ya misitu kutoka Halmashauri ya Wilaya husika

4. Hati ya usajili wa kufanya biashara ya mazao ya misitu kutoka Halmashauri ya Wilaya

5. Fomu/na barua ya maombi ya uvunaji kutoka kwa mfanyabiashara

6. Muhtasari kutoka Serikali ya Kijiji ukionyesha maamuzi ya Kamati ya Maliasili

7. Leseni ya uvunaji kutoka Halmashauri ya Wilaya au Kijiji

8. Stakabadhi halali za Serikali kwa malipo yote yaliyofanyika Kijijini au Wilayani

Maelekezo ya ziada• Mfanyabiashara ama mvunaji asiye raia

wa Tanzania atazingatia taratibu, sheria na miongozo ya ziada ya kiserikali ili kuhalalisha ushiriki wake.

TARATIBU ZA UCHAKATAJI NGAZI YA KIJIJI

1. Leseni ya biashara kutoka Halmashauri ya Wilaya

2. Namba ya utambulisho wa mlipa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania

3. Hati ya usajili wa uchakataji kutoka Halmashauri ya Wilaya

4. Stakabadhi halali kutoka kwa muuza magogo/mbao au nakala za hati muhimu kutoka kwa muuzaji

5. Stakabadhi halali za Serikali kwa malipo yote yaliyofanyika

TARATIBU ZA USAFIRISHAJI WA MAZAO YA MISITU

1. Leseni na nyaraka zote muhimu za uvunaji/na uchakataji wa mazao ya misitu

2. Kibali cha kusafirisha mazao ya Misitu kutoka kwa Wakala wa Huduma za Misitu Wilaya kuruhusu kusafirisha magogo/mbao/mkaa

3. Stakabadhi ya ushuru wa asilimia tano (5%) kutoka Halmashauri ya Wilaya

4. Stakabadhi ya malipo ya mrahaba wa asilimia tano (5%) ikiwa ni tozo kwa ajili ya upandaji miti

5. Alama ya nyundo pande zote mbili za gogo au mbao

6. Cheti maalumu kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (Kwa wawekezaji wakubwa)

Maelekezo ya ziada• Mfanyabiashara azingatie vigezo na

masharti ya usafirishaji kutoka kwa mamlaka husika kama SUMATRA na Jeshi la Polisi, pamoja na kuzingatia sheria na taratibu mbalimbali za idara na mamlaka za serikali.

• Mazao ya misitu yatasafirishwa kisheria kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni ama kwa mujibu wa miongozo rasmi itakayotolewa na serikali ama idara husika.

TARATIBU ZA MAUZO YA MAZAO YA MISITU NDANI YA NCHI (SOKO LA NDANI)

1. Leseni ya biashara ya mazao ya misitu kutoka Halmashauri ya Wilaya

2. Namba ya utambulisho ya mlipa kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania

3. Hati ya usajili wa kufanya biashara ya mazao ya misitu kutoka Halmashauri ya Wilaya

4. Leseni ya kuuza mazao ya misitu kutoka Halmashauri ya Wilaya

5. Kibali kilichosafirisha mazao husika kutoka kwa Wakala wa Huduma za Misitu

6. Stakabadhi na nyaraka halali za malipo yote yaliyofanyika katika hatua za uvunaji na uchakataji

TARATIBU ZA USAFIRISHAJI WA MAZAO YA MISITU NJE YA NCHI (SOKO LA NJE)

1. Hati ya usajili wa kampuni kutoka kwa Msajili wa Makampuni

2. Hati ya leseni ya biashara ya nje kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara

3. Namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

4. Mkataba wa mauzo kutoka kwa mnunuzi utakaonesha bei ya mazao hayo kwa thamani ya dola za kimarekani au fedha zinazokubalika kimataifa, ujazo, uzito au idadi ya mazao

5. Hati ya usajili ya kufanya biashara ya mazao ya misitu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu

6. Hati ya usajili wa kusafirisha mazao ya misitu nje ya nchi kutoka Wakala wa Huduma za Misitu

7. Hati ya madaraja ya ubora wa mazao husika ya misitu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu

8. Uthibitisho wa kumiliki kiwanda cha misitu au mkataba kutoka kwa mwenye kiwanda kuwa mazao yatakayosafirishwa yatazalishwa katika kiwanda chake

9. Barua ya uthibitisho wa kuruhusiwa kusafirisha mazao ya Misitu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu

10. Kibali (kama kinahitajika)kwa ajili ya kuruhusiwa kusafirisha mazao ambayo yameorodheshwa katika mkataba wa kimataifa wa kuzuia biashara ya mazao ya Misitu au mimea ambayo ipo hatarini kutoweka duniani (CITES). Kibali kinatolewa na Wizara ya Maliasili na Utalii.

11. Hati ya ukaguzi wa ubora wa mazao ya misitu kutoka Wizara ya Kilimo na Chakula (Phytosanitary Certificate)

12. Stakabadhi halali za Serikali kwa malipo yote yaliyofanyika

ORODHA KAGUZI YA UHALALI WA BIASHARA YA MAZAO YA MISITU KUTOKA KATIKA MISITU YA HIFADHI YA JAMII TANZANIA

Kampeni ya Mama Misitu, Namba 27 Mtaa wa Sangara - Mikocheni, Dar es Salaam. Tovuti: www.mamamisitu.com | Barua pepe: [email protected] Simu: +255 758828398 | Facebook: www.facebook.com/mamamisitu | Twitter: www.twitter.com/mamamisitu

Kampeni ya Mama Misitu inafadhiliwa na Serikali ya Finland.