Upload
others
View
0
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
TANZANIA WOMEN IN COFFEE ASSOCIATION
UTANGULIZI
Tanzania Women in Coffee Association
(TAWOCA) ni chama cha wanawake na kahawa.
Chama hiki kinahusika
na wanaohusika au
wanaopenda na
kujishughulisha na zao la
kahawa kuanzia
mbegu/mche wa kahawa
hadi kikombe cha kahawa,
yaani mnyororo wa
thamani wa kahawa.
Wahusika ni
wakulima, wagani,
wanunuzi,
wasafirishaji,
wasindikaji,
wauzaji, waonjaji
na wanywaji wa
kahawa.
UTANGULIZI
UTANGULIZI
Wanachama wa
TAWOCA ni wa fani
mbalimbali wakiwepo
wakulima, wagani,
wasindikaji, waonjaji na
wafanyabiashara wenye
uelewa wa ngazi
mbalimbali katika elimu
yao na ufahamu wa
kahawa.
SHUGHULI ZILIZOFANYIKA MEI 2015 HADI APRIL 2016 NI PAMOJA NA
i. Kushiriki mkutano wa AFCA tarehe 03-05 Feb 2016
Dar-es-Salaam. Jumla ya wanachama 10 kati ya …..
washiriki.
ii. Wanachama walijigharamia (gharama yote/sehemu) na
wengine kupata ufadhili toka taasisi zao.
Tunashukuru sana TaCRI na Bodi ya kahawa (T) kwa kugharamia
wanachama watatu na taasisi nyingine zote kwa kuwezesha wanachama wa
TAWOCA katika taasisi zao.
iii.Ushiriki wa wanachama katika mkutano huu
umewawezesha kujitangaza lakini pia kupata
mawasiliano ya biashara ya kahawa zao.
SHUGHULI ZILIZOFANYIKA MEI 2015 HADI APRIL 2016 NI PAMOJA NA
TUMESHIRIKI AFCA 03 – 05, FEB, 2016 DAR ES SALAAM
Wanachama 6 walipeleka kahawa zao
kushindanishwa na Mbula Masua na
mwanachama wa IWCA chapter coordinator
for Africa wa AFCA Nairobi.
Damari Nko alikuwa mshindi wa 2 kitaifa
kwa ubora wa kahawa yake.
KUSHIRIKI KATIKA MASHINDANO YA UBORA WA KAHAWA (TASTE OF HARVEST)
KUSHIRIKI KATIKA MASHINDANO YA UBORA WA KAHAWA (TASTE OF HARVEST)
Hata hivyo washiriki wengine pia kahawa zao
zilikuwa bora kwani alama za kushinda
(“marks”) hazikutofautiana sana kama ifuatavyo:
Damari Nko alizawadiwa cheti na kikombe na
kugharamiwa ushiriki AFCA.
AFCA walimuwezesha Damari Nko kushiriki mkutano
siku 3.
Mwenyekiti wa TAWOCA alizawadiwa ngao ya
kutambua Ushiriki wetu katika AFCA
KUSHIRIKI KATIKA MASHINDANO YA UBORA WA KAHAWA (TASTE OF HARVEST)
TAWOCA chairperson received an award for
longstanding AFCA member
MAFUNZO YA KUTENGENEZA KAHAWA YA KUNYWA KITAALAMU (BARISTA TRAINING)
Wanachama 3: Asia Kimaryo (msaidizi wake, Rose Swai na
Leah Assenga) walipatwa mafunzo ya siku 3 huko Nairobi kwa
kuwezeshwa na ITC.
Waliopata mafunzo haya wameanza kuyatumia na mmojawapo
amepanua biashara yake kuwa na kituo kingine (Aroma Shop).
Hivyo inaongeza matumizi ya kahawa ndani ya nchi.
Waliopatiwa mafunzo watatoa mafunzo kwa wanachama
wengine.
Katika mpango mkakati uliokuwa
umeandaliwa unaonyesha chama kina uwezo
(strength) wa kutekeleza vitu mbalimbali
ambavyo ni:
Wanachama 13 walipewa mafunzo ya siku 3
yaliyofanyika tarehe 01-03 April 2016 kuibua
miradi na kuandika mpango wa utekelezaji na
gharama zake.
MAFUNZO YA KUJENGA UWEZO WA MIRADI YA KUFANYA
Zoezi hili linaendelea
na miradi 2 ipo katika
hatua mbalimbali za
ukamilishaji ili zitumwe
ITC kuomba
uwezeshaji.
Miradi hiyo ni
uzalishaji wa kahawa
bora na uuzaji wa
kahawa.
MAFUNZO YA KUJENGA UWEZO WA MIRADI YA KUFANYA
MAFUNZO YA KUJENGA UWEZO WA MIRADI YA KUFANYA
CHANGAMOTO NA JINSI YA KUZITATUA NA MATARAJIO
Changamoto Namna ya kutatua
Wanachama wachache Hamasisha kikanda na kitaifa
Fedha za kufanyia kazi Buni miradi na kuitekeleza
Wanachama kuongeza
michango
Uzalishaji mdogo na usio
bora
Mafunzo, shiriki “Taste of
Harvest”
Ushiriki mdogo katika
biashara ya kahawa
Hamasisha na kuzawadia
MATARAJIO
Kuongeza idadi ya wanachama kufikia 200
ifikapo mwaka 2019
Kuanda miradi miwili kila mwaka na kutekeza
Kutambua makundi ya wanawake katika
mnyororo wa thamani wa kahawa kwa kufanya
“mapping” kanda zote
Kuboresha “review” mpango mkakati wa
chama mwaka 2016/17
Kushiriki mikutano ya kimataifa ya kahawa
mfano: AFCA, IWCA
Asanteni