9
Ameiumba dunia kwa uwe- za wake, Ameuthibitisha uli- mwengu kwa hekima yake, Na kwa ufahamu wake ame- zitandika mbingu. –Yeremia 10:12 Basi, mtamlinganisha Mu- ngu na nani?. . . Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya du- nia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia, na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa; Mta- nifananisha na nani, basi, ni- pate kuwa sawa naye? asema yeye aliye Mtakatifu. Inueni macho yenu juu, mkaone; ni nani aliyeziumba hizi; ale- taye nje jeshi lao kwa hesa- bu; aziita zote kwa majina; kwa ukuu wa uweza wake, na kwa kuwa yeye ni hodari kwa nguvu zake; hapana mo- ja isiyokuwapo mahali pake. –Isaya 40:18a, 22, 25, 26 Aa! Bwana MUNGU, tazama, wewe umeziumba mbingu na nchi, kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulio- nyoshwa; hapana neno lililo gumu usiloliweza. –Yeremia 32:17 UWEZO WA MUNGU KATIKA KUUMBA 1 huzunguka-zunguka, akitafu- ta mtu ammeze. –1 Petro 5:8 Nami sipendi ninyi kushiri- kiana na mashetani. –1 Wakorintho 10:20b Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifu- ataye hatakwenda gizani ka- mwe, bali atakuwa na nuru ya uzima. –Yohana 8:12 Mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele. –Yohana 10:10b Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno aliku- wa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kili- chofanyika Mwivi [Shetani] haji ila aibe na kuchinja na ku- haribu. –Yohana 1:1, 3; 10:10a Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme. –Luka 10:18 Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibi- lisi, kama simba angurumaye, 2 MUNGU HUUMBA NA KUTOA MWANGA; SHETANI HUHARIBU Mara moja amenena Mungu; Mara mbili nimeyasikia haya, Ya kuwa nguvu zina Mungu. –Zaburi 62:11 Naam, tangu siku ya leo, mi- mi ndiye; wala hapana awe- zaye kuokoa katika mkono wangu. –Isaya 43:13a Ee BWANA, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushi- nda, na enzi; maana vitu vyo- te vilivyo mbinguni na duni- ani ni vyako; ufalme ni wako, Ee BWANA, nawe umetukuzwa, u mkuu juu ya vitu vyote. Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, nawe watawala juu ya vyote; na mkononi mwako mna uweza na nguvu; tena mkononi mwako mna kuwatukuza na kuwaweze- sha wote. –1 Nyakati 29:11, 12 Ee BWANA Mungu, umeanza kumwonyesha mtumishi wako ukubwa wako, na mkono wa- ko wa nguvu; kwani kuna mu- ngu gani mbinguni au duniani awezaye kufanya mfano wa kazi zako, na mfano wa ma- tendo yako yenye nguvu? –Kumbukumbu 3:24 Kwa kuwa hakuna neno li- silowezekana kwa Mungu. –Luka 1:37 UWEZO WA MUNGU HAUNA MIPAKA 3 UWEZO WA MUNGU Yawezekanaje kiumbe kidogo kufafanua uwezo wa Muumba wetu au nguvu za Mungu asiyeharibika kwa namna yoyote ile? Ni vigumu kabisa kuifanya kwa usahihi, kwa maana Mungu ni mwenye uwezo mkuu na mkubwa sana kwamba akili zetu ndogo kwa uwezo wake haiwezi kuchukua yote ndani. Lakini Mungu amejifunua Mwenyewe katika Kitabu chake, Biblia, wazi ya kutosha sisi kuelewa vizuri uwezo Wake kutenda CHOCHOTE kinachodhaniwa na mtu kuwa hakiwezekani! Yeye aliumba ulimwengu wetu na kuuning’iniza hewani, na umening’inia pale kwa miaka maelfu sio kwa lolote bali kwa uwezo Wake. Yeye alikuwa akirudishia mahitaji ya ulimwengu wetu yaliyotokana na nguvu za uharibifu wa Shetani na mtu. Hebu sasa tutazame ndani ya Neno la Mungu kuhusu ufunuo Wake ulio mkamilifu wa uwezo Wake usioisha. —Watson Goodman (1920-2002) _______________________________________________________________ BIB LIA-The British and Foreign Bible Society-London 1961. Made and Printed in Great Britain by Purnell and Sons, LTD., Paulton and London. Printed by permission. Imekusanywa na Watson Goodman BURE - KISIUZWE UWEZO WA MUNGU

The power of god kiswahili

Embed Size (px)

DESCRIPTION

 

Citation preview

Page 1: The power of god kiswahili

Ameiumba dunia kwa uwe-za wake, Ameuthibitisha uli-mwengu kwa hekima yake,Na kwa ufahamu wake ame-zitandika mbingu.

–Yeremia 10:12Basi, mtamlinganisha Mu-

ngu na nani?. . . Yeye ndiyeanayeketi juu ya duara ya du-nia, na hao wanaokaa ndaniyake huwa kama panzi; yeyendiye azitandazaye mbingukama pazia, na kuzikunjuakama hema ya kukaliwa; Mta-nifananisha na nani, basi, ni-pate kuwa sawa naye? asemayeye aliye Mtakatifu. Inueni

macho yenu juu, mkaone; ninani aliyeziumba hizi; ale-taye nje jeshi lao kwa hesa-bu; aziita zote kwa majina;kwa ukuu wa uweza wake,na kwa kuwa yeye ni hodarikwa nguvu zake; hapana mo-ja isiyokuwapo mahali pake.

–Isaya 40:18a, 22, 25, 26

Aa! Bwana MUNGU, tazama,wewe umeziumba mbingu nanchi, kwa uweza wako mkuuna kwa mkono wako ulio-nyoshwa; hapana neno lililogumu usiloliweza.

–Yeremia 32:17

UWEZO WA MUNGU KATIKA KUUMBA 1

huzunguka-zunguka, akitafu-ta mtu ammeze. –1 Petro 5:8

Nami sipendi ninyi kushiri-kiana na mashetani.

–1 Wakorintho 10:20b

Basi Yesu akawaambia tenaakasema, Mimi ndimi nuruya ulimwengu, yeye anifu-ataye hatakwenda gizani ka-mwe, bali atakuwa na nuruya uzima. –Yohana 8:12

Mimi nalikuja ili wawe nauzima, kisha wawe nao tele.

–Yohana 10:10b

Hapo mwanzo kulikuwakoNeno, naye Neno alikuwakokwa Mungu, naye Neno aliku-wa Mungu. Vyote vilifanyikakwa huyo; wala pasipo yeyehakikufanyika cho chote kili-chofanyika Mwivi [Shetani]haji ila aibe na kuchinja na ku-haribu. –Yohana 1:1, 3; 10:10a

Akawaambia, NilimwonaShetani, akianguka kutokambinguni kama umeme.

–Luka 10:18Mwe na kiasi na kukesha;

kwa kuwa mshitaki wenu Ibi-lisi, kama simba angurumaye,

2 MUNGU HUUMBA NA KUTOA MWANGA;SHETANI HUHARIBU Mara moja amenena Mungu;

Mara mbili nimeyasikia haya,Ya kuwa nguvu zina Mungu.

–Zaburi 62:11

Naam, tangu siku ya leo, mi-mi ndiye; wala hapana awe-zaye kuokoa katika mkonowangu. –Isaya 43:13a

Ee BWANA, ukuu ni wako, nauweza, na utukufu, na kushi-nda, na enzi; maana vitu vyo-te vilivyo mbinguni na duni-ani ni vyako; ufalme ni wako,Ee BWANA, nawe umetukuzwa,u mkuu juu ya vitu vyote.Utajiri na heshima hutokakwako wewe, nawe watawala

juu ya vyote; na mkononimwako mna uweza na nguvu;tena mkononi mwako mnakuwatukuza na kuwaweze-sha wote. –1 Nyakati 29:11, 12

Ee BWANA Mungu, umeanzakumwonyesha mtumishi wakoukubwa wako, na mkono wa-ko wa nguvu; kwani kuna mu-ngu gani mbinguni au dunianiawezaye kufanya mfano wakazi zako, na mfano wa ma-tendo yako yenye nguvu?

–Kumbukumbu 3:24

Kwa kuwa hakuna neno li-silowezekana kwa Mungu.

–Luka 1:37

UWEZO WA MUNGU HAUNA MIPAKA 3

UWEZO WA MUNGUYawezekanaje kiumbe kidogo kufafanua uwezo wa Muumba

wetu au nguvu za Mungu asiyeharibika kwa namna yoyote ile?Ni vigumu kabisa kuifanya kwa usahihi, kwa maana Mungu nimwenye uwezo mkuu na mkubwa sana kwamba akili zetundogo kwa uwezo wake haiwezi kuchukua yote ndani.

Lakini Mungu amejifunua Mwenyewe katika Kitabu chake,Biblia, wazi ya kutosha sisi kuelewa vizuri uwezo Wake kutendaCHOCHOTE kinachodhaniwa na mtu kuwa hakiwezekani! Yeyealiumba ulimwengu wetu na kuuning’iniza hewani, naumening’inia pale kwa miaka maelfu sio kwa lolote bali kwauwezo Wake. Yeye alikuwa akirudishia mahitaji ya ulimwenguwetu yaliyotokana na nguvu za uharibifu wa Shetani na mtu.

Hebu sasa tutazame ndani ya Neno la Mungu kuhusu ufunuoWake ulio mkamilifu wa uwezo Wake usioisha.

—Watson Goodman (1920-2002)_______________________________________________________________BIB LIA-The British and Foreign Bible Society-London 1961. Made and Printed in GreatBritain by Purnell and Sons, LTD., Paulton and London. Printed by permission.

Imekusanywa naWatson Goodman

BURE - KISIUZWE

UWEZO WA MUNGU

Page 2: The power of god kiswahili

BWANA, mkono wako wa ku-ume umepata fahari ya uwe-zo, BWANA, mkono wako wakuume wawaseta-seta adui.Kwa wingi wa ukuu wakowawaangusha chini wanao-kuondokea, Wapeleka hasirayako, nayo huwateketeza ka-ma mabua makavu.

–Kutoka 15:6, 7Bwana wetu ni mkuu na

mwingi wa nguvu, Akili zakehazina mpaka. –Zaburi 147:5

Lakini akawaokoa kwa ajiliya jina lake, Ayadhihirishe ma-tendo yake makuu.

–Zaburi 106:8Ezra akasema, Wewe ndiwe

BWANA, wewe peke yako; weweulifanya mbingu, mbingu zambingu, pamoja na jeshi lakelote, dunia na vyote vilivyo-mo, bahari na vitu vyote vi-livyomo, nawe unavihifadhivitu hivi vyote; na jeshi lambinguni lakusujudu wewe.

–Nehemia 9:6Ee nafsi yangu, umhimidi

BWANA. Wewe, BWANA, Munguwangu, Umejifanya mkuu sa-na; Umejivika heshima naadhama. –Zaburi 104:1

BWANA ndiye mkuu mwenyekusifiwa sana, Wala ukuu wa-ke hautambulikani.

–Zaburi 145:3

4 UKUU WA UWEZO MWINGI WA MUNGUMaana hivi mtaruzukiwa

kwa ukarimu kuingia katikaufalme wa milele wa Bwanawetu, Mwokozi wetu YesuKristo. –2 Petro 1:11

Mtumainini BWANA sikuzote,Maana BWANA YEHOVA nimwamba wa milele.

–Isaya 26:4Kabla haijazaliwa milima,

wala hujaiumba dunia, na ta-ngu milele hata milele ndiweMungu. –Zaburi 90:2

Bali BWANA ndiye Mungu wakweli; Ndiye Mungu aliye hai,Mfalme wa milele; Mbele zaghadhabu yake nchi yatete-meka, Wala mataifa hawawe-

zi kustahimili hasira yake.–Yeremia 10:10

Pakawa na sauti kuu kati-ka mbingu; zikisema, Ufalmewa dunia umekwisha kuwaufalme wa Bwana wetu na waKristo wake, naye atamilikihata milele na milele.

–Ufunuo 11:15bUwezo Wa Shetani

UtaharibiwaNa yule Ibilisi, mwenye ku-

wadanganya, akatupwa kati-ka ziwa la moto na kiberiti,alimo yule mnyama na yulenabii wa uongo. Nao wata-teswa mchana na usiku hatamilele na milele. –Ufunuo 20:10

UWEZO WA MUNGU NI WA MILELE 5

Musa akanyosha mkono wa-ke juu ya bahari; BWANA akai-fanya bahari irudi nyumakwa upepo wa nguvu uto-kao mashariki, usiku kucha,akaifanya bahari kuwa nchikavu, maji yakagawanyika.Wana wa Israeli wakaendandani kati ya bahari katikanchi kavu; nayo maji yali-kuwa ukuta kwao mkono wakuume, na mkono wa kusho-to. BWANA akamwambia Mu-sa, Nyosha mkono wako juuya bahari, ili maji yaruditena juu ya Wamisri, juu ya

magari yao, na juu ya farasizao. Musa akaunyosha mko-no wake juu ya bahari, nakulipopambazuka, bahariikarudi kwa nguvu zake;Wamisri wakakimbia mbeleyake; na BWANA akawaku-kutia mbali hao Wamisrikati ya bahari. . . . Hakusaliahata mtu mmoja. NdivyoBWANA alivyowaokoa Israelisiku ile mikononi mwa Wa-misri; Waisraeli wakawaonaWamisri ufuoni kwa bahari,wamekufa.

–Kutoka 14:21, 22, 26-28b, 30

6 UWEZO WA AJABU WA MUNGUKATIKA BAHARI YA SHAMU

Alilisha Watu Milioni Kwa Miaka 40

Wakati wa jioni mtakula nya-ma, na wakati wa asubuhi mta-shiba mkate; nanyi mtajua yakuwa mimi ndimi BWANA, Mu-ngu wenu. Ikawa wakati wa jio-ni, kware wakakaribia, waka-kifunikiza kituo; na wakati waasubuhi umande ulikuwa juuya nchi pande zote za kituo. Naulipoinuka ule umande ulio-kuwa juu ya nchi, kumbe! juuya uso wa bara kitu kidogo ki-lichoviringana, kidogo kama sa-kitu juu ya nchi. Wana wa Isra-

eli walipokiona, wakaambiana,Nini hiki? Na wana wa Israeliwalikula Mana muda wa miakaarobaini.

–Kutoka 16:12b-15a, 35aMaji Kwa Milioni

. . . Nawe utalipiga jabali, namaji yatatoka, watu wapatekunywa. –Kutoka 17:6a

Alizuia Mto UliofurikaNa hao makuhani waliolichu-

kua sanduku la agano la BWA-NA wakasimama imara mahalipakavu katikati ya Yordani;Israeli wote wakavuka katikanchi kavu. –Yoshua 3:17a

HAKUNA MUUJIZA ULIO MKUBWA ZAIDI 7KWA MUNGU

Basi watu hao wakafungwa,hali wamevaa suruali zao, nakanzu zao, na joho zao, namavazi yao mengine, waka-tupwa katikati ya ile tanuruiliyokuwa ikiwaka moto. Basikwa sababu amri ya mfalmeilikuwa ni kali, na ile tanuruilikuwa ina moto sana, mwa-ko wa ule moto ukawaua walewatu waliowashika Shadra-ka, na Meshaki, na Abednego.Na maamiri, na manaibu, namaliwali, na mawaziri, walio-kuwa wamekusanyika pamo-ja, wakawaona watu hao, yakuwa ule moto ulikuwa hau-na nguvu juu ya miili yao,

wala nywele za vichwa vyaohazikuteketea, wala surualizao hazikubadilika, wala ha-rufu ya moto haikuwapatahata kidogo.

–Danieli 3:21, 22, 27Basi mfalme akatoa amri,

nao wakamleta Danieli, wa-kamtupa katika tundu la si-mba. Mfalme akanena, aka-mwambia Danieli, Mungu wa-ko unayemtumikia daima, ye-ye atakuponya. Ndipo Danieliakamwambia mfalme. . . . Mu-ngu wangu amemtuma ma-laika wake, naye ameyafu-mba makanwa ya simba.

–Danieli 6:16, 21, 22a

8 MUNGU NI MKOMBOZI MKUU Je! neno langu si kama mo-

to? asema BWANA; na kama nyu-ndo ivunjayo mawe vipandevipande? –Yeremia 23:29

Maana Neno la Mungu lihai, tena lina nguvu, tenalina ukali kuliko upanga u-wao wote ukatao kuwili, tenalachoma hata kuzigawanyanafsi na roho, na viungo namafuta yaliyomo ndani yake;tena li jepesi kuyatambuamawazo na makusudi ya mo-yo. –Waebrania 4:12

Jinsi gani kijana aisafishenjia yake? Kwa kutii, akilifu-ata neno lako. –Zaburi 119:9

Ninyi mmekwisha kuwa safikwa sababu ya lile neno nili-lowaambia. –Yohana 15:3

Tena ipokeeni chapeo ya wo-kovu, na upanga wa Rohoambao ni neno la Mungu.

–Waefeso 6:17Uwatakase kwa ile kweli;

neno lako ndiyo kweli.–Yohana 17:17

Moyoni mwangu nimeliwe-ka neno lako, Nisije nikaku-tenda dhambi. –Zaburi 119:11

Kufafanusha maneno yakokwatia nuru, Na kumfahami-sha mjinga. –Zaburi 119:130

UWEZO WA NENO LA MUNGU 9

Page 3: The power of god kiswahili

Maana katika yeye unakaautimilifu wote wa Mungu, kwajinsi ya kimwili.

–Wakolosai 2:9Tazama, bikira atachukua

mimba, Naye atazaa mwana;Nao watamwita jina lake Ima-nueli; Yaani, Mungu pamojanasi. Naye Yusufu alipoamkakatika usingizi, alifanya ka-ma malaika wa Bwana alivyo-mwagiza; akamchukua mke-we; asimjue kamwe hata ali-pomzaa mwanawe; akamwitajina lake YESU.

–Mathayo 1:23-25Akawajibu, Baba yangu ana-

tenda kazi hata sasa, nami ni-

natenda kazi. Basi kwa sa-babu hiyo Wayahudi walizidikutaka kumwua, kwa kuwahakuivunja sabato tu, bali pa-moja na hayo alimwita Mu-ngu Baba yake, akijifanya sa-wa na Mungu.

–Yohana 5:17, 18Damu ya Kristo ni Damu ya

MunguJitunzeni nafsi zenu, na lile

kundi lote nalo, ambalo RohoMtakatifu amewaweka ninyikuwa waangalizi ndani yake,mpate kulilisha kanisa lakeMungu, alilolinunua kwa da-mu yake mwenyewe.

–Matendo 20:28

10 YESU KRISTO NI MUNGU KATIKA MWILITena zitokazo kwa Yesu Kri-

sto . . . Mimi ni Alfa na Omega,mwanzo na mwisho, asemaBwana Mungu, aliyeko na ali-yekuwako na atakayekuja,Mwenyezi. –Ufunuo 1:5a, 8

Naye alituokoa katika ngu-vu za giza, akatuhamisha nakutuingiza katika ufalme waMwana wa pendo lake; amba-ye katika yeye tuna ukombo-zi, yaani, msamaha wa dha-mbi; naye ni mfano wa Mu-ngu asiyeonekana, mzaliwawa kwanza wa viumbe vyote.Kwa kuwa katika yeye vituvyote viliumbwa, vilivyo mbi-

nguni na vilivyo juu ya nchi,vinavyoonekana na visivyoo-nekana; ikiwa ni viti vyaenzi, au usultani, au enzi, aumamlaka; vitu vyote viliu-mbwa kwa njia yake, na kwaajili yake. –Wakolosai 1:13-16

Mwenye uweza peke yake,Mfalme wa wafalme, Bwanawa mabwana; ambaye yeyepeke yake hapatikani na mau-ti, amekaa katika nuru isiyo-weza kukaribiwa; wala haku-na mwanadamu aliyemwona,wala awezaye kumwona. He-shima na uweza una yeyehata milele. Amina.

–1 Timotheo 6:15b, 16

YESU KRISTO NI MWENYE UWEZO 11

Naye anitazamaye mimi a-mtazama yeye aliyenipeleka.

–Yohana 12:45Yeye kwa kuwa ni mng’ao

wa utukufu wake na chapaya nafsi yake, akivichukuavyote kwa amri ya uweza wa-ke, akiisha kufanya utakasowa dhambi, aliketi mkono wakuume wa Ukuu huko juu.

–Waebrania 1:3Na ubora wa ukuu wa uwe-

za wake ndani yetu tuaminiojinsi ulivyo; kwa kadiri yautendaji wa nguvu za uwezawake; aliotenda katika Kristoalipomfufua katika wafu, a-kamweka mkono wake wa

kuume katika ulimwengu waroho; juu sana kuliko ufalmewote, na mamlaka, na nguvu,na usultani, na kila jina lita-jwalo, wala si ulimwengunihumu tu, bali katika ule ujaopia; akavitia vitu vyote chiniya miguu yake.

–Waefeso 1:19-22aMimi na Baba tu umoja. . . .

Baba yu ndani yangu, namini ndani ya Baba.

–Yohana 10:30, 38bNaye akampa amri ya ku-

fanya hukumu kwa sababu niMwana wa Adamu.

–Yohana 5:27

12 KRISTO NI SAWA NA BABAYeye anao Uwezo, Yuko

katika UtatuNaye Roho ndiye ashuhudi-

aye, kwa sababu Roho ndiyekweli. –1 Yohana 5:7

Petro akasema, Anania, kwanini Shetani amekujaza moyowako kumwambia uongo Ro-ho Mtakatifu, na kuzuia kwasiri sehemu ya thamani ya ki-wanja?. . . Ilikuwaje hata uka-weka neno hili moyoni mwa-ko? Hukumwambia uongo mwa-nadamu, bali Mungu. Ananiaaliposikia maneno haya aka-anguka, akafa. Hofu nyingiikawapata watu wote walio-

yasikia haya. –Matendo 5:3-5Yeye Huwajaza Waamini,

Huwapa UshupavuHata walipokwisha kumwo-

mba Mungu, mahali pale wa-lipokusanyika pakatikiswa,wote wakajaa Roho Mtakati-fu, wakanena neno la Mungukwa ujasiri. –Matendo 4:31

Yeye Hufanya Upendo wa Pekee Kufanya kazi

Na tumaini halitahayarishi;kwa maana pendo la Mungulimekwisha kumiminwa kati-ka mioyo yetu na Roho Mta-katifu tuliyepewa sisi.

–Warumi 5:5

UWEZO MKUU WA ROHO MTAKATIFU 13

Naye, kwa sababu hii, awezakuwaokoa kabisa wao wamji-ao Mungu kwa yeye; maanayu hai sikuzote ili awaombee.

–Waebrania 7:25Yeye awezaye kuwalinda ni-

nyi msijikwae, na kuwasima-misha mbele ya utukufu wa-ke bila mawaa katika furahakuu. –Yuda 24

Mungu aweza kumwinuliaIbrahimu watoto. –Luka 3:8b

Kwa sababu hiyo nimepati-kana na mateso haya, wala si-tahayari; kwa maana namjuayeye niliyemwamini, na kusa-diki ya kwamba aweza kuki-

linda kile nilichokiweka a-mana kwake hata siku ile.

–2 Timotheo 1:12Na Mungu aweza kuwajaza

kila neema kwa wingi, ilininyi, mkiwa na riziki za kilanamna sikuzote, mpate kuzi-di sana katika kila tendo je-ma. –2 Wakorintho 9:8

Ibrahimu . . . lakini akiionaahadi ya Mungu hakusitakwa kutokuamini, bali aliti-wa nguvu kwa imani, akimtu-kuza Mungu; huku akijuahakika ya kuwa Mungu awe-za kufanya yale aliyoahidi.

–Warumi 4:16c, 20, 21

14 NGUVU ZA MUNGUKwa huo aweza hata kuviti-

isha vitu vyote viwe chiniyake. –Wafilipi 3:21b

Na wale waendao kwa ku-takabari, yeye aweza kuwa-dhili. –Danieli 4:37b

Kama ni hivyo, Mungu wetutunayemtumikia aweza kutu-okoa na tanuru ile iwakayomoto; naye atatuokoa na mko-no wako, Ee mfalme. KishaNebukadreza akaukaribiamdomo wa ile tanuru iliyoku-wa inawaka moto. Akanena,akasema, Enyi Shadraka, naMeshaki, na Abednego, watu-mishi wa Mungu Aliye juu, to-

keni, mje huku. . . . Ya kuwa ulemoto ulikuwa hauna nguvujuu ya miili yao, wala nyweleza vichwa vyao hazikuteke-tea, wala suruali zao haziku-badilika, wala harufu ya mo-to haikuwapata hata kidogo.

–Danieli 3:17, 26a, 27b

Na kwa kuwa mwenyewealiteswa alipojaribiwa, awe-za kuwasaidia wao wanaoja-ribiwa. –Waebrania 2:18

Uwezo Juu ya KifoAkihesabu ya kuwa Munguaweza kumfufua hata kutokakuzimu. –Waebrania 11:19a

NGUVU ZA MUNGU 15

Page 4: The power of god kiswahili

Na ya kuwa tangu utotoumeyajua maandiko mataka-tifu, ambayo yaweza kuku-hekimisha hata upate woko-vu kwa imani iliyo katikaKristo Yesu. –2 Timotheo 3:15

Bwana aweza kumsimami-sha. –Warumi 14:4b

Basi atukuzwe yeye aweza-ye kufanya mambo ya ajabumno kuliko yote tuyaombayoau tuyawazayo, kwa kadiriya nguvu itendayo kazi ndaniyetu; naam, atukuzwe katikaKanisa na katika Kristo Yesuhata vizazi vyote vya milele

na milele. Amina. –Waefeso 3:20, 21

Basi, sasa nawaweka katikamikono ya Mungu, na kwaneno la neema yake, ambalolaweza kuwajenga na kuwa-pa urithi pamoja nao wotewaliotakaswa. –Matendo 20:32

Basi, nauliza, Je! Mungu ali-wasukumia mbali watu wa-ke? Hasha! Na hao pia, wasi-pokaa katika kutokuaminikwao, watapandikizwa; kwakuwa Mungu aweza kuwa-pandikiza tena.

–Warumi 11:1a, 23

16 NGUVU ZA MUNGU Bwana, kama Wewe unge-

hesabu maovu, Ee Bwana,nani angesimama? Lakini kwa-ko kuna msamaha, Ili Weweuogopwe. –Zaburi 130:3, 4

Ikiwa watu wangu, walioi-twa kwa jina langu, wataji-nyenyekesha, na kuomba, nakunitafuta uso, na kuziachanjia zao mbaya; basi, nitasikiatoka mbinguni, na kuwasame-he dhambi yao, na kuiponyanchi yao. –2 Nayakati 7:14

Vyepesi ni vipi, kumwambiamwenye kupooza, Umesame-hewa dhambi zako, au kuse-ma, Ondoka, ujitwike godorolako, uende? Lakini mpate

kujua ya kwamba Mwana waAdamu anayo amri dunianiya kusamehe dhambi, (hapoamwambia yule mwenye ku-pooza), Nakuambia, Ondoka, u-jitwike godoro lako uendenyumbani kwako. Mara aka-ondoka, akajitwika godoro la-ke, akatoka mbele yao wote;hata wakastaajabu wote, wa-kamtukuza Mungu.

–Marko 2:9-12a

Na kila mtu atakayenena ne-no juu ya Mwana wa Adamuatasamehewa, bali aliyemku-furu Roho Mtakatifu hatasa-mehewa. –Luka 12:10

UWEZO WA KRISTO KUSAMEHE DHAMBI 17

Hata imekuwa, mtu akiwandani ya Kristo amekuwakiumbe kipya; ya kale yame-pita; tazama! yamekuwa ma-pya. –2 Wakorintho 5:17

Naye kila aishiye na kunia-mini hatakufa kabisa hatamilele. Je! unayasadiki hayo?

–Yohana 11:26Naye alipokwisha kukami-

lishwa, akawa sababu ya wo-kovu wa milele kwa watu wo-te wanaomtii. –Waebrania 5:9

Ili kwamba, kama vile dha-mbi ilivyotawala katika mau-ti, vivyo hivyo kwa njia yahaki neema itawale hata uzi-

ma wa milele kwa Yesu KristoBwana wetu. –Warumi 5:21

Na sasa inadhihirishwa kwakufunuliwa kwake Mwokoziwetu Kristo Yesu; aliyebatilimauti, na kuufunua uzima nakutokuharibika, kwa ile Inji-li. –2 Timotheo 1:10

Kwa maana sisi tulio hai,sikuzote twatolewa tufe kwaajili ya Yesu, ili uzima waYesu nao udhihirishwe kati-ka miili yetu ipatikanayo namauti. –2 Wakorintho 4:11

Mimi nalikuja ili wawe nauzima, kisha wawe nao tele.

–Yohana 10:10b

18 UWEZO WA KRISTO KUPONYA ROHOIkawa siku zile mojawapo

alikuwa akifundisha, na Ma-farisayo na waalimu wa to-rati walikuwa wameketi ha-po. . . na uweza wa Bwana uli-kuwapo apate kuponya. Namwanamke mmoja, ambayeametokwa na damu mudawa miaka kumi na miwili,[aliyekuwa amegharimiwamali zake zote kwa kuwapawaganga] asipate kuponywana mtu ye yote, alikwendanyuma yake, akaugusa upi-ndo wa vazi lake; na marahiyo kutoka damu kwake ku-likoma. –Luka 5:17; 8:43, 44

Na kila alikokwenda, akii-ngia vijijini, au mijini, au ma-shambani, wakawaweka wa-gonjwa sokoni, wakamsihiwaguse ngaa pindo la vazilake; nao wote waliomgusawakapona. –Marko 6:56

Hata kulipokuwa jioni, wa-kamletea wengi wenye pepo;akawatoa pepo kwa neno la-ke, akawaponya wote walio-kuwa hawawezi, ili litimielile neno lililonenwa na na-bii Isaya, akisema, Mwenye-we aliutwaa udhaifu wetu,na kuyachukua magonjwayetu. –Mathayo 8:16, 17

UWEZO WA KRISTO KUPONYA MWILI 19

Yesu akanyosha mkono, a-kamgusa, akisema, Nataka;takasika. Na mara ukoma wa-ke ukatakasika. –Mathayo 8:3

Akaweka mikono yake juuyake, naye akanyoka marahiyo, akamtukuza Mungu.

–Luka 13:13Na saa ile ile aliwaponya

wengi magonjwa yao, na mi-siba, na pepo wabaya; na vi-pofu wengi aliwakirimia kuo-na. –Luka 7:21

Na alipoingia katika kijijikimoja, alikutana na watukumi wenye ukoma; wakasi-mama mbali. Alipowaona ali-

waambia, Enendeni, mkajio-nyeshe kwa makuhani. Ika-wa walipokuwa wakienda wa-litakasika. –Luka 17:12, 14

Hata Yesu alipofika nyumba-ni kwa Petro, akamwonamkwewe Petro, mamaye mke-we, amelala kitandani hawe-zi homa. Akamgusa mkono,homa ikamwacha; naye aka-ondoka, akawatumikia.

–Mathayo 8:14, 15Mmoja wao akampiga mtu-

mwa wa Kuhani Mkuu, a-kamkata sikio la kuume. Ye-su . . . Akamgusa sikio, akampo-nya. –Luka 22:50, 51

20 UWEZO WA KUPONYA AINA ZOTE ZA MARADHINaye alipofika nyumbani,

wale vipofu walimwendea;Yesu akawaambia, Mnaaminikwamba naweza kufanya hi-li? Wakamwambia, Naam, Bwa-na. Ndipo alipowagusa macho,akasema, Kwa kadiri ya ima-ni yenu mpate. Macho yao ya-kafumbuka. –Mathayo 9:28-30a

Hata alipoingia Kapernau-mu, akida mmoja alimjia, aka-msihi, akisema, Bwana, mtu-mishi wangu amelala nyu-mbani, mgonjwa wa kupooza,anaumwa sana. Naye Yesuakamwambia yule akida, Ne-nda zako; na iwe kwako kama

ulivyoamini. Mtumishi wakeakapona saa ile ile.

–Mathayo 8:5, 6, 13

Kisha akamwambia yule mtu,Nyosha mkono wako; akau-nyosha, ukapona, ukawa mzi-ma kama wa pili.

–Mathayo 12:13

Na hapa palikuwa na mtu,ambaye amekuwa hawezi mu-da wa miaka thelathini na mi-nane. Yesu akamwambia, Si-mama, jitwike godoro lako,uende. Mara yule mtu akawamzima, akajitwika godoro la-ke, akaenda. –Yohana 5:5, 8, 9a

UWEZO WA KUPONYA AINA ZOTE ZA MARADHI 21

Page 5: The power of god kiswahili

Mtu wa kwenu amekuwahawezi? na awaite wazee wakanisa. Na kule kuomba kwaimani kutamwokoa mgonjwayule. –Yakobo 5:14a, 15a

Naye alikuwa akizungukakatika Galilaya yote . . . nakuihubiri Habari Njema yaufalme, na kuponya ugonjwana udhaifu wa kila namnakatika watu. –Mathayo 4:23

Na kuponywa magonjwa yao;na wale waliosumbuliwa napepo wachafu; waliponywa.Na makutano yote walikuwawakitaka kumgusa, kwa sa-

babu uweza ulikuwa ukimto-ka ukiwaponya wote.

–Luka 6:17b-19Nao wakamsihi waguse ha-

ta pindo la vazi lake tu; nawote waliogusa wakaponywakabisa. –Mathayo 14:36

Wakamwendea makutanomengi wakimletea viwete, vi-pofu, mabubu, vilema, na we-ngine wengi, wakawawekamiguuni pake; akawaponya.

–Mathayo 15:30Makutano mengi wakamfu-

ata, akawaponya huko.–Mathayo 19:2

22 HAKUNA UGONJWA ULIO NA NGUVUYESU ASIUPONYE Yesu akamkemea pepo, naye

akamtoka; yule kijana aka-pona tangu saa ile.

–Mathayo 17:18Pepo nao waliwatoka watu

wengi, wakipiga kelele na ku-sema, Wewe u Mwana waMungu. Akawakemea, asiwa-ache kunena, kwa sababuwalimjua kuwa ndiye Kristo.

–Luka 4:41Naye alipofika ng’ambo, ka-

tika nchi ya Wagerasi, watuwawili wenye pepo walikuta-na naye, wanatoka makabu-rini, wakali mno, hata mtuasiweze kuipitia njia ile. Na

tazama, wakapiga kelele, wa-kisema, Tuna nini nawe, Mwa-na wa Mungu? Je! umekujakututesa kabla ya muhulawetu? Basi, kulikuwako mba-li nao kundi la nguruwe we-ngi wakilisha. Wale pepo wa-kamsihi, wakisema, Ukitu-toa, tuache twende, tukai-ngie katika lile kundi la ngu-ruwe. Akawaambia, Nendeni.

–Mathayo 8:28-32aWakati ule akaletewa mtu

mwenye pepo, kipofu, nayeni bubu; akamponya, hatayule bubu akanena na kuona.

–Mathayo 12:22

UWEZO WA KRISTO KUTOA MASHETANI 23

Akakaribia, akaligusa jene-za; wale waliokuwa wakili-chukua wakasimama. Akase-ma, Kijana, nakuambia, Inu-ka. Yule maiti akainuka, aka-keti, akaanza kusema.

–Luke 7:14, 15aYesu akamwambia, Ndugu

yako atafufuka. Martha aka-mwambia, Najua ya kuwaatafufuka katika ufufuo sikuya mwisho. Yesu akamwambia,Mimi ndimi huo ufufuo, nauzima. Yeye aniaminiye mimi,ajapokufa, atakuwa anaishi.Naye akiisha kusema hayo,akalia kwa sauti kuu, Lazaro,

njoo huku nje. Akatoka njeyule aliyekufa, amefungwasanda miguuni na mikononi,na uso wake amefungwa leso.Naye Yesu akawaambia, Mfu-ngueni, mkamwache aendezake. –Yohana 11:23-25, 43, 44

Alipokuwa akinena hayo, ali-kuja mtu kutoka nyumbanikwa yule mkuu wa sinagogi,akamwambia, Binti yako ame-kwisha kufa; usimsumbuemwalimu. Akamshika mkono,akapaza sauti, akisema, Kija-na, inuka. Roho yake ikamre-jea. –Luka 8:49, 54, 55a

24 UWEZO WA KRISTO KUFUFUA WAFU Amin, amin, nawaambia,

Saa inakuja, na sasa ipo, wa-fu watakapoisikia sauti yaMwana wa Mungu, na walewaisikiao watakuwa hai. Msi-staajabie maneno hayo; kwamaana saa yaja, ambayo wa-tu wote waliomo makaburiniwataisikia sauti yake. Nao wa-tatoka. –Yohana 5:25, 28, 29a

Kwa kuwa mapenzi yakeBaba yangu ni haya, ya kwa-mba kila amtazamaye Mwanana kumwamini yeye, awe nauzima wa milele; nami nita-mfufua siku ya mwisho.

–Yohana 6:40

Tukijua ya kwamba yeyealiyemfufua Bwana Yesu ata-tufufua sisi nasi pamoja naYesu, na kutuhudhurisha pa-moja nanyi.

–2 Wakorintho 4:14Kwa sababu Bwana mwe-

nyewe atashuka kutoka mbi-nguni pamoja na mwaliko,na sauti ya malaika mkuu, naparapanda ya Mungu; naowaliokufa katika Kristo wa-tafufuliwa kwanza.

–1 Wathesalonika 4:16Lakini sasa Kristo amefufu-

ka katika wafu, limbuko laowaliolala. –1 Wakorintho 15:20

AHADI ZA MUNGU ZA UFUFUO 25

Yesu akaja kwao, akasemanao, akawaambia, Nimepewamamlaka yote mbinguni naduniani. –Mathayo 28:18

Kwa sababu mambo yakeyasiyoonekana tangu kuu-mbwa ulimwengu yanaone-kana, na kufahamika kwakazi zake; yaani, uweza wakewa milele na Uungu wake;hata wasiwe na udhuru.

–Warumi 1:20Naye yupo mkono wa kuu-

me wa Mungu, amekwendazake mbinguni, malaika naenzi na nguvu zikiisha kuti-ishwa chini yake.–1 Petro 3:22

Haya ndiyo anenayo yeyealiye mtakatifu, aliye wakweli, aliye na ufunguo waDaudi, yeye mwenye kufu-ngua wala hapana afungaye,naye afunga wala hapana afu-nguaye. –Ufunuo 3:7b

Uweza wake wa Uungu ume-tukirimia vitu vyote vipasa-vyo uzima na utauwa, kwakumjua yeye aliyetuita kwautukufu wake na wema wakemwenyewe. Tena kwa hayoametukirimia ahadi kubwamno, za thamani, ili kwambakwa hizo mpate kuwa washi-rika wa tabia ya Uungu.

–2 Petro 1:3b, 4a

26 UWEZO WA KRISTO USIO NA KIKOMOKujua Mambo Yote

Enenda baharini ukatupendoana, ukatwae samaki yuleazukaye kwanza; na ukifu-mbua mdomo wake utaonashekeli . . . . –Mathayo 17:27b

Na kwa sababu hakuwa nahaja ya mtu kushuhudia ha-bari za mwanadamu; kwa ma-ana yeye mwenyewe alijuayaliyomo ndani ya mwanada-mu. –Yohana 2:25

Katika siku ile Mungu ataka-pozihukumu siri za wanada-mu, sawasawa na injili yangu,kwa Kristo Yesu. –Warumi 2:16

Kwa muujiza Kulisha 5,000Wakamwambia, Hatuna kitu

hapa ila mikate mitano nasamaki wawili. Akasema, Nile-teeni hapa. Akawaagiza ma-kutano waketi katika majani;akaitwaa ile mikate mitanona wale samaki wawili, akata-zama juu mbinguni, akabari-ki, akaimega ile mikate, aka-wapa wanafunzi, wanafunziwakawapa makutano. Wakalawote wakashiba . . . . Nao wa-liokula walikuwa wanaumewapata elfu tano, bila wana-wake na watoto.

–Mathayo 14:17-21

UWEZO WA KRISTO USIO NA KIKOMO 27

Page 6: The power of god kiswahili

Kutembea juu ya MajiHata wakati wa zamu ya

nne ya usiku Yesu akawae-ndea, akienda kwa miguu juuya bahari. –Mathayo 14:25

Kuzuia Mvua YoteHao wana amri ya kuzifu-

nga mbingu, ili mvua isinyekatika siku za unabii wao.Nao wana amri juu ya majikuyageuza kuwa damu, nakuipiga nchi kwa kila pigo,kila watakapo. –Ufunuo 11:6

Kutuliza Dhoruba na BahariMara akaondoka, akazike-

mea pepo na bahari; kukawashwari kuu. –Mathayo 8:26b

Kutembea Kupenyeza Ndani yaUkuta

Akaja Yesu, na milango ime-fungwa, akasimama katikati,akasema, Amani iwe kwenu.

–Yohana 20:26b Kushikilia Dunia Pamoja

Kwa kuwa katika yeye vituvyote viliumbwa, vilivyo mbi-nguni na vilivyo juu ya nchi,vinavyoonekana na visivyo-onekana; ikiwa ni viti vyaenzi, au usultani, au enzi, aumamlaka; vitu vyote viliu-mbwa kwa njia yake, na kwaajili yake. Naye amekuwakokabla ya vitu vyote, na vituvyote hushikana katika yeye.

–Wakolosai 1:16, 17

28 UWEZO WA KRISTO USIO NA KIKOMOTukijua ya kuwa Kristo aki-

isha kufufuka katika wafuhafi tena, wala mauti haimta-wali tena. –Warumi 6:9

Lakini, ikiwa Roho wake ye-ye aliyemfufua Yesu katikawafu anakaa ndani yenu, ye-ye aliyemfufua Kristo Yesu ka-tika wafu ataihuisha na miiliyenu iliyo katika hali ya ku-fa, kwa Roho wake anayekaandani yenu. –Warumi 8:11

Na aliye hai; nami nalikuwanimekufa, . . . ni hai hata mile-le na milele. –Ufunuo 1:18a

Mwambieni Mungu, Mate-ndo yako yatisha kama nini!

Kwa ajili ya wingi wa nguvuzako, Adui zako watakuja ku-nyenyekea mbele zako. Nchiyote itakusujudia na kukui-mbia, Naam, italiimbia jina la-ko. –Zaburi 66:3, 4

Uwezo katika Ufalme WakeMaana ufalme wa Mungu

hauwi katika neno, bali kati-ka nguvu. –1 Wakorintho 4:20

Hawa watafanya vita naMwana-Kondoo, na Mwana-Kondoo atawashinda, kwamaana Yeye ni Bwana waMabwana, na Mfalme wa Wa-falme. –Ufunuo 17:14a

UWEZO WA KRISTO USIO NA KIKOMO 29

Juu ya Maisha YoteKama vile ulivyompa ma-

mlaka juu ya wote wenyemwili, ili kwamba wote uli-ompa awape uzima wa mi-lele. –Yohana 17:2

Kufufua Tena Maisha Yake Mwenyewe

Ndiposa Baba anipenda, kwasababu nautoa uhai wangu iliniutwae tena. Hakuna mtuaniondoleaye, bali mimi nau-toa mwenyewe. Nami ninaouweza wa kuutoa, ninao nauweza wa kuutwaa tena. Agi-zo hilo nalilipokea kwa Babayangu. –Yohana 10:17, 18

Kutoa Utukufu wa MbinguniAkageuka [Yesu] sura yake

mbele yao; uso wake uka-ng’aa kama jua, mavazi yakeyakawa meupe kama nuru.

–Mathayo 17:2

Kurudi katika Uwezona Utukufu

Yesu akamwambia, wewe u-mesema; lakini nawaambie-ni, Tangu sasa mtamwonaMwana wa Adamu ameketimkono wa kuume wa nguvu,akija juu ya mawingu yambinguni. –Mathayo 26:64

30 UWEZO WA KRISTO USIO NA KIKOMOKusamehe Dhambi

Lakini mpate kujua ya kwa-mba Mwana wa Adamu anayoamri duniani ya kusamehedhambi, (amwambia yule mwe-nye kupooza) Ondoka, ujitwi-ke kitanda chako, uende nyu-mbani kwako. –Mathayo 9:6

Kuwapa Uzima wa MileleNami nawapa uzima wa mi-

lele; wala hawatapotea ka-mwe. –Yohana 10:28a

Kukomboa Yeyote. . . kwamba mataifa yote wa-

tahubiriwa kwa jina lakehabari ya toba na ondoleo ladhambi. –Luka 24:47a

Kutakasa RohoKwa ajili hii Yesu naye, ili

awatakase watu kwa damuyake mwenyewe, aliteswa njeya lango. –Waebrania 13:12

Kumfanya Mmoja awe Mshindi

Bwana ataniokoa na kilaneno baya, na kunihifadhihata nifike ufalme wake wambinguni. –2 Timotheo 4:18a

Kumzuia Mmoja akae ndani ya Imani

Ili imani yenu isiwe katikahekima ya wanadamu, balikatika nguvu za Mungu.

–1 Wakorintho 2:5

UWEZO WA KRISTO USIO NA KIKOMO 31

Kwa hiyo tena Mungu ali-mwadhimisha mno, akamki-rimia Jina (Yesu) lile lipitalokila jina. –Wafilipi 2:9

Lakini hizi zimeandikwa; ilimpate kuamini ya kwambaYesu ndiye Kristo, Mwana waMungu; na kwa kuamini mwena uzima kwa jina lake.

–Yohana 20:31Mwalimu, tulimwona mtu

akitoa pepo kwa jina lako,ambaye hafuatani nasi; tu-kamkataza, kwa sababu ha-fuatani nasi. Yesu akasema,Msimkataze, kwa kuwa ha-

kuna mtu atakayefanya mwu-jiza kwa jina langu akawezamara kuninenea mabaya.

–Marko 9:38b, 39Nanyi mkiomba lo lote kwa

jina langu, hilo nitalifanya.–Yohana 14:13a

Lakini Petro akasema . . . la-kini nilicho nacho ndicho ni-kupacho. Kwa jina la Yesu Kri-sto wa Nazareti, simama ue-nde. Akamshika mkono wa ku-ume, akamwinua, mara nyayozake na vifundo vya miguu ya-ke vikatiwa nguvu.

–Matendo 3:6, 7

32 UWEZO WA JINA LA YESUKatika yeye huyo, kwa da-

mu yake, tunao ukomboziwetu, masamaha ya dhambi,sawasawa na wingi wa nee-ma yake. –Waefeso 1:7

Nao wakamshinda [Shetani]kwa damu ya Mwana-Kondoo,na kwa neno la ushuhudawao. –Ufunuo 12:11a

Basi, Mungu wa amani ali-yemleta tena kutoka kwa wa-fu Mchungaji Mkuu wa ko-ndoo, kwa damu ya agano lamilele, yeye Bwana wetuYesu, awafanye ninyi kuwawakamilifu katika kila tendojema, mpate kuyafanya ma-

penzi yake; naye akifanyandani yetu lipendezalo mbe-le zake, kwa Yesu Kristo.

–Waebrania 13:20, 21a

Hao ndio wanatoka katikadhiki ile iliyo kuu, nao wa-mefua mavazi yao, na kuya-fanya meupe katika damu yaMwana-Kondoo.

–Ufunuo 7:14b

Bali tukienenda nuruni, ka-ma yeye alivyo katika nuru,twashirikiana sisi kwa sisi,na damu yake Yesu, Mwanawake, yatusafisha dhambiyote. –1 Yohana 1:7

UWEZO WA DAMU TAKATIFU YA YESU 33

Page 7: The power of god kiswahili

Wakisema kwa sauti kuu,Astahili Mwana-Kondoo ali-yechinjwa, kuupokea uwezana utajiri na hekima na ngu-vu na heshima na utukufu nabaraka. –Ufunuo 5:12

Kisha mataifa wataliogopajina la BWANA, na wafalmewote wa dunia utukufu wa-ko. Kizazi kitakachokuja ki-taandikiwa hayo, na watu wa-takaoumbwa watamsifu BWA-NA. –Zaburi 102:15, 18

Bali ninyi ni mzao meteule,ukuhani wa kifalme, taifatakatifu, watu wa milki yaMungu, mpate kuzitangaza

fadhili zake yeye aliyewaitamtoke gizani mkaingie kati-ka nuru yake ya ajabu.

–1 Petro 2:9

Mwimbieni BWANA akaayeSayuni, Yatangazeni kati yawatu matendo yake.

–Zaburi 9:11

Watu na wakushukuru, EeMungu, Watu wote na waku-shukuru. Nchi imetoa mazaoyake; Mungu, Mungu wetu,ametubariki. Mungu atatu-bariki sisi; Miisho yote yadunia itamcha Yeye.

–Zaburi 67:5-7

34 MTUKUZE MUNGU KWA UWEZO WAKE Mwalimu, nitende jambo ga-

ni jema, ili nipate uzima wamilele? Akamwambia, . . . Uki-taka kuingia katika uzima,zishike amri. Akamwambia,Zipi? Yesu akasema, Ni hizi,Usiue, Usizini, Usiibe, Usishu-hudie uongo, Waheshimu babayako na mama yako, na, Mpe-nde jirani yako kama nafsiyako. Yule kijana akamwa-mbia, Haya yote nimeyashika;nimepungukiwa na nini tena?Yesu akamwambia, Ukitakakuwa mkamilifu, enenda ukau-ze ulivyo navyo, uwape maski-ni, nawe utakuwa na hazina

mbinguni; kisha njoo unifuate.–Mathayo 19:16b, 17-21

Tubu, Amini, PokeaYesu akaenda. . .akisema, Wa-

kati umetimia, na ufalme waMungu umekaribia; tubuni, nakuiamini Injili.

–Marko 1:14b, 15Alikuwako ulimwenguni, ha-

ta kwa yeye ulimwengu ulipa-ta kuwako, wala ulimwenguhaukumtambua. Bali wote wa-liompokea aliwapa uwezo wakufanyika watoto wa Mungu,ndio wale waliaminio jinalake. –Yohana 1:10, 12

NIFANYE NINI ILI NIPATE UZIMA WA MILELE? 35

Kwa kuwa torati ilitolewakwa mkono wa Musa; neemana kweli zilikuja kwa mkonowa Yesu Kristo. –Yohana 1:17

Yesu akamwambia, Mimi ndi-mi njia, na kweli, na uzima;mtu haji kwa Baba, ila kwanjia ya mimi. –Yohana 14:6

Ndani yake ndimo ulimoku-wa uzima, nao ule uzima uli-kuwa nuru ya watu.

–Yohana 1:4Ingieni kwa kupitia mlango

ulio mwembamba; maana mla-ngo ni mpana, na njia ni panaiendayo upotevuni, nao ni we-

ngi waingiao kwa mlangohuo. Bali mlango ni mwemba-mba, na njia imesonga ienda-yo uzimani, nao waionao niwachache. –Mathayo 7:13, 14

Mimi ndimi chakula chenyeuzima kilichoshuka kutokambinguni; mtu akila chakulahiki, ataishi milele.

–Yohana 6:51aYesu akasimama, akapaza sa-

uti yake akisema, Mtu akionakiu, na aje kwangu anywe.Aniaminiye mimi, kama vilemaandiko yalivyonena, mitoya maji yaliyo hai itatokandani yake. –Yohana 7:37b, 38

36 KRISTO NI NJIA, KWELI, UZIMAKwa sababu Kristo hakui-

ngia katika patakatifu palipo-fanyika kwa mikono, . . . balialiingia mbinguni hasa, ao-nekane sasa usoni pa Mungukwa ajili yetu; wala si kwa-mba ajitoe mara nyingi,. . . lakini sasa, mara moja tu,katika utimilifu wa nyakati,amefunuliwa, azitangue dha-mbi kwa dhabihu ya nafsi ya-ke. Na kama vile watu wa-navyowekewa kufa mara mo-ja, na baada ya kufa hukumu;kadhalika Kristo naye, akii-sha kutolewa sadaka maramoja azichukue dhambi zawatu wengi; atatokea mara

ya pili, pasipo dhambi, kwahao wamtazamiao kwa wo-kovu. –Waebrania 9:24-28

Uwezo Wake KutupelekaMbinguni

Wala hakuna wokovu katikamwingine awaye yote, kwamaana hapana jina jinginechini ya mbingu walilopewawanadamu litupasalo sisi kuo-kolewa kwalo. –Matendo 4:12

Uwezo Wake KututupaJehanamu

Msiwaogope wauuao mwili,. . . afadhali mwogopeni yuleawezaye kuangamiza mwili naroho pia katika jehanum.

–Mathayo 10:28

KRISTO, UWEZO PEKEE KWA WOKOVU 37

Ni neno la kuaminiwa, tenalastahili kukubalika kabisa,ya kwamba Kristo Yesu aliku-ja ulimwenguni awaokoe we-nye dhambi. –1 Timotheo 1:15a

Kwa maana siionei haya I-njili; kwa sababu ni uweza waMungu uuletao wokovu, kwakila aaminiye. –Warumi 1:16a

Wanahesabiwa haki burekwa neema yake, kwa njia yaukombozi ulio katika KristoYesu; ambaye Mungu ame-kwisha kumweka awe upata-nisho kwa njia ya imani ka-tika damu yake, ili aonyeshehaki yake, kwa sababu ya ku-

ziachilia katika ustahimiliwa Mungu dhambi zote zili-zotangulia kufanywa.

–Warumi 3:24, 25Tazama, nimewapa amri ya

kukanyaga nyoka na nge, nanguvu zote za yule adui, walahakuna kitu kitakachowadhu-ru. –Luka 10:19

Walakini ye yote atakaye-kunywa maji yale nitakayo-mpa mimi hataona kiu mi-lele; bali yale maji nitaka-yompa yatakuwa ndani yakechemchemi ya maji, yakibu-bujikia uzima wa milele.

–Yohana 4:14

38 UWEZO WA YESU KUOKOA KIKAMILIFUHaukuweza Kumgharimu

Mungu Zaidi!Kwa maana jinsi hii Mungu

aliupenda ulimwengu, hataakamtoa Mwanawe pekee, ilikila mtu amwaminiye asipo-tee, bali awe na uzima wamilele. –Yohana 3:16

Oh, neema iliyoleta wokovukwa Mtu! Mungu wa uumbaji

wote alikufa kwa ajili yetu sote.Yesu akasema, Baba, uwasa-

mehe, kwa kuwa hawajui wa-tendalo. Yesu akalia kwa sa-uti kuu, akasema, Ee Baba,mikononi mwako naiwekaroho yangu. –Luka 23:34a, 46

Ni Bure kwa Sisi kuchukuaNa Roho na Bibi-arusi wase-

ma, Njoo! Naye asikiaye naaseme, Njoo! Naye mwenyekiu na aje; na yeye atakaye,na ayatwae maji ya uzimabure. –Ufunuo 22:17

Baba humpenda Bibi Arusialiyekombolewa sawa kamaampendavyo Mwana wake —

hakuna upendo mkuu.Mimi ndani yao, nawe ndani

yangu, ili wawe wamekamili-ka katika umoja; ili ulimwe-ngu ujue ya kuwa ndiwe uliye-nituma, ukawapenda wao ka-ma ulivyonipenda mimi.

–Yohana 17:23

WOKOVU ULIKUWA GHARAMA, LAKINI NI BURE 39

Page 8: The power of god kiswahili

Tukiziungama dhambi zetu,Yeye ni mwaminifu na wa ha-ki hata atuondolee dhambi ze-tu, na kutusafisha na udhali-mu wote. –1 Yohana 1:9

Tubuni basi, mrejee, ili dha-mbi zenu zifutwe.

–Matendo 3:19aNa huu ndio ushuhuda, ya

kwamba Mungu alitupa uzi-ma wa milele; na uzima huuumo katika Mwanawe.

–1 Yohana 5:11Amwaminiye Mwana yuna

uzima wa milele; asiyemwa-mini Mwana hataona uzima,

bali ghadhabu ya Mungu ina-mkalia. –Yohana 3:36

Hamjui ya kuwa kwake yeyeambaye mnajitoa nafsi zenukuwa watumwa wake katikakumtii, mmekuwa watumwawake yule mnayemtii, kwa-mba ni utumishi wa dhambiuletao mauti, au kwamba niutumishi wa utii uletao haki.

–Warumi 6:16Tazama, nasimama mlango-

ni, nabisha; mtu akiisikia sa-uti yangu, na kuufungua mla-ngo, nitaingia kwake.

–Ufunuo 3:20a

40 NYENYEKEA KIKAMILIFU SASA KWAYESU KRISTO, ALIYE BWANA

Upendo Badala ya WogaMaana Mungu hakutupa ro-

ho ya woga, bali ya nguvu naya upendo na ya moyo wa ki-asi. –2 Timotheo 1:7

Katika pendo hamna hofu;lakini pendo lililo kamili hui-tupa nje hofu, kwa maana ho-fu ina adhabu; na mwenyehofu hakukamilishwa katikapendo. –1 Yohana 4:18

Upendo Badala ya ChukiLakini tunda la Roho ni upe-

ndo, furaha, amani, uvumili-vu, utu wema, fadhili, uami-

nifu, upole, kiasi; juu ya ma-mbo kama hayo hakuna she-ria. –Wagalatia 5:22, 23

Na amri hii tumepewa nayeye, ya kwamba yeye ampe-ndaye Mungu, ampende nandugu yake. –1 Yohana 4:21

Imani Badala ya MashakaNi nani atakayetutenga na

upendo wa Kristo? Je! ni dhi-ki, au shida, au adha, au njaa,au uchi, au hatari, au upanga?Lakini katika mambo hayoyote tunashinda, na zaidi yakushinda, kwa yeye aliyetu-penda. –Warumi 8:35, 37

UWEZO WA MUNGU NDANI YA 41WAAMINI WA KWELI

Kwa kuwa yeye mwenyeweamesema, Sitakupungukia ka-bisa, wala sitakuacha kabisa.

–Waebrania 13:5bKwa maana ndiye Mungu

atendaye kazi ndani yenu,kutaka kwenu na kutendakwenu, kwa kulitimiza kusu-di lake jema. –Wafilipi 2:13Amani Badala ya MaombolezoAmani nawaachieni; amani

yangu nawapa; niwapavyomimi sivyo kama ulimwenguutoavyo. Msifadhaike mioyo-ni mwenu, wala msiwe na wo-ga. –Yohana 14:27

Basi tukiisha kuhesabiwahaki itokayo katika imani, natuwe na amani kwa Mungu,kwa njia ya Bwana wetu YesuKristo. –Warumi 5:1

Jilindeni na choyo, maanauzima wa mtu haumo katikawingi wa vitu vyake alivyonavyo. –Luka 12:15b

Ndugu zangu wapenzi, siki-lizeni, Je! Mungu hakuwacha-gua maskini wa dunia wawematajiri wa imani na warithiwa ufalme aliowaahidia wa-mpendao? –Yakobo 2:5

42 UWEZO WA MUNGU NDANI YAWAAMINI WA KWELI

Uhakika, Siyo bila UhakikaNimewaandikia ninyi ma-

mbo hayo, ili mjue ya kuwamna uzima wa milele, ninyimnaoliamini Jina la Mwanawa Mungu. –1 Yohana 5:13

Utakatifu Badala ya UovuMkiisha kujitakasa roho ze-

nu kwa kuitii kweli, hata ku-ufikilia upendano wa nduguusio na unafiki, basi jitahidi-ni kupendana kwa moyo.

–1 Petro 1:22Walakini mwisho wa agizo

hilo ni upendo utokao katikamoyo safi na dhamiri njema.

–1 Timotheo 1:5a

Furaha ya Pekee Badalaya Huzuni

Basi Mungu wa tumaini naawajaze ninyi furaha yote naamani katika kuamini.

–Warumi 15:13a

Hayo nimewaambia, ili fura-ha yangu iwe ndani yenu, nafuraha yenu itimizwe.

–Yohana 15:11

Basi ninyi hivi sasa mna hu-zuni; lakini mimi nitawaonatena; na mioyo yenu itafura-hi, na furaha yenu hakunaawaondoleaye. –Yohana 16:22

UWEZO WA MUNGU NDANI YA 43WAAMINI WA KWELI

Nguvu Badala ya UdhaifuHuwapa nguvu wazimiao,

humwongezea nguvu yeyeasiyekuwa na uwezo.

–Isaya 40:29Matumaini Badala ya

Kukata TamaaTukilitazamia tumaini lenye

baraka na mafunuo ya utu-kufu wa Kristo Yesu, Mungumkuu na Mwokozi wetu.

–Tito 2:13Ili kwa vitu viwili visivyo-

weza kubadilika, ambavyo ka-tika hivyo Mungu hawezi ku-sema uongo, tupate faraja ili-

yo imara, sisi tuliokimbilia ku-yashika matumaini yale ya-wekwayo mbele yetu.

–Waebrania 6:18

Ukweli Badala ya UongoMwe na mwenendo mzuri

kati ya Mataifa, ili, iwapo hu-wasingizia kuwa watendamabaya, wayatazamapo ma-tendo yenu mazuri, wamtu-kuze Mungu siku ya kujiliwa.

–1 Petro 2:12

Tena mtaifahamu kweli, na-yo hiyo kweli itawaweka hu-ru. –Yohana 8:32

44 UWEZO WA MUNGU NDANI YAWAAMINI WA KWELI

Kwa maana kila kitu kili-chozaliwa na Mungu huushi-nda ulimwengu; na huku ndi-ko kushinda kuushindakoulimwengu, hiyo imani yetu.

–1 Yohana 5:4Tena nikaona kitu . . . na wa-

le wenye kushinda, watokaokwa yule mnyama, na sana-mu yake, na kwa hesabu yajina lake. –Ufunuo 15:2a

Kukua Badala ya UtotoKwa sababu hiyo, tukiacha

kuyanena mafundisho ya kwa-nza ya Kristo, tukaze mwe-ndo ili tuufikilie utimilifu; tu-

siweke msingi tena wa kuzi-tubia kazi zisizo na uhai, nawa kuwa na imani kwa Mu-ngu. –Waebrania 6:1

Kama watoto wachanga wa-liozaliwa sasa yatamanini ma-ziwa ya akili yasiyoghoshiwa,ili kwa hayo mpate kuukuliawokovu. –1 Petro 2:2

Basi kama mlivyompokeaKristo Yesu, Bwana, enendenivivyo hivyo katika yeye; we-nye shina na wenye kujengwakatika yeye; mmefanywa ima-ra kwa imani, kama mlivyo-fundishwa. –Wakolosai 2:6, 7a

UWEZO WA MUNGU NDANI YA 45WAAMINI WA KWELI

Page 9: The power of god kiswahili

If you are interested in receiving additional studies of God’s Word, writeto the publisher in English:

W. M. Press, Inc.P. O. Box 120

New Paris, Indiana 46553-0120 USA

www.wmpress.org Kiswahili POG

Nguvu katika Undaniwa Mtu

Awajalieni, kwa kadiri yautajiri wa utukufu wake, ku-fanywa imara kwa nguvu,kwa kazi ya Roho wake, kati-ka utu wa ndani.

–Waefeso 3:16Nayaweza mambo yote kati-

ka yeye anitiaye nguvu. –Wafilipi 4:13

Hutegemei Hekima yaKibinadamu

Na neno langu na kuhubirikwangu hakukuwa kwa ma-neno ya hekima yenye kusha-

wishi akili za watu, bali kwadalili za Roho na za nguvu.

–1 Wakorintho 2:4

Uwezo wa KushuhudiaLakini mtapokea nguvu, aki-

isha kuwajilia juu yenu RohoMtakatifu; nanyi mtakuwa ma-shahidi wangu katika Yerusa-lemu . . . na hata mwisho wanchi. –Matendo 1:8

Na sisi tu mashahidi wa ma-mbo haya, pamoja na RohoMtakatifu ambaye Munguamewapa wote wamtiio.

–Matendo 5:32

46 UWEZO WA MUNGU NDANI YAWAAMINI WA KWELI Mimi siombi kwamba uwa-

toe katika ulimwengu; baliuwalinde na yule mwovu.

–Yohana 17:15Na amani ya Mungu, ipitayo

akili zote, itawahifadhi mio-yo yenu na nia zenu katikaKristo Yesu. –Wafilipi 4:7

Tazama, nimewapa amri yakukanyaga nyoka na nge, nanguvu zote za yule adui, walahakuna kitu kitakachowa-dhuru. –Luka 10:19

Kwa kuwa umelishika nenola subira yangu, mimi naminitakulinda, utoke katika saaya kujaribiwa iliyo tayari ku-

ujilia ulimwengu wote, kuwa-jaribu wakaao juu ya nchi.

–Ufunuo 3:10Mzidi kuwa hodari katika

Bwana na katika uweza wanguvu zake. Vaeni silaha zoteza Mungu, mpate kuweza ku-zipinga hila za Shetani.

–Waefeso 6:10b, 11

. . . Bwana ajua kuwaokoa wa-tauwa na majaribu.

–2 Petro 2:9a

Na yeye ashindaye, na kuya-tunza matendo yangu hatamwisho, nitampa mamlakajuu ya mataifa. –Ufunuo 2:26

UWEZO WA MUNGU KUWAHIFADHI WAAMINI 47

Ni yetu kwa Imani; Mungu wetupekee asiyekoma ndiye

atakayetimiza.Na yo yote mtakayoyaomba

katika sala mkiamini, mtapo-kea. –Mathayo 21:22

Ninyi mkikaa ndani yangu,na maneno yangu yakikaandani yenu, ombeni mtakalolote nanyi mtatendewa.

–Yohana 15:7Na huu ndio ujasiri tulio nao

kwake, ya kuwa, tukiomba ki-tu sawasawa na mapenziyake, atusikia. Na kama tu-kijua kwamba atusikia, tuo-mbacho chote, twajua kwa-

mba tunazo zile haja tulizo-mwomba. –Yohana 5:14, 15

Ombeni, nanyi mtapewa; ta-futeni, nanyi mtaona; bishe-ni, nanyi mtafunguliwa.

–Mathayo 7:7Amin, amin, nawaambieni,

Yeye aniaminiye mimi, kazi ni-zifanyazo mimi, yeye nayeatazifanya; naam, na kubwakuliko hizo atafanya, kwa ku-wa mimi naenda kwa Baba.Nanyi mkiomba lo lote kwajina langu, hilo nitalifanya, iliBaba atukuzwe ndani ya Mwa-na. Mkiniomba neno lo lotekwa jina langu, nitalifanya.

–Yohana 14:12-14

48 AHADI “BLANKETI” ZA MUNGU Kwa sababu hiyo nawaa-mbia, Yo yote myaombayomkisali, aminini ya kwambamnayapokea, nayo yatakuwayenu. –Marko 11:24

Nawe utajifurahisha kwaBWANA, naye atakupa haja zamoyo wako. Umkabidhi BWA-NA njia yako, pia umtumaini,naye atafanya. –Zaburi 37:4, 5

Na Mungu wangu atawaja-zeni kila mnachokihitaji kwakadiri ya utajiri wake, katikautukufu, ndani ya Kristo Yesu.

–Wafilipi 4:19Bwanaakasema,Kama mnge-

kuwa na imani kiasi cha che-

mbe ya haradali, mngeua-mbia mkuyu huu, Ng’oka, uka-pandwe baharini, nao unge-watii. –Luka 17:6

Na lo lote tuombalo, twali-pokea kwake, kwa kuwa twa-zishika amri zake, na kuya-tenda yapendezayo machonipake. –1 Yohana 3:22

Yesu akamwambia, Ukiwe-za! Yote yawezekana kwakeaaminiye. –Marko 9:23

Maana ahadi zote za Munguzilizopo katika yeye ni Ndiyo;tena kwa hiyo katika yeye niAmin; Mungu apate kutuku-zwa kwa sisi.

–2 Wakorintho 1:20

6-10