28
Tuko Bampa na 2011 CHAPTA 11 NOT FOR SALE

11 - Shujaaz.FM - Chapta 11

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 11 - Full Comic

Citation preview

Tuko Bampa na 2011

CHAPTA 11NOT FOR SALE

Msupa Mtaani!

Ili ku-help ma-youth wa-improve lives zao, Boyie, ambaye hu-spend life yake akiunda ma-electronics, alijenga a pirate radio station - Shujaaz.FM. Akijiita DJ B, anaendelea ku-empower vijanaa huku anajificha from Chief na ma-gangs.

3

4

5

6

7

Deepti anataka sana kujua DJ B ni nani. Lakini DJB ako na secret identity so anakataaga kum-meet.

Lakini…Deepti ata-discover ati Boyie ni DJ B? Na Boyie atafanyaje ndio aendelee ku-keep identity yake secret? Endelea ku-chop Shujaaz ujue!

Najua Deepti anaweza kuni-help ku-

connect na mafans vipoa sana. So nita-work na

yeye; ata-call ma-fans na kusaka info zaidi. LAKINI siwezi kum-show ati mimi

ndio DJB!

Nitapatia Deepti messages zenu

zingine ndio awa-call. Anaweza call

time yoyote!

Jina: DEEPTI DIVANI A.k.a: Dee Dee Age: 18

Ambition: Kuwa investigative journalist

Qualities poa: Ako determined, m-independent, mwerevu.

Qualities zii: M-stubborn jo!

Ma-hobby: Photography, ku-chop

Ma-talent: kuandika, ku-find out ukweli, kuhoji wasee

8

mmmm...sasa nita-doo career gani nikiwa m-bigi?

Aii... kuna choice nyingi! sina idea!

vipi ma-fans? niko na maujanja za ku-make cheddas... manze nyinyi huni-inspire vi-major!

Malkia Ajanjaruka!

9

Ulipokuwa mtoi ulikuwa unataka kufanya nini na life yako?Nilikuwa nataka kuwa mechanical engineer, but haiku-work out. Nikaanza kufanya makibarua nikilipwa 300 per day. Nikaona naweza get more huko nje nje. Niliamua nianze works yangu juu employment haikuwa inanisaidia sana.

Unafanya ujanjez gani ndio uongeze dooh kwa bizna yako?Jioni after nifunge shop, na-deliver bidhaa kwa customers wengine wenye wame-make orders.

Challenge yako biggie kwa hii works ni gani? Kwa story za fashion, kuna compe na mambo hu-change faster. Ukizubaa una-lose customers.

We hu-like nini?Na-like music! Nimekuwa nikiimba since nikuwe mtoi. Naendaga choir practice Buru Church jioni.

Una dreams gani kwa future yako?Dream yangu ni kuwa na biashara kadhaa ile mimi mwenyewe nasimamia.

Unaweza advise aje mavijana wale wameshindwa ni career gani wata-choose? Kama ni kitu unapenda kufanya, afadhali uanzie na hiyo kwa sababu hata kama haitakuingizia chapaa faster, ukiendelea kufanya na bidii, chapaa itaingia na ways zitafunguka.

Unafanyaje shughuli zako through the day?Mimi hurauka morning ya 6 a.m. Naenda shops za tao ama Kariokor kutafuta stock. Naendaga na bike yangu kutoka Umoja estate, so na-save dooh coz silipi fare ya matatu. Nikimaliza ku-shop, naenda kwa stall yangu Huwa nafungua shop saa nne morning, then napanga shop ikae smarter. Afternoon nakuaga busy sana. Shop inafungwa by saa moja jioni.

Subject yako favourite chuo ilikuwa? Nilikuwa na-like Sciences na English.

Na uli-clear chuo ukiwa how old?Nilikuwa 18.

Na sasa, ulianzishaje stall yako mtaani, ukaanza kuwa vendor na kuuza bidhaa za watoi na madem? Kwanza nilifanya works kwa cousin yangu. Alikuwa na shop ya kuuza toys na stuff za beauty. Kwa ile chapaa nilikuwa na-get hapo, nika-save 8K. Pia nilikuwa member wa self-help group, na huko nikachukua loan ya 15k. Hivyo ndio nilianza bizna.

Cheki story ya Tony Ongaria. Cheki story ya giks.

Giks aligrow eastlands, Nairobi na yeye ni huuza bidhaa

kwa stall yake. Hii job unaionaje?

10

Uipokuwa mtoi, ulikuwa unataka kufanya nini na life yako?Nilikuwa nataka kuwa pilot. But haikuwa rahisi coz ku-join colle ya ma-pilot lazima mtu a-qualify na grades fulani. Na sikuweza.

Subject yako favourite chuo ilikuwa? Biology.

Ulimada chuo ukiwa how old ?Nilikuwa 19.

Ulianzishaje biz ya ku-collect garbage mtaani? Maboys walikuwa jobless na tulikuwa tumesota. Nilikuwa nimemada kampo na sik-get works. Kulikuwa na garbage collector mtaani na tukaona pia sisi tunaweza anzisha yetu. Tuli-make flyers ya kuji-advertise tukapea wasee mtaani. Waka-respond poa na tukagawana hao yenye mtu ata-collect takataka. Pia tukaelewana njia ya ku-share income.

Nini hukufurahisha?Nikiambiwa na customer mtaani job yangu ni poa, ni encouraging. Mtaa ikiwa clean huwa nabambika!

In a day, mnapangaje job? Weekdays, huwa naenda Inda baru ya ku-offload mabati. Sato, huwa narauka 6.30 am ndio ni-supervise garbage collection. Mimi na mabeste zangu tume-employ ma-boy na tuna-collect garbage kwa keja 100.

Challenge yako biggie kwa hii works ni gani? Transport ni blanda! Wasee wa kanjo ndio hu-provide transport ya kupeleka garbage Dandora dumpsite. Tunawategemea coz wako cheap. Time zenye wanakosa ku-come, inatubidi tutafute other means of transport na ni expe tu sana.

Uko na advise gani kwa mayuts wenye hawajui career yenye wanataka ku-do?Sio poa kuchagua wera. Kuwea jack-of-all trades saa zile unatafuta specialty yako. Nurture job yako, itakusaidia ku-grow-isha talents zako.

Cheki story ya Tony Ongaria.

Tony hakungoja achorwe works kwa kampu.

Pia wewe unaeza chanuka kama Tony u-make initiative ya ku-

create employment.

11

Ukiwa mtoi, ulikuwa una-dream kufanya nini ukikuwa m-bigi?Nilitamani kufanya kuwa cabin crew juu ya dooh na ku-travel place mob. Nilitaka kuwa successful.

Subject gani uli-like sana chuo??Nilikuwa napenda English.

Ulimada chuo ukiwa how old?Nilimada chuo nikiwa 19 then nikaenda colle nika-do Public Relations.

Sasa, ilikuwaje ukakuwa Caterer tena?Mother yangu alikuwa na restaurant. Nikiwa 10 years old, nilikuwa namsaidia kupika na ndio nilianza ku-like story za catering. Food ya first yenye nilipika ilikuwa chapo; ilikuwa tamu!Vile time ilienda, nili-manage ku-save 50k nikatumia ku-buy chaffing dishes, vijiko, masufuria na jiko.

Unafanyaga ujanjez gani time zenye biz iko down?Kama sina event ya kupikia, huwa na hire out chaffing dishes zangu.

Una-face challenge gani kwa career yako?Ni hard sana ku-transport food juu lazima ui-pack vizuri ndio isimwagike, kwanza food zenye zina supu. Food kama ugali, rice, mukimo huwa zinawekwa kwa sufuria na kufunikwa na foil paper. So, food zina supu, naziweka kwa pots kubwa.

Una-like ku-do nini sana?Napenda kupika! Food hunibamba most ni kuku, na na-like kuipika. Pia na-like kusaidia wasee wako less fortunate.

Una dream gani?What are your dreams and ambitions?One day, na-hope nita-make bizna yangu ikuwe biggie na ijulikane poa.

Kwa msee mwenye hajui anataka ku-do career gani, utam-advice nini? Amua kitu unataka ku-do. Jiamini na ufanye kitu umeamua bila wasiwasi. Unaweza anza bizna na kitu yoyote yenye uko nayo na soon utakuwa juu!

Cheki story ya betty njeri

Huyu ni Caterer. Ana-run biz ya kupika

kwa ma-wedding, bridal showers na events

zingine. Hii ni moja ya jobs msee anaweza

kujianzia.

Cheki story ya jamlick butali.

12

Jamlick, ebu tu-show ulikuwa unataka ku-choose career gani ukigrow?Nilikuwa nime-like sana art and design.

Favourite subject yako ilikuwa gani?Drawing, Design na French.

Wacha! Na uli-clear chuo ukiwa how old ? Nikitoka high school nilikuwa 18 , na nikimada university nilikuwa 24.

Ilikuwaje ukaamua kuwa Interior designer? Nilikuwa nataka kufanya architecture kampo but nika-realise kuna vitu mob ningeweza kufanya instead. Nikasomea interior design. Nilipomaliza niliandikwa works kiasi halafu baadaye nika-quit ndio nianzishe kampuni yangu ya interior design.

Noma! Kwa day moja unakuwaga na shughuli gani?By 5.30 a.m nakuaga nishaamka. Nafanayga job kwa desk yangu mpaka 9.30 am then naenda kucheki sites. Baadaye huwa ninafanya supervision na inspections mpaka 5 pm.

Kwa mayuts wenye saa hizi hawajui ni job gani wata-do, unaweza kuwa-advise nini? Jiamini kwa kitu una-do. Kila kitu ni bidii, unaweza achieve anything, bora ukuwe na bidii. Lazima uanze ukiwa down, baadae uta-get kitu.

Challenge yako biggie kwa hii works ni gani? Hii company ni small n shida biggie huwa ni story za dooh. Kuna clients hawa-pay vipoa sana especially ama ni mara yao ya first.

Nini hukufurahisha maishani? Nikimaliza job huwa nabambika . Tena, nikiona client ako satisfied huwa nafurahi…kulipwa baada ya job pia huwa inani-jazz.

Una dreams na ambitions?Nataka hii bizna yangu i-grow mpaka nje ya Kenya na ijulikane vifiti.

Cheki story ya jamlick butali.

Yeye ni Interior Designer. Yeye hu-

design makeja, mahoteli, pharmacies na offices. Kama Jamlick ame-make, pia wewe unaweza make,

kwani!?

13

hey... labda naeza kuwa chef!

alkia unafanya nini ukizubaa hapo?

unafaa upikie uncle yako!!m

Maze when I was young, I admired a certain old man who was a mechanic.Diz inspired me n I enquired watI was 2do to achieve

this goal.Diz became ma dream n aftaku-hustle, I made it 2 eldy poly wea Ituk mechanical engineering. Am now com4table wid ma career in mechanical engineering n am planning 2 get a degree in de same

profession.Guyz, believe in what u wanna do n definatelyyou will makeit. Am currently providing 4ma parents who saw me thru colle n paying 4 ma

bro skulfees. This is what am trying to say: You can make it if u wanna!

Eric Odundo – Mechanic

Mafans, cheki story ya huyu fan wa Shujaaz FM mwenye

ame-realize dream yake!

14

Sheng Dictionary

mchongoano

Shuj

aaz(

TM) i

s pu

blis

hed

by W

ell T

old

Stor

y Lt

d. ,

P. O

. Box

170

0 00

502

Nairo

bi, K

enya

. Tel

: 02

0260

3214

ww

w.w

ts.c

o.ke

. Prin

ted

by C

olou

rprin

t Lim

ited,

P. O

. Box

444

66 -

0010

0 Na

irobi

GPO

. Pro

duce

d in

col

labo

ratio

n w

ith: S

afar

icom

, Tw

awez

a, R

IU.

Dist

ribut

ed b

y Sa

turd

ay N

atio

n an

d Sa

faric

om.

Cont

ent p

rodu

cers

: Aud

rey

Wab

wire

Con

tent

: Pau

l Pet

er K

ades

, Cha

rles

Oud

a, D

avid

Oum

a A

rt P

rodu

cer:

Fatim

a Al

y Ja

ffer

Layo

ut D

esig

n: J

oe B

aras

a A

rt: D

anie

l Mul

i, Er

ic M

utho

ga, K

evin

Mm

basu

, Mov

in W

ere,

Sa

lim B

usur

u, J

oe B

aras

a R

adio

: Eun

ice

Mai

na

Spe

cial

than

ks to

Jus

t A B

and

for t

heir

fant

astic

mus

ic o

n Sh

ujaa

zFM

radi

o

Wel

l Tol

d St

ory

© 2

010

All r

ight

s re

serv

ed. N

o pa

rt of

this

pub

licat

ion

may

be

repr

oduc

ed, s

tore

d in

any

retri

eval

sys

tem

or b

e tra

nsm

itted

in a

ny fo

rm o

r by

any

mea

ns, e

lect

roni

c or

mec

hani

cal w

ithou

t prio

r per

mis

sion

of t

he

publ

ishe

rs. A

lthou

gh e

very

effo

rt ha

s be

en ta

ken

to e

nsur

e th

e ac

cura

cy o

f inf

orm

atio

n co

ntai

ned

in th

is p

ublic

atio

n, in

no

even

t sha

ll th

e pu

blis

hers

be

liabl

e fo

r any

inci

dent

al, i

ndire

ct, c

onse

quen

tial l

osse

s or

dam

ages

of a

ny

kind

with

out l

imita

tion

aris

ing

out o

f or i

n co

nnec

tion

with

the

use

of th

e in

form

atio

n in

this

pub

licat

ion.

Una macho biggy hadi unaitwa ‘eye witness’.

Falafulani, gari yenu ni mzee

hadi nyi hufunga punda kuivuta

TV yenyu ni bwaku, Tom and Jerry wakikimbizana

wakifika katikati wanapumzika kwanza.

Manzi yako mnono, ukimchinjia, lazima umuingize box tatu.

Una kichwa kubwa mpaka ukiingia class teacher ana kuambia no groupwork today.

Una kichwa bigi hadi ukiingia mat emergency door

inafunguliwa.

Wewe ni m-ugly, ukiingia bank wanazima

surveillance cameras.

Ati kwenu nyi ni ma-gondi design Ali

Baba & the forty thieves walikam kwenu attacho.

Ati una comp noma ukifinya

escape inapotea!

Vuta Aerial/ Panda roof (v) Kuwa mjanja

Scan (v) Kuwa alertSekete (n) OldRodhi/rothi (n) TrouserRoho safi (v) Kuwa na uzuriRonga (n) RongaiPori (n) Kibeti/PursePotanga (n) ViaziPasua (v) Chukua short-cutPaka rangi/Panga (v) Con/

SanyaPandhre/Panji (n) IndianOkwonkwo (n) Sonko/

KiongoziOboho (n) Bad boy

Njako (n) Polisi/KaraoNgweru (n) BeshteNgupi (n) Pingu/HandcuffsNgware (adj) MapemaNgomi (adj) FalaNeti (n) Jela

15

Nime-come ku-realize kuwa kuna project mob sana which have been abandoned! If ma-yuts can form groups, they can do a lot of work like:1. Taking photographs n selling them to

tourists. 2. They can start a local museum for

their cultures in Kenya n charge people a little fee 2 access the museum, especially during the holidays

3. We can also make traditional clothes using animal skins n decorate with ornaments n sell 2 tourists!

- KEMESH A. E. The easiest way yaku-make money, ni ku-come 2gether ma-yut kama 10 hivi. Kila yut na mtungi moja wa maji. This will be 10 mitungis and imagine 10 x 50! Wakiuza maji places kama Emba ambako maji ni problem, in a day these guy can make over 5k! - DAVY L. M Niaje DJ B? Chapta7 ilikuwa ina shikaaje! Cheki nina idea ya ku-make doo, inagharama, but ukitoboa una-save sana. Kama kwenu kuna TV haitumiki waweza nunua playstation moja then ukatafuta place ufungue. Watoi hu-like sana. Na uta-make chapaa zakueleweka then utaweza kununua mo machines na TV. - DOMINGO ndani ya MOMBASANI

MONEY-MAKING IDEAS

Friend wangu ametoka slum. Yeye na watu wengine wachache walipewa hongo iliku-cause riot. Alipewa 2k ku-throwia gari stonz. Sikuweza kum-help kwa sababu ali-catch-iwa na police. Friendz zake walihepa na yeye ata si jui pahali alipelekwa. Na the best ni ku-stay away from tama ya pesa. Beta safe than sorry. Dedicated to Ken, former player of Livorno FC. (again, will have to confirm this name of Livorno FC)- FAHEEM S.

Nishawahi approach-iwa na politician fulani eti atanilipa 4k niki-organize watu waandamane mtaa fulani juya rival wake. But kudos 2 my mum alini-tell eti si poa n I didn’t do it n that politician alini-threaten but I was firm n I told my dad n everything was kul. So na-tell ma-yuts, hawa watu wanatutumia na sisi ndio tunaumia so pliz msijipe kwa hawa watu. - UGIN N. S.

I think ma-yuth wazinduke. Ukiona mwanasiasa anakutumia kuanzisha vita na anakutumia wewe mwambie “kwanini wewe usiende mwenyewe?” - BRANTON M.

Enyewe sisi ma-yuts hutumiwa vibaya na hawa mabuda. Sijatumiwa but nimeona wakitumiwa ocha kwetu. Kama 2008, waliletewa mapanga ndio wazushe. Walifanya vile walifanya, lakini after that regret-ion mob! Mwenye alikuwa akiwatumia sasa hivi yeye humanga na kusinzia bungeni kama mtoi. Since 2008 huyo msee huonekana tu kwa tele na si ati akibonga, hapana, akiwa ame-doze! Ali-show ma-boyz ati ata wa-provide-ia jobo. Walipewa jobo kidogo yenye hawa kulipwa...regret-ion! Regret-ion...enyewe 2012 mabuda watarauka tena, lakini aki ku-show love...kataa hiyo na um-show mgongo. Sawa ma-boyz? Let’s make our own decision!- MAX D. Kuzo yangu ali-bribe-iwana chief ili aende aki-force wadhii kum-vote-ia kwa 2007 elections. Alipo kamatwa na karao aliwa-explain-ia kila kitu lakini chief ali-insist kuwa haku-du kitu ka hiyo. Mpaka wa leo kuzo ako prison.- BRIAN K.

LEADERS WHO USE MAYUTS

USITISHWE!DJ B manze hiyo story yakutishwa: beste yangu alikuwa hawezi apply job cos yeye ni kabila ingine. But ame-add confidence yake naku-apply akapata job! - DAN O.

THANX SHUJAAZ!!DJ B uko poa tu sana kwa kutujuza juu ya issues kama sexual harassment, kutumiwa vibaya na politicians na pia kuwa na morale kwa kila kitu ma-yuts wana-du positively. U r the Best n dats for sure! - VICTOR.

happy new year 2011!

Ma-fans, big up kwenu kwa kuwa na mimi hapa Shujaaz FM mpaka this New Year

2011! Cheki risto zenye watu wame-share na mimi.

sms

Wale ambao wana kwa

message zao, mumeshinda T-SHO

mara hiyo hiyo! CONGRATS!!

16

shujaa of the month!

Nasomea national skul na nime jazika na hio risto ya Malkia yaku-fight tribalism. Tumeanza peace council kwa chuo na ina-work poa. - ROBERT K.

Hi DJ B! Tuli-follow idea ya school council na sasa tukona democracy kwa shule. Kila stude akona right yaku-expose anavyo feel. Hakuna mambo ya bullying tena. Thanks for the good ideas continue with that heart!- SHELDON from MALINDI

Nilipomaliza Form 4, nili show buda nataka kufanya fashion & design, na bro alikua ananifundisha kuchora kiasi. Nilifurahia sana kuchora, lakini fathe akani-show hana pesa za kunilipia course ya fashion & design. Nililia sana, kwani sikuona future bila hiyo course. Baadae nikaongea na neighbor wetu fulani, ambaye alikua hotelier. Akani-show si lazima niwe in fashion & design, naweza choose career za hotel industry. Nikazi cheki zote, nika choose front

office/restaurant cashier. Nikaenda colle nika soma.Nili-choose kua restaurant cashier, coz nita-interact na watu wengi, and in the process nita-learn different languages. Pili, with the experience of cashiering nitaweza run cafe yangu in future. It’s also hard: kuna time na-give out wrong change, napata shortage and it has to be recovered by the end of the shift. Lakini haina stress mob, we work as a team with waiters/waitresses. It’s fun and I like what I do. - HELEN T.

Story ya Charlie Pele yakutumia mbegu new variety ilinishika sana, mimi ni young farmer na hii story si only juu ya kutumia mbegu new variety pekee, pia kutumia njia za kisasa za ukulima. - SAM L.

New variety nipoa kuliko za kawaida juu za kawaida lazima uweke kwa maji ndiyo ikue poa which niku-waste time. - HUMPHREY R.

PEACE CLUBS

careers

NEW VARIETY MAIZE

Dj B unajua umenielimisha hadi nime-save 2clans waki fights huko garissa

jo! Hadi ma youth wa garissa wananiita hero. Alafu nika kutaambulisha kwamba wewe ndio umenieliimisha. Thanx DJB!

Kuna group ya Dj Boyie tume-create kwa migg33.com. Plz advertise kwa magazine au hata kwa fan page. Kuna fan wako 350 wame-join hiyo group.

Abdihakim Mowlid19 yearsGarissa

CHECK US OUT ON OUR WEBSITE WWW.SHUJAAZ.FM

fan page

dj boyie

na ni-follow kwa

shujaaz

join

Wale ambao wana kwa

message zao, mumeshinda T-SHO

mara hiyo hiyo! CONGRATS!!

17

Manze alisema mimi ni kaa mtoi

wake... Lakini saa hizi ameniacha {hic!} Hata amesahau vitu alini-promise….niko

alone. ALONE!

Siezi trust huyo Godpapa tena.

Nita-change nianze life

freshi.

huyu dem wa mtaa ni orphan anaye-raise bro wake, na huku

anang’ang’ana na chuo. Ana-face challenges mob

sana, Lakini hakubali anything kumzuia kuzima corruption. mafala pekee ndio hu-try

kum-challenge. only the brave hujaribu

kum-ask out!

Chuxx Arudi Ocha!

18

Manze alisema mimi ni kaa mtoi

wake... Lakini saa hizi ameniacha {hic!} Hata amesahau vitu alini-promise….niko

alone. ALONE!

Siezi trust huyo Godpapa tena.

Nita-change nianze life

freshi.

huyu dem wa mtaa ni orphan anaye-raise bro wake, na huku

anang’ang’ana na chuo. Ana-face challenges mob

sana, Lakini hakubali anything kumzuia kuzima corruption. mafala pekee ndio hu-try

kum-challenge. only the brave hujaribu

kum-ask out!

Nitakuwa good boy!{hic!}

Wee! Ebu angalia kwenye unaenda!

Ah, msuper! Niaje? Cheki, uliniambia ukweli juu ya Godpapa, huyo

msee hanijali.

Nishaamua, kuanzia saa hizi, nitakuwa good boy.

Nahitaji family. Nimekuchagua ukuwe

wife wangu! Ulijuanga nina shamba ocha? Nita-visit budangu na

ni-mshow ndio niirithi. Manze time yangu

ishafika.

Chuxx ishia. Umelewa!

19

Mtoto wangu amerudi!

Nduma! Umerudi? Ah, umenifurahisha

sana!

Nimekuja ku-cheki urithi wangu. Baba, time yangu ikifika, nitaanza works kwa hii shamba.

Lakini unaona kijana, kazi ya shamba si rahisi. Ni lazima utie bidii kabisa.

Manze ina-bore! Nahitaji gauge initulize kiasi… hii ni first time

nimewahi toa hiyo jacket yangu ya

green... eh!!

unajua wase huni-enjoy ati hii

t-shirt yangu maybe haina mgongo?

eh, na hawa...? hawachoki?

acha nipige pose hapa kidogo

Aki Baba, Nduma ni m-lazy tu vile alikuaga. Si-believe

utamwachia shamba.

Rhoda, ndugu yako amechoka tu kwa

sababu ya safari. Mwache apumzike

kidogo.

Shhh…nyamaza wee kuku! Ni kutoka kwako ndio nita-get doh za ku-buy crate mzima ya

gauge bariiiidi!

leta keg! patia kila mtu moja moja!

bosh... {hic!} we ni mshee wa

nguvu!

20

Mtoto wangu amerudi!

Nduma! Umerudi? Ah, umenifurahisha

sana!

Nimekuja ku-cheki urithi wangu. Baba, time yangu ikifika, nitaanza works kwa hii shamba.

Lakini unaona kijana, kazi ya shamba si rahisi. Ni lazima utie bidii kabisa.

Manze ina-bore! Nahitaji gauge initulize kiasi… hii ni first time

nimewahi toa hiyo jacket yangu ya

green... eh!!

unajua wase huni-enjoy ati hii

t-shirt yangu maybe haina mgongo?

eh, na hawa...? hawachoki?

acha nipige pose hapa kidogo

Aki Baba, Nduma ni m-lazy tu vile alikuaga. Si-believe

utamwachia shamba.

Rhoda, ndugu yako amechoka tu kwa

sababu ya safari. Mwache apumzike

kidogo.

Shhh…nyamaza wee kuku! Ni kutoka kwako ndio nita-get doh za ku-buy crate mzima ya

gauge bariiiidi!

leta keg! patia kila mtu moja moja!

bosh... {hic!} we ni mshee wa

nguvu!

21

Nduma, amka! Unaaibisha hii familia

sana. Usidhani nitakuachia shamba

yangu hivyo tu. Nimeifanyia kazi ngumu sana!

Ni miaka mob sana mimi na Baba tumekuwa tunafanya job hapa kwa shamba ndio ikuwe

bizna ya maana. Wewe umekuja tu hivi na umetu-

potezea pesa mob sana kwa usiku moja tu!

Wewe ni mnoooono na

uko greedy sana!

Hata nikikufa, Rhoda ndio atarithi hii shamba. Sio wewe. Ameweka bidii

yake kujenga hii shamba.

Mnani-disciminate tu juu nimenona?! mimi ndio first born

son hapa!

Hebu ondoka kabisa!

Nonsense!

22

Godpapa hawezi ni-discriminate, yeye ndio msee

wa kabila yangu hapa mtaani…

oh, umerudi? Hebu osha gari yangu!

BOY G Chuxx fanya bidii uwe na shamba yako. Budako akikunyima ni haki yake coz alifanya bidii na niyake. Sasa kama wewe ni mlevi na uko kwenye gang sidhani kama wataka kuji endeleza na hiyo plot. Kuna bob yako hapo kwa plot? Hauoni haya bado chaliii mkubwa una tegemea wazazi? Aibu hiyo bwana!

JARED I Chuxx a-relax a-buy yake coz huyu akipewa hiyo shamba, ataiuza. So buda asimpatie.

PETER B. L Kufikiria hio ploti ndo inafanya mjamaa awe mzembe. Fikiria out of the box; anza kuona vitu zingine muhimu kama kuuza makaa, panda skuma kwa gunia, fuga kuku….ni mob bana! FIKIRIA!

KATHY O. Hio ni sweat ya fathe na anakula sweat yake! Lazima Chuxx a-reap chenye yeye amepanda si ya baba yake! JOHN L. Ni right yake. Buda aachane na vijisababu. Apewe shamba ajiendeleze. Kama sivyo, buda naona yuko taabani. Chuxx ata-terrorise ocha. Maybe anataka ku-invest ama ana-marry.

Niaje DJB? Chuxx ana-complain juu budake alikataa kumpe shamba. Juu ya vile

ako m-lazy, ame-loose opportunity ya kuwa na

bizna ocha. Anajionaje? Ati sis wake hawezi rithi shamba

juu ni dem?!

Mayuts wengi wana-waste dooh mob kwa pombe na mwishowe

wana-lose chances poa in life.

Niliuliza ma-fans juu ya hii noma Facebook na hivi ndio walisema…

Lazima tukuwe responsible as mayuts kama tunataka ku-develop.

Work hard ujitafutie kitu poa badala ya kutegemea wengine. Hatuwezi

kuendelea kutumiwa na ma-leaders ati juu unataka easy money. Ni bidii yetu

ndio itatuinua jo!

Ehe! Kama wewe ndio hao wasee wanangoja tu kurithi vitu, job yako ni pombe tu, ebu acha hiyo tabia mara that! Weka bidii!! Kaa

gangare! Unatuaibisha jo! 23

saaaaaasa...

hawa kuku wetu wameenda

wapi?

charlie! kwani umerogwa na hiyo

mpira?!?! Kuja nikupe kazi!

niko na date with a special lady

leo! ooooh!

na ninataka kumpatia kuku moja kama

zawadi, lakini siwaoni

kuku wetu! wametuhepa

tena!

warudishe kabla giza

iingie!!! haujui kuku ni pesa?!

Baba Charlie Anaangukia Dame!

24

wazi, charlie!

meep

25

woooishe, kuku huyu

karibu aliwe!ameogopa!

...oops!

Ala! Kuku mwingine

amejinyonga kwa fence!

26

haiya!

karibu giza iingie na tumepata

kuku wawili tu! tutafanya nini?

kuku mwingine!

rosie, kimbia! kuku anaenda kwa

jirani!

itabidi tuchague mmoja!

na kama si wetu? WEZi!

baadaye...

27

iko poa sana! asante kwa

kunisaidia! wacha nimuite mbuyu

aione...

iko poa!

kijana, unanisumbulia

nini? niko busy!

cheki tumemake chicken

pe...

wapi kuku yangu, nyinyi

watoto watundu?!?

hepa, rosie! matha mso kama huyo atatuumiza vibaya akitushika! ni

nyinyi!

DADDY! come ucheki!

Aki mathe tafadhali kuku

wetu ali... kwendeni huko, nyinyi watoto

watundu!

nisiwashike! nitawakaranga

na mayai!!!

hatusikizi! tuhepe!

aki rosie, nimechoka!

hata mimi! twende

tukunywe maji!

hee, sitaki kusumbuka na hizi kuku tena!

sawa!

hmmm...

si labda mjenge pen ndio kuku zisipotee

tena?

tutengeneze chicken pen!

nimejua!

ala!

28

iko poa sana! asante kwa

kunisaidia! wacha nimuite mbuyu

aione...

iko poa!

kijana, unanisumbulia

nini? niko busy!

cheki tumemake chicken

pe...

wapi kuku yangu, nyinyi

watoto watundu?!?

hepa, rosie! matha mso kama huyo atatuumiza vibaya akitushika! ni

nyinyi!

DADDY! come ucheki!

www.fipsafrica.org

KUKU = DOOH!!!

Wasee, kuku moja ni kshs 300. So ukiuza kuku moja, unaweza buy bag moja ya new variety maize!

Ukiuza kuku 5, (Kshs 300 x 5= 1500!!), unaweza buy gunia moja ya fertilizer.

Ama hata boots za football!

Msee mjanjez hawezi tupa tu dooh hivyo. Chunga kuku na uta-save dooh!

Ukitaka kuchunga kuku vipoa:Zi-protect kutoka predators kama mwewe. Uki-dye kuku pink, mwewe hatazichukua.

Cheki Chapta 1

Zilishe fiti. Hii si expensive juu unaweza zilisha termites.

Cheki Chapta 2.

Zi-vaccinate ndio zisipate Newcastle disease yenye hufagia ma-kuku vibaya!

Cheki Chapta 5

Lakini, ukitaka kuzi-protect kutoka mongoose na wanyama wengine wenye hukula kuku, unaweza ku-buy Chicken Pen yako for only kshs 250. Ama, unaweza kuzijengea chicken pen kama ya Charlie. Ukifuga kuku hapa, wanyama hawawezi kuzi-get!!

Soma comics zote za Shujaaz FM online kwa www.shujaaz.fm

asante fips for the information!

29