14
MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 1 Masimulizi za Biblia zinamhusu Mungu, ni masimulizi za Mungu. Kusudi lake ni kutoa picha ya Mungu na jinsi alivyo. Kuonyesha jinsi anavyohusika katika uubaji Masimulizi yanaweza kuhusu wanyama, watu, vitu au Mungu mwenyewe, lakini mkuu kila wakati ni Mungu. Zinamsifu Mungu na inatusaidi kumfahamu. Vitabu Vitabu ambavyo vimetawaliwa na masimulizi ni; Mwanzo, Joshua, Waamuzi, Ruth, Samweli 1&2, Wafalme 1&2, Mambo ya nyakati 1&2, Ezra, Nehemia, Danieli, Yona na Hagai Vitabu ambavyo vina sehemu ya masimilizi pia ni; Kutoka, Hesabu, Yeremia, Ezekieli, Isaya na Ayubu. Katika Agano jipya vitabu hasa vya masimulizi ni; Injili zote nne na pia Matendo ya mitume. (Vitabu vya Agano jipya tutayaangalia baada ya sehemu hii)

3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

  • Upload
    others

  • View
    29

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 1• Masimulizi za Biblia zinamhusu Mungu, ni masimulizi za Mungu.

• Kusudi lake ni kutoa picha ya Mungu na jinsi alivyo. • Kuonyesha jinsi anavyohusika katika uubaji • Masimulizi yanaweza kuhusu wanyama, watu, vitu au Mungu

mwenyewe, lakini mkuu kila wakati ni Mungu. • Zinamsifu Mungu na inatusaidi kumfahamu.

• Vitabu Vitabu ambavyo vimetawaliwa na masimulizi ni; Mwanzo, Joshua, Waamuzi, Ruth, Samweli 1&2, Wafalme 1&2, Mambo ya nyakati 1&2, Ezra, Nehemia, Danieli, Yona na Hagai

• Vitabu ambavyo vina sehemu ya masimilizi pia ni; Kutoka, Hesabu, Yeremia, Ezekieli, Isaya na Ayubu.

• Katika Agano jipya vitabu hasa vya masimulizi ni; Injili zote nne na pia Matendo ya mitume. (Vitabu vya Agano jipya tutayaangalia baada ya sehemu hii)

Page 2: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 2

• Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Ya juu (ya kwanza) Inahusu jinsi Mungu tangu awali amekusudia

kuukomboa ulimwengu. Muhimu katika sehemu hii ni; • Uumbaji, • Kuanguka kwa mwanadamu, • Nguvu za dhambi na uwepo wa dhambi ulimwenguni, • Hitaji la kukombolewa • Njia ya ukombozi unaofanyika kupitia Yesu

• Ya kati (ya pili) Inahusika na Israeli. • Kufaulu na kushindwa kwao katika uhusiano yao na Mungu • Jinsi Munga anavyojihusisha na wana wa Israeli.

• Ya chini (ya tatu) Ni simulizi yenyewe na wanaohusika.

Page 3: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3

• Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu

• Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha juu yake (ya kati) nayo inahusika na kiwango cha juu.

• Kuna simulizi kwa mfano wa Yusufu inayoweza kugawanyika katika simulizi ndogo ndogo. Na kila moja inaweza kukaguliwa.

• Lakini pia ni muhimu kuviangalia kwa pamoja kwa kupata picha kuu ya ukombozi.

• Tunapounganisha simulizi ambazo kwa kuangalia kwa haraka ni kama hazihusiki pamoja, tunaweza kuona mpango wa Mungu kwa picha pana zaidi, kwa maana zinafundisha kitu kimoja.

Page 4: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 4• Masimulizi hayo

• 1. Siyo masimulizi kuhusu watu fulani tu • Zinatufundisha jinsi Mungu alivyowatendea • Pia jinsi alivyotenda kupitia wao • Mungu ni kiongozi wa masimulizi

• 2. Hazina maana iliyofichwa • Hapatakiwi ”ufunuo maalum” kwa kuona yaliyoandikwa • Hatupaswi ku weka maana isiyoonekana, ku sitiari (alegorize) • Hatuelezwi kila kitu kinachotendeka, anayetenda Mungu • Kutafuta ujumbe wa siri kwa utaalamu wa mahesabu nk

haichangii kitu inapoteza. • Utendaji wa Mungu unaweza kuwa mgumu kuelewa au

kukubaliana nayo. • Tunahitaji kukubali kuwa Mungu ni Mungu

Page 5: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 5• 3. Masimulizi hayafundishi moja kwa moja

• Yanaelekeza kwenye ukweli fulani • Yanatusaidia ”kujitambua” na kufananisha na maisha yetu • Masimulizi yanafafauna sheria :Kwa mfano 2Sam 11 (Daudi na

Batsheba) inafafanua Kut 20:14. ”Usi zini”

• 4. Kila simulizi au kisa binafsi ndani ya simulizi sio lazima chenyewe kiwe na maadili yote. • Masimilizi hayafafanuliwi kipande kipande. • Sehemu zote ndogo ndogo zonaelekeza kwenye pointi kuu

• Kwa namna hii simulizi inalingana na mifano ya Agano jipya. • Jumla ya simulizi inakupa ujumbe. • Muhuri, athari, ushawishi, matokeo - yanatokana na mtiririko

ya matukio • Vipengele vingi vidogo vinaunganika kutoa ufunuo wa Mungu • Kutafuta umuhimu wa kila kipande hakutafanya kazi

Page 6: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 6

• Kanuni za kufafanua simulizi • 1.Simulizi za Agano la Kale kwa kawaida hazifundishi doktirini

(kanuni / fundisho) moja kwa moja. • 2. Simulizi za Agano la Kale kwa kawaida zinafafanua doktirini

au doktrini inayofundishwa kimapendekezo sehemu zingine. • 3. Simulizi zinarekodi kilichotokea-sio muhimu kitatokea nini au

kitu gani kinapaswa kitokee kila wakati. Kwa hivyo sio kila simulizi ina maadili ya hadithi binafsi yaliyowekwa.

• 4. Watu walichokifanya katika simulizi sio lazima kiwe mfano mzuri kwetu. Mara nyingi inaweza ikawa ni kinyume.

• 5. Wahusika wengi katika simulizi za Agano la Kale wako mbali sana na ukamilifu na vitendo vyao pia.

Page 7: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 7• Kanuni za kufafanua simulizi

• 6. Kwa kawaida hatuambiwi kwenye mwisho wa simulizi kama kilichosimuliwa kilikuwa nzuri ao mbaya. Tunategemewa kuweza kuelewa ukizingatia nini Mungu alitufundisha moja kwa moja na kimpango mahali pengine katika maandiko.

• 7. Simulizi zote zimechaguliwa na hazijakamilika sio kwamba kwa kawaida zinatoa maelezo yaote (Yoh.21:25) kilichojitokeza katika simulizi ni kila kitu ambacho muandishi aliyevuviwa alifikiri ni muhimu kwetu kujua.

• 8. Simulizi hazijaandikwa ili kujibu maswali yetu yote ya kitheolojia, zina umahususi, zina lengo lenye mipaka maalumu, na zinashughulikia mambo fulani, na kuacha mengine yashughulikiwe kwengine na kwa namna nyingine.

• 9. Simulizi zinaweza kufundisha dhahiri (kwa kuonesha kitu fulani kwa uwazi) au thabiti (kwa kudokeza kitu bila ya kutamka wazi)

• 10. Katika uchambuzi wa mwisho, Mungu ni mkuu katika simulizi zote za kibiblia.

Page 8: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 8• Kazi za sehemu ya Masimulizi ya Agano la Kale.

• Tumechagua simulizi mbili ya kufanyia kazi. Simulizi ya Yususfu na simulizi ya Ruthu

• Unapofanya kazi hii unatakiwa kutumia mafundisho uliyoyapata katika vipindi vya somo na pia maelezo unayoyapata katika maandiko yanayofuata somo.

• Kila simulizi inamaswali ya kujibiwa maswali hayo ni msaada kwako unapofafanua sumulizi hizo.

• Baada ya kufanya kazi hii tunakutaka uitume kwetu. • Simulizi yote unaipata katika file inayosema Simulizi ya Yususfu

na file ya Sumulizi zya Ruth. (pia unaweza kutumia Biblia yako) • Simulizi ya Yususfu ni simulizi yenye ”Ujumbe wazi) • Simulizi ya Ruthu ni simulizi yenye ”Ujumbe usiyo wazi”

Page 9: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 9

• Simulizi ya Yusufu Mwanzo sura ya 37 na sura ta 39 hadi 50

• Toa sababu zilizomfanya kufanikiwa kule Misri.

• Jaribu kuelezea juu ya wale watu wanaosimuliwa katika simulizi hii. Nani mwenye umuhimu, wakoje, nani ambaye anajitokeza zaidi na kwa nini. Kuna mkuu wa simulizi? kama yupo ni nani?

• Eleza jinsi Yusufu anaweza kuwa mfano kwetu.

• Unapotoa majibu yako lazima rejea za Bibblia ziambatanishwe na maelezo yako.

Page 10: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 10

• Simulizi ya Ruthu, kitabu chote cha Ruthu na Walawi sura ya 19

• Tutawezaje kujua kwamba Ruthu alimwanini Yahwe (Mungu)?

• Tutawezaje kufahamu kuwa Boasi alikuwa mtu wa kufuata maagizo ya Mungu (mtakatifu)?

• Ni kwa njia gani tuanyoweza kufahamu kwamba simulizi hii inaelezea juu ya ukoo wa Daudi?

• Kwa mawazo yako sasa, kwa nini simulizi hii imo ndani ya Bibila?

Page 11: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 11• Onyo

• Ujumbe ambao hauko wazi si kwamba umefichika, ujumbe huo ni rahisi kuufahamu ila hautamkwi katika yanayoandikwa. Ni ujumbe wakugundua bila kuchimba sana. Ni kama unaposafiri utaona nyumbambali mbali, mengine labda unapita bila kuyaona lakini sii kwamba havipo wewe tu unapitiwa kidogo. Ukiangalia utaziona. Kazi yetu ni kujaribu kuona yale ambayo yako wazi na yale ambayo yapo bila kuwa wazi sana.

• Baadhi ya tahadhai ya mwisho • Sababu za kutafuta maana isiyokuwepo katika maandiko mara nyingi

msingi wake tunaiona kwenye tabia tatu: • Kujaribu kutatua tatizo ya kibinafsi (hitaji, tamaa nk) • Kutokuwa na subira, kutaka jibu hapa hapa na muda huo huo • Kutokuwa na matarajio sahihi. Kudhani kwamba kila mstari

inamhusu kila mtu wakati wowote..

Page 12: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 12

• Makosa nane (8) ya kawaida ya tafsiri ya masimulizi. • 1. Kusitirisha, Badala ya kutafiti yanayoeleweka, wanadai maana

iliyofichika. • 2. Kuondoa andiko katika mazingira / muktada yake (context). • 3. Uteuzi, inafanana na hiyo ya juu. Kuchagua maandiko ya

kushikilia bila kuangalia picha zima. • 4. Muungano wa uongo, kuunganisha maandiko yasiyo na

uhusiano kwa kutafuta ujumbe utakayofaa. • 5. Kurekibisha maana. Kitu baridi wanikfanya kiwe moto na kitu

kigumu wanakifanya kisichome sana. Mfano • Ole wenu matajiri = Ole wenu utajiri ukiwapeleka mbali na

Mungu. Ole wenu watu watakapowasifu = Ole wenu mkipenda sifa za dunia

Page 13: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 13

• 6. Mamlaka zaidi nje ya andiko. Kutumia andiko nje ya Biblie kwa kufumbua siri za Biblia. Andiko hilo lina ”fungua” maandiko ya Bibilia.

• 7. Kuadilisha. Kutafuta kanuni za maisha kwetu katika kila fungo la Biblia. Kukosa kuona picha kuu yaani ukombozi wa Mungu kwa wanadamu kupitia historia.

• 8. Kufanya andiko kiwe chako binafsi au kwa lugha nyingine kujibainisha. Kufanya andiko liwe na maana maalum kwako au kundi lako. • Mfano stori ya kujenga hekalu linakuwa ujumbe kutoka kwa

Mungu wajege kanisa

Page 14: 3. Masimulizi ya Agano la Kale...MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 3 • Masimulizi hayo yanamaelezo katika vinago vitatu • Kiwango cha chini (simulizi yenyewe) inahusika na kiwango cha

MASIMULIZI YA AGANO LA KALE 14• Usidhani kwamba kila simulizi katika Bibilia inakuhusu wewe au

inahitaji ufanye kama wanaosimuliwa. Simulizi ya YUsufu inamhusu Yusufu, ya Ruthu, Ruthu na kuendelea. Kuna point na elimu ya kujifunza katika masimulizi lakini siyo stori yetu.

• Tunaposoma masimulizi ya Biblia tunaona jinsi Mungu anavyo tenda katika historia kupitia watu.

• Mfuasi wa Mungu anahitaji kutafuta mapenzi ya Mungu juu yake si kucopy maisha ya watu wengine.

• Mafundisho ya Biblia inaletwa kwetu kwa njia nyingi tofauti. Kutoka amri hadi mashauri, mapendekezo na tahadahli. Yote yapo lakini maandiko tofauti yanatuletea mafundisho kwa njia tofauti, hiyo ni jambo nzuri ya kujua na kuheshimu.