1
Ni kwanini shule zimefungwa? Tunataka watu wasiugue na wabaki wenye afya nzuri! Babu na bibi ni wazee na tusingependa waugue. Funika pua na mdomo kwa kiwiko chako pale unapopiga chafya au kukohoa. Nifanye nini kuvishinda hivi virusi/vijidudu? Kwanini sipaswi kuwatembelea au kuwakumbatia babu, bibi, na marafiki zangu wakati huu? Utaweza kwenda kuwatembelea babu na bibi na marafiki zako baada ya hivi vijidudu vya corona kutoweka. Kwa sasa, unaweza kuwasiliana nao kwa simu! Hivi vijidudu huishi kwenye vitu tunavyovigusa. Osha mikono yako kwa maji na sabuni huku ukihesabu moja hadi ishirini ili vijijududu vitoweke kwenye mikono yako! Nifanyeje kama nina wasiwasi kwamba mimi au ndugu zangu wanaweza pata ugonjwa huu? Zungumza na mtu mzima na umueleze jinsi unavyojisikia. Pia, jaribu kufanya vitu vya kufurahisha katika kipindi hichi badala ya kuwa na hofu. Usiogope kuwaomba watu wazima wakusaidie! Kwa Wazazi na Walezi Hakikisha kuwa wewe na watoto mnaosha mikono kwa njia sahihi na pia mnazingatia kukaa nyumbani kwa jinsi inavyowezekana katika kipindi hichi. Fanya jitihada kuwauliza maswali/kuwaelimisha watoto wako kuhusu maambukizi ya virusi vya corona. Wahakikishie usalama wao na jitahidi kujibu maswali yao kwa lugha nyepesi. Fuatilia kwa ukaribu afya yako na ya watoto wako ukizingatia dalili za COVID-19. Fauta maelekezo ya watoa huduma ya afya. Usiwe na hofu. Ni hali ya kawaida kuwa na wasiwasi. Imetengenezwa na COVID- 19 Health Literacy Project kwa kushirikiana na Harvard Health Publishing Reviewed by: Rachel Conrad, MD Gene Beresin, MD, MA Baruch Krauss, MD, EdM Edwin Palmer, MD, MPH Janis Arnold, MSW, LICSW Chloë Nunneley, MD Carolyn Snell, PhD Kristin Barton, MA, CHES Erin Graham Kuna vijidudu/virusi vinavyoitwa corona vinavyofanya watu waugue. COVID-19 kwa watoto wa miaka 3-6

COVID-19 kwa watoto wa miaka 3-6 · COVID-19 kwa watoto wa miaka 3-6. Title: PowerPoint Presentation Created Date: 3/29/2020 1:38:52 PM

  • Upload
    others

  • View
    16

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: COVID-19 kwa watoto wa miaka 3-6 · COVID-19 kwa watoto wa miaka 3-6. Title: PowerPoint Presentation Created Date: 3/29/2020 1:38:52 PM

Ni kwaninishule

zimefungwa? Tunataka watu wasiuguena wabaki wenye afya

nzuri!

Babu na bibi ni wazeena tusingependa

waugue.

Funika pua namdomo kwa kiwiko

chako pale unapopiga chafya

au kukohoa.

Nifanye ninikuvishinda hivivirusi/vijidudu?

Kwanini sipaswikuwatembelea au

kuwakumbatia babu, bibi, namarafiki zangu wakati huu?

Utaweza kwenda kuwatembelea babu nabibi na marafiki zako baada ya hivi vijidudu

vya corona kutoweka. Kwa sasa, unawezakuwasiliana nao kwa simu!

Hivi vijidudu huishi kwenyevitu tunavyovigusa. Osha mikono yako kwa maji na

sabuni huku ukihesabumoja hadi ishirini ili

vijijududu vitoweke kwenyemikono yako!

Nifanyeje kama ninawasiwasi kwamba mimi au

ndugu zangu wanawezapata ugonjwa huu?

Zungumza na mtu mzima naumueleze jinsi unavyojisikia.

Pia, jaribu kufanya vitu vyakufurahisha katika kipindi hichi

badala ya kuwa na hofu.

Usiogope kuwaomba watu wazima wakusaidie!

Kwa Wazazi na Walezi✔Hakikisha kuwa wewe na watoto mnaosha mikono kwa njia sahihi na

pia mnazingatia kukaa nyumbani kwa jinsi inavyowezekana katikakipindi hichi.✔Fanya jitihada kuwauliza maswali/kuwaelimisha watoto wako

kuhusu maambukizi ya virusi vya corona. Wahakikishie usalama waona jitahidi kujibu maswali yao kwa lugha nyepesi.✔Fuatilia kwa ukaribu afya yako na ya watoto wako ukizingatia dalili

za COVID-19. Fauta maelekezo ya watoa huduma ya afya.

Usiwe na hofu. Ni hali ya kawaida

kuwa na wasiwasi.

Imetengenezwa na COVID-19 Health Literacy Project kwa kushirikiana naHarvard Health Publishing

Reviewed by: Rachel Conrad, MDGene Beresin, MD, MABaruch Krauss, MD, EdMEdwin Palmer, MD, MPHJanis Arnold, MSW, LICSWChloë Nunneley, MDCarolyn Snell, PhDKristin Barton, MA, CHESErin Graham

Kuna vijidudu/virusivinavyoitwa corona vinavyofanya watu

waugue.

COVID-19 kwa watoto wa miaka 3-6