MAGU.doc

Embed Size (px)

Citation preview

  • 7/24/2019 MAGU.doc

    1/2

    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

    DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

    Telephone:255-22-2114512,2116898E-mail: [email protected]!site : """. ikulu.go.tz#a$: 255-22-211%425

    &'E()*E+T( ##)E,

    (T/TE 0(E,

    1 /'/3

    // '/*,

    114 */' E( (///.

    Tanzania.

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

    Baada ya kulihutubia na kulizindua bunge la 11 la Jamhuri ya

    Muungano wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

    Tanzania Dkt JOHN OMB! M"#$%$&' amehudhuria ha(a )u*i

    iliyoandaliwa kwa a+ili ya wabunge katika iwan+a ya Bunge

    M+ini Dodoma na kuagiza )edha zilizo-hangwa kwa a+ili ya

    kugharamia ha(a hiyo zi*elekwe .atika Hos*itali ya Tai)a

    Muhimbili kwa a+ili ya kununulia itanda ya wagon+wa

    Mheshimiwa Magu)uli ametoa agizo hilo baada ya ku*okea

    taari)a kuwa wadau mbalimbali wame-hanga kiasi -ha

    shilingi milioni //0 kwa a+ili ya kugharamia ha(a ya wabunge

    katika siku ya uzinduzi wa Bunge

    Dkt Magu)uli amesema ali*ata taari)a za kuwe*o kwa

    mi-hango hiyo ya )edha na kutoa maelekezo kuwa zitumike

    kwa kiasi kidogo kwa a+ili ya ha(a hiyo na sehemu kubwa

    zi*elekwe katika Hos*itali ya Tai)a ya Muhimbili ili zikatumike

    kununulia itanda na hiyo ku*unguza tatizo la wagongwa

    1

    http://www.ikulu.go.tz/http://www.ikulu.go.tz/
  • 7/24/2019 MAGU.doc

    2/2

    wanaolala -hini kutokana na uhaba wa itanda unaikabili

    hos*itali hiyo

    Nili*oambiwa kwamba zime-hangwa shilingi milioni //0

    zimekusanywa kwa a+ili ya sherehe, nikasema )edha hizozi*elekwe katika hos*itali ya Tai)a Muhimbili zikasaidie

    kununua itanda2 alisema Dkt Magu)uli na kusisitiza kuwa

    kwa ku)anya hiyo tutakua tume+inyima sisi wenyewe lakini

    tutakua tumewanu)aisha wenzetu ambao wanamatatizo

    makubwa yanayoweza kutatuliwa kwa )edha hizo2

    "wali akitoa taari)a ya mi-hango hiyo O3sa wa 4*ika wa

    Bunge Bwana 4"'D 5".$B$ amesema +umla mi-hango

    iliyo*atikana na shilingi milioni //0 na kwamba )edhazilizotumika katika ha(a hiyo ni shilingi milioni /6 tu baada

    ya kuzingatia maagiza ya Rais Magu)uli

    .atika Ha(a hiyo Rais Magu)uli amekabidhi yeti ya

    kutambua m-hango wa wadau walio-hangia )edha

    wakiwemo Benki za NMB, 7RDB na Benki ya ")rika *amo+a

    na Mi)uko ya Hi)adhi ya Jamii ya 4% na %8

    #erson Msigwa

    .aimu Mkurugenzi wa Mawasiliano '.$&$

    Noember /9, /910

    /