23
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA TAARIFA YA MATOKEO YA UPIMAJI WA DARASA LA NNE (SFNA), KIDATO CHA PILI (FTNA) NA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT) ILIYOFANYIKA NOVEMBA 2019 IMETOLEWA NA: KATIBU MTENDAJI TAREHE : 09 JANUARI 2020

TAARIFA YA MATOKEO YA UPIMAJI WA DARASA …...(a) Ufaulu wa Jumla Takwimu za matokeo ya upimaji wa Darasa la Nne zinaonesha kuwa jumla ya wanafunzi 1,531,120 kati ya wanafunzi 1,665,863

  • Upload
    others

  • View
    54

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

TAARIFA YA MATOKEO YA UPIMAJI WA DARASA LA NNE (SFNA), KIDATO CHA PILI (FTNA) NA MTIHANI WA

KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT) ILIYOFANYIKA NOVEMBA 2019

IMETOLEWA NA:

KATIBU MTENDAJI

TAREHE : 09 JANUARI 2020

1

TAARIFA YA MATOKEO YA UPIMAJI WA DARASA LA NNE (SFNA), KIDATO CHA PILI

(FTNA) NA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT) ILIYOFANYIKA

NOVEMBA 2019

1.0 UTANGULIZI

Katika Mkutano wake wa 133 uliofanyika tarehe 9 Januari, 2019, Baraza la Mitihani

la Tanzania liliidhinisha kutangazwa rasmi kwa matokeo ya Mtihani wa Kidato cha

Nne (CSEE) na Maarifa (QT), Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) na

Darasa la Nne (SFNA) iliyofanyika mwezi Novemba, 2019.

2.0 USAJILI NA MAHUDHURIO

2.1 Upimaji wa Darasa la Nne - SFNA

Jumla ya wanafunzi 1,786,729 walisajiliwa kufanya Upimaji wa Darasa la Nne

wakiwemo wasichana 883,338 sawa na asilimia 49.44 na wavulana 903,391

sawa na asilimia 50.56. Kati ya wanafunzi waliosajiliwa, wanafunzi 1,666,154

walifanya Upimaji, wakiwemo wasichana 834,875 (94.51%) na wavulana

831,279 (92.02%). Wanafunzi 120,575 (6.75%) hawakufanya Upimaji, kati

yao wasichana ni 48,463 (5.49%) na wavulana ni 72,112 (7.98%).

2.2 Upimaji wa Kidato cha Pili – FTNA

Jumla ya wanafunzi 609,357 walisajiliwa kufanya Upimaji wa Kidato cha Pili

wakiwemo wasichana 320,539 sawa na asilimia 52.60 na wavulana 288,818

sawa na asilimia 47.40. Kati ya wanafunzi waliosajiliwa, wanafunzi 571,586

walifanya Upimaji, wakiwemo wasichana 303,439 (94.67%) na wavulana

268,147 (92.84%). Wanafunzi 37,771 (6.20%) hawakufanya Upimaji, kati

yao wasichana ni 17,100 (5.33%) na wavulana ni 20,671 (7.16%).

2.3 Mtihani wa Kidato cha Nne – CSEE

(a) Watahiniwa Wote (Shule na Kujitegemea)

Jumla ya watahiniwa 485,694 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2019 wakiwemo wasichana 255,905 (52.69%) na wavulana 229,789 (47.31%). Kati ya watahiniwa 485,694 waliosajiliwa, watahiniwa wa shule walikuwa 432,885 na watahiniwa wa kujitegemea walikuwa 52,809.

(b) Watahiniwa wa Shule

Kati ya watahiniwa 432,885 wa shule waliosajiliwa, watahiniwa 425,072 sawa na asilimia 98.20 walifanya mtihani ambapo wasichana walikuwa

2

221,813 (97.93%) na wavulana 203,259 (98.49%). Watahiniwa 7,813 sawa na asilimia 1.80 hawakufanya Mtihani.

(c) Watahiniwa wa Kujitegemea

Kati ya watahiniwa 52,809 wa kujitegemea waliosajiliwa, watahiniwa 48,683 sawa na asilimia 92.19 walifanya mtihani na watahiniwa 4,126 sawa na asilimia 7.81 hawakufanya Mtihani.

2.4 Mtihani wa Maarifa - QT

Jumla ya watahiniwa 12,954 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Maarifa

wakiwemo wasichana 7,482 sawa na asilimia 57.76 na wavulana 5,472 sawa

na asilimia 42.24. Kati ya Watahiniwa waliosajiliwa, watahiniwa 11,386

walifanya Mtihani wa Maarifa, wakiwemo wasichana 6,617 (88.43%) na

wavulana 4,769 (87.15%). Watahiniwa 1,568 (12.10%) hawakufanya

Mtihani, kati yao wasichana ni 865 na wavulana ni 703.

3.0 MATOKEO YA UPIMAJI/MTIHANI

3.1 Upimaji wa Darasa la Nne - SFNA

(a) Ufaulu wa Jumla

Takwimu za matokeo ya upimaji wa Darasa la Nne zinaonesha kuwa jumla ya wanafunzi 1,531,120 kati ya wanafunzi 1,665,863 wenye matokeo ya Upimaji wameweza kupata alama zenye madaraja ya ufaulu wa A, B, C na D ikilinganishwa na wanafunzi 1,213,132 waliopata madaraja hayo mwaka 2018. Hivyo, kumekuwa na ongezeko la Wanafunzi 317,988 sawa na asilimia 26.21 waliopata fursa ya kuendelea na Darasa la Tano ikilinganishwa na mwaka 2018. Ongezeko hili la waliofaulu linatokana na jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano za kupanua fursa za Elimu kwa wanafunzi katika mpango wa Serikali wa Elimu bila malipo. Mchanganuo wa ufaulu kwa madaraja mbalimbali umeoneshwa katika Jedwali la 1.

3

Jedwali la 1: Mchanganuo wa Ufaulu kwa Madaraja (SFNA)

KIWANGO CHA UFAULU

IDADI %

DARAJA LA

WASTANI ME KE JUMLA

Mzuri sana 61,536 57,627 119,163 7.15 A

Mzuri 225,052 219,498 444,550 26.69 B

Wastani 285,589 305,446 591,035 35.48 C

Unaridhisha 186,490 189,882 376,372 22.59 D

Usioridhisha 72,435 62,308 134,743 8.09 E

(b) Mchanganuo wa ufaulu Kimasomo

Takwimu za matokeo zinaonesha kuwa wanafunzi wamefanya vizuri kwa masomo yote ambapo ufaulu wa masomo uko kati ya asilimia 74.02 na 95.26 kama ilivyoainishwa katika Jedwali la 2.

Jedwali la 2: Mchanganuo wa Ufaulu Kimasomo (SFNA)

SOMO WENYE

MATOKEO WALIOFAULU

IDADI %

KISWAHILI 1,663,794 1,475,263 88.67

ENGLISH LANGUAGE 1,664,209 1,349,573 81.09

MAARIFA YA JAMII 1,664,157 1,552,763 93.31

HISABATI 1,663,940 1,231,640 74.02

SAYANSI NA TEKNOLOJIA 1,664,425 1,584,473 95.20

URAIA NA MAADILI 1,663,538 1,584,685 95.26

(c) Wanafunzi 10 Bora Kitaifa

Wanafunzi Bora Kitaifa katika Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2019 wameanishwa katika Jedwali la 3-5

4

Jedwali la 3: Wanafunzi Kumi (10) Bora Kitaifa (SFNA)

NAFASI JINA JINSI SHULE MKOA

1 AZIZA ABDALLAH GONZA F GOD'S BRIDGE RUNGWE (MBEYA)

2 DEBORAH RAINELY HAULE F GOD'S BRIDGE RUNGWE (MBEYA)

3 FLAVIA NAMILEMBE PASCHAL F BOHARI KARAGWE (KAGERA)

4 RESTITUTA THOMAS MCHAKI F ST AUGUSTINE ARUSHA (ARUSHA)

5 MUSSA SHABAN JUMANNE M ESBEL SENGEREMA (MWANZA)

6 SHAZMIN MOHAMEDI ALLY F DOMINION ARUSHA(M) (ARUSHA)

7 BERNICE MUSA MWAKALINGA F ST. ANNE MARIE

UBUNGO (DAR ES SALAAM)

8 DORINE DEOGRATIAS KOMBA F ST. ANNE MARIE

UBUNGO (DAR ES SALAAM)

9 ZANURA SELEMAN MPANDULA

F ST. ANNE MARIE

UBUNGO (DAR ES SALAAM)

10 DORINE KEMILEMBE PHILBERT

F BOHARI KARAGWE (KAGERA)

Jedwali la 4: Wasichana Kumi (10) Bora Kitaifa (SFNA)

NAFASI JINA SHULE MKOA

1 AZIZA ABDALLAH GONZA GOD'S BRIDGE RUNGWE (MBEYA)

2 DEBORAH RAINELY HAULE GOD'S BRIDGE RUNGWE (MBEYA)

3 FLAVIA NAMILEMBE PASCHAL BOHARI KARAGWE (KAGERA)

4 RESTITUTA THOMAS MCHAKI ST AUGUSTINE ARUSHA (ARUSHA)

5 SHAZMIN MOHAMEDI ALLY DOMINION ARUSHA(M) (ARUSHA)

6 BERNICE MUSA MWAKALINGA ST. ANNE MARIE UBUNGO (DAR ES SALAAM)

7 DORINE DEOGRATIAS KOMBA ST. ANNE MARIE UBUNGO (DAR ES SALAAM)

8 ZANURA SELEMAN MPANDULA ST. ANNE MARIE UBUNGO (DAR ES SALAAM)

9 DORINE KEMILEMBE PHILBERT BOHARI KARAGWE (KAGERA)

10 MERICE NESTORY SIMON BOHARI KARAGWE (KAGERA)

5

Jedwali la 5: Wavulana Kumi (10) Bora Kitaifa (SFNA)

NAFASI JINA SHULE MKOA

1 MUSSA SHABAN JUMANNE ESBEL SENGEREMA (MWANZA)

2 ELISHA EMMANUEL MPHURU ST. ANNE MARIE

UBUNGO (DAR ES SALAAM)

3 JUMA SALEHE JUMA ST. ANNE MARIE

UBUNGO (DAR ES SALAAM)

4 JOHN EMMANUEL BUFE ESBEL SENGEREMA (MWANZA)

5 JUMA ALLY RAMADHAN ESBEL SENGEREMA (MWANZA)

6 DANIEL DAMIAN CHANDO MARIAN BAGAMOYO (PWANI)

7 ABDALLAH ISSA LIPAGILA ST. ANNE MARIE

UBUNGO (DAR ES SALAAM)

8 BANAGI SEBASTIAN BANAGI TWIBHOKI SERENGETI (MARA)

9 JESUALDO PROTAS SAMBAGI ESBEL SENGEREMA (MWANZA)

10 ALEX CHACHA MALAKI JOHNSON EXCELLENCY

KAHAMA MJI (SHINYANGA)

(d) Mpangilio wa Shule, Mikoa na Halmashauri kwa Ubora wa Ufaulu Takwimu za matokeo zinaonesha mpangilio wa Shule, Mikoa na Halmashauri zilizofanya vizuri, kuongeza au kupunguza ufaulu kwa miaka mitatu mfululizo ni kama ilivyoainishwa katika Jedwali la 6-14.

Jedwali la 6: Shule Kumi (10) Bora Kitaifa (SFNA)

NAFASI NAMBA JINA LA SHULE IDADI MKOA

1 PS0503047 KEMEBOS 42 KAGERA

2 PS1306183 TUMAINI 116 MWANZA

3 PS1701109

JOHNSON EXCELLENCY

41 SHINYANGA

4 PS0608042 MWILAMVYA 101 KIGOMA

5 PS0904095 TWIBHOKI 52 MARA

6 PS0502139 RWEIKIZA 57 KAGERA

7 PS0504008 BOHARI 68 KAGERA

8 PS1307121 PEACELAND 46 MWANZA

9 PS0204115 ST. ANNE MARIE 132 DAR ES SALAAM

10 PS1305142 RISHOR 61 MWANZA

6

Jedwali la 7: Shule Kumi (10) Zilizoongeza Ufaulu kwa Miaka 3 Mfululizo (SFNA)

NAFASI HALMASHAURI JINA LA SHULE

% UFAULU % WASTANI

WA KUPANDA 2019 2018 2017

1 MVOMERO (MOROGORO)

SEWE 185.31 136.61 45.39 118.31

2 MVOMERO (MOROGORO)

KAMBALA 174.73 140.68 55.37 89.14

3 MASWA (SIMIYU) NGULIGULI 189.92 136.35 60.55 82.24

4 NAMTUMBO (RUVUMA)

MTONYA 188.72 161.37 66.42 79.96

5 UKEREWE (MWANZA)

BUSANGU 226.76 210.07 84.35 78.49

6 TUNDURU (RUVUMA)

SEMENI 250.33 222.38 92.73 76.19

7 MVOMERO (MOROGORO)

DIFINGA 206.29 137.53 69.11 74.50

8 MASASI MJI (MTWARA)

TEMEKE 261.72 160.25 86.78 73.99

9 KAHAMA MJI (SHINYANGA)

MAGOBEKO 226.76 183.57 82.97 72.39

10 MASWA (SIMIYU) IWELIMO 174.88 106.83 59.05 72.31

Jedwali la 8: Shule Kumi (10) Zilizoshuka Ufaulu kwa Miaka 3 Mfululizo (SFNA)

NAFASI HALMASHAURI JINA LA SHULE

% UFAULU % WASTANI WA KUSHUKA

2019 2018 2017

1 NZEGA (TABORA) UGULUMA 46.73 129.16 204.56 50.34

2 GEITA VIJIJINI (GEITA) BUZIBA 77.54 108.68 270.00 44.20

3 GEITA VIJIJINI (GEITA) SONGAMBELE 56.83 137.75 189.33 42.99

4 GEITA VIJIJINI (GEITA) NYAMBAYA 81.72 126.06 248.32 42.21

5 MBOGWE (GEITA) NYITUNDU 72.26 127.62 204.70 40.52

6 BUNDA MJI (MARA) NYAMILAMA 50.72 161.57 173.44 37.73

7 GEITA VIJIJINI (GEITA) NDELEMA 96.64 150.93 245.10 37.20

8 NGARA (KAGERA) MUHWEZA 83.04 143.03 211.50 37.16

9 MOMBA (SONGWE) IVUNA 90.851 150.22 230.29 37.15

10 GEITA VIJIJINI (GEITA) LUHARA 105.47 134.9 277.69 36.62

7

Jedwali la 9: Mikoa Mitatu (03) Iliyofanya Vizuri Zaidi (SFNA)

NAFASI MKOA IDADI YA SHULE

1 DAR ES SALAAM 693

2 KAGERA 965

3 KILIMANJARO 976

Jedwali la 10: Mikoa Mitatu (03) Iliyoongeza Ufaulu kwa Miaka 3 Mfululizo (SFNA)

NAFASI MKOA

IDADI YA SHULE

% UFAULU % WASTANI WA KUPANDA 2019 2018 2017

1 RUVUMA 792 97.08 95.90 93.08 2.00

2 MOROGORO 897 96.76 94.81 94.73 1.02

3 DAR ES SALAAM 693 98.32 97.96 97.87 0.22

Jedwali la 11: Mikoa Mitatu (03) Iliyoshuka Ufaulu kwa Miaka 3 Mfululizo (SFNA)

NAFASI MKOA IDADI YA SHULE

% UFAULU % WASTANI WA KUSHUKA 2019 2018 2017

1 GEITA 612 87.09 93.37 98.25 5.58

2 KIGOMA 653 79.38 85.61 87.60 4.11

3 TABORA 791 89.82 92.64 94.98 2.58

Jedwali la 12: Halmashauri kumi (10) Zilizofanya Vizuri Zaidi (SFNA)

NAFASI HALMASHAURI MKOA IDADI YA SHULE

1 ARUSHA JIJI ARUSHA 142

2 ILALA (M) DAR ES SALAAM 117

3 KINONDONI DAR ES SALAAM 149

4 MULEBA KAGERA 234

5 BUKOBA (M) KAGERA 44

6 MASWA SIMIYU 123

7 ULANGA MOROGORO 61

8 MOSHI (M) KILIMANJARO 49

9 MBINGA RUVUMA 164

10 ILALA (V) DAR ES SALAAM 109

8

Jedwali la 13: Halmashauri kumi (10) Zilizoongeza Ufaulu kwa Miaka 3 Mfulilizo (SFNA)

NAFASI HALMASHAURI MKOA % UFAULU % WASTANI

WA KUPANDA 2019 2018 2017

1 NAMTUMBO RUVUMA 98.49 94.62 86.85 5.82

2 LONGIDO ARUSHA 97.64 94.25 86.85 5.40

3 TARIME MARA 88.26 81.88 77.80 5.23

4 UKEREWE MWANZA 95.93 93.20 86.83 4.55

5 MASWA SIMIYU 99.53 95.66 91.70 3.92

6 NANYAMBA MJI MTWARA 97.23 96.04 90.71 3.26

7 MASASI MJI MTWARA 95.73 94.20 89.29 3.22

8 KYELA MBEYA 96.90 96.20 91.12 2.89

9 KILOSA MOROGORO 93.23 89.79 88.45 2.39

10 BARIADI VIJIJINI SIMIYU 98.20 93.61 93.46 2.37

Jedwali la 14: Halmashauri kumi (10) Zilizoshuka Ufaulu kwa Miaka 3 Mfululizo (SFNA)

NAFASI HALMASHAURI MKOA

% UFAULU % WASTANI WA KUSHUKA 2019 2018 2017

1 GEITA VIJIJINI GEITA 80.66 89.76 98.80 9.07

2 KIBONDO KIGOMA 65.87 76.81 81.22 7.68

3 KILINDI TANGA 76.08 81.41 91.11 7.52

4 BUCHOSA MWANZA 85.14 91.12 98.49 6.68

5 URAMBO TABORA 84.85 96.54 98.09 6.62

6 NGORONGORO ARUSHA 78.90 91.39 92.06 6.58

7 KASULU MJI KIGOMA 74.99 84.52 87.84 6.43

8 KASULU KIGOMA 73.45 84.19 84.44 5.50

9 MPANDA MJI KATAVI 81.98 89.50 92.48 5.25

10 RORYA MARA 78.04 83.26 88.52 5.24

9

3.2 Upimaji wa Kidato cha Pili (FTNA)

(a) Ufaulu wa Jumla

Takwimu za matokeo ya Upimaji wa Kidato cha Pili zinaonesha kuwa, jumla ya wanafunzi 514,251 (90.04%) kati ya wanafunzi 571,137 wenye matokeo ya Upimaji wamepata Ujuzi na Maarifa ya kuwawezesha kuendelea na Kidato cha Tatu, ambapo wasichana ni 270,750 (89.30%) na Wavulana ni 243,501 (90.88%).

(b) Mchanganuo wa Ufaulu Kimasomo

Takwimu za matokeo zinaonesha kuwa wanafunzi wamefanya vizuri zaidi katika masomo mengi ya msingi ambapo ufaulu wa masomo hayo uko juu ya wastani kati ya asilimia 50.28 na 92.19. Aidha, takwimu za matokeo zinaonesha kuwa wanafunzi hawakufanya vizuri katika masomo matatu (03) ya Basic Mathematics, Chemistry na History. Mchanganuo wa ufaulu kwenye masomo ya msingi umeainishwa katika Jedwali la 15. Jedwali la 15: Ufaulu Katika Masomo ya Msingi FTNA 2019

SOMO UFAULU (%)

CIVICS 73.81

HISTORY 49.65

GEOGRAPHY 63.99

KISWAHILI 92.19

ENGLISH LANGUAGE 80.05

PHYSICS 50.28

CHEMISTRY 44.79

BIOLOGY 64.40

BASIC MATHEMATICS 21.09

COMMERCE 64.07

BOOK KEEPING 60.43

(c) Wanafunzi 10 Bora Kitaifa

Wanafunzi Bora katika Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2019 wameanishwa katika Jedwali la Jedwali la 16-18:

10

Jedwali la 16: Wanafunzi Kumi (10) Bora Kitaifa (FTNA)

NAFASI JINA JINSI SHULE MKOA

1 STEPHEN DOME MWANZALIMA M MARIAN BOYS' PWANI

2 RAYMOND FRANCIS TEWELE M MARIAN BOYS' PWANI

3 JOVIN DENIS MAGULU M MARIAN BOYS' PWANI

4 JULIUS PAUL MWAKA M MARIAN BOYS' PWANI

5 LUIS ISACK OSENA M MARIAN BOYS' PWANI

6 VIOLETH PASCAL EMMANUEL F PRECIOUS BLOOD ARUSHA

7 RAYMOND TISIO MIHO M MARIAN BOYS' PWANI

8 ANNA ELIA KAJIBA F CANOSSA DAR ES SALAAM

9 EMMANUEL FRANK MTYAMA M MARIAN BOYS' PWANI

10 IBRAHIM LIKEWE MAWALA M MARIAN BOYS' PWANI

Jedwali la 17: Wasichana Kumi (10) Bora Kitaifa (FTNA)

NAFASI JINA SHULE MKOA

1 VIOLETH PASCAL EMMANUEL PRECIOUS BLOOD ARUSHA

2 ANNA ELIA KAJIBA CANOSSA DAR ES SALAAM

3 LEILA JUMA NAKAPI ST.MONICA MOSHONO GIRLS'

ARUSHA

4 DOREEN WILLIAM PALLANGYO MARIAN GIRLS PWANI

5 MARYSTELLA COSMAS LYIMO PRECIOUS BLOOD ARUSHA

6 CECILIA DOREEN DICKSON CANOSSA DAR ES SALAAM

7 ESTHER CHARLES LUGOLA CANOSSA DAR ES SALAAM

8 IRENE VALENTINE MBAI PRECIOUS BLOOD ARUSHA

9 DAIMA DAUDI SALUM MARIAN GIRLS PWANI

10 HOPE ASALEA KITALUKA ST. JOSEPH MILLENIUM DAR ES SALAAM

11

Jedwali la 18: Wavulana Kumi (10) Bora Kitaifa (FTNA)

NAFASI JINA SHULE MKOA

1 STEPHEN DOME MWANZALIMA MARIAN BOYS' PWANI

2 RAYMOND FRANCIS TEWELE MARIAN BOYS' PWANI

3 JOVIN DENIS MAGULU MARIAN BOYS' PWANI

4 JULIUS PAUL MWAKA MARIAN BOYS' PWANI

5 LUIS ISACK OSENA MARIAN BOYS' PWANI

6 RAYMOND TISIO MIHO MARIAN BOYS' PWANI

7 EMMANUEL FRANK MTYAMA MARIAN BOYS' PWANI

8 IBRAHIM LIKEWE MAWALA MARIAN BOYS' PWANI

9 NORSHAD NASSOR KIPENZI TENGERU BOYS ARUSHA

10 GABRIEL JOSEPH TEMBA LIBERMANN BOYS' DAR ES SALAAM

(d) Mpangilio wa Shule, Mikoa na Halmashauri kwa Ubora wa Ufaulu

Takwimu za matokeo zinaonesha mpangilio wa Shule, Mikoa na Halmashauri zilizofanya vizuri, kuongeza au kupunguza ufaulu kwa miaka mitatu mfululizo ni kama ilivyoainishwa katika Jedwali la 19-27.

Jedwali la 19: Shule Kumi (10) Bora Kitaifa (FTNA)

NAFASI JINA LA SHULE IDADI MKOA

1 ST. FRANCIS GIRLS 92 MBEYA

2 KEMEBOS 68 KAGERA

3 CENTENNIAL CHRISTIAN SEMINARY

152 PWANI

4 THOMAS MORE MACHRINA 49 DAR ES SALAAM

5 BETHEL SABS GIRLS' 83 IRINGA

6 ST. AUGUSTINE - TAGASTE 163 DAR ES SALAAM

7 BRIGHT FUTURE GIRLS' 119 DAR ES SALAAM

8 ANWARITE GIRLS' 82 KILIMANJARO

9 FEZA GIRLS' 64 DAR ES SALAAM

10 CANOSSA S S 89 DAR ES SALAAM

12

Jedwali la 20: Shule Kumi (10) Zilizoongeza Ufaulu kwa Miaka 3 Mfululizo (FTNA)

NAFASI JINA LA SHULE MKOA WASTANI WA GPA

% WASTANI

WA KUPANDA 2019 2018 2017

1 SOGESCA SIMIYU 2.3559 3.6255 3.9569 21.70

2 NYANGAO LINDI 1.8440 2.3602 2.9792 21.33

3 JAMHURI DAR ES SALAAM 1.8529 2.3468 2.8862 19.87

4 DR ASHA ROSE MIGIRO

KILIMANJARO 1.8953 2.4926 2.8733 18.61

5 CONSOLATA IRINGA IRINGA 2.0104 2.5634 3.0177 18.31

6 KILWA ISLAMIC LINDI 2.3830 2.5818 3.6081 18.07

7 TABORA GIRLS TABORA 1.6569 1.8926 2.4390 17.43

8 ARUSHA DAY ARUSHA 2.4222 3.0888 3.5614 17.43

9 MAGAZINI RUVUMA 3.1125 3.6364 4.4701 16.53

10 AHMES PWANI 1.0823 1.2011 1.5267 15.61

Jedwali la 21: Shule Kumi (10) Zilizoshuka Ufaulu kwa

Miaka 3 Mfululizo (FTNA)

NAFASI SHULE MKOA WASTANI WA GPA % WASTANI

WA KUSHUKA 2019 2018 2017

1 MBWEGO TANGA 4.6074 3.9034 2.7825 29.16

2 KIBIRASHI TANGA 4.4570 4.3374 3.065 22.14

3 FEO GIRLS' RUVUMA 1.8718 1.4308 1.3088 20.07

4 NKAMA TANGA 4.0658 3.6557 2.8557 19.62

5 MRIKE KILIMANJARO 3.3929 2.9732 2.4315 18.2

6 KILINDI TANGA 4.4773 4.3312 3.2582 18.15

7 KASELA TABORA 4.3013 3.6532 3.0833 18.11

8 KATOKE-LWERU KAGERA 2.7167 2.0361 2.0127 17.30

9 JAILA TANGA 4.4637 4.3929 3.3462 16.45

10 MAMA MARIA NYERERE

MARA 4.2277 4.1781 3.2027 15.83

13

Jedwali la 22: Mikoa Mitatu (03) Iliyofanya Vizuri Zaidi (FTNA)

NAFASI MKOA IDADI YA SHULE

1 ARUSHA 233

2 IRINGA 168

3 KILIMANJARO 320

Jedwali la 23: Mkoa Mmoja (01) Uliyoongeza Ufaulu kwa Miaka 3 Mfululizo (FTNA)

NAFASI MKOA % UFAULU % WASTANI

WA KUPANDA 2019 2018 2017

1 LINDI 3.8758 3.9679 4.0900 2.71

Jedwali la 24: Mikoa Miwili (02) Iliyoshuka Ufaulu kwa Miaka 3

Mfululizo (FTNA)

NAFASI MKOA % UFAULU % WASTANI WA KUSHUKA 2019 2018 2017

1 TABORA 3.7198 3.6339 3. 6171 1.41

2 MARA 3.862 3.8142 3. 7573 1.38

Jedwali la 25: Halmashauri kumi (10) Zilizofanya Vizuri Zaidi (FTNA)

NAFASI HALMASHAURI MKOA IDADI YA SHULE

1 BAGAMOYO PWANI 21

2 BUKOBA (M) KAGERA 30

3 MERU ARUSHA 60

4 NJOMBE (M) NJOMBE 26

5 MOROGORO (M) MOROGORO 50

6 MONDULI ARUSHA 20

7 KIBAHA (M) PWANI 38

8 MOSHI (M) KILIMANJARO 23

9 MOSHI (V) KILIMANJARO 94

10 ARUSHA JIJI ARUSHA 51

14

Jedwali la 26: Halmashauri kumi (10) Zilizoongeza Ufaulu kwa Miaka 3 Mfululizo (FTNA)

NAFASI HALMASHAURI MKOA

WASTANI WA GPA % WASTANI

WA KUPANDA

2019 2018 2017

1 MEATU SIMIYU 3.5384 3.8080 4.0655 6.71

2 MADABA RUVUMA 3.5041 3.6431 3.9273 5.53

3 NEWALA MTWARA 3.8139 3.9173 4.2367 5.09

4 ARUSHA ARUSHA 3.3438 3.4314 3.6703 4.53

5 LINDI (M) LINDI 3.5712 3.6815 3.8843 4.11

6 SIHA KILIMANJARO 3.4155 3.4352 3.7119 4.01

7 UKEREWE MWANZA 3.7530 3.8261 4.0636 3.88

8 KIBAHA PWANI 3.5130 3.5235 3.7902 3.67

9 KITETO MANYARA 3.8346 3.9336 4.1103 3.41

10 LIWALE LINDI 4.0007 4.1654 4.2793 3.31

Jedwali la 27: Halmashauri kumi (10) Zilizoshuka Ufaulu kwa

Miaka 3 Mfululizo (FTNA)

NAFASI HALMASHAURI MKOA % UFAULU % WASTANI

WA KUSHUKA 2019 2018 2017

1 KILINDI TANGA 4.2133 4.0793 3.5299 9.42

2 MKURANGA PWANI 3.8674 3.7123 3.4253 6.28

3 NZEGA TABORA 3.9817 3.8644 3.5412 6.09

4 KASULU KIGOMA 3.5787 3.2192 3.1995 5.90

5 BUHIGWE KIGOMA 3.5592 3.2323 3.1800 5.88

6 BUKOMBE GEITA 3.6157 3.3563 3.3407 4.10

7 KIGOMA KIGOMA 3.9434 3.7373 3.6817 3.51

8 ULANGA MOROGORO 3.7453 3.5247 3.5080 3.37

9 MUSOMA MARA 4.1048 3.9542 3.8939 2.68

10 SERENGETI MARA 3.9205 3.8758 3.7212 2.65

15

3.3 Mtihani wa Kidato cha Nne - CSEE

(a) Ufaulu wa Jumla

Jumla ya Watahiniwa wa Shule 340,914 sawa na asilimia 80.65 ya watahiniwa 422,722 wenye matokeo ya Kidato cha Nne wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 175,296 sawa na asilimia 79.46 na wavulana ni 165,618 sawa na asilimia 81.94. Mwaka 2018 Watahiniwa 284,126 sawa na asilimia 79.27 ya Watahiniwa wa Shule walifaulu mtihani huo. Hivyo, ufaulu wa Watahiniwa wa Shule umeongezeka kwa asilimia 1.38 ikilinganishwa na mwaka 2018.

(b) Ubora wa Ufaulu

Ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata Watahiniwa wa

Shule unaonesha kuwa jumla ya watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa

Madaraja ya I - III ni 135,301 sawa na asilimia 32.01 wakiwemo

wasichana 58,542 (26.54%) na wavulana 76,759 (37.97%). Hivyo, ubora

wa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 0.25 ikilinganishwa na mwaka

2018 ambapo watahiniwa waliopata ufaulu wa madaraja I – III walikuwa

113,825 sawa na asilimia 31.76.

Mchanganuo wa ufaulu kwa kila daraja kwa Watahiniwa wa Shule

umeoneshwa katika Jedwali la 28.

Jedwali la 28: Ufaulu katika Madaraja

DARAJA

LA

UFAULU

WAVULANA WASICHANA JUMLA

Idadi Asilimia Idadi Asilimia Idadi Asilimia

I 10,894 5.39 8,000 3.63 18,894 4.47

II 28,895 14.30 19,876 9.01 48,771 11.54

III 36,970 18.29 30,666 13.90 67,636 16.00

I-III 76,759 37.98 58,542 26.54 135,301 32.01

IV 88,859 43.96 116,754 52.92 205,613 48.64

I-IV 165,618 81.94 175,296 79.46 340,914 80.65

FAIL 36,497 18.06 45,311 20.54 81,808 19.35

16

(c) Mchanganuo wa Ufaulu Kimasomo

Takwimu za matokeo zinaonesha kuwa watahiniwa wamefanya vizuri zaidi katika masomo mengi ya msingi ambapo ufaulu wa masomo hayo uko juu ya wastani kati ya asilimia 51.25 na 91.31. Aidha, takwimu za matokeo zinaonesha kuwa watahiniwa hawakufanya vizuri katika masomo mawili (02) ya Physics na Basic Mathematics, japokuwa katika somo la Physics ufaulu umeendelea kuimarika kutoka asilimia 45.50 kwa mwaka 2018 hadi asilimia 48.38 kwa mwaka 2019. Mchanganuo wa ufaulu katika masomo ya msingi umeainishwa kwenye

Jedwali la 29.

Jedwali la 29: Ufaulu katika Masomo ya Msingi CSEE 2019

SOMO UFAULU (%)

CIVICS 64.17

HISTORY 51.25

GEOGRAPHY 53.15

KISWAHILI 91.31

ENGLISH LANGUAGE 65.82

PHYSICS 48.38

CHEMISTRY 76.76

BIOLOGY 55.26

BASIC MATHEMATICS 20.03

COMMERCE 51.57

BOOK KEEPING 53.06

(d) Watahiniwa 10 Bora Kitaifa

Watahiniwa Bora Kitaifa katika Mtihani wa Kitaifa Kidato cha Nne (CSEE) 2019 wameanishwa katika Jedwali la Jedwali la 30-33.

Jedwali la 30: Watahiniwa Kumi (10) Bora Kitaifa (CSEE)

NAFASI JINA JINSI SHULE MKOA

1 JOAN WILLIAM RITTE F ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

2 DENIS STEPHEN KINYANGE M NYEGEZI SEMINARY MWANZA

3 ERICK HONORATH MUTASINGWA M SENGEREMA SEMINARY

MWANZA

4 ROSALIA ASHERI MWIDEGE F ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

5 DOMINA NYANGOMA WAMARA F ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

6 MVANO M CABANGOH M FEZA BOYS' DAR ES SALAAM

17

NAFASI JINA JINSI SHULE MKOA

7 AGATHA MARSELIN MLELWA F ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

8 SARAH BROWN KADUMA F ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

9 SHAMMAH SALLY KIUNSI F ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

10 LUCY E MAGASHI F HURUMA GIRLS DODOMA

Jedwali la 31: Wasichana Kumi (10) Bora Kitaifa (CSEE)

NAFASI JINA SHULE MKOA

1 JOAN WILLIAM RITTE ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

2 ROSALIA ASHERI MWIDEGE ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

3 DOMINA NYANGOMA WAMARA ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

4 AGATHA MARSELIN MLELWA ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

5 SARAH BROWN KADUMA ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

6 SHAMMAH SALLY KIUNSI ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

7 LUCY E MAGASHI HURUMA GIRLS DODOMA

8 IMANI ITROSY SANGA ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

9 JOYCE OSCAR MAGWAZA ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

10 MARTHER EMMANUEL NGOWI ST. FRANCIS GIRLS MBEYA

Jedwali la 32: Wavulana Kumi (10) Bora Kitaifa (CSEE)

NAFASI JINA SHULE MKOA

1 DENIS STEPHEN KINYANGE NYEGEZI SEMINARY MWANZA

2 ERICK HONORATH MUTASINGWA

SENGEREMA SEMINARY MWANZA

3 MVANO M CABANGOH FEZA BOYS' DAR ES SALAAM

4 YOHANA ASSA MWASHAMBWA MALANGALI IRINGA

5 BRUNO BASSILLEY BRUNO DON BOSCO SEMINARY IRINGA

6 NELSON FRANCIS MBIGILI ST. DOMINIC SAVIO IRINGA

7 EBENEZER PROSPER MUJUNGU FARAJA SEMINARY KILIMANJARO

8 TIMOTHY ISRAEL MJUNI CENTENNIAL CHRISTIAN SEMINARY

PWANI

9 RICHARDSON PILOT KWAREH CENTENNIAL CHRISTIAN SEMINARY

PWANI

10 HENRY JOHN KIMBORI CENTENNIAL CHRISTIAN SEMINARY

PWANI

18

(e) Mpangilio wa Shule, Mikoa na Halmashauri kwa Ubora wa Ufaulu Takwimu za matokeo zinaonesha mpangilio wa Shule, Mikoa na Halmashauri zilizofanya vizuri, kuongeza au kupunguza ufaulu kwa miaka mitatu mfululizo ni kama ilivyoainishwa katika Jedwali la 33-41.

Jedwali la 33: Shule Kumi (10) Bora Kitaifa (CSEE)

NAFASI JINA LA SHULE IDADI MKOA

1 KEMEBOS 70 KAGERA

2 ST. FRANCIS GIRLS 91 MBEYA

3 FEZA BOYS' 74 DAR ES SALAAM

4 CANOSSA 103 DAR ES SALAAM

5 ANWARITE GIRLS' 54 KILIMANJARO

6 PRECIOUS BLOOD 91 ARUSHA

7 MARIAN BOYS' 108 PWANI

8 ST. AUGUSTINE TAGASTE 110 DAR ES SALAAM

9 MAUA SEMINARY 52 KILIMANJARO

10 MUSABE BOYS 118 MWANZA

Jedwali la 34: Shule Kumi (10) Zilizoongeza Ufaulu kwa Miaka 3

Mfululizo (CSEE)

NAFASI JINA LA SHULE MKOA

WASTANI WA GPA % WASTANI

WA KUPANDA

2019 2018 2017

1 IBUN JAZAR ISLAMIC PWANI 2.1059 2.4135 3.1935 18.58

2 ST ACHILLEUS KIWANUKA KIJWIRE

KAGERA 2.3206 2.7688 3.3823 17.17

3 MLALO TANGA 3.0031 3.7247 4.3446 16.82

4 PERAMIHO GIRLS RUVUMA 1.6596 2.0293 2.3744 16.38

5 HURUMA GIRLS DODOMA 1.7153 2.0933 2.4344 16.04

6 ST. AUGUSTINE TAGASTE

DAR ES SALAAM

1.4495 1.6933 2.0405 15.71

7 NYAISHOZI KAGERA 2.5399 3.0390 3.5608 15.54

8 WAJA BOYS GEITA 1.5050 1.7814 2.1028 15.41

9 BONICONSILI MABAMBA GIRLS

KIGOMA 1.7910 2.1286 2.5006 15.37

10 ST GETRUDE MLANDIZI GIRLS

PWANI 2.0512 2.1335 2.9009 15.16

19

Jedwali la 35: Shule Kumi (10) Zilizoshuka Ufaulu kwa Miaka 3

Mfululizo (CSEE)

NAFASI JINA LA SHULE MKOA

WASTANI WA GPA % WASTANI

WA KUSHUKA

2019 2018 2017

1 MBWEGO TANGA 4.5981 3.7938 3.5090 14.66

2 MBEZI BEACH DAR ES SALAAM 3.3989 3.2795 2.7581 11.27

3 MAAHAD ISTIQAMA KUSINI UNGUJA 3.3002 3.0164 2.7104 10.35

4 MWANIKO MWANZA 3.9499 3.5509 3.3363 8.83

5 NYAMTELELA MWANZA 4.3929 4.2732 3.7805 7.92

6 GOMBE HIGH SCHOOL

KIGOMA 3.4472 2.9901 2.9794 7.83

7 ALLIANCE ROCK ARMY

MWANZA 3.6004 3.3639 3.0997 7.78

8 NDOMBA KAGERA 4.3639 4.0311 3.7885 7.33

9 GLORIOUS ACADEMY

MJINI MAGHARIBI

3.1060 3.0783 2.7068 7.32

10 KIRINJIKO ISLAMIC SEMINARY

KILIMANJARO 3.2426 2.9796 2.8313 7.04

Jedwali la 36: Mikoa Mitatu (03) Iliyofanya Vizuri Zaidi (CSEE)

NAFASI MKOA IDADI YA SHULE

1 KILIMANJARO 317

2 ARUSHA 225

3 IRINGA 163

Jedwali la 37: Mikoa Mitatu (03) Iliyoongeza Ufaulu kwa Miaka 3 Mfulilizo (CSEE)

NAFASI MKOA % UFAULU % WASTANI WA

KUPANDA 2019 2018 2017

1 IRINGA 3.7166 3.8412 4.0049 3.67

2 NJOMBE 3.7168 3.8267 3.9769 3.33

3 RUVUMA 3.8291 3.9719 4.0622 2.91

20

Jedwali la 38: Mikoa Mitatu (03) Iliyoshuka Ufaulu kwa Miaka 3 Mfululizo (CSEE)

Hakuna

Jedwali la 39: Halmashauri kumi (10) Zilizofanya Vizuri Zaidi (CSEE)

NAFASI HALMASHAURI MKOA IDADI YA SHULE

1 BAGAMOYO PWANI 19

2 BUKOBA (M) KAGERA 30

3 MERU ARUSHA 56

4 MAFINGA (M) IRINGA 16

5 KIBAHA (M) PWANI 36

6 NJOMBE (M) NJOMBE 26

7 KIBONDO KIGOMA 23

8 KAHAMA (M) SHINYANGA 29

9 MOSHI KILIMANJARO 93

10 BARIADI (M) SIMIYU 16

Jedwali la 40: Halmashauri kumi (10) Zilizoongeza Ufaulu kwa

Miaka 3 Mfululizo (CSEE)

NAFASI HALMASHAURI MKOA

WASTANI WA GPA % WASTANI

WA KUPANDA

2019 2018 2017

1 MADABA RUVUMA 3.6281 4.0117 4.2693 7.80

2 MBINGA (M) RUVUMA 3.6420 3.8683 4.0657 5.36

3 MAFINGA (M) IRINGA 3.4804 3.6065 3.8770 5.24

4 BUKOBA (M) KAGERA 3.2763 3.4270 3.6414 5.15

5 MPIMBWE KATAVI 3.5731 3.6779 3.9707 5.11

6 PANGANI TANGA 3.7543 3.8221 4.1746 5.11

7 KASULU (M) KIGOMA 3.5537 3.6856 3.8912 4.43

8 IRINGA IRINGA 3.7120 3.8925 4.0620 4.41

9 NJOMBE (M) NJOMBE 3.5022 3.5555 3.8029 4.01

10 KILOLO IRINGA 3.7919 3.9271 4.1085 3.93

21

Jedwali la 41: Halmashauri kumi (10) Zilizoshuka Ufaulu kwa

Miaka 3 Mfululizo

NAFASI HALMASHAURI MKOA WASTANI WA GPA

% WASTANI

WA KUSHUKA 2019 2018 2017

1 MAFIA PWANI 4.3358 4.2382 4.0775 3.12

2 KIBITI PWANI 4.2251 4.1913 4.0388 2.30

3 GEITA GEITA 4.1942 4.1909 4.0228 2.13

4 KAKONKO KIGOMA 3.9482 3.8559 3.8093 1.81

5 KONDOA DODOMA 4.2376 4.1788 4.0915 1.77

6 MPANDA KATAVI 4.0166 3.9454 3.881 1.73

7 KISHAPU HINYANGA 4.0258 4.0019 3.9103 1.47

8 KITETO MANYARA 4.1505 4.0976 4.0387 1.38

9 BUMBULI TANGA 4.1409 4.0753 4.0374 1.28

10 MALINYI MOROGORO 4.1867 4.1757 4.1019 1.03

3.4 Mtihani wa Maarifa - QT

Takwimu za matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT) zinaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 7,070 sawa na asilimia 62.09 ya watahiniwa 11,386 waliofanya Mtihani wa Maarifa (QT) wamefaulu.

4.0 MATOKEO YALIYOFUTWA

Baraza la Mitihani limefuta matokeo yote ya watahiniwa 333 waliofanya udanganyifu

katika mtihani kwa mujibu wa Kifungu cha 5 (2) (i) na (j) cha sheria ya Baraza la

Mitihani sura ya 107 kikisomwa pamoja na Kifungu cha 30(2) (b) 2016 cha Kanuni

za Mitihani. Kati ya watahiniwa waliobainika kufanya udanganyifu, watahiniwa

142 ni wa Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA), 29 ni wa Upimaji wa Kitaifa

wa Kidato cha Pili (FTNA) na 162 ni wa Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE).

5.0 MATOKEO YALIYOZUILIWA

Baraza la Mitihani la Tanzania limezuia kutoa matokeo ya watahiniwa 538 ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya upimaji/mtihani kwa masomo yote au idadi kubwa ya masomo. Watahiniwa husika wamepewa fursa ya kufanya upimaji/mtihani kwa masomo ambayo hawakuyafanya kwa

22

sababu ya ugonjwa mwaka 2020 kwa mujibu wa Kifungu cha 32(1) cha Kanuni za

Mitihani. Kati ya watahiniwa waliopewa fursa ya kurudia upimaji/mitihani yao mwaka 2020, watahiniwa 78 ni wa Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA), 225 ni wa Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) na 235 ni wa Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE).

6.0 PONGEZI ZA BARAZA

Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuchukua fursa hii kuzipongeza Kamati za Uendeshaji Mitihani za Mikoa na Halmashauri/Manispaa, Wakuu wa Shule na vituo vya mtihani, Wasimamizi wa Mitihani iliyofanyika Novemba, 2019 kwa kuzingatia na kusimamia taratibu za Uendeshaji Mitihani vizuri na kudhibiti udanganyifu kufanyika katika maeneo yao.

7.0 UPATIKANAJI WA MATOKEO Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne, Kidato cha Pili (FTNA) pamoja na

Mitihani ya Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) iliyofanyika Novemba, 2019

yanapatikana katika tovuti zifuatazo:

www.matokeo.necta.go.tz,

www.necta.go.tz,

www.tamisemi.go.tz,

www.tanzania.go.tz

Dkt. Charles E. Msonde

KATIBU MTENDAJI

09/01/2020