29
WAKALA WA VIPIMO TAARIFA ZA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KWA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA KIPINDI CHA MWAKA 2005-2015 UTANGULIZI Wakala wa Vipimo ilianzishwa mwaka 2002 kwa sheria ya Wakala wa Serikali Sura Na. 245 ya mwaka 2002. Kabla ya kuwa Wakala, ilikuwa Idara chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara Wakala wa Vipimo inafanya majukumu yake kwa kutumia sheria Sura Na. 340 na kupitiwa upya mwaka 2002. Wakala ina jukumu kubwa moja ambalo ni kumlinda mlaji (mwananchi) kupitia vipimo sahihi. Katika kipindi cha mwaka 2005-2014 Wakala ilitekeleza majuku yake na kupata mafanikio mbalimbali kama inavyooneshwa katika picha mbalimbali hapo chini MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA KIPINDI HIKI 1. Kuanzishwa kwa Kitengo cha Bandari kwa ajili ya kusimamia vipimo vitumikavyo kupimia mafuta yanayoingizwa nchini pamoja na gesi 2. Kununua vifaa mbalimbali vya kitaalam kwa ajili ya kuboresha huduma ya ukaguzi wa vipimo vinavyotumika katika biashara ili kumlinda mlaji ( mwananchi) 3. Ununuzi wa viwanja kumi na tisa ( 19) vya Wakala kwa ajili ya kujenga ofisi na vituo vya kupimia magari yabebayo mafuta 4. Ukarabati wa ofisi mbili (2) za Morogoro na Tanga 5. Kufanya utafiti wa jinsi mfumo wa vipimo katika sekta ya gesi asilia ( Natural gas) kwa ajili ya kusimamia sekta hiyo 6. Ujenzi wa vituo vya kupimia magari ( Calibration bays) yabebayo mafuta vya Iringa na Mwanza, na kukiboresha kituo cha zamani cha Ilala 7. Kujenga vituo vya kukagua bidhaa zilizofungashwa mipakani (Sirari, Namanga, Horiri, Horohoro na bandari za Mwanza, Tanga,Dar es Salaam). 8. Maandalizi ya kujenga kituo cha kukagulia magari Misugusugu mkoani Pwani ( michoro ipo tayari mchakato wa kumpata mjenzi unaendelea)

WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

  • Upload
    others

  • View
    1

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

WAKALA WA VIPIMO

TAARIFA ZA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KWA SEKTA YA

VIWANDA NA BIASHARA KIPINDI CHA MWAKA 2005-2015

UTANGULIZI

Wakala wa Vipimo ilianzishwa mwaka 2002 kwa sheria ya Wakala wa Serikali Sura

Na. 245 ya mwaka 2002. Kabla ya kuwa Wakala, ilikuwa Idara chini ya Wizara ya

Viwanda na Biashara

Wakala wa Vipimo inafanya majukumu yake kwa kutumia sheria Sura Na. 340 na

kupitiwa upya mwaka 2002.

Wakala ina jukumu kubwa moja ambalo ni kumlinda mlaji (mwananchi) kupitia

vipimo sahihi.

Katika kipindi cha mwaka 2005-2014 Wakala ilitekeleza majuku yake na kupata

mafanikio mbalimbali kama inavyooneshwa katika picha mbalimbali hapo chini

MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA KIPINDI HIKI

1. Kuanzishwa kwa Kitengo cha Bandari kwa ajili ya kusimamia vipimo

vitumikavyo kupimia mafuta yanayoingizwa nchini pamoja na gesi

2. Kununua vifaa mbalimbali vya kitaalam kwa ajili ya kuboresha huduma ya

ukaguzi wa vipimo vinavyotumika katika biashara ili kumlinda mlaji (

mwananchi)

3. Ununuzi wa viwanja kumi na tisa ( 19) vya Wakala kwa ajili ya kujenga ofisi

na vituo vya kupimia magari yabebayo mafuta

4. Ukarabati wa ofisi mbili (2) za Morogoro na Tanga

5. Kufanya utafiti wa jinsi mfumo wa vipimo katika sekta ya gesi asilia ( Natural

gas) kwa ajili ya kusimamia sekta hiyo

6. Ujenzi wa vituo vya kupimia magari ( Calibration bays) yabebayo mafuta vya

Iringa na Mwanza, na kukiboresha kituo cha zamani cha Ilala

7. Kujenga vituo vya kukagua bidhaa zilizofungashwa mipakani (Sirari,

Namanga, Horiri, Horohoro na bandari za Mwanza, Tanga,Dar es Salaam).

8. Maandalizi ya kujenga kituo cha kukagulia magari Misugusugu mkoani Pwani

( michoro ipo tayari mchakato wa kumpata mjenzi unaendelea)

Page 2: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

9. Wakala imepanua wigo wa maeneo ya kufanyia kazi hivyo imeongeza ajra

kwa watanzania. Kabla ya 2015 watumishi walikua ……….. na mpaka mwaka

uliopita wa fedha 2013/2014, watumishi walikuwa………………

10. Wakala imefanikiwa kununua magari mazuri ya kufanyia kazi tofauti

na ilivyokuwa hapo awali.

BAADHI YA VIFAA VYA KITAALAM VILIVYONUNULIWA NA WAKALA KATIKA KIPINDI HICHO

Vifaa vya kitaalam vilivyonunuliwa na Wakala

Page 3: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Vifaa vya kitaalam vilivyonunuliwa na Wakala

Page 4: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Vifaa vya kitaalam vilivyonunuliwa na Wakala

Page 5: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Vifaa vya kitaalam vilivyonunuliwa na Wakala

Page 6: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

WAKALA INASIMAMIA VIPIMO VINAVYOTUMIKA KATIKA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA

ILI KUPATA BIDHA ZENYE VIPIMO SAHIHI

Ukaguzi wa Bidhaa

zilizofungashwa, viwandani,

bandarini na baadhi ya vituo

vya mipakani

Page 7: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Ukaguzi wa Bidhaa zilizofungashwa, viwandani, bandarini na baadhi

ya vituo vya mipakani

Page 8: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Upimaji wa bidhaa viwandani kupata usahihi wake.

Page 9: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Ukaguzi wa Bidhaa zilizofungashwa, viwandani, bandarini na baadhi

ya vituo vya mipakani( maafisa Vipimo wakikagua)

WAKALA KUSIMAMIA USALAMA

Page 10: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Upimaji wa mwendo kazi wa magari kwa kutumia vifaa vya

kitaalam ( maarufu tochi)

WAKALA HUSIMAMIA VIPIMO VINAVYOTUMIKA KUPIMIA MAFUTA YAINGIAYO NCHINI

Page 11: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Usimamizi na udhibiti wa kiasi cha mafuta ya petrol na gesi

yaingiayo nchi kupitia vipimo sahihi (Wakala inasimamia)

WAKALA HUSIMAMIA VIPIMO VITUMIKAVYO KUPIMIA MAFUTA KWENYE SOKO

Page 12: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Upimaji wa matenki kwa kutumia kifaa cha kitaalam (Prover)

Page 13: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Upimaji

wa

matenki

ya ardhini

Upimaji wa matenki ya treni

Page 14: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Upimaji wa matenki makubwa ya kuhifadhia mafuta na gesi

Page 15: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

WAKALA HUTOA ELIMU WA WANANCHI KUHUSU MATUMIZI YA VIPIMO

SAHIHI

Page 16: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Afisa vipimo bw. akitoa elimu kwa naibu Katibu Mkuu wa Viwanda na

Biashara Bi…………..

Page 17: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Kaimu meneja wa Habari Bi. Irene John akifafanua jambo kwa waandishi wa

habari kuhusu matumizi ya vipimo ( Hawapo pichani)

Page 18: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Utoaji wa elimu kwa wananchi kwenye maonyesho kuhusu

vipimo

Page 19: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

MAENEO MAPYA YA KAZI ZA VIPIMO YAMEONGEZA AJIRA KWA VIJANA

Maeneo mapya maafisa wakipima urfu wa mabati kama yanakidhi matakwa

ya sheria ya vipimo

Page 20: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Maafisa wakipima ili wajiridhishe vipimo vyake

Page 21: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

MAGARI YA WAKALA KIPINDI CHA NYUMA KABLA YA 2005

Page 22: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

MAGARI YA WAKALA KATIKA KIPINDI KUANZIA 2005

Page 23: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari
Page 24: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

WAKALA INATEKELEZA MIRADI MBALIMBALI

Ofisi ya Morogoro baada ya kukarabatiwa, Picha mshauri

mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo.

Page 25: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa

mkoani Iringa

Page 26: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Mfano wa kituo cha kupimia magari yanayobeba mafuta

kitakachojengwa eneo la Misugusugu mkoani Pwani

(Impression drawings)

Page 27: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

Ofisi itakayojengwa eneo la Misugusugu kwa ajili ya kazi za

kituo hicho

Page 28: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari

WAKALA IMEPATA TUZO MBALIMBALI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA

(1)

(2)

(1). The Most Accountable and Transparent Organization Award receive in

Ghana during African Public Services Exhibitions

(2) OIML Award for Excellent Achievements in Legal Metrology in Developing

Countries

Page 29: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania...mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa Mfano wa kituo cha kupimia magari