13
2013 2013 HakiElimu S L P 79401 • Dar es Salaam • Tanzania Simu (255 22) 2151852 / 3 • Faksi (255 22) 2152449 Barua pepe: [email protected] Tovuti: www.hakielimu.org Kalenda HAIUZWI

HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

20132013

HakiElimuS L P 79401 • Dar es Salaam • TanzaniaSimu (255 22) 2151852 / 3 • Faksi (255 22) 2152449 Barua pepe: [email protected] Tovuti: www.hakielimu.org

Kalenda

H A I U Z W I

Page 2: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

01 Januari – Mwaka Mpya. 12 Januari – Mapinduzi ya Zanzibar. 24 Januari – Sikukuu ya Maulidi (inategemea kuonekana kwa mwezi).

20132013

“... wananchi wote wenye watoto wenye umri wa kuandikishwa shule za awali wafanye hivyo kwa wingi. Kuna baadhi ya sehemu inaripotiwa wazazi bado hawajaelewa umuhimu wa kuwapeleka watoto katika madarasa haya ya awali”, Elizabeth Missokia, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, 27 Septemba 2012.

7142128

18152229

29162330

310172431

4111825

5121926

6132027

JANUARI

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 3: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

“Mwaka huu [ 2012] kumejitokeza malalamiko mengi katika shule za msingi na sekondari kwa wanafunzi kutokujua kusoma, kuhesabu na kuandika kwa kuwa walikosa msingi mzuri kielimu kuanzia ngazi ya awali na chekechea”, Ajira Kalinga (UVCCM), Ruvuma. Majira 8 Juni 2012.

20132013

4111825

5121926

6132027

7142128

181522

291623

3101724

FEBRUARI

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 4: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

29 Machi – Ijumaa Kuu. 31 Machi – Jumapili ya Pasaka.

“…sera ya kutaka wanafunzi kupitia elimu ya awali, imechangia walimu wa shule za msingi hasa wa madarasa ya kwanza kutowakazania watoto kujifunza stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu. Kwa kweli katika madarasa ya awali, watoto huwa wanakwenda tu ili wazoee mazingira ya shule na kuishi na wenzao, lakini hakuna kusoma kwa msisitizo”, Juliana Mosi, Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Mitaala, Taasisi ya Elimu Tanzania, Mwananchi, 17 Aprili 2012.

20132013

4111825

5121926

6132027

7142128

18152229

29162330

310172431

MACHI

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 5: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

01 Aprili – Jumatatu ya Pasaka. 07 Aprili – Kumbukumbu ya Karume. 26 Aprili – Sikukuu ya Muungano.

“Shule za msingi, hazina madawati, watoto wanakaa chini tena kwenye sakafu iliyochimbuka ovyo. Darasa moja wanasoma watoto zaidi ya mia moja na hamsini, mapaa yanavuja mvua ikinyesha, walimu wanahaha kwa kuhama kuokoa vitabu visilowe, kuta zimepasuka ovyo kiasi cha kuhatarisha maisha ya watoto wetu,” Mallac, AnnaMaryStella John Robert (Mbunge), Bungeni, Majadiliano ya Bunge, 29 Juni 2012.

20132013

18152229

29162330

3101724

4111825

5121926

6132027

7142128

APRILI

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 6: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

01 Mei – Sikukuu ya Mei Mosi.

20132013

6132027

7142128

18152229

29162330

310172431

4111825

5121926

MEI

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 7: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

[Yatupasa] “kuwabana viongozi wetu tuliowachagua kuanzia mwenyekiti wa mtaa, diwani na wabunge wetu kuhakikisha wanachukua hatua kukabiliana na changamoto zilizopo ili kufanikisha Elimu bora ya Awali kwa watoto wetu”, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, Elizabeth Missokia, 27 Septemba 2012.

20132013

3101724

4111825

5121926

6132027

7142128

18152229

29162330

JUNI

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 8: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

07 Julai – Sikukuu ya Saba Saba.

CHUKUA HATUACHUKUA HATUA

20132013

18152229

29162330

310172431

4111825

5121926

6132027

7142128

JULAI

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 9: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

08 Agosti – Sikukuu ya Nane Nane. 8/9 – Sikukuu ya Eid El Fitr (inategemea kuonekana kwa mwezi).

“Elimu ya awali imegubikwa na changamoto nyingi. Baadhi ya changamoto hizi ni upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa, unaosababisha mrundikano mkubwa katika madarasa, ukosefu mkubwa wa walimu wenye taaluma ya elimu ya awali pamoja na vifaa vya kufundishia. Aidha, kutokuwepo na tofauti ya kimadarasa katika elimu ya awali (yaani watoto wa umri wa miaka 5 na miaka 6 kusoma katika darasa moja)”, Elizabeth Missokia, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, 27 Septemba 2012.

20132013

5121926

6132027

7142128

18152229

29162330

310172431

4111825

AGOSTI

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 10: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

“Kama tunataka elimu yetu iwe bora, ni lazima mtoto aandaliwe kwa Elimu ya Awali na hivyo basi, mtoto aso-meshwe kwa vitendo ili atakapoingia katika Elimu ya Msingi asiwe mgeni na masomo atakayoyakuta huko”, Abama Taratibu Maalim Mwanamrisho (Mbunge), Majadiliano ya Bunge, 20 Julai 2011.

20132013

30291623

3101724

4111825

5121926

6132027

7142128

18152229

SEPTEMBA

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 11: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

14 Oktoba – Kumbukumbu ya Nyerere. 15/16 Oktoba – Sikukuu ya Eid El Hajj (inategemea kuandama kwa mwezi).

Watoto 6,469 wenye umri wa miaka mitano na sita waliotakiwa kuandikishwa kuanza elimu ya awali katika halmashauri ya Musoma Vijijini kwa mwaka 2012, hawakupewa fursa hiyo. Tanzania Daima, 8 Septemba 2012.

20132013

7142128

18152229

29162330

310172431

4111825

5121926

6132027

OKTOBA

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 12: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

“Ni sawa kabisa na unapojenga nyumba, ukifanya makosa kwenye msingi nyumba yote itakuwa mbovu, ndiyo maana unatakiwa uwe na vifaa vya kutosha wakati ukiwa unajenga msingi wa nyumba... [ katika elimu ] vifaa hivyo vinajumuisha walimu waliopata mafunzo bora ya kuwafundisha watoto wa elimu ya awali pamoja na wale wa darasa la kwanza”, Augustino Mbembele, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Isensa Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, Mwananchi 25 Septemba 2012.

20132013

4111825

5121926

6132027

7142128

18152229

29162330

3101724

NOVEMBA

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp

Page 13: HAIUZWI 2013 - hakielimu.org 2013 new layout.pdfJt Jn Jt Al Ij Jm Jp. Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku ya ... imechangia walimu wa shule za

Usikose kutazama kipindi cha Tafakari Time kinachorushwa na ITV kila siku yaIjumaa kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 1:30 usiku.

09 Desemba – Sikukuu ya Uhuru. 25 Desemba – Sikukuu ya Chrismas. 26 Desemba – Boxing Day.

“Ni ukweli usiopingika kuwa elimu ya awali itolewapo kikamilifu, huwa ni msingi imara kwa mtoto katika elimu yake ya baadae”, Elizabeth Missokia, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, 27 Septemba 2012.

20132013

30291623

313101724

4111825

5121926

6132027

7142128

18152229

DESEMBA

Jt Jn Jt Al Ij Jm Jp