38
IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi, Msemaji Mkuu wa Serikali, Jumamosi, Agosti 31, 2019. “#TUMEAMUA, TUNATEKELEZA” TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SERIKALI HADI AGOSTI, 2019

IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

  • Upload
    others

  • View
    7

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Dkt. Hassan Abbasi,Msemaji Mkuu wa Serikali,

Jumamosi, Agosti 31,2019.

“#TUMEAMUA, TUNATEKELEZA”TAARIFA YA UTEKELEZAJI

WA SERIKALI HADI AGOSTI, 2019

Page 2: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

1. UTANGULIZI: Masuala Mbalimbali Yaliyojiri naYajayo-SADC na JAMAFEST;

2. TANZANIA KIMATAIFA; Ripoti ya RushwaAfrika na Jarida la Forbes;

3. TUMEAMUA, TUNATEKELEZA; Utekelezajikatika Baadhi ya Miradi ya Maendeleo kwaWananchi; na

4. MASWALI NA MAJIBU.

Page 3: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

UTANGULIZINdugu wanahabari:

• Naomba nitangulize shukurani zangu za dhatikwa kukubali wito wangu wenye lengo lakuwajuza Watanzania juu ya mambo kadhaamuhimu ambayo Serikali yao inaendeleakuyatekeleza kila siku;

• Aidha kwa kuwa hivi karibuni tu Tumetoka katikaMkutano wa SADC nianze kwa kuwapongezasana kwa kazi nzuri mliyoifanya kipindi chote chamkutano wa SADC.

Page 4: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

UTANGULIZI….

Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba baadaya SADC Tanzania itaendelea kunufaika/kuwamwenyeji wa Mikutano mbalimbali ya Kimataifaikiwemo:

1.Tamasha la Utamaduni Afrika Mashariki(JAMAFEST) kuanzia 21-28 Septemba, 2019 nalitahusisha watu takribani 100,000 kutoka nchi sitaza Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda naSudani ya Kusini. Tamasha hili litafanyika Uwanjawa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Page 5: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

UTANGULIZI….

Pia, SADC itaendelea kuacha alama muhimu nchini:

❖Mikutano mingine mingi imeanza kuja nchiniukiwemo wa sekta ya Habari na MawasilianoKatikati mwa Septemba, 2019;

❖Taasisi zetu zitaendelea kunufaika; Mfano MSDimekamilisha mfumo wa kusambaza dawa nchi zoteza SADC, TTCL inaendelea kusambaza Mkongo waMawasiliano (Tayari Zambia, Malawi).

Page 6: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

TANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA KIMATAIFA

• Pamoja na changamoto mbalimbali za baadhi yaWatanzania kushirikiana na mawakala wenginewa nje kutaka kuihujumu nchi yetu kamamlivyosikia suala la kushikwa ndege zetu na aukutumia baadhi ya majarida kujaribu kuichafuanchi; heshima na hadhi ya Tanzania Kimataifaimeendelea kupanda kutokana na nia njema yakazi kubwa inayofanywa na Serikali ya Dkt.Magufuli.

Page 7: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

TUMEONGOZA AFRIKA VITA YA RUSHWA

• Kwa mujibu wa Ripoti iliyotolewa Julai 12,2019 kwa pamoja kati ya TransparencyInternational na Afro-Barometer, Tanzaniaimeongoza katika nchi 35 kwa:

• 1.Kuonesha juhudi za wazi na zenye umakinikatika kupambana na rushwa; 2. Tumekuwawa Kwanza pia katika Kipengele cha Ofisi Kuuza nchi kwa maana ya Ofisi ya Rais na Ofisi yaWaziri Mkuu kuwa hazihongeki.

Page 8: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

• TUMEAMUA KATIKA RUSHWA: Mafanikiohaya yanatokana na msimamo thabiti waMhe. Rais Magufuli na Serikali yake lakinipia jinsi alivyoimarisha taasisi muhimukama vile TAKUKURU, KuanzishaMahakama ya Ufisadi na UhujumuUchumi mfumo wa udhibiti wa rushwakatika manunuzi kupitia PPRA;

Page 9: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

1. Kwa mfano, TAKUKURU imeokoa jumla ya TZSBilioni 86 zilizotokana na mishahara hewa naukwepaji kodi;

2. Aidha, jumla ya shilingi Bilioni 25.5 zimerejeshwaSerikalini kwa mchanganuo ufuatao: Bilioni 14.6-urejesdhwaji wa mali zilizopatikana kwa njia yauhalifu; na Bilioni 10.9 zilizotokana na thamani yamali zilizotaifishwa yakiwemo magari, vituo vyamafuta, nyumba nane, magari nane. Na kuna Bilioni20 ambazo ni mali zilizozuiwa kesi zikiendelea.

Page 10: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

3. Kwa upande wake Mamlaka ya Usimamiziwa Manunuzi ya Umma (PPRA) imeokoatakribani TZS Bilioni 46.9 zilizokuwazipotee kutokana na kutofuatwa taratibuza ununuzi, malipo ya zaidi ya mkatabakwa wakandarasi au baadhi kutorudishafedha walizopewa kama dhamana nauzembe na rushwa;

Page 11: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Page 12: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

JARIDA LA FORBES AFRICA LAIMULIKA TANZANIA

• Julai, 2019 nchi yetu ilipata fursa ya kipekeeya kumulikwa na Jarida la Forbes Afrika katikatoleo lililokuwa na kichwa cha Habari:“TANZANIA-BUILDING PROSPERITY” likimtajaRais Magufuli kuwa kiongozi mwenye maonomakubwa;

• Kufuatia mafanikio haya hivi sasa vyombovingi vikubwa duniani vimeomba kujakuandika mazuri ya Tanzania.

Page 13: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Page 14: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

TUMEAMUA KUWEKEZA KATIKA MAENDELEO YA WATU NA VITU

Page 15: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE

• TUMEAMUA: Safari ya Miaka Mitatu ya Ujenzi waMradi wa Kufua Umeme wa Maji wa JuliusNyerere (JNHPP) imeshaanza;

• Mradi huu wa Megawati 2115 na wa 4 BaraniAfrika utagharimu TZS Trilioni 6.5 na Serikaliimeshatoa TZS Trilioni 1.07. Kwa sasa hatua yakwanza ya kuchepusha mto kwa kuchorongahandaki (diversion tunnel) imekamilika.

Page 16: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

MUONEKANO WA SASA WA HANDAKI

Muonekano wa Handaki kwa nje

Muonekano wa Handaki kwa ndani

Page 17: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

MRADI WA MTAMBO WA GESI KINYEREZITUMEAMUA: Umeme wa Gesi nao Serikaliinaendelea kukamilisha Mradi wa Upanuzi waKinyerezi-I ambao kwa sasa umefikia 85%.Mradi huu wa megawati 185 utakamilika ndaniya miezi mitatu.

Gharama za Mradi huu unaogharamiwa naSerikali ni Dola za Marekani 188 na Serikaliimeshalipa Dola 128 mpaka sasa.

Page 18: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Muonekano wa Mradi wa Umeme, KinyereziExtension...

Page 19: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

SERIKALI YAANZA KUAGIZA TRENI ZA UMEME

Serikali imeanza zabuni ya kuagiza vichwa 22(vitano vya mafuta yaani Diesel Locomotive na 17vya umeme yaani Electrical Locomotive) namabehewa ya abiria 60 na 1430 ya mizigo;

Aidha, Serikali imeanza zabuni ya treni tano (5)zilizokamilika (Electrical Multiple Unit) za abiriazenye mabehewa nane (8) kila moja na vichwaviwili kwa ajili ya uendeshaji wa treni za abiriakwa kipande cha Dar– Moro na kisha Dodoma.

Page 20: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

TUMEAMUA: MFANO WA “SPLIT UNIT TRAINS”

Page 21: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

TUMEAMUA:MFANO WA BEHEWA ZA “DOUBLE STACK “

Page 22: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

TUMEAMUA; MFANO WA MABEHEWA YA MAFUTA

Page 23: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

TUMEAMUA; KUJENGA MADARAJA 1.Serikali imetenga fedha za ndani TZS Bilioni 71.4kuanza ujenzi wa Daraja jipya la Mto Wami lenyeurefu wa Mita 513.5 litakalojumuisha ujenzi wabarabara za KM 4.3 kwa kila upande. Kazi ishaanza;

2. Serikali pia imeshasaini mkataba wa TZS Bilioni699.9 kwa ajili ya ujenzi wa Daraja refu zaidikuvuka Ziwa Afrika Mashariki na Kati la km 3.2kuunganisha mikoa ya Mwanza na Geita kwenyeeneo la Ziwa Victoria; Kigongo-Busisi.

Page 24: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

TUMEAMUA; KUJENGA MADARAJA 3. Kupitia TARURA Serikali imejenga madarajamadogo madogo katika Wilaya 7 nchini kamaifuatavyo:• Kondoa (Kisese, urefu mita 38, Bilioni 2.08); Kishapu

(Manonga, urefu mita 45, Bilioni 2.436); Bahi (ChipangaBridge, urefu mita 45, Bilioni 2.11; Iringa (M) (TagamendaBridge, urefu mita 30, Bilioni 4.5); Songwe (W) (KikambaBridge, urefu mita 60, Bilioni 1.2); Iramba (Mtoa Bridge,urefu mita 60, gharama Bilioni 2.676 ); na Kilombero(Kihansi Bridge, Urefu mita 40, Gharama Milioni 972)

Page 25: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

TUMEAMUA; KUJENGA MADARAJA

4. Jijini Dar es Salaam ujenzi wa Daraja la Juu(Ubungo Interchange) kwa fedha zaidi ya TZSBilioni 200 kutoka Benki ya Dunia unaendelea natayari umefikia asilimia 50. Mradi huu Serikaliitakabidhiwa ifikapo mwakani 2020.

Page 26: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Ujenzi wa Daraja la Jipya-Mto Wami...

Page 27: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Page 28: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

UBUNGO INTERCHANGE

Page 29: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Daraja la Kihansi-1, Morogoro-TARURA

Page 30: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

TUMEAMUA: KUPANUA BARABARA UBUNGO-KIBAHA

Hadi kufikia Mwezi Julai 2019, Ujenzi waBarabara ya Njia Sita pamoja na barabara zawaenda kwa miguu ya Kimara-Kibaha (Km19.2)wenye thamani ya TZS Bilioni 140.44unaojumuisha madaraja ya Kibamba, Kiluvyana Mpiji umefikia 40%. Mradi huuunagharamiwa na Serikali ya Tanzania kwa100%.

Page 31: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

UPANUZI KIMARA-KIBAHA; NJIA SITA

Page 32: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

SEKTA YA AFYA; TUMEAMUA, TUNATEKELEZA

• TUMEAMUA: Katika Sekta ya Afya, Serikaliimeshatoa TZS Bilioni 30 kwa ajili ya Ujenzi waHospitali za Rufaa za Mikoa (RHH) na sehemunyingi ujenzi umekamilika. Mikoa husika ni:MWANZA, SIMIYU, NJOMBE, SONGWE, KATAVI,GEITA NA DAR ES SALAA (MWANANYAMALA) nakuna Bilioni 3 imetolewa Kujenga Hospitali yaKanda ya Wazazi MBEYA na TZS Bilioni 6.32kujenga Hospitali ya Kanda MTWARA;

Page 33: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

HOSPITALI YA RUFAA NJOMBE

Page 34: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

HOSPITALI YA RUFAA SIMIYU

Page 35: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

SEKTA YA AFYA; TUMEAMUA, TUNATEKELEZA

• TUMEAMUA: Katika kuwekeza katika maisha yawatu ngazi ya Wilaya, Serikali mapema mwakahuu ilitoa TZS Bilioni 105 kwa ajili ya ujenzi waHospitali za Wilaya 67. Katika miaka zaidi ya 50ya Uhuru tumekuwa na Hospitali katika Wilaya77 tu; ndani ya mwaka huu mmopja zinajengwa67. Wastani wa jumla ni kuwa ujenziumekamilika kwa zaidi ya asilimia 90 na baadhiya picha za majengo hayo tunazionesha.

Page 36: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

HOSPITALI YA MANISPAA KIGAMBONI

Page 37: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

MWISHO

• Mwisho niwathibitishie Watanzania kuwa azmayetu ya kuiendeleza nchi kwa kasi chini yaJemedari Dkt. John Pombe Magufuli inaendeleakushika kasi na katika hili hakuna mwanadamu wakutuzuia wala kuturudisha nyuma. HAKUNA;

• Katika mkutano wangu ujao tutaangalia maeneomengine pia au kupata mwendelezo wa haya. Sasanipo tayari kupokea maswali zaidi na kuyajibu.

Page 38: IDARA YA HABARI-MAELEZO - Education in Tanzania · 2019-09-04 · IDARA YA HABARI-MAELEZO Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali UTANGULIZI…. Aidha, nitumie fursa hii kuwataarifu kwamba

IDARA YA HABARI-MAELEZOOfisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

#TUMEAMUA,TUNATEKELEZA

ASANTENI SANA